AMBWENE MWASONGWE - NITAAMBATANA (official music video)

  Рет қаралды 393,663

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

Жыл бұрын

STORY BEHIND #NITAAMBATANA
Yakiwa yamebaki masaa machache wimbo #Nitaambatana uwe hewani. Leo Ijumaa saa 19:00 yaani saa moja usiku. NAOMBA NIKUSHIRIKISHE SABABU YA WIMBO HUU ILIYO NYUMA YAKE.
Tarehe 15 April 2018 Nilipata neema ya kufunga ndoa na Jaqualine Mushi kwa kipindi hicho sasa Jaqualine Mwasongwe,.
Tulikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2013 tar 4 November siku ya birthday yake, akiwa Mbeya mwaka wa Kwanza chuo cha Mzumbe akisoma Baf (Bacherol of Accounting and Finance) Mimi wakati huo nilikuwa nasoma Diploma Chuo cha uhasibu Mbeya Tia Pia nikifanya DA (Diploma in Accountacy).
Tulianza vizuri mahusiano yetu na baada ya wiki moja tu presha, misukosuko majaribu yaliibuka toka kila pande, lakini tulisimama kwa msaada wa Mungu hatimaye baada ya miaka mitano yaani Mwaka 2018 Ndipo tukafanikiwa kufunga ndoa, Jaqualine akiwa ameshamaliza Degree yale 2016 nami nikifuatia mwaka mmoja baadaye yaani 2017.
Tarehe 15 April 2023 Jumamosi tutakuwa tunatimiza Miaka mitano ya ndoa, Unaweza ona tuna miaka 10 tangu tumekuwa kwa mahusiano miaka 5 ya uchumba na 5 ya ndoa.
Hili kwetu sio jambo dogo hata kidogo, ni jambo kubwa na zito sana ambalo hatujaliacha lipite tu kimyakimya bila kukumbuka na kufanya kitu ambacho kitakuwa baraka, kumbukumbu, na SHUKRANI ZETU KWA MUNGU.
Tukihesabu tuliyosikia, tuliyopitia, tuliyotenda, tuliyotendewa, tuliyosemwa na kusema tunabaki tunashangaa is imekuwaje tumefika hapa? Jibu ni moja tu BWANA AMETUSAIDIA.
Sisi hatuna kitu cha kujivuna wala kujivunia tunayaona maisha yetu, furaha, amani upendo, vitu, watu, ndugu, uhai, afya nk Tumepewa tu kwa neema Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa haya?
TUMEANDAA WIMBO #NITAAMBATANA kama zawadi yetu kwa wanaondoa wote, na wale watakaowa na kuolewa mwaka huu, watakaochumbia na kuchumbiwa na watakaobariki ndoa zao... Huu ni wimbo wenu sisi tumewawakilisha tu.
TUNATAMANI SANA WIMBO HUU UPIGWE KWENYE HARUSI YAKO NA UKAWE BARAKA NA MANENO YA WIMBO HUU YAKAWE MAOMBI YENU NA KIAPO CHENU KWA MUNGU.
Mkifanya hivyo tutakuwa sehemu ya furaha yenu na tutakuwa sehemu ya familia yenu pia.
Mungu awabariki sana na ninaamini utaenda kuupokea wimbo huu kwa furaha na amani tele.
Tunawapenda sana.
Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: / ambwenemwasongwe_
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
#AmbweneMwasongwe #Nitaambatana

Пікірлер: 1 200
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 Жыл бұрын
Mungu awege na wewe mtumishi Naam anae support Huduma ya mwasongwe like zije hapa
@matronashirima1489
@matronashirima1489 Жыл бұрын
Halafu wewe uzipeleke wapi ..
@fransisigulu9761
@fransisigulu9761 Жыл бұрын
Wanyakyusa bwana😂 awege,,,ndo nini?
