Aibu!! "PESA ZA CCM ZIMEMPONZA MSIGWA ANAJITAPATAPA" ALITAKAKUVURUGA CHADEMA" KALONGA AYATAPIKA YOTE

  Рет қаралды 25,456

Baharia TV

Baharia TV

19 күн бұрын

Пікірлер: 65
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 17 күн бұрын
Ndg Kalonga nashukuru kwamba umezungumza ukweli hayo unayozungumza nadhani ni ya kweli kabisa. Mungu yu pamoja na wamchao. Bahati mbaya ni kwamba Mhe Msigwa kiapo cha madhabahuni kinaweza kumtesa kweli kabisa ni wakati wake kutubu na kurejea hata ikiwa si kuwa mwanachama wa CDM.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 17 күн бұрын
Ubarikiwe kaka ubarikiwe kwa kusema ukweli hakika msigwa ni yuda msaliti
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 17 күн бұрын
Daaa aseee kumbe CHADEMA Ina watu jaman hawaskikagi biut wanahekima sanaaa yan dah
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 18 күн бұрын
Kumwita mchungaji msigwa ni kukinajisi cheo cha uchungaji kidini. Nafikiri ataeleweka vyema kama ataitwa msigwa iskariote aka mzee wa vipande thelathini.
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 17 күн бұрын
Usimtukane mwenzio fanya kazi yako tu
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 17 күн бұрын
Kwa mikowa yetu mbeya na songwe mtajuwa ni wilaya ipi inawasomi waliyo bobea hasa wanasheria. Hongera sana wasomi wa rungwe mnatutowa soni
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 18 күн бұрын
Magufuli mwenyewe alishindwa kukiuwa chadema atakuwa msingwa
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o 17 күн бұрын
Nakuona dogo kwenye interview.
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 17 күн бұрын
Mchungaji feki, kapoteza dira
@BarakaMwambapa-o4i
@BarakaMwambapa-o4i 18 күн бұрын
Kalonga nimekupata
@abbiecox1
@abbiecox1 16 күн бұрын
sitarajii umsifie Msigwa hata kwa fimbo linda ajira yako ya usaidizi! tundu rafiki yangu wa karibu sana lakini siwezi msema msigwa kisa jinsi tunavyofahamiana na Lisu. Msigwa kaamua tumieni muda wenu kuijenga CDM kumsema hakusaidii hata kwa pesa! Ubora wa chama sio kusimangana ni kukijenga chama toka SACCOS ya mchaga mmoja kuwa chama cha kijamii!
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 18 күн бұрын
Msigwa asingeweza baki chadema bila uongozi ndo Mana kasaliti
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 18 күн бұрын
na asikie alipo huyo msigwa
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey 16 күн бұрын
KABAINI KWAMBA CHADEMA HAINA SERA NA WALA VIONGOZI PIA NAO HAWANA SERA KAONDOKA IMEKUWA NDIO SERA YENYEWE TAFUTENI JENGINE KWA SASA MSIGWA CHADEMA NI BENDERA KUFUATA UPEPO UENDAPO
@JosefuSwai
@JosefuSwai 17 күн бұрын
Kaka uko vizuri sana Asante sana
@chezariboy
@chezariboy 17 күн бұрын
Kwenye loliondo na sakata la wamasaimsohwa alikuwa. Bubu alikuwa upande wa samia na uccm. Kwelii nimeaminii, with wanamjua kea kina Sana msigwa
@abbiecox1
@abbiecox1 16 күн бұрын
mmetoka hamkutoka wezi toka kenya nyie tupa kule!
@generosennko8343
@generosennko8343 17 күн бұрын
Duh! Baadhi ya hawa watumishi wa mungu wanahitaji kuombewa rehema kwa kweli. Wanaweza kuwa wanaumia sana mioyoni wakijifanyia self examination. Tuwaombee tuu
@benardkinde8496
@benardkinde8496 18 күн бұрын
Ni kweli kabisa kama kweli ni mchungaji msigwa hayupo salama maana Mungu hapendezwi na wazalimu na wanafiki
