AIC Chang'ombe Choir (CVC) - ELOHIM (Official Live Video)

  Рет қаралды 973,855

AIC Chang'ombe Choir (CVC)

AIC Chang'ombe Choir (CVC)

7 ай бұрын

#ELOHIM, wimbo wa kwanza katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kuwa muongozo wako katika kumshukuru Mungu kwa yale mambo makuu aliyokutendea katika safari ya maisha yako.
LYRICS
Asante ELOHIM
Wewe Ni MUNGU Unaetenda
Asante ELOHIM
Wewe Ni MUNGU
Ni Mungu ( Unaetenda)
Tumetembea na wewe
Toka mwanzo uko pamoja nasi
Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako (Asante ELOHIM)
Ulitangulia Mbele
Bila wewe Tusingeweza
Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako
( Asante ELOHIM)
Mabaya Yaliinuka
Lakini hayakutupata
Ulitutetea, Ulitushindia
( Asante ELOHIM)
Ndio Maana Tunakusifu
Umetenda Makuu Kwetu
Umetutetea,Umetushindia
(Asante ELOHIM)
Tunashukuru Ee Baba (Asante ELOHIM )
Mkono Wako Umetubeba(Asante ELOHIM)
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Audio production - CVC Music Department
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

Пікірлер: 1 400
@rosemarypeter4416
@rosemarypeter4416 7 ай бұрын
Wenye tumetoka tiktok tukaja kuwatch huku tupite na like
@maureenwambaya6528
@maureenwambaya6528 6 ай бұрын
Tupo hapa
@queenclement7676
@queenclement7676 Ай бұрын
Yean nlivyoisaka hii nyimboo yule dada apewe mauwa yake
@abbielelei814
@abbielelei814 Ай бұрын
Meeeee💯💯
@marianyambura8053
@marianyambura8053 15 күн бұрын
Nipo 🎉🎉
@hurumameena
@hurumameena 13 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@ednalameck9783
@ednalameck9783 7 ай бұрын
Anaengalia zaid ya mara moja mkono juu
@eme_sax1498
@eme_sax1498 7 ай бұрын
Wimbo wa kuombea mkopo Bank huu. 😂
@happymako-mb7is
@happymako-mb7is 7 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@happinesswilliam9045
@happinesswilliam9045 7 ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@annaelias1250
@annaelias1250 7 ай бұрын
Narudisha rudisha jmn kukodoa mweee,kazi nzuri sanaaa
@rebecastephano9340
@rebecastephano9340 7 ай бұрын
🖐️🖐️
@gladsilaa6078
@gladsilaa6078 7 ай бұрын
Waoooo tulio toka TikTok kuja kuutafuta tujuane❤🎉
@mayalajbubele9696
@mayalajbubele9696 7 ай бұрын
Tunakoment wapi
@sayunimrocky8445
@sayunimrocky8445 5 ай бұрын
Tupo
@MARTHAKAZEMBE-q4o
@MARTHAKAZEMBE-q4o 16 күн бұрын
Tulitoka tiktok. Kuutafuta huu wimbo tupo hapa lovely
@lugembe1057
@lugembe1057 7 ай бұрын
It is a great song. Mwanzoni wimbo unaanza kama siyo mzuri hivi, lakini mwishoni hasa kwenye kiitikio unavuta na kuvuta hisia sana. Shortly mmenigusa sana
@jacksonayubu7309
@jacksonayubu7309 7 ай бұрын
Hakika mnaweza kumtoa mtu kwenye zambi kupitia nyimbo zenu mbalikiwe sana❤
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Jina la BWANA libarikiwe na sifa zimrudie yeye Mungu wetu.
