No video

DIAMOND Afunguka ALIKIBA kutaka KUMUIBIA watangazaji wake

  Рет қаралды 56,146

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZfaq channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Пікірлер: 191
@kichecheBurund
@kichecheBurund 2 ай бұрын
Leo ❤nisiku mbaya kwangu ivi kwanini amu ni support kwa like naomba like basi❤
@munisialpha6465
@munisialpha6465 2 ай бұрын
Njoo nikukande nikupe like
@MJEGEJEEE
@MJEGEJEEE 2 ай бұрын
YANI usiomuomba MUNGU unakuja hapa kuomba likes 😅😅😅😅😅😂😂
@richkaja3317
@richkaja3317 2 ай бұрын
Mond weye mtu wa watu bless sanaa
@MoneyKey247-fk4oy
@MoneyKey247-fk4oy 2 ай бұрын
Mbona mnaandika kitu cha uongoo sijaona kauli ya diamonds kumlaumu kiba acheni umbeya pumbavu zenu
@IssaAbushehe
@IssaAbushehe 2 ай бұрын
Uislam umempendeza maa shaa Allah ifike wakati autumikie in shaa Allah
@snipper4462
@snipper4462 2 ай бұрын
Big up Mondi
@gregoryndanu3541
@gregoryndanu3541 2 ай бұрын
Diamond Godfather wa mziki wa Bongo💪🏾
@user-jz6lm5yv4f
@user-jz6lm5yv4f 2 ай бұрын
Hongera sana baba levo
@careemdulla1629
@careemdulla1629 2 ай бұрын
Hongera Diamond kwa kuwasaport wasanii wenzako pia achana na watu wenye wivu wa maendeleo eti kwanini unamsaidia Babalevo huo ni wivu tuu ukiona mtu anasaidiwa ni anajuhudi
@user-ky2uh2jd4j
@user-ky2uh2jd4j 2 ай бұрын
Drp likes for simba and B levo
@alilalji1306
@alilalji1306 2 ай бұрын
Diva mnafik king akose watu wote amfate Diva Sura mbaya
@kabobajeanclaudenaftali6608
@kabobajeanclaudenaftali6608 2 ай бұрын
Mungu aendeyee kukulinda kk
@thethengomba355
@thethengomba355 2 ай бұрын
The last question is very MEDIOCRE, very CHILDISH
@erdekingtv9563
@erdekingtv9563 2 ай бұрын
Safi sana brother mondy umezaa watoto wengi kwenye maendeleo sijui harmo, vanny, mbosso, zuchu na sasa b levo ba
@user-eq8yl1ms5f
@user-eq8yl1ms5f 2 ай бұрын
Mwanaume kuombaomba like huo niushoga
@BenMahende
@BenMahende 2 ай бұрын
ACHA ushamba, no life bila support
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
Aaaaah wivu wa Nini ama n vile Ali kiba amepokelewa acha za ovyo braza
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 2 ай бұрын
Mtangazaji wa Millard ayo ameuliza swali zuri sanaa
@AbuyDullah
@AbuyDullah 2 ай бұрын
Kwanza tuanzee hapa Diva muongo hakutafutwa na crown ni kiki tu linatafuta nmna lisikike tu Lile li mwanamke Kuna watu kiba anawachkua na diva sio miungon mwao msidanganyike
@collinndabi1914
@collinndabi1914 2 ай бұрын
Sura haionesh furaha
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 2 ай бұрын
Unataka acheke cheke Sasa au
@user-nn9ds7uf2r
@user-nn9ds7uf2r 2 ай бұрын
Sure
@mkadinali_ent.
