No video

BINTI MBUNIFU ALIYEIONA FURSA KUOKOTA CHUPA ZA VINYWAJI,MABAKI YA VITU VYA BAHARI NA KUFANYA MAPAMBO

  Рет қаралды 19,021

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@wazarendotv7966
@wazarendotv7966 Ай бұрын
Sasa mmefanyia interview hata kuweka mawasiliano yake kumpromote hamtaki Sasa ndo mmemsaidia Nini nyie mmebefit habari upande wenu yeye ana benefit vip kupitia kwenu acheni hizo bhana mpen support
@octaviantega5600
@octaviantega5600 Ай бұрын
Unachosema ni kweli bro @wazarendotv7966 mimi pia nimejaribu kutafuta mawasiliano yake lakini sijaweza kuyapata.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Ай бұрын
MashaAllah 🙏🙏🙏Mungu bariki kazi ya mikono ya huyu dada
@cavoo4get649
@cavoo4get649 Ай бұрын
Wow! Congratulation Hellen, kaza buti utafika mbali saana, 👍👍👍
@user-eq6pl5kj1y
@user-eq6pl5kj1y Ай бұрын
Hii ndio maana Halisi ya Cute with Brain
@EidMswak
@EidMswak Ай бұрын
Helen twatwannta mishana
@ivonafrancis919
@ivonafrancis919 Ай бұрын
Napenda Sana hii kazi
@SATZ-news
@SATZ-news Ай бұрын
Good job you just need connections to transport ur work outside countries ❤❤❤❤
@HareneKipande
@HareneKipande Ай бұрын
Hongera sana 🎉
@inocentmbise3625
@inocentmbise3625 Ай бұрын
Mungu akubariki nimependa ubunifu wako ,keep it up 12:26
@elizabethlmakandanja4119
@elizabethlmakandanja4119 Ай бұрын
Hongera sana dada kwa ubunifu huo nami nimejifunza
@hp2623
@hp2623 Ай бұрын
Mashallah Allah awe nawe
@maimunamudiri2616
@maimunamudiri2616 Ай бұрын
Mashallah hellena mtoto wa mikanjuni tanga
@omanmct135
@omanmct135 Ай бұрын
Naic kazinzuri
@Joseph-tf8sc
@Joseph-tf8sc Ай бұрын
Shida amepata pesa
@DominicaDamianTuseko
@DominicaDamianTuseko Ай бұрын
Hongera sana Hellen
@NamaProducts-ul5nv
@NamaProducts-ul5nv Ай бұрын
Mungu Yu mwema kipenzi
@Rajabkizwele-rs2by
@Rajabkizwele-rs2by Ай бұрын
Safi Sana pambana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Ай бұрын
Wow hongera sana
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Hapa Marekani huyo angakua billionaire
@helenachanya
@helenachanya Ай бұрын
Asante ❤
@user-sw6uo6rv6j
@user-sw6uo6rv6j Ай бұрын
Mashallah
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Ай бұрын
Bas apo uckute serekal chwiii inamtolea mimacho😢
@vibetz9991
@vibetz9991 Ай бұрын
Art nzuri sananananaaaaaa
@lihamecheusi5507
@lihamecheusi5507 Ай бұрын
Safi sn dada Pambana
@nasrahozza9231
@nasrahozza9231 Ай бұрын
Safi sana
@user-cz5qh2um4k
@user-cz5qh2um4k Ай бұрын
WAOOOOH HONGERA SANA NIMEPENDA HIYO MISHUMAA. NITAIPAYAJE NIKO ARUSHA
@user-qn1ot2bx8b
@user-qn1ot2bx8b Ай бұрын
Hapana Kuna m2 nyuma anaemfundisha
@StellaMwasha
@StellaMwasha Ай бұрын
Hongera dada
@victoriatembo1505
@victoriatembo1505 Ай бұрын
Hongera sanaa dada...kwakwel hta mm napenda sanaa mapambo ..nna chupa nying sanaa ila tu malighafi kwetu n gharama but ninaimani nitajitahd 🎉
@helenachanya
@helenachanya Ай бұрын
Ukijifunza atokosa jiyakufanya ikuingizie kipato
@annajohn175
@annajohn175 Ай бұрын
Naomba kujua mahali pa kupata glass cutter​@@helenachanya
@user-ik5pw9ju8h
@user-ik5pw9ju8h Ай бұрын
Big up ❤
@FlavianaMagege
@FlavianaMagege Ай бұрын
Nimependa ujasiliamali wako nomba mawsiliano yako
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c Ай бұрын
Mtot 2000 mweny akiri
@MAPOFA435
@MAPOFA435 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@falysahlyimo8626
@falysahlyimo8626 Ай бұрын
Naomba mawasiliano yake
@user-jl5zh6qi2w
@user-jl5zh6qi2w Ай бұрын
Ila anamkundu
@user-qn1ot2bx8b
@user-qn1ot2bx8b Ай бұрын
Safi 😊
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 Ай бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Daaah
@emmanuelmelkion8641
@emmanuelmelkion8641 Ай бұрын
Back to Jesus bro
@emmanuelmelkion8641
@emmanuelmelkion8641 Ай бұрын
Jesus loves you
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz Ай бұрын
Pl wekeni simunoyakeau email tnunuwe vitu
@serdarmathias-s3d
@serdarmathias-s3d Ай бұрын
@EidMswak
@EidMswak Ай бұрын
Helen twatwannta mishana
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 194 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 9 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 323 М.
Mkasi - SO6E03 With Millard Ayo
27:23
MkasiTV
Рет қаралды 480 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН