Tazama video upate kufahamu aina mbalimbali za maembe yafaayo kibiashara. Karibu Frida Homestead kwa miche bora ya matunda ya kisasa Tunapatikana kwa number ya whatsup +255627457289, email: fridahomestead@gmail.com
Пікірлер: 4
@JosephMushi2 жыл бұрын
Hongera sana dada
@fridahomestead68902 жыл бұрын
Amina Kaka🙏🙏🙏
@frolanyamete64382 жыл бұрын
Asante Dr kwa ufafanuzi mzuri juu ya matunda hayo.. Je kwa sisi tuliopanda miche ya maembe ya kisasa maembe tutakayo vuna yanakuwa na utofauti gani na hayo uliotuelezea katika Radha na kibiashara yakoje? Na je Yana majina?