ALIYETOKA KWENYE MKESHA WA MWAMPOSA DAR AFIA NDANI NYUMBANI KWAKE MKEWE AFUNGUKA

  Рет қаралды 57,904

KUSAGA TV

KUSAGA TV

18 күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 236
@rynesalewa7043
@rynesalewa7043 16 күн бұрын
Watu wa migodin wanaugua sana TB kutokana na ulanga,mungu ampumzishe salama 🙏🙏
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 16 күн бұрын
Mkesha wa mwamposa una husika vipi na kifo chake😢😢😢...badilisha topic
@user-ky7mz7qh1o
@user-ky7mz7qh1o 16 күн бұрын
Hawataki kutibiwa hospital mnaamin matapeli
@brightnessrutebeka4206
@brightnessrutebeka4206 16 күн бұрын
Nyoooo.... Koma
@eggysulle7988
@eggysulle7988 16 күн бұрын
​@@user-ky7mz7qh1o😂😂😂😂
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 16 күн бұрын
SAWA KABISA ,Ulijuaje kuwa nilitaka kuuliza swali hilo?
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 16 күн бұрын
@@user-ky7mz7qh1o KWANI HOSPITALI WATU HAWAFi?
@beatriceollomy7041
@beatriceollomy7041 16 күн бұрын
Mwamposa hausiki hapo acheni maneno.
@leokamil6284
@leokamil6284 16 күн бұрын
Analaghai watu na wengi wanaacha dawa za hospital wakighilibiwa maombi yanatiba ya hayo mafuta chumvi n.k
@user-bt2it1vw3t
@user-bt2it1vw3t 16 күн бұрын
Kwa hiyo hamuwezi kutunga sentes bila kumtaja mwamposa kwani yeye huo mkesha alikua peke yake kafa tu kama wengine wanavyokufa sio shida mkesha wa mwamposa
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 16 күн бұрын
Kabisa siku yake ilikuwa imefika
@user-gf6wz1lo2t
@user-gf6wz1lo2t 16 күн бұрын
Jaman marehem siku yake ilifika isionekane mkesha ndo sababu
@rosemaryhamilton5700
@rosemaryhamilton5700 16 күн бұрын
Hata Mitume walikufa acheni kumtuhumu Mtumishi wa Mungu
@angelamassawe225
@angelamassawe225 15 күн бұрын
Muda alioenda dar kwa mwamposa angeenda hospital madactari wangemsaidia kuliko kupotesa Muda kwa mwamposa. Na watakufa wengi wanaoamini wachungaji bila matibabu. Pole sana
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 16 күн бұрын
Waandishi wazua mambo sana kuweni na busara alikuwa mgonjwa huyo mwacheni mtumishi wa mungu
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 16 күн бұрын
Sasa kokosea Nini hapo?
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 16 күн бұрын
Mwamposa anahusikaje andikeni kitukiereweke
@AwaziRajab
@AwaziRajab 16 күн бұрын
Watu Acheni Kusema Mambo Yasio Na Mana Mwamposa Ameuwa Nani Apo Uyo Ahadi Yake Imefikia Na Kifo Akichukiwi Wala Kununiwa Uwezi Kwenda Peponi Bila Kufa Kama Unalijua Ilo Basi Utambue Kifo Kipo Kwa Kila Mwanadamu Ahadi Yake Imefikia Apo Cha Msingi Mbele Yake Nyuma Yako Wewe Msomaji Sms Hi Acha Maneno Ya Ajabu Ikiwa Hata Wewe Utakufa
@brightnessrutebeka4206
@brightnessrutebeka4206 16 күн бұрын
Jinyonge sasa... Ukwel wa mambo ndio huo... Ko ulitaka waandike kaf akitoka msikitini??
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 16 күн бұрын
Ndio kauwa kwanini mtu anaumwa asiende hosptali aendekwamwamposa
@user-is6np5vf6b
@user-is6np5vf6b 16 күн бұрын
Mbele yake nyuma yako wewe pia kudadeki apo bilabila 😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 16 күн бұрын
​@@user-ur8cq1ye3bNajua watu wengi wamelaghaika kwenda kwa hao mitume na kuacha matibabu wakipewa mafuta ya upako .