@mkadinali_ent. 2 ай бұрын
Rick media nanyi wangese tu ,title mnaandika hapa n utumbo tu
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 2 ай бұрын
Huyo mpuuzi Diva ataachaje kusema ilihali anatafuta kiki kwakua alitemwaga na Kiba tokea kitambo.. mpuuzi tu
@sajidseleman6641
@sajidseleman6641 2 ай бұрын
Good speach
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 2 ай бұрын
Wala crown aina shida nao awo wangewaita wasingesema
@sospetershijah5619
@sospetershijah5619 2 ай бұрын
Mbona Hans Raphael kaenda na alikuw wasaf? Achen ngonjera kila mtu anatafta riziki kw namna yake na kw njia yake anayoiona ni sahihi achen chuki wala mond hana shida yyte alishatangulia kweny hii biashara muda mref wala akuna tatzo ila sis mashabik ndio huwa tunaleta haya matabaka kw sabab ya chuki za kishabiki tu.
@ErickGadson-yg2xj
@ErickGadson-yg2xj 2 ай бұрын
Diamond Hi the Big smart
@reginawilliamvictor3020
@reginawilliamvictor3020 2 ай бұрын
Tunakubali simba
@DonMuyuya
@DonMuyuya 2 ай бұрын
Saidia kwanza baba yako
@abuuhamda6213
@abuuhamda6213 2 ай бұрын
Wazaz wake walifariki mzee kıla siku huwa anasema
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 2 ай бұрын
Baba yake yupi?
@ndizoshukuru6142
@ndizoshukuru6142 2 ай бұрын
Daaaah😂😂
@muniraahmed624
@muniraahmed624 2 ай бұрын
Huyu Jamaa snitch sanaaaaa 🎭
@user-ix1dj1oe1h
@user-ix1dj1oe1h 2 ай бұрын
Why?
@DMARVEL-qf5wy
@DMARVEL-qf5wy 2 ай бұрын
Baba levo hayo ndio maendeleo na sio kuwa chawa sio Dili mzee baba
@roychogo2329
@roychogo2329 2 ай бұрын
Njia aliyo chagua imemfanikisha😂
@tigejuma9865
@tigejuma9865 2 ай бұрын
N kma mondi Hana Raha...konde alimkunja uso moyo wake una vuja damu...kma bahati bukuku alivyosema😅😅
@user-gy9uf5wm1c
@user-gy9uf5wm1c 2 ай бұрын
Wasaf diva awamlipi vizur,toka tu nenda crown media ukapige mwingi Maana kule ni nyumbani
@shutheprincess4633
@shutheprincess4633 2 ай бұрын
Ila mchiz anatumia kigodoro😊😊
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 2 ай бұрын
Tafuta pesa harafu ikuzoee unatakata tuu
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 2 ай бұрын
Hyo pesa kaka umasikini ndo unafifisha mwili
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 2 ай бұрын
Diamond kuongea point sana !! Ila Babalevo liwache ku block watu mfanya Biashara hutakiwi kuwa na hasira
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 2 ай бұрын
Diamond anajua kuongea kinoma
@zaharanakim289
@zaharanakim289 2 ай бұрын
Tai Sasa lilivyo kaa
@JordanRichard-vq6zz
@JordanRichard-vq6zz 2 ай бұрын
Tai imekaa kichawa zaidi, uenda chawa wamo mle😹😹
@user-nn9ds7uf2r
@user-nn9ds7uf2r 2 ай бұрын
du!
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 2 ай бұрын
Zamani nilikuwa namuona ni mwana kumbe afadhali ya mwijaku kuliko huyu mondi
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 2 ай бұрын
Simba tunakukubali saana wote na family yangu
@Luckreadyog
@Luckreadyog 2 ай бұрын
Kila Mara Niki waona diamond na baba levo nakumbuka number one
@HasnaNassoro
@HasnaNassoro 2 ай бұрын
Msipende uchinganish diamond na Alikiba msipo wasema jaman mambo yenu ayaendi?ipo siku mtajibu ayo ,hapa ni dunian kumbuka kesho,apa wakilumban mnafaid nini au mta faid kipi
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 2 ай бұрын
Bi levo baaa
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 2 ай бұрын
Godfather
@starfireog8695
@starfireog8695 2 ай бұрын
Naombeni sapoti ata Mimi naomba nimeaachia wimbo wangu mpyaa unaitw wewe kama mtataka kusikiliza starfire wewe
@user-rp5fe7ie7t
@user-rp5fe7ie7t 2 ай бұрын
jamaa linaroho mbaya unavo msikiliza kama vile mzuri vile
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 2 ай бұрын
Roho mbaya yake Diamond ni ipi kipi kibaya aliwahi kukufanyia au kufanyia familia Yako ?????
