Msiogope hii mimea usipoigusa haudhuriki. Tunaishi na baadhi ya hyo mimea mikoani. Kama hyo hapo palipoandikwa 'do not touch". Ukiligusa tu unavimba mwili mzima na kuwashwa vibaya. Kama huna kinga ya kutosha unatoka mapele. Baadae unakaa vizuri la cha moto umekipata. Linawasha zaidi ya mnaoita upupu hko Dar.
@Mwamba67Ай бұрын
😂
@laxmikhairah1503Ай бұрын
😂😂😂😂 kwan umekula nini
@riosingingandmore8224Ай бұрын
😂😂😂😂😂 Asante kwa kutujuza
@riosingingandmore8224Ай бұрын
@@laxmikhairah1503 hajala kitu huyu njaa inamsumbua 😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@husseinmassawa7186Ай бұрын
Inaweza ikawa anachomaanisha kikawa ni kweli pia, kwani ni mimea gani hiyo ambayo africa aipo? 😅
@zclassicfashionz1573Ай бұрын
360
@Brunotarimo10Ай бұрын
Sky karibu crown media fredric bundala
@sinatatizonamtuАй бұрын
Mimi Sio Mtu Wa Ku Coment Sana Ila Ningeomba Utuletee MAKALA YA MALAYSIA AIRLINES FLIGHT 370
@thabitngangila8562Ай бұрын
Tena aelezee djsmaa
@allykwayaАй бұрын
@@thabitngangila8562Haswa awe yeye Djsma
@aftapat5365Ай бұрын
hio mbona ishazungumziwa
@sinatatizonamtuАй бұрын
@@aftapat5365 Zipo Sana Hata Za English Ila Tunaitaji Atakae Izungumzia Mpaka Uelewe.
@ibrahimaziz7158Ай бұрын
Hapa lazima nifike nikija ulaya patanisaidia sana
@Officialjidaa-sn9csАй бұрын
Duuuh
@theprince5253Ай бұрын
Malaysia Airasia Kaka twende na hiyo ndefe iliyopotea boing 377