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 16 күн бұрын
Halafu kitu watu wasichokijua Hawa mitume wote wamepewa nguvu na kuzim na malipo ni waumini wenye nyota zinazowafaa kule kuzimu kwa hiyo wewe kama una nyota inayofaa kuzimu. Wewe unakufa kifo Cha kawaida lakini wao ndio wanakuwa wamekuchukua
@JosephineApporinary-cg5wl
@JosephineApporinary-cg5wl 16 күн бұрын
Kifo Ni kifo tu, alitakiwa aende kwenye vipimo zaidi
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 16 күн бұрын
M/MUNGU ilaze roho ya marehem mahali pema peponi pole kwa familia ushauli wagonjwa zingatieni sana hopitali kuliko maombi
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 16 күн бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani poleni sana wana familia
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 16 күн бұрын
Sasa mbona wengi tu wanaenda kwa mwamposa, kwamba Ana vidonda vya turbo hajala frenk John kwa siku Tatu, hajala, kifua allergy. Mmmh Pole mama
@KICHECHEOG2
@KICHECHEOG2 10 күн бұрын
Anayeponya ni mungu anayetoa uhai wetu pia ni mungu tumuache mtumishi jaman siku ikifika mung huchkua zao lake bila kujali yuko wap alienda wa wala ametoka wap
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 16 күн бұрын
Niko hapa nawatafakari na hii chaneli inayoitwa KUSAGA TV muwe makini mtakuta mnapigana vita na Mungu kwa habari zenu mfano Mwamposa akasema aombe na Mungu akaamua kujibu mnajua nini kitatokea kuweni makini kwenye haya mambo ya Imani kuna watu ni wagonjwa wengine wanaonekana wehu si kwamba wengine ni changamoto za dunia no wengine wameingia vita na Mungu wakapigwa ndo maana hata watumishi siku hizi hawaendi kwa sababu wanajua wataingilia vita ya Mungu tuweni makini saana kwa hizi taarifa zenye kauli za uchochezi ndani juu ya watumishi.
@elizabethmichaelkachwa6512
@elizabethmichaelkachwa6512 16 күн бұрын
Hahahahaaa...mbona mwamposaaaa
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 16 күн бұрын
umenena vyema..
@user-ne6vu7kc5u
@user-ne6vu7kc5u 16 күн бұрын
Mbona mama wa watu kaeleza vizuri tuu hajasema vby amesema alikwenda kwenye maombi kwa mwamposa.hajasema mwamposa kasababisha kifo.
@NeemaRaymond-hw6dj
@NeemaRaymond-hw6dj 16 күн бұрын
Kwani kufa hata hospital wanakufa.mwacheni mtumishi wa MUNGU.
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 16 күн бұрын
TB zinawamaliza sana watu wa migodi
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 16 күн бұрын
Heri yeye alienda kwa mwamposa akaja akafa kuliko ww utakaefia gest kwa uzinz na bar kwa ulevi
@halimaomary-f7h
@halimaomary-f7h 15 күн бұрын
😂😂😂😂
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 16 күн бұрын
Poleni sana wa fiwa mungu aiweke roho ya marem pema😢😢😢
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 15 күн бұрын
Jamani tubakini kwenye dini zetu,mmm pia nilishashuhudia mwingine alipelekwa kwa mwamposa akampaka mafuta akarudishwa hospitali baada ya kurudishwa hospitali akafaa,tusimwamini sana binadamu,kaa kwenye imani yako mlilie Mungu atakusaidia.Ila tujue watu wa migodini wanauawa kishirikina sana.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 16 күн бұрын
Poleni sana
@petermuganda7322
@petermuganda7322 16 күн бұрын
poleni sana jaman Mungu awafariji
@TatuDaison
@TatuDaison 16 күн бұрын
Mama mkavu huyu kamq hajafiwa kweli chuga ni chuga tu😂😂
@norfenvgeraldo9493
@norfenvgeraldo9493 15 күн бұрын
Mwamposa anausika na nini kwenye hili mbona kama munaleno jambo , ?!! Watu wengi walitoka Mozambique waliuzuria mkesha na wamerudi salama tu acheni fitina
@sciencesocietyoftanzania5957
@sciencesocietyoftanzania5957 16 күн бұрын
Pole sana kwa Msiba na kipindi kigumu unachopitia. nafikiri badala ya wagonjwa kukimbilia miujiza sehemu salama zaidi ni Hospitali mtu anapopata tatizo la kia afya.maombi yamfate mgonjwa Hospitalini.
