AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI

  Рет қаралды 319,949

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

Күн бұрын

Nimeona nikubariki kwa wimbo huu ambao ni ushuhuda wa kweli wa Binti mwenye Imani ambaye nilisimuliwa story yake ya kusisimua sana...
alikuwa na Nia ya kusoma Ila uwezo haukuwepo na alikuwa amezaliwa hamjui baba yake, alipata kazi Dar, kazi za ndani (housemaid) na akaamua kujiendeleza kwa kumuomba boss wake aende shule...
na boss wake alikuwa mwema akamruhusu, lakini ombi la pili lilikuwa gumu zaidi, huyu msichana aliomba akamchukue mama yake kijijini aje afanye kazi za ndani badala yake ili yeye akasoma, ili ule mshahara mdogo mama akichukua awe anamtumia shule imsaidie.
Imani ya namna hii Mungu hawezi iacha ianguke bure.
Kuelekea ibada ya shukrani pamoja na live recording niliyoiandaa mwezi wa December tar 08 Mlimani City... nitakuwa nikikuletea baadhi ya shuhuda na nyimbo kama hizi ili Imani yako pia iinuke.
Kama utataka kutusupport kifedha kufanikisha maandalizi ya ibada hii tafadhari wasiliana nami kwa number 0767619931 na 0713619931 Utaongea nami Ambwene Mwasongwe moja kwa moja.

Пікірлер: 572
@brunomapunda831
@brunomapunda831 9 ай бұрын
Kama imekugusa gonga like, tujuane
@user-qs1pl2qh3h
@user-qs1pl2qh3h 7 ай бұрын
Nizaidi unariliwe sana
@evaristokayombo9385
@evaristokayombo9385 9 ай бұрын
Unasikiliza nyimbo alafu unawaza aka kazambi kakipumbafu kanakokung'ang'ania kanafanya nini hapa toka kwa jina la Yesu ubarikiwe MTU WA Mungu
@magrethkimario5560
@magrethkimario5560 9 ай бұрын
Huu wimbo Umegusa maisha yangu 🥹🙌ni kama nimeimbiwa mimi
@JosueElie
@JosueElie 4 ай бұрын
ibarikiwe tumbu île iliyo kuzaa ambwene, gonga like nione uko hapa 😭😭😭
@yokimrossie3536
@yokimrossie3536 4 ай бұрын
We wanipenda kuliko rafiki 😢wewe wanijali kuliko ndugu 😊 Thank God 😢
@ezrakayagambe5926
@ezrakayagambe5926 9 ай бұрын
BWANA tuongezee imani
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 9 ай бұрын
Verse ya pili imenikosha sana,barua ya binti alionwandikia mama yake kijijini,Inatia moyo sana yan....YUPO NA MUNGU LAKINI ANATAKA NA MAMA YAKE ASIMSAHAU MUNGU❤
@estherjacob7874
@estherjacob7874 9 ай бұрын
AMINA,Kweli MUNGU HAMTUPI MWENYE IMANI.kama unaamini weka like.
@rahelynocha642
@rahelynocha642 9 ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Uniazime moyo wako nitarudisha utakatifu ,,,, Powerful
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 9 ай бұрын
Nimeelewa Mtumishi
@davidmapogo8784
@davidmapogo8784 9 ай бұрын
Huu wimbo kwangu umenifanya kupata nguvu zaidi Mungu ni mwema wakati wote
@AdelinaLusekelo-xl4bm
@AdelinaLusekelo-xl4bm 9 ай бұрын
Ila kaka angu unaimba pia utunzi wa nyimbo 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 mwimbaji wangu pendwa kutoka Tanzania 🥰🥰🔥 Mungu akutunze 🙏
@nathanielanania
@nathanielanania 9 ай бұрын
Wewe waweza hesabu Machungwa ndani ya mbegu. 🙏
@emmanueljustin8650
@emmanueljustin8650 9 ай бұрын
Legendary..mwanamziki wangu wa gospel bora wa Muda wote.!!