@jamesmumo6637
@jamesmumo6637 Жыл бұрын
I like it
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@fransisigulu9761 muache mnyakyusa wa watu😆😆😆
@fransisigulu9761
@fransisigulu9761 Жыл бұрын
@@nancyg8664 hahahahah 😂
@invocavitmbise5296
@invocavitmbise5296 Жыл бұрын
Kuna siku namimi nitaimba huu wimbo nikiwa nimevaa Pete 2(ya uchumba na ya ndoa) nikiwa na mme wangu halisi...Ameni
@neemajulius8017
@neemajulius8017 Жыл бұрын
Tuko pamoja mpendwa Mungu atusaidie nami ndoto yangu kama yako kuvaa pete mbili💃🙏
@invocavitmbise5296
@invocavitmbise5296 Жыл бұрын
@@neemajulius8017 Ameeni.... Amen...Tutarudi hapa kushuhudia siku moja
@misshappie8234
@misshappie8234 Жыл бұрын
Amen na ikawe hvyo kwako
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Жыл бұрын
Pokea Sawa sawa Na uhitaji wako
@invocavitmbise5296
@invocavitmbise5296 Жыл бұрын
@@pendokissatu937 ameni Pendo ubarikiwe
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Powerful Kaka Wewe ni Mwalimu Mungu amekuweka Ili uzidi kutufundisha
@mariajoshua6202
@mariajoshua6202 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@JanethKapange-wq7iq
@JanethKapange-wq7iq Жыл бұрын
Naamin kupitia wimbo huu mwaka hautoish nitavalishwa Pete na kufunga ndoa.amen MUNGU awabariki mtumishi
@chikumbwilo9565
@chikumbwilo9565 Жыл бұрын
Chukuliana na lugha yangu, Chukuliana na historia yangu, Chukuliana na madhaifu yangu, Tubebe Yale madhaifu yetu. 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@elenlazaro3192
@elenlazaro3192 Жыл бұрын
Ntaimbaa huu wimbo na mume wangu mwakani in Jesus name....a better marriage is the portion of my life 🙏🤲....am blessed with this song...any one manifesting marriage or anyone blessed drope your likes here formore blessings ❤️❤️
@SMEDIA298
@SMEDIA298 Жыл бұрын
Kiu yako ikaendelee hata katika maisha Ya Ndoa isishie hapo tu
@janety1933
@janety1933 Жыл бұрын
Mungu akupe haja ya Moyo wako, akujalie sawasawa na neno lake
@annamgaya5299
@annamgaya5299 Жыл бұрын
Yesu awafikishe na kuwafanikisha
@williammbuli4583
@williammbuli4583 Жыл бұрын
MUNGU amutendee mtumishi Kwa majira yake sahihi. Pokea katika JINA LA YESU KRISTO. AMENI!!!
@upendodickson897
@upendodickson897 Жыл бұрын
Huu wimbo niliuona kuanzia day 1: nimetafakari sana maneno ya wimbo huu, kaka yangu Mungu akutunze na kukuimarisha. Najua sio kwamba ndoa yako haina changamoto ila umechagua kumfuata Kristo no matter what. Najua haya maneno yanaweza kujaribiwa ili yaonekane uimara wake; ombi angu kwenu ni kwamba hata wakati wa maneno ya wimbo huu kujaribiwa na kupimwa Damu ya Kristo ikawafunike na mkatoke salama.
@tusekilemwaisabila4603
@tusekilemwaisabila4603 Жыл бұрын
Hongereni sana. Wimbo huu utakuwa baraka kwa ndoa nyingi. Mungu awabariki na awapeni haja ya mioyo yenu. Nawapenda sana.