@jacksonjombo7221
@jacksonjombo7221 5 күн бұрын
Si kwa ubaya lakini waandishi pia angalie jinsi ya kufikisha ujumbe kwa wanajamii hasa za kiroho. Kwani wanaoendaga kanisani na au msktini hawafi! Jifunzeni kuzilinda imani za watu.
@user-ft7zn9rp2i
@user-ft7zn9rp2i 16 күн бұрын
Amini msimsingizie mtumishi wa mungu.
@brightnessrutebeka4206
@brightnessrutebeka4206 16 күн бұрын
Ttzo nyie hampendi ukwel... Mamae zenu
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 16 күн бұрын
Sahizi kiki ni Mwamposa
@johnshirima6176
@johnshirima6176 15 күн бұрын
Angekua anaponya kweli uyu mtu angepona uko uko
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 15 күн бұрын
@@johnshirima6176 Yesu alikuwa Masihi lakini Bado Yohana ndugu yake alikufa
@Namaize-lc8sh
@Namaize-lc8sh 14 күн бұрын
Jamani wanadamu kifo kikifika hakina mwamposa wala mwakasege yametimia amerudi kwa baba yake
@FroleceSamson
@FroleceSamson 3 күн бұрын
Maaa nawewe pia ulikosea unaona mme wako anauma haliyake siyo nzuli unaondoka unaenda kazini kweli mama siungeomba lusa umuangalizie hali yake changamotot kweli
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr 5 күн бұрын
Kwani wanaosali makanisa mengine hawalali muache kutafuta like kwa kutumia majina ya watu
@fortunataandengenye8704
@fortunataandengenye8704 14 күн бұрын
Mshukuru Mungu, Amemaliza safari salama
@YohanaKamota-vl2ir
@YohanaKamota-vl2ir 12 күн бұрын
Mungu alikuwa anamuandaa kwenda kwa mwamposa hivyo alale salama😊
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 16 күн бұрын
Pole sana mpendwa...
@Niika870
@Niika870 16 күн бұрын
Matangazo ya kuhamasisha ni makubwa uponyaji wenyewe haupo, ni utapeli tu
@Atb300
@Atb300 16 күн бұрын
😂😂😂😂
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 16 күн бұрын
Pole.
@martharichard8204
@martharichard8204 16 күн бұрын
Duh pole sana
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 8 күн бұрын
Kumwelewesha mbongo nikazi sana, mtu amesema amefariki usiku baada yakutoka mkesha kwa mwamposa, watu wanalaumu tengua kauli, kwani kasema mwamposa kamuua!!?
@zenassylvester125
@zenassylvester125 16 күн бұрын
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.....
@YohanaKamota-vl2ir
@YohanaKamota-vl2ir 12 күн бұрын
Wengine wanatoka kwa waganga wakienyeji wakirudi wanakufa bora huyo alienda kwa mkesha
@luizamatola1341
@luizamatola1341 15 күн бұрын
Pole sana
@agathasungura5047
@agathasungura5047 16 күн бұрын
Poleni sana wafiwa 😢
@mariamsaid6334
@mariamsaid6334 7 күн бұрын
Ila uyu mwanamke ana moyo mgumu jmn mumeo kweli na wani umetuvalia mhh
@user-jp2gy7es1y
@user-jp2gy7es1y 16 күн бұрын
Severe TB imesababishwa na madhara huko Migodini.