@eunicembatia6804
@eunicembatia6804 7 ай бұрын
At the moment I have a fracture on my right leg but I can't stop dancing to this beautiful song. I know ELOHIM is healing me in Jesus name. Oh God may you fight all my battles. AMEN
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 ай бұрын
Amen. Jehova Rapha is healing you in Jesus's name
@elizabethyusuph9221
@elizabethyusuph9221 6 ай бұрын
Receive the healing in Jesus name 🙏
@fabricendayikorere8832
@fabricendayikorere8832 7 ай бұрын
Murakoze cane! Imana ibahezagire! Listening from Burundi!
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Be blessed
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 7 ай бұрын
Urakoze chane na wewe 🙏
@fabricendayikorere8832
@fabricendayikorere8832 7 ай бұрын
@@victoriarichard8761 Welcome!
@fabricendayikorere8832
@fabricendayikorere8832 7 ай бұрын
@@rachelsenni8919 Amen,you too!
@davidfrank1644
@davidfrank1644 7 ай бұрын
Imagine in the same church there is #Neema gospel and CVC 🔥🔥🔥🔥
@neemakitula3004
@neemakitula3004 7 ай бұрын
Asante sana huu wimbo kwa kweli unaponya majeraha yote asante ELOHIM 🙏
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Hakika sissy.
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 7 ай бұрын
Ameen my Dada
@evalyari7408
@evalyari7408 14 күн бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@ballackntaliho2597
@ballackntaliho2597 7 ай бұрын
Du! Aise aliyepewa maono ya kutunga huu wimbo Mungu amubarikia sana, adi majilani wananishangaa et mtu gani wiki nzima unapiga wimbo mmoja, nabaki natabasamu tu ukuu wa Mungu kwa yale ambayo anatuepusha nayo.
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amina. Jina la BWANA libarikiwe. Barikiwa mtumishi.
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@nestoryntogwa805
@nestoryntogwa805 7 ай бұрын
Endelea kumtukuza Elohim kwa anayoyatenda kwako.
@user-vg6me9vk7y
@user-vg6me9vk7y 7 ай бұрын
Kwakweli majirani waache tu washangae hawajui vyenye MUNGU anatupiganiaga
@happinessngusa5073
@happinessngusa5073 7 ай бұрын
Ogopa ni hatari MUNGU wangu awabariki sanaaa hii kitu ya moto sanaaaa ❤ kwenye mkesha lazma niipige hii❤
@user-fk3wz5mi7g
@user-fk3wz5mi7g 7 ай бұрын
Hakika Wewe Baba Ni Elohim, Umetushika mkono❤
@faithngangi6865
@faithngangi6865 7 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana wasisimua moyo wangu🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@victoriansolo3842
@victoriansolo3842 7 ай бұрын
Amina
@stephenmumo194
@stephenmumo194 7 ай бұрын
Gusa raised me when I was 7 years old.....I'm 22 nasema asante kwa Mwenyezi mbarikiwe zaidi walezi wangu
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Mungu aendelee kukuinua
@stephenmumo194
@stephenmumo194 7 ай бұрын
@@rachelsenni8919 amina Rachel. Amejibu maombi na huu wimbo wa walezi wangu naomba uwe wako🙏
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
Kila mmoja wetu akiri kwa kinywa chake kwamba kama si Bwana tusingefika hapa, kisha Sifa na utukufu zimrudie Yeye.
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Hakika kama si BWANA tusingekua hapa. Sifa, heshima na utukufu vimrudie BWANA.
@joellumala3206
@joellumala3206 7 ай бұрын
Hakika ni kwa mkono wa Bwana
@user-xh2wz8ny6y
@user-xh2wz8ny6y 7 ай бұрын
mnavyoimba raha sana na mnanifanya niikumbuke ukombozi kkkt msasani .,nimebarikiwa na huduma yenu watumishi wa MUNGU ,MUNGU atukuzwe
@ezekielmasaga258
@ezekielmasaga258 7 ай бұрын
Amen mtumishi
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@mayalajbubele9696
@mayalajbubele9696 7 ай бұрын
Amen
@joellumala3206
@joellumala3206 7 ай бұрын
Amen
@IssacWambua
@IssacWambua 7 ай бұрын
Aic Changombe vijana choir mnanibari tangu Guza,pazia ya hekalu hadi Elohim from Machakos county Kenya
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Be blessed for following us, we believe you're praying for us
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Glory be to God. Before Gusa kuna Vunja.