@carolinejohn9201
@carolinejohn9201 Жыл бұрын
One day yes nitaingia ukumbini nikicheza wimbo huu in Jesus name 🙏🏾
@marymwalugeni2494
@marymwalugeni2494 Жыл бұрын
Amènn
@magrethmgaya5535
@magrethmgaya5535 Жыл бұрын
Amin sna
@veronicalufingo3513
@veronicalufingo3513 Жыл бұрын
Nikibahatika kufunga harusi ntatumia hii nyimbo kumtafuta mchumba angu siku ya sendof ❤😢
@stephaniejeremiah9566
@stephaniejeremiah9566 9 ай бұрын
❤❤❤ww ni nyama ktk nyama zangu❤❤❤ kula chuma hikooooo🎉🎉🎉🎉
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 2 ай бұрын
Nakula mziki mnene wa ambwene unadunda balaaa navyopokea masikioni mwangu unachuja balaa safiii ambwene nabarikiwaaaaaaa
@gideonleonceelias5423
@gideonleonceelias5423 Жыл бұрын
Nasikiliza hii song nikiwa nina wiki chache tu nime kutana na msichana niliye mtafuta kwa miaka na mikaka. Msichana niliye dhani yumo ndani ya wasichana kumi na tano walio nikataa huko nyuma. Hatimae nakuja kukutana nae nikiwa nimechoka na kukata tamaa. Baada ya kumpata ndio nimegundua kwanini wale wote Yesu aliruhusu waondoke ili niambatane na huyu. Nimegundua amewazidi wote, nimegundua nilikuwa nang'ang'ania moto ambao ungenichoma maisha, sasa niko mahali ambapo mawazo na moyo wangu vyote vina nithibitishia kuwa ni mikono salama. Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu. 1 Yohana 2:19 Asante kwa nyimbo Nzuri, nami nita ambatana nae mpaka dakika ya mwisho nampenda ana nipenda, najivunia naye anajivunia mimi. 💕🌹
@glorycharles615
@glorycharles615 Жыл бұрын
Ndo umuoe sasa
@gideonleonceelias5423
@gideonleonceelias5423 Жыл бұрын
@@glorycharles615 Hiyo ni lazima
@praytest6087
@praytest6087 Жыл бұрын
What a beautiful song, 3 weeks to my wedding and i have got the song to sing with my other betterhalf 😊! God bless all married couples and those about to get married like ours 🙂
@dadajoy8684
@dadajoy8684 Жыл бұрын
Congrats 🎉
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 Жыл бұрын
All the best on your wedding, congratulations
@maryyegella595
@maryyegella595 Жыл бұрын
😍same here three weeks to go for my wedding🥰
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 Жыл бұрын
@@maryyegella595 Our Lord God be with you and your husband to be Mary
@maryyegella595
@maryyegella595 Жыл бұрын
@@theresiagideon2178 thankyou so much dear🥰🙏🙏
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 8 ай бұрын
Wifi yetu mzuri jamani, Mungu awape maisha marefu yenye furaha
@rahelwilson4824
@rahelwilson4824 Жыл бұрын
Wimbo umetoka cku ya anniversary ya miaka miwili ya ndoa yetu, trh 16, mm na mme wngu tumebarikiwa sana na tumejifunza kitu kutoka kwenu,barikiwa sana na Mungu akumbuke hitaji la mioyo yenu🤗
@evilahmponzi2768
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Mweee ka mke kazuri saana ila hongera Sana br Ambwene naamini ntaingia na hii wimbo Nov kwenye ndoa yangu🥰🥰🥰
@kissesmariesydney1523
@kissesmariesydney1523 Жыл бұрын
Na mie nimekuja💛😘😘sikiliza wa kwanzaaa❤❤❤bless nyimbo zako znatubariki sanaaaa..... Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Mungu na famlia yakoo. Likes jmn nirud sikiliza tenaa🎉
@SaraphinaKasinje-yx4ne
@SaraphinaKasinje-yx4ne Жыл бұрын
Najikuta nina smile peke yangu kama nimeimbiwa mimi 😂😂, barikiwa Kwa wimbo mzuri
@jessemushashu2507