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 16 күн бұрын
Mama jasiri wewe,pole sana
@Scholariren
@Scholariren 2 күн бұрын
Siku umefka mwaponsa anaigiaje hapa jaman
@hopekandrossy1714
@hopekandrossy1714 16 күн бұрын
Tb hiyo siyo mtumishi wa Mungu...mimi binafsi mwamposa nampenda
@DorosellaBuchwa
@DorosellaBuchwa 16 күн бұрын
Mungu hapendi mtu yoyote apotee,Bali wote wafikilie toba,,ameitwa na bwana
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 16 күн бұрын
Mwamposa unajiita ww ni mtume je hukuona kifo chake ,simnajitia mnaongeaga na mungu,,, au maji uliyempa si ya uzima ni mkojo😂😂,,acheni kuyaamini haya matapeli wengi wanakufa Kwa kuacha Kula dawa eti washapewa maji ya uzima ,DK sule Acha kabisa na ww mnasababisha watu wanaenda jahanam kwa kuamini uongo😢
@laninjeje8290
@laninjeje8290 16 күн бұрын
Unatombwa na wachawi wewe sio bure, una uhakika huyo alienda kwa Mwamposa ?? Unawashwa wewe
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 16 күн бұрын
Mmmh
@PatrickDavid-l3p
@PatrickDavid-l3p 8 күн бұрын
Yan mm mwenyewe mama yangu kafa uku anapigastor kifo akikimbolik
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 6 күн бұрын
Mwamposa anahusika Nini hapo kama cku yake imefika
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 16 күн бұрын
Poleni wafiwa
@shubianan
@shubianan 8 күн бұрын
Mwamposa anahusika nini hapo unajuwa nyingi waandishi mnapenda kuuza habari sasa mnataja mtumishi wa Mungu anahusika nini acheni ujinga mnatakiwa kufungwa
@BilaliBilaliamri
@BilaliBilaliamri 6 күн бұрын
Sasa wewe tuambie mwamposa anahusika na nini paka uyo marehem kusafili kumfuata huko dar sm
@user-yo4mt8cv6w
@user-yo4mt8cv6w 16 күн бұрын
Kwa nini hakwenda hospital jamn akae mtu hajala sku tatu duu pole Mungu akusaidie mama
@dorisgabriel6445
@dorisgabriel6445 16 күн бұрын
Ila waandishi wa habari mbona kama mnachochea kitu kisicho sawa Kwa Mtumishi wa Mungu hivi nyie tunawaamini mtupe habari sahihi mbona mnaleta mambo ya ajabu ushaambiwa na mama yake uyo alikuwa mgonjwa sasa Kila Saa unakazania ametoka mkesha Kwa mwamposa kafia ndani ebu mwacheni mwamposa ukweli anajua Mungu tu tumuachie Mungu msije mkabeba laana ya Mungu kwakusema watumishi wa Mungu ovyo
@user-tn5tg9ri8t
@user-tn5tg9ri8t 6 күн бұрын
Aniwadishi wahabari mtapata rana sasa mkesha ndoumemua au mnachafua tu jina la mtumishi kwani ukisali kwa mwamposa ndohufi au achani ujinga kumbe mtu alikuwa anaumwa nyie mnaleta ujingatu
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e 7 күн бұрын
aya acheni kumtuum baba wawatu mamposaausiki mtalanika acheni uogo jamani
@VenitaRugemalila
@VenitaRugemalila 7 күн бұрын
Jamani itakuwa alikuwa na TB hakufuata maelekezo ya dawa kumeza maana Kuna jirani yng alikuwa hivyo kapiga dawa na maombi muhimu saizi anapeta km pieleee
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 16 күн бұрын
Wachangiaji muelewe alienda kwa mwamposa na alirudi hakufia uko kafia sanawar kwa kisiri.. Kwaiyo mtu akienda hospt akirudi nyumbani afe mbona hanchongaji punguzeni ujinga km mmegoma kuacha kabisa
@fortunataandengenye8704
@fortunataandengenye8704 14 күн бұрын
Acheni kunajisi watumishi Wa Mungu, kwenye mkesha kunahusika Na nini
@shak211
@shak211 8 күн бұрын
unatenda dhambi unapom sema mutumishi wangu vibaya nyieee
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 16 күн бұрын
Hata ni Mungu tu hawajakufa wengi sijui watu watasoma kimwamposa ni maegents wa shetani ppapq
@user-yr5wj5bz4w
@user-yr5wj5bz4w 2 күн бұрын
Ila mwamposa 😂😂😂
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 10 күн бұрын
Muende hospitali mpime naukimwi kule dozi