@wordsofhopewestpalzab4875
@wordsofhopewestpalzab4875 9 ай бұрын
Ambwene mwalimu wangu kila siku pasipo kuchoka naku fata kila siku from UAE
@severinaallan3011
@severinaallan3011 9 ай бұрын
Mzee wa Imani Mungu akutunze utunzi wako unagusa na kuganga mioyo nabarikiwa sana kusikiliza nyimbo zako
@miryfuraha2193
@miryfuraha2193 9 ай бұрын
Nyie😭😪🙌
@elizabethcaleb8510
@elizabethcaleb8510 9 ай бұрын
Nimemfuatilia mwimbaji huyu kwa muda...tangu alipoimba "chozi la haki" ulionisaidia wakati depression iligonga hodi mara kadhaa...Hakika Bwana amemsaidia pamoja na mke wake...🎉🎉Tena Tanzania mumebarikiwa.😊
@aureliaissack8309
@aureliaissack8309 9 ай бұрын
Ambwene is a best song writer
@stellanekey-bp2oc
@stellanekey-bp2oc 9 ай бұрын
Nakusubilia mbinguni. Nimeipenda zaid
@WITYDijja
@WITYDijja 9 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa MUNGU ❤nyimbo zako huwa zinanibariki sana🙏
@edwardjohn1362
@edwardjohn1362 9 ай бұрын
Nyimbo nxur San mtumish wa mungu
@rosemaryraymond8813
@rosemaryraymond8813 9 ай бұрын
Hakika wewe unanipenda Yesu😢😢😢😢😢niazime moyo wako nitarudisha utakatifu
@esthersongambele3497
@esthersongambele3497 9 ай бұрын
Ameeen
@nipapy9537
@nipapy9537 9 ай бұрын
Mwili wa Kristo tuna baraka ambayo wengi hawajaijua na ni ndugu huyu Ambwene ubarikiw kwa karama nzuri hii uliyo pewa na Mungu .sisi wadogo zako tunajifunza mengi kutoka kwako
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 9 ай бұрын
Congratulations 🎉 man of God, someone to like my comment ❤❤
@TUMAINICHAPILE
@TUMAINICHAPILE 9 ай бұрын
Ubalikiwe sana MTumishi wa MUNGU
@Monyo04
@Monyo04 9 ай бұрын
Ata ikitokea nisipofanikiwa nitawaambia kuwa ni wewe Mungu tu, japo na Imani na najua Mungu hujawah Muacha Mja wako❤ Great song
@JoyceClement-bz8lc
@JoyceClement-bz8lc 9 ай бұрын
Mungu aendelee kukufungulia neema nyimbo ni nzur sana @ambwene
@regak2010
@regak2010 9 ай бұрын
Among The Spirit upon Ambwene's Songs is that of healing brokenhearted. The Spirit of Hope. The Spirit that says tomorrow will be better than today. The Spirit that says it shall be well.
@edsonjeconia3257
@edsonjeconia3257 9 ай бұрын
Ubarikiwe kaka ambwene
@elishampoki8751
@elishampoki8751 9 ай бұрын
Hom boy❤❤ barikiwa
@ajaykilawah2622
@ajaykilawah2622 9 ай бұрын
Wakwanza kucomment😢
@kenedypaul1776-ni2nl
@kenedypaul1776-ni2nl 9 ай бұрын
Huu unatugusa vijana wa kimaskini tuliosoma kwa shida huku tukimtumikia Mungu na akatufanikisha kumaliza salama, Mungu ni mwaminifu kwenye maisha yangu.Nimejawa na ushuhuda kupitia huu uwimbo.
@gabrielgodwin7398
@gabrielgodwin7398 4 ай бұрын
kweli ukimtumikia mungu hawezi kukuacha
@tonychazzyhanger
@tonychazzyhanger 9 ай бұрын
My best Tanzanian gospel singer ❤️🙌😭
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 8 ай бұрын
Very best,smart and really spiritual look
@elizanyarusi6154
@elizanyarusi6154 6 ай бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu.
@jescakimbwili3275
@jescakimbwili3275 9 ай бұрын
Kaka mkubwa barikiwa sana
@user-cb7sm8ts2z
@user-cb7sm8ts2z 2 ай бұрын
Binti wa Imani Ameen
@user-tz9pp7fy9x
@user-tz9pp7fy9x 9 ай бұрын
Daaah nmelia sana nikiwa nakumbuka matendo Makuu ya mungu aliyotenda maishani mwangu 🙏🙏🙏mungu hadanganyi 🙏🙏🥺dear lord your daughter is thankful 🙏🙏baronies sana mzee wa imani
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 9 ай бұрын
Kuna waimbaji wa gospel halafu kuna Ambwene Mwasongwe
@antondaniel5673
@antondaniel5673 9 ай бұрын
Amen,kazi nzur bro
@g.gwemela5159
@g.gwemela5159 9 ай бұрын
Maombi ya NADHIRI. Ubarikiwe kaka AMBWENE .
@lukasnyagah1863
@lukasnyagah1863 9 ай бұрын
Asante kwa wimbo mwema
@johntaalumamadembo358
@johntaalumamadembo358 9 ай бұрын
Ooooh my God...mon Dieu...mon Roi...quelle bonne inspiration...nimejipata kwa maombi yakushukuru after kusikiliza huu wimbo... Ambwene mwasongwe wewe ni Baraka kwa maisha yangu...nakuita kila mara mtu karibu na Mungu...ubarikiwe saana ❤❤🙏🙏🙏🔥
@tish6140
@tish6140 9 ай бұрын
Tuma kitu kwa account yake mkono mtupu haulambwi😂
@mwikokidorah8654
@mwikokidorah8654 9 ай бұрын
Nyimbo zako zinagusa sana maisha yangu 😢😢 Yesu akutunze kwa ajili ya kazi yake njema
@emmyherry9659
@emmyherry9659 2 ай бұрын
Unasemaje yesu amtunze kwani ndiye kampa uhai😂
@jisephineadaut5799
@jisephineadaut5799 2 ай бұрын
Kwa imani hyo naamini wewe humtupi mwenye imani😢😢🙏🙏
@adelinamaluli4216
@adelinamaluli4216 9 ай бұрын
Wimbo uko na ujumbe mzito asante qwa wimbo huu umetubariki barikiwa na Mungu aendelee kukuinua zaidi.
@zabronmwakyo3016
@zabronmwakyo3016 9 ай бұрын
I can't stop listening this testmony, since morning till now I'm on repeat. Asante sana mtumishi wa bwana
@gelardjames2595
@gelardjames2595 9 ай бұрын
More blessing uncle Ambwene
@janethmollel406
@janethmollel406 9 ай бұрын
This song makes me to crying 😭😭😭😭😭😭 Mungu hasemi uongo Wala hamtupi mwenye Imani.
@MAGDALENANTEZIMANA-hi8bc
@MAGDALENANTEZIMANA-hi8bc 8 ай бұрын
Mungu akubariki Sana unaimba nyimbo za uwepo zinanibariki pia
@MAGDALENANTEZIMANA-hi8bc
@MAGDALENANTEZIMANA-hi8bc 8 ай бұрын
Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi kuliko Apo ulipo
@MAGDALENANTEZIMANA-hi8bc
@MAGDALENANTEZIMANA-hi8bc 8 ай бұрын
Imba kwa malengo ili tusiishie kuimba hapa duniani tukaimbe pia mbinguni pamoja na mwanakondoo
@marylinegoodluck-fj1zc
@marylinegoodluck-fj1zc 9 ай бұрын
Asante MUNGU wangu nakupenda Sana maana huwatumia watumishi wako kunipaa ujumbe kwa wakati sahihi naamini unanipenda kuliko rafiki nimelia machozi ya furaha asanteee MUNGU wangu😭😭😭😭
@elizabethbwete3784
@elizabethbwete3784 9 ай бұрын
Wimbo Umenigusa saaana Ubarikiwe Sana kaka ni Mimi Dada Yako Mwana wa Mbwete
@priscajonas7805
@priscajonas7805 9 ай бұрын
Ubarikiwe Mno 🙏🙏 Hii nyimbo ni ushuuda kwenye safari Yangu mpambanaji 😢😢
@henockmzilo6446
@henockmzilo6446 9 ай бұрын
Napenda nyimbo zako Ambwene❤️❤️
@kibonaamenye6878
@kibonaamenye6878 9 ай бұрын
binti wa imani ,, nikama story but yupo na nimemshuhudia. binti akimkumbusha mzazi wake alichowahi kumuahidi awali Binti alimtia moyo mzazi wake yakwamba "*hata kwa hari hii inawezekana na mimi nikafikia malengo yangu ngoja nisome*" hivi juzi amehitimu degree yake ya education.. kweli Mungu yuko atendaye kabla hatujafanya lolote, atusikiaye kilio chetu na maombi yetu kabla hatujatoa sauti yoyote ile. Barikiwa sana nyimbo zako zikafanyike faraja na furaha kwa wenye huzuni
@sulupeacecharles1397
@sulupeacecharles1397 9 ай бұрын
Binti wa imani !!! What a testimony!
