ALIKIBA AMTAJA MMILIKI WA CROWN MEDIA, AWA MBOGO ASEMA " MIMI SIO MPUMBAVU MIMI NDO NIMEWALETEA"

  Рет қаралды 10,745

Bongo5

Bongo5

2 ай бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 52
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Washamba wanachotaka kiba awe mtu wa nnahelaa mimi tajirii nnanyumba agrei kariakoo ina ghorofa 4 crown FM ni yakwanguu hahaha ushamba ni mzigo yani mtu ili alizike inabidi isikie alikiba hana hata hero la maandazi ila furani anagari
@UwamuregeyeSamuel-rq7jz
@UwamuregeyeSamuel-rq7jz 2 ай бұрын
Saluti king kiba👑👑💖💖💖👏👏👍
@aliiseif3875
@aliiseif3875 2 ай бұрын
Alo uliza hili swali ndo anae sababisha watangazaji wadogo hawapati nafasi na ajira katika radio kubwa maana wanapelekwa na kiki
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 ай бұрын
Tell them 👏
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 2 ай бұрын
Kiba sio mshamba bana😂😂 mtoto wa town huyu hana ushamba wa pesa
@petersenteu7252
@petersenteu7252 2 ай бұрын
Only one king in EA
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 2 ай бұрын
The man 4life ❤❤❤
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 2 ай бұрын
Safi sana
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma 2 ай бұрын
Verry humble
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 2 ай бұрын
Km kumiliki medea siyo utajiri jaribu kuimiliki uone,usiongee vitu ambavyo haujui fuatilia kwanza,uache ujinga...!
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 2 ай бұрын
Nakukubali sanaa uko sawaaa
@HalimaNamangupa-xk7fb
@HalimaNamangupa-xk7fb 2 ай бұрын
King kibaa
@user-wn8ul7gp2b
@user-wn8ul7gp2b 2 ай бұрын
mwangu since day one❤
@AR-KHERRYKHERRYJR
@AR-KHERRYKHERRYJR 2 ай бұрын
Anaga misifaaa😘
@SaidWasaki-iq3qd
@SaidWasaki-iq3qd 2 ай бұрын
🙌🙌
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 25 күн бұрын
Mungu ndyo kila kitu mr
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 ай бұрын
Rais WA Crown 👑na king WA bongo fleva yaan hata kuongea kipesa pesa tu kitajiri Tajiri ❤😅
@ashrafrushaka2358
@ashrafrushaka2358 2 ай бұрын
Hujui chochote bos...hii dunia ina sir sana usilo lijua ni giza....bakin kudanganywa hivyo hivyo wamiliki wapo bwana wakubwa
@MilkaMziray
@MilkaMziray 2 ай бұрын
We ndio mshamba
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 ай бұрын
@@ashrafrushaka2358 hhhhhh maskin nakuonea huruma unateseka ukiwa wapi hebu tupe habari msemeji wa Familia. Hhhhhh
@ashrafrushaka2358
@ashrafrushaka2358 2 ай бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 bro..tunza hiyo comment...sku ukiujua ukwel utanitafuta ...mi nilikua nabisha kukuzid wewe ...but ipo siku utafunguliwa macho na akil
@bonnywizzy1977
@bonnywizzy1977 Ай бұрын
Huyu jamaa ajui kuongea 😂
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Rich mavoko kapost gari watu wamemzodoa et kaazima hawezi kununua naeweza kununua gari ni jux na watu wa wcb
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 2 ай бұрын
Watz wengi ni watu maskini wa Mali na fikra mtu akiwa na kitu cha kwanza nikuumia na kutoamini nakutafuta kasoro
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Nikweli ndugu yani watu wanateseka utazani ni jambo la ajabu
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 2 ай бұрын