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 16 күн бұрын
Pole sana mama😢😢😢
@PeacefulSheep-se7oz
@PeacefulSheep-se7oz 9 күн бұрын
Kwan hamuwez kuandika vizur tu mpaka mumuweke mtumishi wa mungu nyie vp
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 16 күн бұрын
Sehemu ya kafara
@samweli7985
@samweli7985 16 күн бұрын
Sehem ya kafara kivipi? Ndugu utahukumiwa kwamaneno yoko
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 16 күн бұрын
Kafara na umemskia mkewe alikuwa mgonjwa,sijui mnawazaga nini
@elizabethmichaelkachwa6512
@elizabethmichaelkachwa6512 16 күн бұрын
Ndo hvyoooo
@PennyLuis
@PennyLuis 16 күн бұрын
Kafara na makalio yako
@AishaHussein-m6x
@AishaHussein-m6x 15 күн бұрын
Kakangu mpendwa jamani dah kk umetuacha bro eliasa
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 16 күн бұрын
Tb mara ya kwanza, kapata tena makovu mengi si kwamba ni mtumishi amesababisha kifo siyo, mbona wengi wanaendaga tu jamani ugonjwa umefika mwisho tu. Tuombeane mema
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 9 күн бұрын
Mwamposa ana shida acheni kumtangazia mabaya wewe sema alikuwa mgonjwa pia anasema akula siku tatu kama alikuwa ana ela sibora angebaki nyumbani aende hosptal
@VenitaRugemalila
@VenitaRugemalila 7 күн бұрын
Kweli sasa hapo mtu wa Mungu na kifo Cha jamaa vinaushirikiano gani huyo alikuwa na hatua mbaya ya vidonda unajua ukifanya kazi tu ukasahau kula,maombi ni sehemu ya pili na unatakiwa ule sasa wewe unaacha mme wako hajala umesepa ungemlisha fulu ashibe ndio hata sisi vidonda vinatuuma tunaomba na kula sasa siku tatu hili home ukafika huli tunawachosha wachungaji aisee,pumzika kwa amani Ila km alikuwa anakohoa damu au TB hakufuata maelekezo ya dawa hata jirani yetu alifikia huko alikuwa ana TB alifikia kutapika damu alifiata mashariti ya dawa kumeza na anasali sasa hivi yupo bomba,so tumeze dawa na kuomba vyote Kwa pamoja,tusiwasimange watu kwakuwachafua
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 9 күн бұрын
Wakati wake ulikuwa umefika maana huwa hausikii dawa,kila mtu ananjia na namna yake ya kuondoka Duniani
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 16 күн бұрын
Mungu kajibu maombi
@LoperwizzyNickboy-bk7tv
@LoperwizzyNickboy-bk7tv 16 күн бұрын
Nyie watu mliokosa maarifa acheni kucomment kabla ya kusikiliza kitu mnashaukwa tu mwamposa mwamposa nyoooo kwan s kasema ameenda kwenye mkesha vizur karud ndo kikamkuta kifo nyie watu wa ovyooo 😏😏
@FloridaNicholaus
@FloridaNicholaus 9 күн бұрын
Badilisheni kichwa Cha habar acheni uhuni
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms 15 күн бұрын
Huyo vadonda vilimla sana ukishafika hatua ya kutapika damu ni mbaya
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 14 күн бұрын
Labda pia hiv,stage ya 4 hali iliishakuwa mbaya alijijua hali ilikuwa mbaya kajirudia zake home akijua hatoishi muda mrefu.....
@NellyFrancis-nn3qb
@NellyFrancis-nn3qb 14 күн бұрын
P ole Sana dads
@RhodaPaul-lw5pq
@RhodaPaul-lw5pq 16 күн бұрын
Kwan ungeweka kichwa Cha habari bila kumhusisha mtumishi wa MUNGU 😢
@Dareaziz
@Dareaziz 16 күн бұрын
Rip
@user-fh3vp2mw3z
@user-fh3vp2mw3z 16 күн бұрын
Mda wake umefika acheni kumuharibia sifa mwamposa mda wake umeshafika kifo kipo kila mwana damu ataonja umauti
@GloryArman-xn9ly
@GloryArman-xn9ly 16 күн бұрын
NABII HUYU ASIYE ONYESWA NA MUNGU WAFUASI WAKE JAMANI😊
@witnesskessy9705
@witnesskessy9705 14 күн бұрын
Maskini jamani pole kwa wanafamilia wote 😢
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 16 күн бұрын
Rip very sad bt it's his day .
@hamidmussa838
@hamidmussa838 16 күн бұрын
Mmm! MWanposi huyu.