@meshackwilson1909
@meshackwilson1909 7 ай бұрын
Wimbo unaimbika kila wakati unasinzia zako ndotoni upo nao tu. ELOHIM
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
Yaaani Dah
@unclesammykaniki1184
@unclesammykaniki1184 7 ай бұрын
#Mimi huu wimbo ndo chakula changu chai ya asubuhi,'#Chakula cha mchana,na #Usiku yani hupati njaaa kabisa maana ni #Mungu Ndo anayetenda kwakila Jambo Nilazima Umshukuru ELOHIM KWAKUSEMA ASANTE.
@mwanandohele
@mwanandohele 7 ай бұрын
A BIG AMEN
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@gloriaphilip7573
@gloriaphilip7573 4 күн бұрын
Tusiochoka kusikiza huu wimbo tujuaneee
@user-fz4gg1qn6f
@user-fz4gg1qn6f 7 ай бұрын
Jaman waambieni club hakuna issue njoon kwa yesu Kuna Raha km hizi❤❤
@aicdaressalaamchoir
@aicdaressalaamchoir 7 ай бұрын
Congrats alot servants of Jesus Christ..#ELOHIM
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Asanteni sana watumishi wenzetu shambani mwa BWANA
@chenge_ernest
@chenge_ernest 7 ай бұрын
Mimi na familia yangu tunabarikiwa sana na nyimbo zetu. Mzidi kubarikiwa zaidi na zaidi.
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen mtumishi wa BWANA. Sifa, heshima na utukufu kwa BWANA.
@PendoMbise-rl3tf
@PendoMbise-rl3tf 7 ай бұрын
Huu wimbo unaweza kukutoa mahali kukuweka mahal pengine
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Hakika, tuendelee kuuombea nguvu ya ki Mungu ili watu wake wavushwe walipo kwa utukufu wake tu.
@sayunimrocky8445
@sayunimrocky8445 4 ай бұрын
Huu wimbo ni kama wameniimbia mimi na wanangu, yani kila nikisikiliza najikuta namwaga machozi kwa shukrani zangu kwa Mungu. Mkono wa Mungu umetubeba
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 4 ай бұрын
Amen 🙏🏾 Utukufu kwa Mungu
@lucymukhavi1405
@lucymukhavi1405 7 ай бұрын
My favourite choir CVC.I saw the short clip of this song as you were practicing it. Be blessed brethren. Always your biggest supporter . I'm blessed.Mabaya yaliinuka lakini hayakutupa,ulitutetea,ulitushindia Asante Elohim wewe ni Mungu unayetenda❤. 🇺🇸 🇺🇸
@mayalajbubele9696
@mayalajbubele9696 7 ай бұрын
Now you have it all
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Continue praying for us.
@zipporahzippie9424
@zipporahzippie9424 3 күн бұрын
Wale wa Tiktok tuko wapi🎉🎉 this song been popping on my timeline
@joseymhina5025
@joseymhina5025 7 ай бұрын
Libarikiwe jina la Bwana Yesu. Aliyetunga huu wimbo, Md nawasalimiaa katika jina la Bwana Yesu, mmebarikiwa.
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
@joseymhina5025
@joseymhina5025 7 ай бұрын
@@rachelsenni8919 kuna powefull message.
@user-zu3wh8qj1q
@user-zu3wh8qj1q 7 ай бұрын
Asante ELOHIM Huu ni wimbo Bora wa kufungia Mwaka wimbo umeimbwa haushoshi kusiliza jamani miziki imepigwa aisee MUNGU aendelee kuwabariki sanaa yani nyie nawapenda hadi naumwa ❤❤🔥🔥
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Barikiwa mtumishi, tuombee
@user-vl7sr5jt6d
@user-vl7sr5jt6d 7 ай бұрын
Winbo umejaa upako wa Mungu na kibali, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@amoslilande8855
@amoslilande8855 7 ай бұрын
The best song ever it can bring heaven down weee
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Glory be to God.
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 7 ай бұрын
Wimbo mzito, ujumbe mzito, daraja kwa mhitaji. Hongera nyingi kwenu @Aic_Chang'ombe
@user-lg2zw2jx5v
@user-lg2zw2jx5v 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤waoooooooh hii ndo maan ya kwaya kubwaaa 🎉🎉🎉hakiika mmeonesha ukubwa wenu Mungu awabarik sana .......kazi nzuri sana aiseee nakosa maneno ya kusema ....ila Mungu awabariki sana
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Endelea kutuombea.
@vedamusa8033
@vedamusa8033 7 ай бұрын
AICT-vijana choir chang'ombe,tangu enzi za Gusa mpaka leo Mungu anawatumia kuhudumu na kufanya kazi yake kwa njia ya uimbaji mnaendelea kuwa choir kwangu mm kwa East Africa mnaongoza.Elohim amekuja vzr sana ila hatamfikia"Nafsi yangu imechoka sana."
@cosmaspeter9273
@cosmaspeter9273 7 ай бұрын
Hakika ni Elohim CVC Mungu awabariki huduma izidi kusomga mbele.. hii imeenda
@nancybukhaya5067
@nancybukhaya5067 5 ай бұрын
The repeat on the chorus!!!if you know what God has done in your life,nishukurani tu
@nestoryntogwa805
@nestoryntogwa805 7 ай бұрын
Wimbo wangu wa muda wote,namshukuru Mungu kila mara nahaya ndiyo maneno yangu
@joellumala3206
@joellumala3206 7 ай бұрын
Hata usiku wa Manane tupo tu 01:03am Asante Elohim!
@user-bz4kf7hr6q
@user-bz4kf7hr6q 7 ай бұрын
Amen
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Nikitazama nilikopita mwaka jana!!! Hakika ELOHIM anastahili kupwewa shukrani kwa wema wake kwetu.
@EmmanuelyThomas
@EmmanuelyThomas 7 ай бұрын
Amen🙏
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
Amen
@user-bz4kf7hr6q
@user-bz4kf7hr6q 7 ай бұрын
Amina mama
@andersonmsumanje143
@andersonmsumanje143 7 ай бұрын
Asante ELOHIM, Wimbo wa kufunga mwaka na kufungua mwaka
@dannymkogoti961
@dannymkogoti961 7 ай бұрын
Sijui kwanini natokwa na machozi😢 asante ELOHIM
@joellumala3206
@joellumala3206 7 ай бұрын
Elohim ni Bwana na Anatenda
@joellumala3206
@joellumala3206 7 ай бұрын
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu 🎉, uwe wenye Baraka tele kwa Jina La Yesu Kristo.,#Elohim😊
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Na iwe kwako.
@malucharles7964
@malucharles7964 7 ай бұрын
Production Niko safi sana nimependa stage arrangements nimependa digital stage plus lights set ups lan wange rotate light nyeupe kuwa main light ikirotare more ili kupunguza darkness kwa mbali,nyimbo nzuri mtunzi kafanya kweli.dressing safi,color za nguo safi ila nilitamani wide shots zingepungua then medium shots zingeongezwa,ningetamani medium shots za watoto hapo mbele kuimpress watoto wetu kupenda kuimba pia. otherwise 90% excellent
@sulemanmuyomba3524
@sulemanmuyomba3524 7 ай бұрын
Kazi imebamba hatari
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 7 ай бұрын
Shukran @Charles
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@nestoryntogwa805
@nestoryntogwa805 4 ай бұрын
Asante kwa ushauri mkuu,umechukuliwa
@RanjaMistari
@RanjaMistari 7 ай бұрын
Last day of 2023 and I'm jumping into the new year with this song 🙏🏿
@elizabethyusuph9221
@elizabethyusuph9221 7 ай бұрын
Hallelujah
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@lindajohn8236
@lindajohn8236 6 ай бұрын
Iam in love with the chorus of this blessed song oohh..be blessed🙏🙏
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 ай бұрын
Amen. Glory and honour to God
@vickyshoo7256
@vickyshoo7256 Ай бұрын
My engagement, sendoff and wedding song 💕💃🙏
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 7 ай бұрын
ELOHIM Ni siku nyingine tena Yesu ni mwema Kwetu.
@EmmanuelyThomas
@EmmanuelyThomas 7 ай бұрын
Sifa na utukufu ni kwa Bwana 🙏
@jacksonkapongo6193
@jacksonkapongo6193 7 ай бұрын
Wimbo mzuri wa kumtukuza Mungu,kwa kutulinda kwa yote yaliyopita nyuma. Mungu atukuzwe.
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 7 ай бұрын
Usiku na ELOHIM
@samsonbaptistdrummer607
@samsonbaptistdrummer607 7 ай бұрын
Nasema hivi gonga like na subscribe kabisaa kama umeipenda ELOHIM❤❤❤❤❤
@josephwayesu338
@josephwayesu338 7 ай бұрын
Nimetazama mala kumi.nawapenda sana cvc toka niko kijana mdogo.gusa na nyimbo zingine
@MagrethMagulu-pj3cm
@MagrethMagulu-pj3cm 7 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu,endelea kubarikiwa tu❤
@EmmanuelyThomas
@EmmanuelyThomas 7 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi🙏
@josephwayesu338
@josephwayesu338 7 ай бұрын
Amen amen tubarikiwe sote
@jonathanmremi4345
@jonathanmremi4345 6 ай бұрын
Wimho wa Mwaka Hongereni sana such a sweet song
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 ай бұрын
Amen. Glory be to God.
@user-jq6su9np3o
@user-jq6su9np3o 7 ай бұрын
Hakika mnatupa faraja ya mioyo yetu wimbo unabariki unatia nguvu yaani ninyi hamjawahi kukosea Mungu wa mbinguni azidi kuwatumia barikiweni sana
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Tunanyenyekea na kushuka chini ili Mungu wetu atukuzwe na kuinuliwa juu.
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 7 ай бұрын
Amen
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
Ahsante Elohim, Mungu utusaidiae
@user-fk3wz5mi7g
@user-fk3wz5mi7g 7 ай бұрын
Tunaomba Uendelee Kutembea nasi Ee Bwana. Asante Elohimu
@edwardmguye2483
@edwardmguye2483 Ай бұрын
Mwanzoni huwez kuelewa huu wimbo ila utamu wake unazidi kunoga zaidi pale unapo endelea kuusikiliza
@nestoryntogwa805
@nestoryntogwa805 7 ай бұрын
Yaani nikipanda daladala nikafika salama,bado nasema,"ASANTE ELOHIM,WEWE NI MUNGU UNAYE TENDA".
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
Amen
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
Hakika atuteteaye ni MUNGU tu, Mengi mabaya yanainuka kwetu lakini MUNGU anatushindia
@ESTERHAMIS-is9kl
@ESTERHAMIS-is9kl 7 ай бұрын
Nikikunbuka january ilipo anza hata leo decenber Mungu ametusaidia Asante Elohim
@irenemgaya328
@irenemgaya328 Ай бұрын
The most powerful song.... Yaani hii nyimbo hata ukija kusikiliza baada ya miaka 10 bado itakuwa na upako wenye nguvu ❤❤❤❤🎉🎉🎉 ASANTE ELOHIM 🙏
@user-rb6hx1od5c
@user-rb6hx1od5c 7 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema wakati wote hapa nilipo ni kwa nguvu zako❤❤
@Charis_Nyasha
@Charis_Nyasha 7 ай бұрын
I love seeing real heart of worship ,this is priceless . I am smiling ❤❤. Love all the way from Zimbabwe 🇿🇼
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Glory be to God.
@estinsosu345
@estinsosu345 7 ай бұрын
I really love the song even I don't understand the language. ELOHIM.
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Just check and follow the words passing as you play the video, you may get something.
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 7 ай бұрын
ELOHIM inaendelea ndani ya kikao
@Protas_joseph1
@Protas_joseph1 7 ай бұрын
Elohim, Mkono wako umetubeba
@sarahyaro4753
@sarahyaro4753 6 ай бұрын
Hawa watu wa Mungu wamebarikiwa, hongera mtunzi, mwalimu, wapiga vyombo, music$sound! Waimbaji, utukufu kwa Mungu
@mayalajames370
@mayalajames370 6 ай бұрын
Hongera sana kwako kwa kuwa sehemu ya baraka hii
@sonnozac4189
@sonnozac4189 7 ай бұрын
Best song..song of the year! Mungu awabariki na awatetee..
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 7 ай бұрын
Amina. Yesu ni Mwema
@zakhiemhayise613
@zakhiemhayise613 5 ай бұрын
I don’t understand the language but the spirit of lord make it simple for me to understand and love the song , may the lord increase you more n more
@eliamahuna832
@eliamahuna832 5 ай бұрын
that is how holy spirit ministered to his people even when you don't understand the language
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 5 ай бұрын
Amen. It is a thanks giving song. We're thankful to God for being with us from the beginning to where we are now. His hand protected us against all Evils
@PeninaWilson-gd4rx
@PeninaWilson-gd4rx 7 ай бұрын
Mabaya yaliinuka lakini ulitutetea umekuwa nasi Mungu 2023 endelea kuwa nasi tena Bwana 2024🙏, mbarikiwe❤
@carentunu7032
@carentunu7032 7 ай бұрын
I have loved this choir over 2 decades nakumbuka tukicheza nyimbo zao kabisa my mom had those Caset ....Thank you Eloim
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 7 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@AICTChangombeChoir_
@AICTChangombeChoir_ 7 ай бұрын
We love you too
@joellumala3206
@joellumala3206 7 ай бұрын
Amen, what a testimony
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Glory be to God. Be blessed for spreading the word of God with us by listening and sharing with your loved ones
@vibianjepkoech9935
@vibianjepkoech9935 6 ай бұрын
Wow I love Aic changombe....it had been a while congratulations.God bless you more....Much Much love from Kenya.
@EmmanuelyThomas
@EmmanuelyThomas 6 ай бұрын
Thank you so much
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 ай бұрын
Amen. Thanks, continue praying for us
@nancygidion6965
@nancygidion6965 7 ай бұрын
Nyimbo kali sana imenitoa TikTok fasta kuifata umu jamaa hawajawai kosea 🥰🥰🙋‍♀️💞
@EmmanuelyThomas
@EmmanuelyThomas 7 ай бұрын
Amen🙏
@marthathomas1478
@marthathomas1478 7 ай бұрын
Asee yaan tunaiangalia Mara mbili mbili mungu azidi kuwatumia sawasawa na mapenzi yake 🙏🏿🙌🔥🔥❤️
@user-kd8ot4ec4z
@user-kd8ot4ec4z 7 ай бұрын
What a chorus 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@daynessmollel9962
@daynessmollel9962 7 ай бұрын
Nawapenda Mungu azidi kuwatumia💞💯🙏
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 7 ай бұрын
Amina Yesu azidi kuinuliwa
@sammKE
@sammKE 7 ай бұрын
Wimbo mzuri wa kufungua 2024 🎉 Shukrani kwa Mungu kwa kuwa nasi kila wakati, hallelujah
@SamsonJohn-hw1jq
@SamsonJohn-hw1jq 7 ай бұрын
Mabaya yaliinuka lkn hayakunipata. aiseeeee nyie watumishi neema ya Mungu isiwapungukie jamani
@EmmanuelyThomas
@EmmanuelyThomas 7 ай бұрын
Amen
@elizabethkhisa3058
@elizabethkhisa3058 6 ай бұрын
✋I have listened to the song more like 1000times
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 ай бұрын
Be blessed, let God be glorified
@elizabethyusuph9221
@elizabethyusuph9221 6 ай бұрын
God bless you Liz
@maryaloyce4913
@maryaloyce4913 7 ай бұрын
Elohim haichoshi kusikiliza jamani,wimbo mzuri sana.
