ALIKIBA afunguka MARIOO kunyimwa TUZO/AFOKA kuhusu UMILIKI wa CROWN MEDIA/MWAJAKU kutoa CROWN ASEMA.

  Рет қаралды 10,440

Rick Media

Rick Media

2 ай бұрын

_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZfaq channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Пікірлер: 14
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Yani siku ya uzinduz watu walidai ooh media ni ya kikwete sawa sasahivi kaja kikeke oooh media ya kikeke sasa hao wasafi nao walimtaka kikeke je kama kuajiliwa kikeke haiwezekani hao wasafi walimtaka ili wamuuzie wasafi media au ?
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 2 ай бұрын
Kiba muda wote anacheka cheka tu 😂😂😂
@Ganzaboke
@Ganzaboke 2 ай бұрын
Huwaga nacheka kwakuwa ni mutu mwenye kurizika alivyo na walivyo watu wengine
@allykalumba3414
@allykalumba3414 2 ай бұрын
King kibaaa...
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 2 ай бұрын
Halaaaa😂😂😂😂 mwijaku jmn mbona hujaiongea leo
@Pure-life255
@Pure-life255 2 ай бұрын
Ila harmonize
@Boazselemani1
@Boazselemani1 2 ай бұрын
King Kiba
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Anawacheka wanaoteseka yeye kuachia media wanahangaika tu
@nasibupascal1889
@nasibupascal1889 2 ай бұрын
Sema kiba ni tunu ya taifa😂😂
@TenoMlomba
@TenoMlomba 2 ай бұрын
Mfalme
@Officialmodel_001
@Officialmodel_001 2 ай бұрын
Halaaaaaa😅
@OmarBNAKHICLASSIC-xy6nb
@OmarBNAKHICLASSIC-xy6nb 2 ай бұрын
Naomba rais samia aingilie kati huyu bwana ataua media zote.jamaa kaingilia kati pambano la hassan na likafanyika je unadhan kuua ile ice cream itamchukua muda kwel?
@isayamsisika6255
@isayamsisika6255 2 ай бұрын
Kaingilia kivipi pambano la mwakinyo, nieleweshe mkuu.?
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Yani mmeanza kuonba crown media ifungiwe ? Mbona mapemasana?
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 23 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 10 МЛН
DIAMOND Afunguka ALIKIBA kutaka KUMUIBIA watangazaji wake
9:29
Rick Media
Рет қаралды 55 М.
#cat #shorts Rescue Adorable Kittens
0:50
Shohel Is Back
Рет қаралды 15 МЛН
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 4 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
0:54
火影忍者一家
Рет қаралды 19 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
0:12
Jojo Sim
Рет қаралды 14 МЛН