@abbiecox1
@abbiecox1 16 күн бұрын
fungua kanisa kama umejua Mungu amemchukia aliyejitoa na kumpenda mmiliki wa SACCOS
@joelsaganya4077
@joelsaganya4077 18 күн бұрын
Kuna kikao kimoja cha bunge Msigwa aliambiwa na wabunge wenzake kuwa hafai hata kuchunga nguruwe, kilichotokea kimethibitisha yaliyonenwa.
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t 11 күн бұрын
Kabla hajahamia ccm alikua anasemaje kuhusu.ccm na Leo anesemaje kuhusu chadema.msikilizeni
@yudanziku6030
@yudanziku6030 18 күн бұрын
Msigwa kwa hadhi yake boraa awe mkimya kwakweli.
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 18 күн бұрын
Amuulize zito kabwa aliekua anaandaliwa majukwaa na ccm
@TemuCalvinWilbard
@TemuCalvinWilbard 17 күн бұрын
Msigwa tulimwamini sasa amegeuka mamluki amelikoroga na atalinywa
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 18 күн бұрын
Hakuna mwenye ubavu wa kui ua chadema tuna usubiria mkutano wake aje aseme habari ya sacos.
@abbiecox1
@abbiecox1 16 күн бұрын
si bora umuulize Makengeza mmiliki wa SACCOS
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t 11 күн бұрын
Kigeugeu hakinaga mwisho na huko akikosa cheo ataondoka kwan nn? Mbn hakuondoka chadema alipokua kiongozi
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 12 күн бұрын
Msigwa ni feki ,maana anajifanya mtumishi wa mungu kumbe huko serikalin ameenda kua tapel wa vyama au serkalin
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 18 күн бұрын
Msingwa mnafiki tu anajiita mchungaji kanunuliwa na makaratasi ya Dunia
@DamasAmos-ue2gh
@DamasAmos-ue2gh 16 күн бұрын
Ndungu yangu musigwa simchungaji uchungaji wake unalusu lushwa uyo nimchungaji muchumia tumbo akuna chauchungaji pele ninjaatu wengine wanamchezea mungu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 17 күн бұрын
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 17 күн бұрын
Mko sawa nafikiri mwakani itakiuwa kivumbi nguo kuchanika
@MnubiMm
@MnubiMm 16 күн бұрын
Hivi kumbe nyie ndio mlimtuma yule kijana achome picha ya Raisi haya usemayo ni yale ulioambiwa na bosi wako ila bakisha akiba ya Maneno hayana Ukweli unamtafutia Msigwa njia ya kuchafua msingwa lakini pia msigwa alionekana wasiwazi ataenda kumpinga Mbowe kwenye Uchaguzi mkuu kwa nini usiseme haya kabla ya msigwa kuja CCM story tu hiyo
@chezariboy
@chezariboy 17 күн бұрын
Duiiiuuu,, nimekuamni kwenye lalamiko la uuzaji loliyondo msgwa hjawai uunga mkono
@HadaikaNgabona
@HadaikaNgabona 16 күн бұрын
Wewe bado una cheo siku ukiacha na wewe utavua gwanda.
@annemlay11
@annemlay11 17 күн бұрын
CHADEMA kwa asili kina shida.Msigwa na Lowasa nani zaidi.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 17 күн бұрын
Mama atamweka sasa msigwa kama katibu mwenzi
@JuliusMlengeswa
@JuliusMlengeswa 17 күн бұрын
Siasa haina rafiki au adui wa kudumu! Huoni maslahi Hamia penye maslahi mapema
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 17 күн бұрын
Wateuzi wanaleta soni kulawiti kupigilia chupa raia sehemu za siri nani atakuwa na imani nawateuzi wenye udhaifu kama huo.
@marakidtz9454
@marakidtz9454 18 күн бұрын
Hii habar ni ya Jana Jumatatu Jitahidi Uwe Unaenda Ontime
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 17 күн бұрын
Kumbe anaroho mbaya