@user-er8ps7ne4z
@user-er8ps7ne4z 7 ай бұрын
Nahisi kutokwa na machozi, kweli hapa nilipo ni kwa nguvu za mungu!!!! Ahsante ELOHIM
@jojouhuru6515
@jojouhuru6515 7 ай бұрын
3:04 hits my soul differently ...Tumetembea nawe toka mwanzo upo pamoja nasi, hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim. Ulitangulia mbele bila wewe tusingeweza,hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim.×2 Najua Elohim umetangulia 2024..tengeneza njia ulivyowatendea wanaisraeli katika bahari ya shamu. ASANTE ELOHIM
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@philis982
@philis982 7 ай бұрын
Amen
@williummaroseck7366
@williummaroseck7366 7 ай бұрын
Keep it up changombe working the house of Lord ,continue receiving the blessing from the Jesus christ
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
@@williummaroseck7366 amen, glory be to God
@berhamyegela1787
@berhamyegela1787 7 ай бұрын
Utukufu KWA Bwana kazi nzur sanaaaa
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@smilemediatz
@smilemediatz 7 ай бұрын
Kunakitu nimejifunza kupitia cvc❤ 1@ ni watu wanao jituma katika huduma wanakubari mabadiriko kwa haraka 2@ namba imeongezeka na huduma imekuwa kubwaa inavutia sana 3@ nyimbo zao zinafundisha na kuelimisha na zinagusa sehemu zote Nina mengi ya kusema ila naishia hapo Mungu wa mbinguni azidi kuwabariki nyinyi ni mfano wa kuigwa🙌🙏
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 7 ай бұрын
Ameen
@elizabethyusuph9221
@elizabethyusuph9221 7 ай бұрын
Amen mpendwa, endelea kutuombea
@SulemaniKasenga
@SulemaniKasenga 7 ай бұрын
Amen
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amina. Tunazidi kunyenyekea ili Mungu atukuzwe
@zachariamabina2923
@zachariamabina2923 7 ай бұрын
Mmejitahid kiac chake ... nasubili moyo jamani ule wimbooo dahh😢😢
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Kazi ni ya Mungu nasi katika hali zote tunampa sifa, heshima na utukufu yeye tu.
@jacksonkalaki2402
@jacksonkalaki2402 7 ай бұрын
Moyo ni hatar lait ungekuwwpo kwenye live recording ungesimulia
@barakasanga9436
@barakasanga9436 7 ай бұрын
Tangu enzi za gusa vunja na nyingine nyingi hampoi barikiweni sana
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Sifa kwa BWANA
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen
@RobaiKisiaKadanya
@RobaiKisiaKadanya 6 ай бұрын
I keep coming back .....totally blessed
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 6 ай бұрын
Amen. Glory be to God
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 7 ай бұрын
My Team❤
@user-ox8mf8qk1e
@user-ox8mf8qk1e 7 ай бұрын
Nawapenda sana.karibuni Singida mtupe Siri ya mafanikio yenu
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Tuombeane
@johnmichaeljr5682
@johnmichaeljr5682 7 ай бұрын
Kazii nzuri Sanaa Ndugu zangu Miziki imeliaa mwalim wenu Elisher Apewe maua yake🎉🎉
@nestoryntogwa805
@nestoryntogwa805 7 ай бұрын
Asante Elohim nimetoka kwenda kwenye shughuli zangu nakurudi salama
@ezekielmasaga258
@ezekielmasaga258 7 ай бұрын
Asante ELOHIM
@moochicharles3294
@moochicharles3294 7 ай бұрын
Thank you so much for reminding us that this far we have come coz of our God. Welcome to Nyamira County, Kenya.
