ALIYEKUWA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI[SUGU[ NDANI YA MEDANI ZA SIASA.

  Рет қаралды 71,213

Star TV Habari

Star TV Habari

3 жыл бұрын

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Пікірлер: 145
@josephlossy1808
@josephlossy1808 3 жыл бұрын
DUH WAJINA UMETEMA MADINI KWELI KWELI BIG UP
@claverysugauli1522
@claverysugauli1522 2 ай бұрын
Le mwenyekiti Nyasa land zone ✌🏽🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@FrankMichael-tg4vz
@FrankMichael-tg4vz 17 күн бұрын
Sugu moto chini ❤
@lucasjames2102
@lucasjames2102 3 жыл бұрын
Duuuuuuh nimemuelew mno sugu kwel kbs kwaupand wa dai yupo sahihi
@peterstanslaus2477
@peterstanslaus2477 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 huyu jamaa hakwepeshi maneno yani kweli nimeamini Hip Hop ni sehemu ya uwazi
@sendisteve7981
@sendisteve7981 6 ай бұрын
Sugu hilo la wasanii kuwa wanasiasa au kuonyesha mahaba kwa vyama tofauti ni changamoto kubwa.Nadhani kwanza ni haki yao ya kikatiba,pili wanao uhuru binafsi wafuate itikadi gani.Na hilo lipo duniani kote.Ni vema tukawaelewa kuwa ni binadamu ti wa kawaida.Tuwahukumu zaidi kwa kazi zao kuliko ufuasi au itikadi zao za kisiasa.
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 3 жыл бұрын
Kwel niga mh hakutoa kauli yoyote kuhusu lissu Kama amili jesh mkuu😉😭😭
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 жыл бұрын
Safi Sugu, ni kamanda mwanamapinduzi.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 жыл бұрын
Asante Sana sugu kwauwazi Sasa mweshimiwa tupiganiye katibampya majambazi waccm wasipate nafasi zakupotosha
@samsonezekiel5239
@samsonezekiel5239 3 жыл бұрын
One love mbunge ulishinda ila kuna MTU aliamuru usishinde walipora kura zetu
@masterdaveprojections
@masterdaveprojections 3 жыл бұрын
Yes of course, ni kukataa UPUMBAVU
@ibrahimdamas9445
@ibrahimdamas9445 3 жыл бұрын
Nimekwelewa sana mzee mungu akulinde akuongeze siku zakweshi
@lucasjames2102
@lucasjames2102 3 жыл бұрын
Wanamwit sugu sugu sugu big up mkuu damu zawatu na namuonekano wanch bora nin hii inamahanish kwamb nchi ikiwa bora lkn hain watu saram je nan ataish ktk hyo nchi yan mim ndo nilivyo muelew sugu samahan kam nimekosea cna maan mbay nasitaman watu walichukue jambo hlo liwe kam njia yakumuelew sugu hpn nimtazamo tu
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Wenye fikra finyu kama wewe wameelewa hivyo
@aggyhezron1853
@aggyhezron1853 3 жыл бұрын
I am very impressed with your talk bro sugu
@peterkisanga8089
@peterkisanga8089 3 жыл бұрын
One of the best interview of this yr
@thomaskiponda9704
@thomaskiponda9704 3 жыл бұрын
Asante sugu.
@herisophisticated9275
@herisophisticated9275 3 жыл бұрын
MA Niqqa Jongwe
@hassanfundi893
@hassanfundi893 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 3 жыл бұрын
Peter Gamba Asante ,hivi lilivojenga Hotel kwa ruzuku za chama chake na Kodi za waliolichagua lilikumbuka kujenga hata kaofisi ka Chadema huko kwenye Jimbo au lilichumia tumbo tuu
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Magufuli,hakupenda Sana siasa ktk kazi.hawa walikuwa wanakwamisha maendeleo.viwanja vya ndege sehemu nyingi.kujenga chato ni kosa?j.p.m alifanya kazi.nawe sugu hatukuchukii kwa sababu unamchukia marehemu Una sababu zako.
@marymakoi8604
@marymakoi8604 3 жыл бұрын
Kama hukubali alivyovifanya mzee wetu Magu.bac huns.maana wewe.tena wewe ni mpinzani feki. Na tutaendelea kumtukuza Raisi Magu. Mama yako alifariki kwa siku zake tu. Umekosa hekima.kimsema.mwendazake..kumbuka nawe siku yako yaja. Tena mwogope Mungu sana huna hofu ya.Mungu.