@NiderTV
@NiderTV 9 ай бұрын
Come on best gospel musical always is you
@user-dx5pd8hv4w
@user-dx5pd8hv4w 9 ай бұрын
MUNGU najua akusubi kumuweka ambwene kwenye Marshall ya watu wengi amefanyika baraka sana
@enockkabika9381
@enockkabika9381 9 ай бұрын
Maisha mazuri yapo ingawa mara nyingi yanaletwa na misukosuko kuvumilia ndio njia nzuri ya kufikia malengo ubarikiwe sana ambwene Mungu akutie nguvu ...
@sospeterkedmonchitema
@sospeterkedmonchitema 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@faithwambui861
@faithwambui861 9 ай бұрын
I logged into Instagram and I came across a part of this song. I was really going through a rough moment of asking God so many questions but the moment I listened to it, it I knew it was from God because of the peace that I experienced within a second. May God bless you for allowing Him to use you.
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 9 ай бұрын
The same to me
@user-lf2hq4ps9z
@user-lf2hq4ps9z 7 ай бұрын
MUNGU akuzidishe zaidi nakupenda sana huduma yako. Nyimbo zako zote zimejaa ujumbe napenda xanaaa
@morinemuhonja9565
@morinemuhonja9565 9 ай бұрын
Amen hii wimbo ni kama umeniona
@lilianurio9781
@lilianurio9781 9 ай бұрын
Huyo ni mimi kabisa namshukuru sana Mungu kwa aliponifikisha, namuomba Mungu, mchumba angu Mungu ampe moyo wa imani na ibada na upendo, Amina.
@eliasodoyo4512
@eliasodoyo4512 Ай бұрын
n mimi anaongelelea
@Lutenganomwakalinga
@Lutenganomwakalinga 9 ай бұрын
Ndugu yangu kabisa nakukubali sana broo from mibula
@user-be4dj7og6o
@user-be4dj7og6o 6 ай бұрын
mungu akubark kaka angu nyimbo zako zina nibark Kwel
@herimboya
@herimboya 9 ай бұрын
The legend 🔥🔥🔥
@ruthmsechu1758
@ruthmsechu1758 9 ай бұрын
Naamini Mungu yupo nami ataifanikisha safari yangu 🙏🙌
@RoseUrio-bl3dm
@RoseUrio-bl3dm 9 ай бұрын
Sifa na Utukufu ni kwa BWANA YESU.
@petrokimages8820
@petrokimages8820 9 ай бұрын
I'm blessed with the testimony. Mwenyezi Mungu akufanikishe katika yote , akupe maisha marefu na akilinde kizazi chako.