@jessemushashu2507 Жыл бұрын
Pongezi kwako Kaka Ambwene Utukufu nikwake Mungu alieruhusu yafanyike haya
@dorahyohana7238
@dorahyohana7238 Жыл бұрын
Namwamini mungu nami nitafunga ndoa nasubiri wakati wake
@agnesmhindi3520
@agnesmhindi3520 Жыл бұрын
Woow wimbo mzuri, Mungu anijalie mwenzi mwema wa kuambatana nae. Amen
@elishazanzibar979
@elishazanzibar979 Жыл бұрын
One day i will get the only one for me and i will move with her to the next step 😢🎉let me keep things holly for her
@heriethgoodson8874
@heriethgoodson8874 Жыл бұрын
Ipo siku ambayo naamini haipo mbali nitaambatana na wangu aliyeumbwa kwaajili yangu eeeh Mungu nakusihi nikumbuke katika ili🙏🙏
@saraphinajohn9112
@saraphinajohn9112 Жыл бұрын
Kuna siku na Mimi nitampata ambae nitasema huyu ndie nyama katika nyama zangu, mungu nipe hitaji la moyo 🙏 wangu
@majormalyuta2669
@majormalyuta2669 3 ай бұрын
Welcome
@halibesthb
@halibesthb Жыл бұрын
Kwenye harusi yangu lazma niuilbe uwimbo pamoja na mke wangu mtarajiwa,,, naupenda sana , Mungu awa bariki
@DonathaMgimwa-xg1ih
@DonathaMgimwa-xg1ih Жыл бұрын
mungu anisaidie niendeelee kuambatana na mme wangu hadi mwisho wa maisha ya hapa duniani
@AgnesHillary-js4hd
@AgnesHillary-js4hd Жыл бұрын
Yani ambwene anasauti ya kupenya uvunguni mwa mioyo ya watu na nyimbo zake zinabalikii na kutufundisha kumwabudu mungu tyuu
@wilfredlazarus8130
@wilfredlazarus8130 9 ай бұрын
Brother, umenifanya ni urudie wimbo huu mara kwa mara, HONGERENI SANA na MUNGU AWABARIKI sana... Kazi nzuri...mmeutendea haki wimbo, umetulia ile haswaa...Big up
@stephenshapa3441
@stephenshapa3441 Жыл бұрын
Anayependa kusoma Bible college kwa njia ya online class, weka namba yako nikuunge, kwa ni BURE kabisa, kwa Mwaka mmoja
@maxmilliangabriel5244
@maxmilliangabriel5244 Жыл бұрын
Kati ya watu ninaowajua wamebahatika kuwa na wake warembo ni ambwene, pastor Nick shaboka, masanja...na mimi
@debraswai9131
@debraswai9131 Жыл бұрын
Bwana asipo ulindamji walindao wakesha bure.Aminaa mtumishi.
@hildamaziku4385
@hildamaziku4385 Жыл бұрын
Kama Kuna mwimbaji Bora Tanzania Ni wewe Ambwene..nyimbo zako.huwa Zina ujumbe mzito siku zote.Mungu awe nawe siku zote
@jacksonmenas6026
@jacksonmenas6026 Жыл бұрын
Asante YESU niombi langu unipe mke mwema na mzuri ili niimbenae huu wimbo😍
@danielnjella4760
@danielnjella4760 Жыл бұрын
Mungu awe nawe,,,,ilA visuluali kwa mabintk au waimbaji wako,huwa vinapelekea kuharibu namna ya utazamavyo .wambie watches kabisa.
@assuntamtewele8757
@assuntamtewele8757 Жыл бұрын
Hakika nilikua nawaza wimbo wa harusi yangu kwakwel nimeupata weeee barikiwa sana mtumish
@lucyringo4487
@lucyringo4487 Жыл бұрын
Hatimae tumepata Wimbo wa kuingilia kwa harusi yangu🙏🙏🙏🙏hongr sana kaka Ambwene
@IshimweNdikumana-td9es
@IshimweNdikumana-td9es Жыл бұрын
Mlio mawindoni Mungu atafanyiwa wepesi munaowindwa Mungu awaonyeshe wawindaji wawaone❤❤❤
@rachealjackson1312
@rachealjackson1312 Жыл бұрын
Napokea
@yonachitema
@yonachitema Жыл бұрын
Amina baba Asante sana kwa kazi njema mkuu
@glorybenson6017
@glorybenson6017 Жыл бұрын
Mungu atoe adhabu kali kama nitatenganishwa na wewe’ barikiwa sanaa mtumishi
@KideNetworks
@KideNetworks Жыл бұрын
Baada ya kuachilia, Mungu anatutumia ambao wataambatana nasi ...Thanks Ambwene.Mungu astawishe huduma yako..