@liziwanishemzigwa3473
@liziwanishemzigwa3473 3 жыл бұрын
🙏
@justusmasige4170
@justusmasige4170 3 жыл бұрын
Sugu: yea ofcoz ni kukataa upumbavu Mwenyekipindi: 😷😷😷😷😷
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 3 жыл бұрын
Big up Sugu
@nicolausmwandumwandu222
@nicolausmwandumwandu222 3 жыл бұрын
Uko vzr Sugu
@prospermiraji8473
@prospermiraji8473 3 жыл бұрын
Tyrant leadership which were employed during medieval period, was a bit practiced in our state five years past.
@gasperelasto8208
@gasperelasto8208 2 жыл бұрын
Hahaha hahahahahahahaha good message but hidden in language.
@jitulakalemastr7636
@jitulakalemastr7636 3 жыл бұрын
Pamoja sana sugu boy
@daudmwaijumba7953
@daudmwaijumba7953 3 жыл бұрын
mungu amtupi mjawake tujitahid kuana imani namungu atafanyanjia pasipo nanjia
@fortinatuswangubo981
@fortinatuswangubo981 3 жыл бұрын
Sugu hana jipya
@stephanokigosi656
@stephanokigosi656 3 жыл бұрын
sugu muhuni sana. 🤣
@grysonbrown7380
@grysonbrown7380 3 жыл бұрын
shusheni full mahojiano ndugu zanguni star tv
@stn4873
@stn4873 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂SUGU BWANA😂😂😂😂😂😂😂 anaongea kama ana rap!
@stanastana3199
@stanastana3199 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 ya gangster nicca🙌🙌🙌🙌
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 3 жыл бұрын
TUNAKUKUBALI SANA MH.JOSEPH MBILINYI (SUGU)
@oyay2821
@oyay2821 3 жыл бұрын
Sugu ni Jembe kweli kweli
@ramadhanbakarimtambo2024
@ramadhanbakarimtambo2024 3 жыл бұрын
Huyu bwana ni kamanda halisi hakika hip hop imemjenga kweli
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 3 жыл бұрын
CCM NA VIONGOZI WAKE WALIKUWA WANATENGENEZA TATIZO NA KULITATUA WAO WENYEWE ILI WAJISIFIE
@chidjosh6056
@chidjosh6056 3 жыл бұрын
Na walishindwa, ndio maana leo, wanaibika, baada ya jpm, kuondoka, eti yote yale ilikua uonevu
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 жыл бұрын
Ndivyo Ulivyokua Kipindi Cha Mwendazake na Tim yake yakumuabudu Nakumsifu.
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Wembe ni uleule ngoja tumewalegezea ili muingie ndani ya 12 tuwalipue tambeni kwanza.
@thomasjohn3499
@thomasjohn3499 2 жыл бұрын
CHADEMA HAMJAWAHI KUNIANGUSHA.
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 3 жыл бұрын
Tumsamehe jamani,yalishapita,ili kazi iendelee
@willymahali4818
@willymahali4818 3 жыл бұрын
We mtanzania muogope mungu.
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Sugu mkweli sana
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 жыл бұрын
Huyu mtangazaji mjinga Sana.
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Kama sura yako
@chidjosh6056
@chidjosh6056 3 жыл бұрын
Mungu ameisimamia chadema kwakweli,
@yusuphmagetta7969
@yusuphmagetta7969 3 жыл бұрын
Sugu uko vizur kwa kupangua hoja
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 жыл бұрын
Mwendazake Hii Nchi Aliifanya Kama Familia Yake Vile, Kesi Za Uchochezi Haziskiki Tena Siku Hizi😁😁
@zillah9750
@zillah9750 3 жыл бұрын
sugu rais wa mbeyaa
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 2 жыл бұрын
Sugu ni mbunge halali wa mbeya huyo mama ni kanjanja tu
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mbishi sana
@bukurujohnmary8016
@bukurujohnmary8016 3 жыл бұрын
Haabari ningependa kuuliza siku ya kipitindi cha MEDANI ZA SIASA kinacho pitika kwenye STAR TV
@franciseliaskaboja3932
@franciseliaskaboja3932 3 жыл бұрын
©√√√=% $••¥$ Big up
@pendopendokimathkimath1218
@pendopendokimathkimath1218 3 жыл бұрын
Mbunge wetu tunakupenda Jimbo bado lipo wazo
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 3 жыл бұрын
Hahaaaa
@alexngelezi9864
@alexngelezi9864 3 жыл бұрын
Chadema kwanza
@simonmagaigwa5496
@simonmagaigwa5496 3 жыл бұрын
Sugu si kwamba umemtaja mwenyekiti kwa sababu pia system ya chama inakutaka ufanye hivyo?