@fridatony5610
@fridatony5610 9 ай бұрын
My favorite song❤🙏😇
@8151mussakudely
@8151mussakudely 8 ай бұрын
Kuna namna ambwene huimba yasiyo imbwa wakat mwingn ni kama anaimba kwa ala za mzik ambao asili yake ni sirini patakatifu 🙏🙏ubarikiwe sana
@jamesnyariru5604
@jamesnyariru5604 9 ай бұрын
Very nice 🙏🙏🙏
@elijahsaro6611
@elijahsaro6611 9 ай бұрын
My role model from Tanzania hakuna utunzi umeimarika sauti ya ninga iliyojaa upako natamani mungu aniajalie neema nifikie hapa ulipo bro miaka 20sirahisi hongera
@benardzacharia1172
@benardzacharia1172 9 ай бұрын
hongera kwa kuwaza utumishi,,,mwemaa but ushauri kidgo,,,hata uwe na saut nzuri vip bila upako watu watakuona wa kawaida tu,,,,hivyoo kuwa na muda mwingi wa kuomba sirini,,,nawe utakuwa mtu mkubwa!!! but sorry kama nimeongea vibaya🙏🙏
@stephenmakau4410
@stephenmakau4410 9 ай бұрын
Nimekuelewa vizuri kabisa,haujakosa ❤
@kenedypaul1776-ni2nl
@kenedypaul1776-ni2nl 9 ай бұрын
Mtumishi unanibariki sana na uimbaji wako
@user-wy8gd1rq4b
@user-wy8gd1rq4b 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana Broo, nabarikiwa sana nyimbo zako maana Zina upako mno.
@metrinekazungu-ns2pz
@metrinekazungu-ns2pz 9 ай бұрын
@@stephenmakau4410 l
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 9 ай бұрын
unaimba vizur ukilita jina la yesu itakua vzr zaidi maana hatuwezi kuwa na imani pasipo yesu yeye ndiye njia kweli na uzma mtu hatamwona Baba pasipo yeye
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 26 күн бұрын
Kwani Yesu SI Mungu??
@okulimwaifuge7989
@okulimwaifuge7989 3 ай бұрын
Best of the best🎉, usajigwege Mwasongwe🔥🔥🔥🔥
@ruthmsechu1758
@ruthmsechu1758 9 ай бұрын
🙌🙌
@edmondrahel6918
@edmondrahel6918 9 ай бұрын
Ubarikiwe mwimbaji wangu bora wa muda wote
@user-vr4eh4lw2j
@user-vr4eh4lw2j 9 ай бұрын
Mungu azidi kukupeleka viwango Vingine always u made me to feel in another stage nskizapo nyimbo zako
@user-ut1ls8fi8f
@user-ut1ls8fi8f 5 ай бұрын
Machozi yamenitoka hakikaaa wimbo mzuri Sana upako
@user-td9uh3cd9n
@user-td9uh3cd9n 2 ай бұрын
Huu wimbo una mambo matatu,,! Jambo la kwanza ni ushuhuda wa Binti, Jambo la pili ni mtunzi alijaribu kumuelezea Mungu ni nani ( Praise) na jambo la tatu na la Mwisho ni ibaada, Mwimbaji alikuwa ana mwabudu Mungu ( Worship) Mtumish wa Mungu Mwasongwe, wewe ni Mmoja kati ya waimbaji wachache saana ambao huwa wanaihangaisha saana akili yangu kutafuta dhana kamili ya ujumbe ulio ukusudia kwa sisi Audience wako,,! Mungu aendelee kukutunza saana,,!🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️
@Mwamba-jt5cc
@Mwamba-jt5cc 2 ай бұрын
Amen
@rebeccamwaitela224
@rebeccamwaitela224 9 ай бұрын
MUNGU azidi kukuinua mtumishi, hakika nauona utukufu wa MUNGU na ukuu wa MUNGU kupitia nyimbo zako ubarikiwe 🙏🙏🙏
@bestinashadrack7085
@bestinashadrack7085 9 ай бұрын
Oooh My God this is my true story for my life😭😭😭😭 God is Good 😭😭😭😭😭
@marthabasyagile1971
@marthabasyagile1971 6 ай бұрын
Kwa kua tumeshampigia goti tunaweza kusimama mbele ya yoyote👏🏻👏🏻👏🏻🙌🏾🙌🏾🙌🏾#powerful
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 9 ай бұрын
Hutumii nguvu kubwa kuimba,ila tunabarikiwa sana sana sana✊✊🙌
@pharesmwema7
@pharesmwema7 9 ай бұрын
What an inspiration!!! Hamtupi mwenye IMANI.