@sashalemmoh3264
@sashalemmoh3264 8 ай бұрын
Mumgu awalinde ❤❤.japo asanteni maana sitopatatabu yakutafuta nyimbo sikuyahalusi yetu mimi nayule ambae mungu atanibalikia ❤
@joshuamariki1734
@joshuamariki1734 Жыл бұрын
Mm napenda tu Namna Ya Mkewako. Hakika kunawatu tukiwaona inabidi tumtukuze Mungu tu. Ni mtaratibu, Mpole na mengine Mengine
@lilyluholela8924
@lilyluholela8924 Жыл бұрын
Libarikiwe tumbo lililombeba Ambwene
@hongeramwinuka5334
@hongeramwinuka5334 Жыл бұрын
❤❤
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Mtumishi unamama mzuri😅, Nabarikiwa sana na huduma yako
@felixlewa
@felixlewa Жыл бұрын
Kumbe kaona vile 😅😅😅
@petrojoel7644
@petrojoel7644 Жыл бұрын
Hakika Mtumishi AMbwene Mungu akupe maisha marefu
@PrayGod_Jacob
@PrayGod_Jacob Жыл бұрын
Kama zitatolewa tuzo, basi unastahili tuzo kaka Mwasongwe.
@salmamacha9434
@salmamacha9434 Жыл бұрын
Yani Mimi nyimbo za Ambwene huwa zinanibariki sanaaaaaa,big up for a good song!
@user-ik6en7nc6m
@user-ik6en7nc6m Жыл бұрын
Wimbo wenye nguvu na ahadi nzur kwa wanandoa ubarikiwe kaka Ambwene
@faithmsungu3272
@faithmsungu3272 Жыл бұрын
Amina namim naamin nitampata wa kuambatana nae had mwisho wa Maisha.
@sophiekivuyo6028
@sophiekivuyo6028 Жыл бұрын
woooooooooooooooooooo❤❤❤❤❤❤❤❤ nyingine ikijaa wifii aimbeeee kabisaaa😂😂😂
@BahatiMwaipungu-gk2mi
@BahatiMwaipungu-gk2mi Жыл бұрын
Kazi nzur sana IPO siku nami nitaambata naye
@merceyallen24
@merceyallen24 Жыл бұрын
Mungu wako atakuwa wangu,Na watu wako watakuwa wangu..Mungu atoe adhabu kali Kama nitatenganishwa na Wewe,chukuliana na lugha yangu,Chukuliana na historia yangu,Chukuliana na udhaifu wangu.... Hallelujah hallelujah!!! This song🔥,Ndagha Mwee...🌟
@christophermshuza5648
@christophermshuza5648 Жыл бұрын
Maneno mazito Sana hayo.
@dianamsuya4854
@dianamsuya4854 Жыл бұрын
Kupitia huu wimbo mungu atafanya jambo maishan mwangu nitapata wa kuambatana namim
@shamirasongati3906
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
Nyie winbo una inspire tu kuisikikiza,unapenya ndani kabisaa
@tanunewstz
@tanunewstz Жыл бұрын
Mungu nisaidie nipate mke ili niwe na amani maana upweke unanitesa Mungu wangu
@mosesmkemwa1270
@mosesmkemwa1270 Жыл бұрын
Hongera sana Ambwene. Wewe ni zawadi na hazina kubwa kwa jamii yetu!