@thomaskiponda9704
@thomaskiponda9704 3 жыл бұрын
Sugu wewe ni sugu kweli msema kweli ni mpenzi wa mungu umechana live.
@simonmagaigwa5496
@simonmagaigwa5496 3 жыл бұрын
Mwandishi hapo unatwanga maji kwenye kinu.
@dismasvedasto324
@dismasvedasto324 3 жыл бұрын
👏
@willymahali4818
@willymahali4818 3 жыл бұрын
Mama sasa unampaka mafuta kwa mgongo chupa, sasa ndiyo unataka cheo kwa mama.
@adrophntabalizo8634
@adrophntabalizo8634 3 жыл бұрын
Mama anapofanya mambo mazuri unataka asipongezwe? Au akianzisha utaratibu wa kunyanyasa watu bado utataka apongezwe?
@yusuphsalehe4890
@yusuphsalehe4890 3 жыл бұрын
Hizi ni siri nzito, da hatari
@mohamedmatata8075
@mohamedmatata8075 3 жыл бұрын
Nakukubali sana
@ericmwaisemba5860
@ericmwaisemba5860 3 жыл бұрын
Sugu hapo sawa mbowe nikiongozi mvumilivu sana ni mfano wa kuigwa
@afrikajahazitv3133
@afrikajahazitv3133 3 жыл бұрын
Hii kipindi ilikuwa Moto haswaa
@jipozeonline3983
@jipozeonline3983 3 жыл бұрын
Ni kukataa UPUMBAVU duuuh sugu anakuchana waziwazi kwa kutumia HIP-HOP hakika sugu 5 tena
@gabrielrobert8677
@gabrielrobert8677 3 жыл бұрын
Sugu ni kichwa
@bernardburton6886
@bernardburton6886 3 жыл бұрын
Kweli umekomaa kisiasa unatambua anachofanya mama pia mama wasikilize Hawa watu tutafika mahari siyo machizi hawa
@francismnara5730
@francismnara5730 3 жыл бұрын
kwakweli umenena
@danielndone8109
@danielndone8109 3 жыл бұрын
Huyo sugu nijembe
@josephpetro2968
@josephpetro2968 3 жыл бұрын
Mbinyili
@babasamir2682
@babasamir2682 3 жыл бұрын
Sasa mbona walikua hawasemi kabla ya mwenda zake, na nyie mlikua hamuwaoji Hilo swala la kununuliwa
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 жыл бұрын
Mnazingua bhana wekeni yote
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Siyo kisheria, ni pale tu Rais inspompebdeza.
@evaristoscyprian5743
@evaristoscyprian5743 3 жыл бұрын
Mwongo tuwewe angekuwapo magu ungesema hivi?
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Huna akili wewe, waliongea ndio maana wakafungwa na kudhurumiwa Mali zao.. mnapenda udikteta subiri uguse familia zenu ndio mtatia akili
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Odemba.huyo.ndio.sugu.sio.akina.msukuma.ndugai.
@charquemwanga9598
@charquemwanga9598 3 жыл бұрын
Ndugu yangu Sungu unastahili kupewa pongezi kwa kuwa na maono chanya Kama unavyotolea maelezo juu ya hoja mbaliX2 ambazo zinawagusa viongozi wetu katika kuwakosowa na kuwapongeza.
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Wewe nae ni ziro. Kwa clip hii hujaona ana mapungufu.kwani alifungwa kwa makosa kisheria waliyotunga bungeni au alifungwa na Rais?
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 3 жыл бұрын
@@pitargamba9208 wacha maboya wasifiane
@charquemwanga9598
@charquemwanga9598 3 жыл бұрын
Na wewe ndio mwerevu unaejua Sheria kwa kuwa bunge limetunga Sheria kandamizi za kuwafunga hata wasiokuwa na hatio hongera kwa elimu nzuri uliopata ingawa Ni kwa manufa yako peke yako na sio kwa ajili ya umma.