@user-de9gf2wi9o
@user-de9gf2wi9o 9 ай бұрын
Barikiwa masihi wa BWANA
@user-ew9yb1zd8u
@user-ew9yb1zd8u 9 ай бұрын
Nyimbo imenigusa sana, nikiutafakari ukuu wa MUNGU alipo nitoa ni mbali sana 😔hata kwa hapa nilipo fikia sio kwa akili zangu, ntamtumikia milele.
@user-ci2sh3zo2e
@user-ci2sh3zo2e Ай бұрын
(...)mimi na weza vunja yai kwa jiwe, but wewe wa weza vunja juwe kwa yai(...)😢. AMAZING GOD ❤
@adinnitucma9612
@adinnitucma9612 9 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi. wimbo umebariki wengi
@pasteurmwagalwaimanimadeule
@pasteurmwagalwaimanimadeule 9 ай бұрын
Mpendwa wa mwagalwa Imani madeule ubarikiwe
@victoriajoseph3101
@victoriajoseph3101 9 ай бұрын
Am blessed with this song🙏🙏
@BeatriceChalamila
@BeatriceChalamila Ай бұрын
Eee Mungu wangu nakuahid kukutumikia naomba unisaidie
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 9 ай бұрын
Saut barikiwa na maneno barikiwa kabisa toka ka Mungu
@user-mb4cx3tw7o
@user-mb4cx3tw7o 8 ай бұрын
Kusema ukweri nyimbozako zinanipa furaha sana ubarikiwe sana
@maryimonje828
@maryimonje828 9 ай бұрын
Mungu hamtupi mja wake Ayayayayayaaaaa...... 🤚🤚🤚🤚
@safarijeandedieu775
@safarijeandedieu775 9 ай бұрын
Hallelua hallelua hallelua hallelua hallelua hallelua My favorite artist ❤❤ This story is touching my history ooooo my God 😭😭😭😭😭😭 Brother Ambwene , I really love you , you are a really servant of God , you are a wise man ❤❤ You are a lovely portion in our kingdom.
@user-ds5xr5yt2w
@user-ds5xr5yt2w 9 ай бұрын
Binti wa Imani🙏
@loycejames
@loycejames 9 ай бұрын
Kabala ya hapo halipanga mipango akawake tumaini mbele MUNGU akubariki sana mtumishi 🙏🙏🙌😥😥😥
@Ahimidiwe-munisy
@Ahimidiwe-munisy 9 ай бұрын
Amen🙏
@paulinanziku314
@paulinanziku314 9 ай бұрын
Your songs are part of my life
@josephmazala6271
@josephmazala6271 9 ай бұрын
wimbo mzuri sana ....
@leonardfabian9767
@leonardfabian9767 9 ай бұрын
Mimi naweza vunja yai kwa jiwe...lakini wewe Bwana waweza vunja jiwe kwa yai ✍️💪. Acha niendelee kukutumikia Maana wewe ni utoshelevu na humtupi mwenye Imani. 🙏🙏
AMBWENE MWASONGWE - NITAAMBATANA (official music video)
7:48
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 393 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 69 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 64 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 87 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 20 МЛН
Ambwene Mwasongwe - Nimeachilia (Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1 МЛН
Uongezeke Yesu | Boaz Danken
11:40
Lucas Kaaya
Рет қаралды 2,3 МЛН
USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa |  Rev. Dr. Eliona Kimaro
38:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 200 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 5 МЛН
Dr. IPYANA  Suprise visit to Tuesday worship Moments
30:26
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 450 М.
Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video)
7:56
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 910 М.
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 2,1 МЛН
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 64 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 839 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 11 МЛН
KeshYou x Snoop Dogg - Forever Sunday (Official Music Video)
3:06
BM PRODUCTION
Рет қаралды 208 М.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 29 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,3 МЛН