@markroy9170
@markroy9170 Жыл бұрын
Kenya tumekubali kabisa Ambwene,,,huwa napendezwa Sana kuona vile Mungu ukutumia kuhubiri ujumbe wa upendo...ndoa nyingi zimepona kupitia huu wimbo kwa jina la Yesu.lets believe together 🙏❣️🥰
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 Жыл бұрын
Napokea mwenza wangu wakuambatana nae kwa jina la YESU
@nghindimakoye4139
@nghindimakoye4139 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huyu mtumishi wa mungu Hakika mungu aliishusha karama pahali sahihi
@benjaminmangu4833
@benjaminmangu4833 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana Mr. & Mrs Ambwene Mwasongwe. Hamjui ni ndoa ngapi mnaenda kuziokoa kupitia wimbo huu. Hamjui ni watoto wangapi mnaenda kuwaokoa waweze kuishi pamoja na Baba na Mama zao bila kutelekezwa. Mbarikiwe tena na tena 🙏🙏🙏🙏
@marycharlesnyilu8251
@marycharlesnyilu8251 Жыл бұрын
Wimbo mzuri saana kwa wanandoa ,Mungu AWABARIKI na nawatakia anniversary nyingi pamoja zijazo.Ninawapenda
@Destin-b.12
@Destin-b.12 Жыл бұрын
Napenda kazi zake
@joyceshindayi4576
@joyceshindayi4576 Жыл бұрын
Haleluya, asante Sana wimbo Ni mzuri mno. Asante
@rachelnicholaus
@rachelnicholaus Жыл бұрын
Kaka abwene ubarikiwe mnooo,kaeimbo kazuri jmn,mungu nibariki namm hako kaeimbo nikaimbwe ukumbini nikiwa na mume wngu ,Ila namuamini MUNGU wngu kwa Hilo iko day
@upendomassawe2386
@upendomassawe2386 Жыл бұрын
Waoo wimbo mzur Sana jamn ubarikiwe sana kwa wimbo huu na ubarikiwe sana kwa kumthamini mkeo Mungu akawape mwanzo mzuri na mwisho mwema mbebe maono yenu kwa pamoja .
@janethjkavishe589
@janethjkavishe589 Жыл бұрын
Nice Song. 99% ya nyimbo zako ninazipenda na kuzisiliza. Umebarikiwa. Kwa yeyote mwenye kitaka kumfahamu Mungu zaidi asikilize nyimbo za Ambwene Zina jumbe nzito sana.
@MerryaJuma-xc7ks
@MerryaJuma-xc7ks Жыл бұрын
Mungu anifikishe uko na kunfaanikisha
@glorysangei5387
@glorysangei5387 Жыл бұрын
Blessed song ever.yaan sichoki kusikiliza...."watu wako watakua wangu,Mungu wako atakua Mungu wangu" hakika Namshukuru Mungu ndoa ni baraka ya ajabu ambayo inatakiwa iatamiwe na Mungu sio motivation speaker,wadhamini au makungwi....Barikiweni sana watumishi wa Mungu .
@rachealjackson1312
@rachealjackson1312 Жыл бұрын
Mungu napokea kwa Imani mabinti zako weng wanahitaji uwafanyie kupitia huu wimbo n kama nmegive up 😢
@floraomary7335
@floraomary7335 Жыл бұрын
Playlist imeongezeka nasubiri Mungu afanye wepesi neno lake litimie
@NashipaiLaiser-it1ob
@NashipaiLaiser-it1ob Жыл бұрын
Kuna watu walikuwa wanafikiria entrance song ya wedo Yao. Couple wauchangamkie Kwa kweli. Mzr for entrance
@jewelltruphena5478
@jewelltruphena5478 Жыл бұрын
❤❤woow. Finally a love song which is purely scriptural. Must use in my wedding God willing
@bethtobbyangelic.1622
@bethtobbyangelic.1622 Жыл бұрын
Woooooow...... And it shall come to pass in my life. God's time Is the best.
@shadukalangali6003
@shadukalangali6003 Жыл бұрын
Yaan Nikirudi likizo huu ndio wimbo wangu pendwa takuwa mda wote nasikiliza nikiwa na mke Wangu Barikiwa Sana kaka
@ezrakayagambe5926
@ezrakayagambe5926 Жыл бұрын
Hongereni sana dak nazo zimekuwa chache
@Pastor.Joseph_Mwakatobe
@Pastor.Joseph_Mwakatobe Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Tena Kwa mifano kutoka katika Biblia mbarikiwe sana umenigusa sana
@fridasosovele7481
@fridasosovele7481 Жыл бұрын
New arrival....God bless you,ndoa nyinginzikainuliwe kupitia ujumbe wa wimbo huu🙏
@ScolaMichael-to4ev
@ScolaMichael-to4ev 7 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi utoe video nyingi zaidi ya hii MUNGU akutangulie
@gracezoe
@gracezoe Жыл бұрын
Amen 💃💃💃 Mungu ameibariki ndoa yenu,Kila la heri🎉🎉hongera watumishi wa Mungu 🙏❤
@SuzanaJohn-pm6bj
@SuzanaJohn-pm6bj Жыл бұрын
Kwakweli wimbo huu ukawe mwangaza katika maisha yangu ninapigwa vita sana juu ya swala langu la kuolewa
@JKINGS123
@JKINGS123 Жыл бұрын
Hizo trumpet 🎺🔥🔥 such an awesome song GOD bless your work
@Lovestephano-is2th
@Lovestephano-is2th Жыл бұрын
Mmetuwakilisha vyema Wana ndoa,baraka tele zikaambatane nanyim
@FausterNgusi
@FausterNgusi Жыл бұрын
❤❤❤❤Mungu awabariki😭😭 Hapo kwenye kuchukuliana huwa na pagum kwa wengine utakuta mtu unamvumilia lkn yy anakutangaza mabaya kwa ndg wa pande zote mbili inauma sana
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 Жыл бұрын
Kwa wanavyonisema vibaya hata sijuhi basi Mungu nasubili wakat wako.