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
You my brother wewe dio Simba not damodi not
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 3 жыл бұрын
Alafu kawa mbaya !!!aiseee kazeeka luzuku za bure kwishaaaa miaka mitano ikijaisha ulo Domo litamwaika
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 жыл бұрын
Kuzeeka kila mtu atazeeka hata awe hana shida, hata wewe utazeeka. Kuzeeka na kufa ni lazima kwa kila mtu. Na ndio maana hata yule mliyemfanya mungu alizeeka na pia amekufa.
@michaelobunde753
@michaelobunde753 3 жыл бұрын
Magu mliyekuwa mnamwabudu yuko wapi
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 жыл бұрын
Mh.Sugu umeshinda mbinu chafu za ccm kurubuni upinzani ufe,hakika wewe ni Kamanda kama wavumilivu wengine,Heche,nk
@eunicelango608
@eunicelango608 3 жыл бұрын
Lakini kumbukumbu ipo palepale
@piussimtala5111
@piussimtala5111 3 жыл бұрын
Sugu dhamira ya kazi za maendeleo zilizoletwa na Hayati Magufuli imemsuta,tumeshindwa kumponda!
@fortinatuswangubo981
@fortinatuswangubo981 3 жыл бұрын
Hata nyinyi chadema mutamukumbuka JPM tu pamoja na ubishi wenu kwa maendeleo aliyoyafanya
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 3 жыл бұрын
Maendeleo hayana maana kama unawanyima haki na uhuru raia wako
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 3 жыл бұрын
Tunamkumbuka kwa kutuua
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Ай бұрын
Maendeleo ya kuwa watu tatizo siyo baba yako Wala mama yako aliyepata na mzira ya magufuli
@florencekimotho887
@florencekimotho887 3 жыл бұрын
Huyu ni tambi la supu na vikuku!
@colinmhema530
@colinmhema530 3 жыл бұрын
Da kweli maajabu star TV nao leo wanaongea na watu Wa chadema
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Kumbe umegundua haya maajabu ya star TV
@tumainisosteness5782
@tumainisosteness5782 3 жыл бұрын
hukosawa sugu hatammi simuungi mkono hanatugawa sana huyu msanii
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 жыл бұрын
Hahahahaha kamjambia nani
@zillah9750
@zillah9750 3 жыл бұрын
2proud tunajidaia mbeya kuwa na rais kama wewe...
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 3 жыл бұрын
Mahojiano ni matam kweli yamepangwa yakapangika.
@gotshape5475
@gotshape5475 3 жыл бұрын
Hivi Ccm walifanya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa kwa Mara ya mwisho mwaka gani maana tangu tupate UHURU mwaka 1961 sijawahi kuona wala kusikia Uchaguzi huo !!! Utaitaje Uchaguzi wakati cha kuchagua HAKIPO mgombea ni MMOJA??! SHAME ON CCM #
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Uziro wenu upinzani usifikiri nasi tunao funua mtandao katiba ya ccm uisome utakubali kuwa ni chama dume.kama hujui kupekuwa niulize nikusaidie
@saidimpako5186
@saidimpako5186 3 жыл бұрын
Akisha chaguliwa raisi ndio anapewa uwenyekiti wa chama huwa hapingwi
@gotshape5475
@gotshape5475 3 жыл бұрын
siku Ccm wakikosa Rais ndo Mwenyekiti Ccm Taifa atachaguliwa ? Duuuu ! Kifungu gani cha katiba ya Ccm ?
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 3 жыл бұрын
Mmekata mlipokuwa mnamzungumzia tualia. Kumbe bado waoga star tv!!!?
@jacobmsola4491
@jacobmsola4491 3 жыл бұрын
Muongo wewe ndo ulitamani na hadi ulimshawishi mh rais sikuzile kwenye mkutano wa hadhara ukasema mh rais naomba unipe kazi nikusaidie lakini alikataa leo ndo unamponda kweli maneno hayo nimaneno ya mkosaji.
@lwitikomwagundama6757
@lwitikomwagundama6757 3 жыл бұрын
Hata msemeje wema wa Jpm haufutiki umeandikwa kwa kalamu ya chuma
@fortinatuswangubo981
@fortinatuswangubo981 3 жыл бұрын
Ulifungwa kwa kiburi chako tu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Afadhari kiburi kuliko kuwa zwazwa kama wewe
@amanafi1288
@amanafi1288 3 жыл бұрын
Mbona hukuongea hapo kabla Sugu.