@agnesmwakilingo5804
@agnesmwakilingo5804 2 ай бұрын
Yaani binadamu acheni mond anapambana sana kuisaka pesa.Hana ubaya nyie tu na Roho zenu.
@EspoirSamy-st5le
@EspoirSamy-st5le 2 ай бұрын
Zombi we 🎉
@benboyburundi2429
@benboyburundi2429 2 ай бұрын
baba levo ndagukund kutoka Burundi big love G gong like kama unamkubali baba levo😂
@BenMahende
@BenMahende 2 ай бұрын
Mondi Nakukubali kuliko maelezo. Endelea kuwa na na moyo huo huo
@POINT_TV_
@POINT_TV_ 2 ай бұрын
Ushukuriwe wewe diamond
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 2 ай бұрын
Hakunaga chuki kwenye mafanikio
@fadhilially7357
@fadhilially7357 2 ай бұрын
MBONA MADANCER HAWANA MAISHA NA UWASAIDII
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 2 ай бұрын
😊wivu utakupa ulcers 😂😂
@Ambaryeh
@Ambaryeh 2 ай бұрын
hapo sasa
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 2 ай бұрын
Fact kama yule iyobo du Ata gari Kali sijui kama anayoo😂😂😂
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 ай бұрын
Kuwasaidia kivipi wakati wanalipwa? Kwakua kukusaidia ni kukuajiri baada ya hapo tumia mshahara wako kukuza maisha yako
@shabaniismaily1470
@shabaniismaily1470 2 ай бұрын
Kwan ww ukilipwaa mshahara na boss wako unategemea aje kukujengea aje kukufungulia biashara hebu achaa ujinga
@mstarabubeats2165
@mstarabubeats2165 2 ай бұрын
KUSAIDIA NINI HAPO NDO UNAPOJISAHAU.FANYENI BIASHARA TANGU LINI UKASAIDIA MTU WEWE ROHO YAKO YA KOROSHO UMEMUUA MAVOKO A.K.A KING OF BONGO FLAVER
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 2 ай бұрын
Kubwa jinga linachekelea kama zombi
@user-nn9ds7uf2r
@user-nn9ds7uf2r 2 ай бұрын
hahahahaha
@waltermfikwa4361
@waltermfikwa4361 2 ай бұрын
Kwan hv mkiweka tu bila kuandika kuhusu Alikiba hamna watakaotazama!? Mavi kweli nyieee
@user-xs3wu8ej7t
@user-xs3wu8ej7t 2 ай бұрын
Wewe ambaye sio mnafiki umefanya nn mzee fanya mambo Yako mzee
@BIGSTAROGTZ
@BIGSTAROGTZ 2 ай бұрын
@reganndossi1833
@reganndossi1833 2 ай бұрын
Drop like hapa
@user-nn9ds7uf2r
@user-nn9ds7uf2r 2 ай бұрын
Usije kusema umeibiwa
@NelbatKasekwa
@NelbatKasekwa 2 ай бұрын
Ulitaka afanye nini diamond I amewabeba wasanii wamekiwa wakubwa wewe unasema mnafiki wewe umewabeba wangapi acheni chuki
@gwidjiqshabani2082
@gwidjiqshabani2082 2 ай бұрын
HARMONIZE 🐘 AKIFUNGUA MEDIA BONGO SIKU HIYO HIYO NTAHAMA😂 MAANA MEDIA ZINAKUA ZINAMILIKIWA NA WASENGE. KONDE GANG HAKUNA SHOBO.