@@mustafamsati9599 wtz wengi asili yao ni umaskini na tabia ya maskini ni kuwa na chuki na hasira na jambo la mafanikio Leo kila mtu anapambana kujua ile Mali sio ya Kiba ila atangaze na kufurahi maana hawakubali kuona Kiba anajambo la kimaendeleo badala ya kufurahi pale wamepata watu ajira ila mtu anatamani Ata paungue au papoteee
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 2 ай бұрын
Haha😂
@mosescalvinnyoha120
@mosescalvinnyoha120 2 ай бұрын
😂
@user-zi1lr8wk3w
@user-zi1lr8wk3w 2 ай бұрын
Mbna hicho kidevu ni cheusi sana
@samyspesho1698
@samyspesho1698 2 ай бұрын
Sijaelewa
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Ndomana maisha yako magumu kwakua sio muelewa
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 2 ай бұрын
Mwamba anatumia akiri kubwa akuluouki
@Mkombozi255
@Mkombozi255 2 ай бұрын
Ajifunze kuongea kwanza😮
@user-fh6ib5kl1u
@user-fh6ib5kl1u 2 ай бұрын
Nenda kajieleze wewe
@TrubochudoBinani-zs7mi
@TrubochudoBinani-zs7mi 2 ай бұрын
Auna ubunifu wowote wewe mwenye ubunifu ni mond
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 2 ай бұрын
Alikiba ana pesa sema siyo mtu wa ku show off km Mond,anakula unga anapepesuka nguvu miguuni hana na anapost....!!
@malianonicass7029
@malianonicass7029 2 ай бұрын
Chuki na mond... Ila jamaa ni tajilii kweli
@user-ex9dd4qx9v
@user-ex9dd4qx9v 2 ай бұрын
Uyu Jama ajui kujieleza
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Wewe ukijua inatosha ila sisi tumemuelewa
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 2 ай бұрын
Wivu utakuua boss
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 2 ай бұрын
Jamaa hawezagi kujielezea kana hu kana hu kanaushamba😂😂
@Grtudajunior-cw5zp
@Grtudajunior-cw5zp 2 ай бұрын
Hupendi mambo mengi sio ushamba
@user-qg8jo6bv1k
@user-qg8jo6bv1k 2 ай бұрын
Majiniazi hawawezagi kuongea sana mzee
@PatricalVevo
@PatricalVevo 2 ай бұрын
Anaongea nini huyo king'''''asti
@isayamsisika6255
@isayamsisika6255 2 ай бұрын
Ndio kashasema yakeeeeeeee... Mnaumia.?
@RichardRutembesa-ns1kn
@RichardRutembesa-ns1kn 2 ай бұрын
​@@isayamsisika6255unajistukia !!
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 ай бұрын
Anaongea alivomdate bi mkubwa wako
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Yani mashabik wenye chuki hio media inawatesa kinoma mala yakikweteile mala ooh yakikekeile hahaha ushamba tu hata salam menwja tu wa chibu anamedia ni biashara yakawaida tu
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Kumiliki media sio utajili mkuubwa kwani majizo ni tajili? Au salam SK anamiliki dizim fm ni tajilimkubwa?
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 2 ай бұрын
ACHA wivu fungua yako
@asmahassan5661
@asmahassan5661 2 ай бұрын
😂hakika​@@karaniomoit5259
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 2 ай бұрын
Wanao ponda kiba kufungua take nao wafungue zao kwani salam SK si kafungua yake safi inaitwa dizim FM mbona safi
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 48 МЛН
SALIM KIKEKE AUNGURUMA: ZIARA YA KOREA ITASAIDIA NINI TANZANIA?
4:09
WAKILI WA MAGOMA AFUNGUKA KUHUSU KESI YA MAGOMA NA YANGA
4:44
Папа гений
0:23
Вельзевул
Рет қаралды 2,1 МЛН
Don’t Stealing 👵Moral Stories for kids #kidsvideos #goodhabits #youtubekids #cartoon
0:21
Elizabeth and Briceida Learning & Fun
Рет қаралды 28 МЛН
УЙЛАНМАГАН БОЛАР ОГОХ БУЛИНГ БУНИ КУРИМ #трент #тренды
0:13
ОНЛАЙН ТИК ТОК БАТИЛ
Рет қаралды 2,1 МЛН
Самый Лучший Дедушка ❤️
0:15
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,9 МЛН