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 3 жыл бұрын
Wadanganye wajinga wenzio mafisadi ss wtz wa sasa tulishafunguliwa macho na Magu.R.I.P Mfalme wetu
@enockniko9270
@enockniko9270 3 жыл бұрын
Mfate aliko kwenda
@charlesmwilima5548
@charlesmwilima5548 3 жыл бұрын
Duuh huyu jamaaa ni muongo Sana wakushawishi kwa kipi au kwa uwezo gani ulionao
@sakaramasaigana9616
@sakaramasaigana9616 3 жыл бұрын
Usitudangenye Sugu Mbona wewe umepata Ubunge Hotel zako umejenga Kwenu hakuna anayesema ungeenda kujenga Tabora labda tungefikilia hilo Wazo lako. MUACHENI MZEE MAGUFULI APUMZIKE KWA AMANI. Rudi kwenye Bongo Fleva Tutakuelewa.
@enockniko9270
@enockniko9270 3 жыл бұрын
Amejenga kwa hela yake au serikali kuwa na hakili wewe
@nyamizibema6078
@nyamizibema6078 3 жыл бұрын
Acheni umbea mbona chadema hawana jipyaaa, Haina akili hiyo michadema inatumia Barbara xilizojengwa na Mzee baba Haina shukrani hiyooooo,
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Eti hawa nao wanaomba uongozi wa nchi kwa ufala huu. Lilifungwa kwa makosa yake hakufungwa na Rais.mbona halisemi ya kibiti wana CCM waliochinjwa kama kuku yana ubaguzi sana haya majitu hayatufai
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 жыл бұрын
Alifungwa bila ya makosa. CCM gani alichinjwa?
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 3 жыл бұрын
Ulikuwa ufungwe umalize miaka yako yote bwege wewe
@harounmaarufu4433
@harounmaarufu4433 3 жыл бұрын
Barabara za lami labda kwenu .nenda kitunda huko mwanagati magole barabara hovyo kabisa.mvua ikinyesha watoto wafanyakazi wafanyabishara wagonjwa hawatoki.halafu unaongea nini wewe.
@minyarothomas8167
@minyarothomas8167 3 жыл бұрын
Sugu anafanya propaganda
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 3 жыл бұрын
Danganya wapumbavu wewe.
@emanuelgaddafi7651
@emanuelgaddafi7651 3 жыл бұрын
Akili zoote mpaka mishipa inawatoka kisa aliye lala 🤣🤣🤣 his legacy will live forever.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 жыл бұрын
Mama Samia anashiriki tendo la ubadhirifu kwa kufumbia macho waliofukuzwa chama Chadema, wameingia bungeni bila ridhaa, halafu serikali inawalipa. Wanalipwa kodi za watanzania bila stahili, hakuna chama kilichowapeleka. Mambo ya ovyoooo!
@eunicelango608
@eunicelango608 3 жыл бұрын
Kwa hiyo mamako ulitaka aishi miaka mingapi?
@rosesanford73
@rosesanford73 3 жыл бұрын
Mwogope Mungu usilete masihara na mzazi wewe wakwako unataka waishi muda gani ukipata jibu ndo hivo
@fortinatuswangubo981
@fortinatuswangubo981 3 жыл бұрын
Chadema wote nipumba tu
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 3 жыл бұрын
Wew huna lolote nchi ni wanasiasa ,wew mbona hujapata mtangazaji yoyote kwa kuwa huna mchango kwa nchi.
@saidhussein5212
@saidhussein5212 3 жыл бұрын
Hata ww pumbavu
@jumasalumu3456
@jumasalumu3456 3 жыл бұрын
Shukurani. Huna kaka
@athumansuphian5891
@athumansuphian5891 3 жыл бұрын
Hapo bungeni hao wabungewa chadema wanalipwa pèsa zetu za kodi wamewekwatu halafu wewe waongea pumba
@kiteleluhanzu4182
@kiteleluhanzu4182 3 жыл бұрын
✌️💯🔥
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 21 МЛН
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
BAADA YA MATOKEO SUGU AFUNGUKA YAKE || MSIGWA NAE ASEMA YAKE
5:47
Mwananchi Digital
Рет қаралды 18 М.
#LIVE-SULEMANI BUNGARA[BWEGE} NDANI YA MEDANI ZA SIASA.
59:20
Star TV Habari
Рет қаралды 8 М.
#MEDANI ZA SIASA:SIKILIZA NONDO ZA MRISHO GAMBO
55:34
Star TV Habari
Рет қаралды 10 М.