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 17 күн бұрын
Aondoke tu kibaraka mkubwa na wananchi hawana tena imani nae labda wampe nafasi za kiteuzi
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 18 күн бұрын
Chadema wanachama na viongozi wao niwatu wakuprnda shari .mnamtetea mtu mhalifu .
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 18 күн бұрын
CHAGADEMA ni chama cha wahuni,wao ndio wanashawishi vijana kuvuta bangi,kutukana,kukosa adabu nk
@jesaminzo
@jesaminzo 17 күн бұрын
Jitahidi ukate rufaa kijana arudi ndani, kama huridhiki na miaka miwili au faini ya milioni tano!
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 17 күн бұрын
Wahuni ni wale wanaofuja rasilimali za Tanganyika ​@@walidmgonja3644
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 17 күн бұрын
Upendo usipende chadema Iko juuu
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 17 күн бұрын
@@user-bx3ko9ft5t ni kweli chagadema ipo juu Kilimanjaro
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 17 күн бұрын
Alijitoa kafara na ubunge iringa hapati
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 14 күн бұрын
Kajitoa kafara
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 17 күн бұрын
Mchungaji kuku
@user-tb8zb4rv6h
@user-tb8zb4rv6h 18 күн бұрын
Nyie chadema hamuoni kama chama chenu kinakwenda Mirama?
@lupyanamatimbwi8064
@lupyanamatimbwi8064 18 күн бұрын
Msigwa mnafiki au hypocrite
@tanzanite9944
@tanzanite9944 17 күн бұрын
Hata Godbless Lema yuko Mbioni kusaliti kwasababu ya Maslahi binafsi, ni muda tuu utaongea.
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 17 күн бұрын
Wewe nikma gwajima alivyo sema amempoteza MAKONDA kwenye siasa lakini....,....,..,.
@allyhasani3750
@allyhasani3750 18 күн бұрын
Tangia alipotetea uzwaji wa mapoli loliondo nilimfuta kichwan mwangu
@tanzanite9944
@tanzanite9944 17 күн бұрын
Nawewe unaamini kuwa Mbuga ya Loliondo imeuzwa? Shida za akili za Watu wa chadema ndio mama hii Sasa kuamini kila kitu. Yaani kitu kikikodishwa kwa Chadema ni kimeuzwa.
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 17 күн бұрын
Kwahiyo unaona sawa kukodisha mbuga na kuhamisha wakazi? Kama ilikodishwa uliambiwa wamelipa sh ngapi na watakaa kwa muda gani?
@HamzaHeri
@HamzaHeri 18 күн бұрын
WEWE KAMA NI MSAIDI MKABILA NA MDINI HUYO ALAFU MBINAFSI HANA HOJA YEYOTE KUTUPOTOSHA SISI WA TANZANIA SIASA ZENU HAZINA NA FASI NCHII HII
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 18 күн бұрын
Haya tena mtetezi wa mama hebu tuambie una hoja ipi ya maana kama unaona ukabila na udini basi wewe ni.....
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 17 күн бұрын
Hamza mwislamu wewe ndo muuza roliondo na mamako. Waarabu wamekupa kilemba na ukajisahau wewe ni mtanzania unamuuza mpaka mkeo au kumtoa mwanao awe mke wa tatu. Nani anahitaji awe mke wa tatu. Si hajiamini. Utawezaje kuwa kiongozi kwa namna hii.
@user-cz5sd6ys8i
@user-cz5sd6ys8i 18 күн бұрын
Mbona wewe ni chawa alafu hujioni,chadema na Wana chama wao wako sahiii
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,8 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 62 М.
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 75 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,8 МЛН