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
We achana na uyo chawa nenda kawanunulie waimbaji wako maroboti mahana viws zao changamoto 😢😢😢😢😢
@piusmwakyembe4545
@piusmwakyembe4545 2 ай бұрын
Nawe kamnunulie mkeo kama unaona rahis
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
@@piusmwakyembe4545 haaaaaaaaaa
@kizdady2544
@kizdady2544 2 ай бұрын
@@piusmwakyembe4545ata suruwali ya ndani hawezi mnunulia 😅
@solomonsamuel3584
@solomonsamuel3584 2 ай бұрын
Kamununulie mkeo kigodoro kwanza make na yeye nyuma hapaonekani
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l 2 ай бұрын
Simba
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 2 ай бұрын
Linafiki sana hili jamaa, linajifanya linasapot watu lakini ndio linaloongoza kwa kuangusha watu. Hakuna msanii aliyewai kutokea tanzania hii aliyewafanyia fitina wenzie kama Diamond.
@kizdady2544
@kizdady2544 2 ай бұрын
Wacha umalaya wewe kipofu wa maisha 😅
@user-wv1ls4oh4l
@user-wv1ls4oh4l 2 ай бұрын
Ujakosea uyu kama chui tu akicheka ndioamekasilika
@user-by9cu9to1y
@user-by9cu9to1y 2 ай бұрын
Liliangusha Mamako, sivyo?pumbavu zako
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l 2 ай бұрын
Mjomb ako ww kakup nn?ach kuongea kam mwanmke
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 2 ай бұрын
MASIKINI AKILI ZETU BANA 😂😂😂
@BekaJoo
@BekaJoo 2 ай бұрын
Kigoma moja hyo😅
@BernandoPrudent
@BernandoPrudent 2 ай бұрын
Simba mina kukumbali sana
@Makokola
@Makokola 2 ай бұрын
Baba levo mm shabiki yako nakupongeza naomba niwe store keeper was ofisini kwako kaka
@NkusiFred
@NkusiFred 2 ай бұрын
Diamond nasibu ikija kwenye suala la kifikra hapa namutii hususan kimuziki WA bongo na, taalabu
@-thegreat-zawadimmasa307
@-thegreat-zawadimmasa307 2 ай бұрын
Ongera Simba
@alilalji1306
@alilalji1306 2 ай бұрын
Baba levo amekuwa
@mkadinali_ent.
@mkadinali_ent. 2 ай бұрын
Huyu mtangazaji wa mwisho n mshamba saaan unakosa kujiongeza diamond kwa alichokijbu mpaka baba levo anakusaidia wee nyooo nini😂😂😂
@user-xe8wi5ez4u
@user-xe8wi5ez4u 2 ай бұрын
Diamond ni mtu wakusapot watu
@GoodluckAnno
@GoodluckAnno 2 ай бұрын
Kaka apo umesema tumia ulicho nacho kupata usichonacho
@KhamisLilos
@KhamisLilos 2 ай бұрын
Na mpaka mutakunya mnao mchukia mtu kama huyu
@user-cj6fi4gy5f
@user-cj6fi4gy5f 2 ай бұрын
Huyu mkundu tu na ni shoga tu mchoyo ki midia cha ujinga 😂😂😂😂😂😂😂
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 ай бұрын
Saraphina kila siku anapigwa za uso maswali yake ya kijinga jinga 🤣🤣
@amirjuma8020
@amirjuma8020 2 ай бұрын
Ila huyu jamaa dah mbele ya camera huwa anajua sna kuzba watu macho lkn usiloljua n usku wakiza mwenyez ambariki b levo ba
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 2 ай бұрын
Ko we mungu ndo unajua mabaya yake hongera😅😅
@jamesmusonda1914
@jamesmusonda1914 2 ай бұрын
Baba Levo yuko royal sana kwa Diamond yani ni rafiki wa kweli siyo fake
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 13 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 27 МЛН
DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
5:58