+
9:24
Жыл бұрын
MBUZI AU KONDOO???
10:24
Жыл бұрын
Пікірлер
@saidmussongo1527
@saidmussongo1527 Күн бұрын
kwani huwezi kukausha na kutwanga kisha ukatumia kwenye juice
@saidmussongo1527
@saidmussongo1527 Күн бұрын
jinsi ya kukaanga mbegu za mlonge kwa ajili ya nguvu za kiume
@saidmussongo1527
@saidmussongo1527 Күн бұрын
kwani huwezi kutengeneza juice ya mlonge pekee?
@AzizaNgonda
@AzizaNgonda 12 күн бұрын
Dada uko mkoa gani
@user-rj5zq1fq3v
@user-rj5zq1fq3v Ай бұрын
Mbegu ya sasso inapatikana wapi?Nahitaji
@RWATOMIXEDFARM-pd4lj
@RWATOMIXEDFARM-pd4lj Ай бұрын
Asante sana dada, Kuna watu wanauza elimu kama hii youtube lkn wewe umeitoa free kabisa. Mungu akubariki sana
@asheryobeid2459
@asheryobeid2459 Ай бұрын
Dada farida umbuzi unauzaje,beberu na jike, hongera sana
@user-rm7sf5zj2k
@user-rm7sf5zj2k Ай бұрын
Naam, ni mawazo tundufu na fikra mkruro na hakika nitakuwa na wewe sako kwa bako kila mdaharo!"
@user-jx4sx4qj5g
@user-jx4sx4qj5g 2 ай бұрын
Unapatikana wapi?
@shedracktanu207
@shedracktanu207 2 ай бұрын
Idadi ya vifaranga waheshimiwa.
@filipinadaud885
@filipinadaud885 2 ай бұрын
tunaombs no yako ya cm
@filipinadaud885
@filipinadaud885 2 ай бұрын
pia hiyo lyisine hicho kipimo chake unapimia nini maana hujusema ni robo au kilo pia kuku hao wanakula kilo 52 hapo sijaelewa dada.ni kwa siku au wiki tafadhali
@filipinadaud885
@filipinadaud885 2 ай бұрын
hao ni chotara au?
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 2 ай бұрын
Hongera sana naomba uweke namba yako
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 2 ай бұрын
Je ni dawa ya kutibu huu ukimwi?
@AtulehemuMtivike
@AtulehemuMtivike 2 ай бұрын
Kuku wenu tunawatamani lakini tunajiuliza tunawapataje
@filipinadaud885
@filipinadaud885 3 ай бұрын
NAOMBA FORMULA YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU 100 CHOTARA WANAOTAGS
@rasmomsabaha6571
@rasmomsabaha6571 3 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri, naomba namba yako ili nikiwa na swali iwe rahisi kupata msaada.
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 3 ай бұрын
Asante naomba no yako
@Joylandfarms254
@Joylandfarms254 3 ай бұрын
Hello I am from Kenya and i love chickens, where can i get F1 Kuroiler breed that is reliable.
@Joylandfarms254
@Joylandfarms254 3 ай бұрын
Good Teaching indeed.
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 4 ай бұрын
Mazingira gani bora kufuga kuku kwa kuwaachia? Mjini au vijijini.
@jefftabar7212
@jefftabar7212 4 ай бұрын
Asante sana nataka kufuga kuko za mayayi kivyashara Nifundishe kutengeneza chakula cha vifaranga
@michaelkatabila4461
@michaelkatabila4461 4 ай бұрын
Thx madam
@michaelkatabila4461
@michaelkatabila4461 4 ай бұрын
Dr. Thx more kwa elimu unayo tupa by Katabila michael
@maxmillianmarwa5943
@maxmillianmarwa5943 4 ай бұрын
Asante sana,
@maxmillianmarwa5943
@maxmillianmarwa5943 4 ай бұрын
Asante sana
@ahmedsoudathman5088
@ahmedsoudathman5088 4 ай бұрын
Good job
@lupakisyomwambungu347
@lupakisyomwambungu347 4 ай бұрын
Je ni milonge mibichii
@nickson3473
@nickson3473 5 ай бұрын
sasa wewe ndo mbuzi au kuna mbuzi wengine?tunataka kuona mbuzi sio wewe clip yote😂😂
@DanielManyangu-sq9bt
@DanielManyangu-sq9bt 6 ай бұрын
Unaruhusiwa kutia sukar kweny iyo. chai ya mlonge ?
@martinamasagasi3213
@martinamasagasi3213 6 ай бұрын
Asante sn dada umenisaidia sn
@bosimanigoja.-jb2wl
@bosimanigoja.-jb2wl 7 ай бұрын
Nice
@hmedm8093
@hmedm8093 7 ай бұрын
Habari yako Dada, hii formula inawezatumika kwa broiler!?
@kokusimamtumbi3442
@kokusimamtumbi3442 7 ай бұрын
Na kuhusu magonjwa dr
@evakomba2389
@evakomba2389 7 ай бұрын
Kama sina asali naweza kutumia sukari?
@manchuse6980
@manchuse6980 8 ай бұрын
umeeleweka kwa uzur sana
@bahariaAboud
@bahariaAboud 8 ай бұрын
Nisaidieni namba yake
@bahariaAboud
@bahariaAboud 8 ай бұрын
Nisaidieni namba yake
@mengikibona1405
@mengikibona1405 8 ай бұрын
Asanta kwa ushauli
@user-fb6dh6sz2g
@user-fb6dh6sz2g 8 ай бұрын
Dada nashukuru sana kwa maelezo yaliyoshiba
@josephinemeena2501
@josephinemeena2501 8 ай бұрын
Mawasiliano yake nahitaji mbuzi na kondoo
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 8 ай бұрын
Asante, namba Yako ya mawasiliano tafadhali.
@saadharoub5200
@saadharoub5200 9 ай бұрын
Asante sanaa Kwa elimu ya ufugaji
@princekapocho2132
@princekapocho2132 9 ай бұрын
Asane sana ,
@user-xe8rf3uh4x
@user-xe8rf3uh4x 9 ай бұрын
Asante sana
@user-zh2gi4ld6c
@user-zh2gi4ld6c 9 ай бұрын
Nawataka cloiler Niko geita Please give us WhatsApp number
@johnnykrantz1658
@johnnykrantz1658 9 ай бұрын
Ahsante kwa mafunzo
@user-by2wx5iy1m
@user-by2wx5iy1m 10 ай бұрын
Nimeipenda
@vumiliarwiza
@vumiliarwiza 10 ай бұрын
Asante sana.umenipa maarifa kwa sehemu kubwa MUNGU akuzidishie maarifa zaidi na zaidi.