ALLY KAMWE AUTUPIA DONGO USAJILI WA SIMBA/JOSHUA MUTALE SIO KIWANGO CHA CHAMA/HAWEZI KUCHEZA YANGA

  Рет қаралды 7,251

Mpenja TV

Mpenja TV

4 күн бұрын

Timu ya Young Africans Leo July 2,2024 imezindua mfumo Rasmi wa mashabiki wao kupata taarifa zinazoihusu klabu hiyo,akizungumza na waandishi wa Habari Afisa habari na mawasiliano wa klabu hiyo Ali kamwe amesema kuwa njia hiyo itawasaidia mashabiki wa yanga kupata habari za timu hiyo hasa katika kipindi hiki cha usaj

Пікірлер: 22
@rarevids001
@rarevids001 2 күн бұрын
Ligi Ianze tu baadhi ya Midomo Iweze Kufungwa
@scolapeter7114
@scolapeter7114 23 сағат бұрын
😂😂yani utiite makolo nakadi utupe we mwendawazimu sanaaa
@Snydacut
@Snydacut 2 күн бұрын
Chama sio simba na simba sio chama simba itabak kuwa simba na chama atabaki kuwa ni mchezaji tu kama wengine
@HamissiMaulidy
@HamissiMaulidy 2 күн бұрын
Yanga ndoo ilimteta chama wakashindwana nae mkataba akaenda simba tanzania Nandoo itakayo muondoa tanzania mazimaaaa
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 күн бұрын
Chama anaenda kuanza upyaaaa pale Yanga.
@capeze17
@capeze17 2 күн бұрын
Aya topolo
@japhetpwiti9651
@japhetpwiti9651 Күн бұрын
Huyu msemaji IQ yake ni HASI
@BaruaniJeanpierre-fn9hk
@BaruaniJeanpierre-fn9hk Күн бұрын
Huyu msemaji hanamapungufu ya akili
@EliabuChatanda
@EliabuChatanda 2 күн бұрын
Ally babako ko unamwita kolo wewe waajabu 😂😂😂
@GibusoniyusufubwitengeGibusoni
@GibusoniyusufubwitengeGibusoni 2 күн бұрын
Utopolo mwaka huu mujipange mwaka huu
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
kwani lazima wote tushabikie yanga huna jipya 😂😂😂
@HawaSimai
@HawaSimai 2 күн бұрын
Ila komwe😂😂😂😂😂
@sunnrisetz2873
@sunnrisetz2873 2 күн бұрын
Vua miwani tukuone kiburi chako,chama ametengenezwa nani wewe chama ulikua unamjua ally kamwe hana akili nimeamini😅😅
@futuregenerationrelieftanz2676
@futuregenerationrelieftanz2676 Күн бұрын
Wewe kamwe hujitambui kabisa
@JeremiaMlokozi
@JeremiaMlokozi 2 күн бұрын
Kwel baba wape vindonge😅
@aderickrevelian4876
@aderickrevelian4876 2 күн бұрын
Ushawaita makolo sasa unawapaje kadi makolo
@BensonDickson-xf1ge
@BensonDickson-xf1ge 2 күн бұрын
Ali kamwe unaumwa were kapimwe akili wwe
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 күн бұрын
Ally Kamwe ni mshenzi kweli kweli🤣🤣🤣 kwani unaugomvi na baba yako?
@sevelintino6181
@sevelintino6181 2 күн бұрын
Rop ropo
@SirajiMambosasa
@SirajiMambosasa 2 күн бұрын
❤❤😂
@sunnrisetz2873
@sunnrisetz2873 2 күн бұрын
Chama kaja simba ulikua hana umarufu wowote katengenezwa na simba katumika mpk leo nyinyi mnamchukua kama used ndo unatamba kama sijui umempata nani jinga kweli ani
@hatibulukindo2105
@hatibulukindo2105 2 күн бұрын
Fala mkubwa wewe
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 99 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 11 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 213 М.
BILLNAS KWENYE THE THRONE
33:01
Crown Media
Рет қаралды 5 М.
Футбольное поле провалилось под землю
0:13
Короче, новости
Рет қаралды 2,8 МЛН
Asmr Belt Catching The Ball 🥋⚽️🏀🎈#shorts #challenge #asmr
0:12
По этому матчу снимут фильмы!
1:00
Губиньо
Рет қаралды 313 М.
Georgina & Ronaldo Rare Moments ❤️ #3
0:31
Score 90 Shorts
Рет қаралды 75 МЛН
Mike Tyson vs James Smith
1:01
Music Workflow Academy
Рет қаралды 9 МЛН