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Surely we will be there one day once again by God's grace
@yusuphdeogratius1036
@yusuphdeogratius1036 7 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu
@unclesammykaniki1184
@unclesammykaniki1184 7 ай бұрын
Hayupo na hatakiwepo..Sifa Zote tunapmatia Yeye aliye mbele yetu..Asante Elohim
@user-bk3ir8ie9e
@user-bk3ir8ie9e 7 ай бұрын
Aki wimbo unabariki Sana, hongereni na Mungu awabariki sana
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen mtumishi, nanyi mbarikiwe kwa kutuombea. We value your support.
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 7 ай бұрын
Kumekuchaaa na Elohim
@dicksonsenni9109
@dicksonsenni9109 7 ай бұрын
Niko hosptal na ELOHIM.
@annaelias1250
@annaelias1250 7 ай бұрын
Hallelujah 👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥wimbo mzuri Sanaa, mbarikiwe watumishi wa mwokozi
@BerylAyuma
@BerylAyuma 7 ай бұрын
Imekuwa national anthem kwa masikio yangu🎉
@glorymyega
@glorymyega 7 ай бұрын
Hakika kama ilivyokuwa kwenye usiku wa manane
@rachelsenni8919
@rachelsenni8919 7 ай бұрын
Amen. Glory be to God.
@code.africa
@code.africa 7 ай бұрын
Jamani tunaomba no ya Account tutume sadaka.
@ruthmagulu4896
@ruthmagulu4896 7 ай бұрын
Oooh Barikiwa shem tutakutumia
@victoriansolo3842
@victoriansolo3842 7 ай бұрын
Mungu akubariki kwa sadaka yako
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Zoravo - KILA ULIMI  (Official Live Video)
13:02
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 283 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 3,5 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 1,2 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 14 МЛН
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  -  MSIKILIZE ROHO   (Official Live Video)
9:05
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 51 М.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 358 М.
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MOYO (Official Live Video)
10:08
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 351 М.
Agape Gospel Band - Niseme Nini Baba (Official Music Video)
14:17
Agape Gospel Band
Рет қаралды 662 М.
Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship
11:34
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 997 М.
PAUL CLEMENT - SHUKRANI (OFFICIAL LIVE RECORDING VIDEO) SKIZA - 9860830
7:29
Paul Clement Official
Рет қаралды 1,8 МЛН
AICT Chang’ombe Choir - Saa ya Mwisho (Official Music Video)
6:32
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 266 М.
Neema Gospel Choir - Bado Ninakuamini (Live Music Video)
11:27
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 297 М.
Elia Mtishibi Ft Zoravo - Wanangoja (Official Live Video)
11:47
Minister Elia Mtishibi
Рет қаралды 183 М.
BYTANAT - ҚЫЗҒАЛДАҒЫМ
2:24
BYTANAT
Рет қаралды 1,4 МЛН
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 4,5 МЛН
Люся Чеботина - ЗА БЫВШЕГО (Премьера Клипа 2024)
3:09
ЛЮСЯ ЧЕБОТИНА
Рет қаралды 2,5 МЛН
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 989 М.
LISA - NEW WOMAN feat. Rosalía (Official Music Video)
3:12
LLOUD Official
Рет қаралды 28 МЛН