@rozinaikonko6477
@rozinaikonko6477 Жыл бұрын
i love the song. hogereni sana watumishi wa mungu mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
@emmanuelkitupa7026
@emmanuelkitupa7026 Жыл бұрын
@Ambwene Mwasongwe barkiwa sana mtumishi kwa
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
MUNGU awatangulie,ukimjua MUNGU kunasaidia
@juddiegodlove4563
@juddiegodlove4563 Жыл бұрын
Mh sie tulio Single tujuane Kwa like 😭
@tumainkaduma6057
@tumainkaduma6057 Жыл бұрын
Waaoooo maneno mazuri ya Ruth kwa Naomi ndio maana napenda nyimbo zako
@johnjoel4056
@johnjoel4056 Жыл бұрын
Kazi njema My bro
@phiniaskamgishajoseph6853
@phiniaskamgishajoseph6853 Жыл бұрын
Waooooh wanifurahisha Sana bro Mungu akubariki sana 🙏
@zakayozacharia8202
@zakayozacharia8202 9 ай бұрын
Heee mungu niguse na Mimi
@neemaothiniel4906
@neemaothiniel4906 Жыл бұрын
2 weeks ago mume wangu aliniambia kila neno lille kwenye wimbo huu. Kusikia wimbo huu nimejikuta natambua ukubwa wa maneno yale na nimejikuta namshukuru sana Mungu. Once again Barikiwa sana Mtumishi naendelea kubarikiwa na utumishi huu na nakuombea Mungu aendelee kukutumia.
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 Жыл бұрын
Hongera,Mungu awatunze wewe na mume wako
@user-pt3ji1cn4v
@user-pt3ji1cn4v 2 ай бұрын
Safi sana shemeji yetu, dada yetu Jackline safiii...
@kyafrank
@kyafrank Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Bravoooo nimebarikiwa sanaaa sanaaaaa by Mcfrank.mtumishi wa Mungu
@purityndungwa788
@purityndungwa788 Жыл бұрын
God. This is the song I would like to play as I walk down the aisle.
@victorialuoga6568
@victorialuoga6568 Жыл бұрын
Watu wako watakua wangu, MUNGU wako atakua wangu...AMEEEEN.
@williumjoel1410
@williumjoel1410 Жыл бұрын
aminaaaaaa ambwene mtumishi nakukubari sana
@anithafaustine3179
@anithafaustine3179 Жыл бұрын
Mungu awatunze Na Mungu akazilinde na kuzibariki ndoa zetu...Dunia ina mengi bila Mungu hatuwez kufika mbali.
Ambwene Mwasongwe - Nifundishe Kuomba (Official Music Video)
7:15
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 220 М.
Ambwene Mwasongwe - Picha ya Pili (Official Music Video)
7:32
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 191 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 86 МЛН
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 67 МЛН
Inasikitisha: Kilichomkuta Ambwene Mwasongwe Unaweza Kutokwa Machozi
11:29
Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video)
7:56
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 910 М.
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 2,1 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 1,3 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 819 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,1 МЛН
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 13 МЛН
BYTANAT - ҚЫЗҒАЛДАҒЫМ
2:24
BYTANAT
Рет қаралды 152 М.
Kenjebek Nurdolday & Baller - sokpe#сокпе#сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 140 М.