@PendoMatemba
@PendoMatemba 16 күн бұрын
Amefanyaje
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 16 күн бұрын
Siku ya kufa ikifika utakufa uombewe na nani,aunde hospitali ya uingereza ikifika imefika
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 16 күн бұрын
Tunawaambia mnaenda kujitoa kafala hamsikii Kama mkutano ulikuwa inakuwaje bas utoke mkutano wa mungu uludi na kufa ivi tutawaabudu Hawa mashetan mpaka lin , mungu atuhurumie
@florangido202
@florangido202 16 күн бұрын
Huyo alikuwa mgonjwa bana Acheni.mawazo ya kijinga. Na wanaokufa hosp kafala la nani!!
@evakessy3282
@evakessy3282 16 күн бұрын
Acha Mara moja kumfedhehesha MUNGU na Imani yako haba unakurupuka
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 16 күн бұрын
@@evakessy3282 Iman haba sawa mungu akuongezee Iman wewe mwenyez Iman Ila wote wenye Iman haba ya kuwakataa mitume Kama akina mwamposa hakika watakuwa salama na madanganyifu ya shetan ya siku za mwisho mitume watakaowafanya watu wawaabudu wao badala ya mwenyez mungu kweli shetan anaabudiwa,
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 14 күн бұрын
Amekufa kwa portal hypertension + TB,hakutibiwa kikamilifu
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 15 күн бұрын
Siku zake zimefika mnasingizia mkesha wa mwamposa
@marymwaya9685
@marymwaya9685 9 күн бұрын
We mwandishi unajizalilisha mwamposa anahusika nini. Mliambiwa Mwamposa anagawa vyakula
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 16 күн бұрын
Acheni imani za mwamposa Mkiumwa muende hospital sio kwenye maombi
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 16 күн бұрын
Hajafa kwbb ya maombi, km siku yake ilifika hata huko hospital angekufa, Tumshukuru Mungu sio kulaum maombi.
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 16 күн бұрын
Yaan huwambiii kitu
@brightnessrutebeka4206
@brightnessrutebeka4206 16 күн бұрын
Umeona eeh
@naimatemba8061
@naimatemba8061 16 күн бұрын
Kabisa huwa wengi wanaamini kulogwa
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 16 күн бұрын
Unajua watu uelewa,maana hawajui hospital kuwa nao ni wapo kwa kusudi la Mungu,na Mshukuru Mungu amekwenda fia nyumbani angefia Kawe.
@deboramsangi360
@deboramsangi360 16 күн бұрын
Una nguvu we ni jasiri
@GracePatrick-zc2eb
@GracePatrick-zc2eb 16 күн бұрын
Jamani nyie wandishi acheni kuandika habari ziczoeleweka kifo chake kinahusiana Nini na maombi ya mwmposa? Kauli zenu mbaya.
@leokamil6284
@leokamil6284 16 күн бұрын
Watanzania mkiumwa nendeni Hospitali hata Mungu anasema jisaidie nikusaidie. Sasa maradhi utayapelekaje kwenye maombi bila kwenda Hospitali huku ukiomba Mungu abariki dawa zikuponye. Serekali nyinyi wenye mamlaka ya kulinda Raia na Mali zake mtu akitaka kujiua mnamshtaki ,iweje sasa mnaruhusu watu walaghaiwe na hao wachungaji sjui mitume kuwa wanadawa za kutibu watu maradhi huku wakisababisha watu wengi kufariki kwa Manipulation yao.Serekali ingilieni kati hao ni Matapeli
@ferdaedward8373
@ferdaedward8373 16 күн бұрын
Unaesema akamfufue inaonyesha nawenimwanga ivounaowalogawakienda kwamwamposa wanakuchoma Moto manakule kunakupigwa ukiwa unatumika kuzimu
@ferdaedward8373
@ferdaedward8373 16 күн бұрын
Huenda anajua vizulisana yalio jili kapatawapiujasili wakusimamakuziezea midea
@benadethakaziote8214
@benadethakaziote8214 16 күн бұрын
Haaaaaa sasa apo mkesha wa mwamposa unahusika nini
@user-lx8nw4dk8r
@user-lx8nw4dk8r 16 күн бұрын
Uyo ahadi yake imefika tu r.i.p😢
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 67 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН