AMBWENE MWASONGWE FT BOAZ DANKEN & TAG FOREST YA KWANZA - MWANA WA AZALI (Official Music Video)

  Рет қаралды 900,299

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

2 жыл бұрын

Wimbo huu wa MWANA WA AZALI ni wimbo unaomzungumzia YESU KRISTO kama mwana wa MUNGU na ukuu wa kazi zake zilizofanyika kwa utofauti na wale wengine waliotumwa na MUNGU kabla ya kuja kwake. Ni wimbo wa ibada karibu na ubarikiwe na kazi hii
Audio Producer SAMUEL MBOYA
Video Producer STEVE TOBS MEDIA
Subtitle JAGALI DAVID
Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: / ambwenemwasongwe_
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
Mwana Wa Azali ft. Boaz Danken & Praise Team Tag Forest Ya Kwanza - Ambwene Mwasongwe (Lyrics)
Wakaulizana mtu huyu ni nan?
Jina lake nan?
Na ametoka wapi?
Wakashangaa vile anavyosema
Ni tofauti na viongoz wao!!!
Anamamlaka na nguvu ya asili
Je mtu huy si mwana wa yusuph??
Hawakujua ametoka mbingun
Huyu n Mungu pamoja na wanadam
Ni mwana wa mungu……..
Nimwana wa Mungu
Katoka kwa Mungu…..
Mwana wa ..
Mungu kwel kwel kwel…….
Mungu kwelii kweliiiiii
Anauwezo wotee…….
Yeye hanamwishoo
Ni mwana wa Mungu…
Ni mwana wa Mungu
Katoka kwa Mungu….
Yeye hajauwaa…
Mungu kwelii kwlii
Anauwezo wote…
Yeye hanamwisho.
Akauliza ninyi mwanisemaje??
Tofaut na watu wa nje”
Wakamjibu…ya kwamba ni kristo
Mpakwa mafuta wa mungu mwenyew
Akauliza ninyi mwanisemaje??
Tofautii na watu wa njee”
Wakamjibu…ya kwamba ni kristo
Mpakwa mafuta wa Mungu mwenyewe
Wewe apo ni mkuu kuliko Eliaaa, maana hauchomi watuu…
Unasamehe hata wale waliokukosea
Kwasabb wewe n Mungu
Upo apa…
Mkuu kuliko,kiongoz Mussa
Yule wa toratii…
Mzigo wako ni mwepesii,
Nira ako ni lainii
Unasamehe hata wenye dhambii
Upo apa….
Mkuu kuliko,Samwel nabii
Yulee wa mafuta
Mafuta yako, unapaka rohon kwa roho mtakatifu
Hupaki mwilinii
Upo apa……
Mkuu kuliko,mfalme Daudi
Aliyekufaaaa…
Ufalme wako hauzuiwi na mda na sehemu wadumu hata milele…
Ni mwana wa Mungu
Mwana wa Mungu
Ni mwana wa Mungu
Mwana wa
Ni mwana wa Mungu
Mungu kweli kweliii
Ni mwana wa Mungu
Yeye hana mwishoo
Katoka kwa Mungu
Mwana wa Mungu
Katoka kwa Mungu
Mwana wa…
Katoka kwa Mungu
Mungu kwel kweliii
Katoka kwa mungu
Yeye hana mwishoo
Ni mungu mwenyewe..
Mwana wa Mungu
Ni Munguu mwenyewe..
Mwana wa
Ni Mungu mwenyewe..
Mungu kwelii kweliii
Ni Mungu mwenyewe….
Yeye hana mwishoo
Yeye hakuumbwa mwana wa asali
Hana mwanzo wala mwisho
Anazo funguo
Yeye n njia ya kwenda mbinguni
Kama ww unataka kukutana na mbingu
Muanimi…
Fungua moyo wakoo…
Aingie anagonga atawale maisha yako
Ni bwana…
Mwenye uwezoo
Fungua fungua x2
Funguaaa…moyo wakoo
Fungua fungua x2
Fungua….moyo wako
#AmbweneMwasongwe #MwanaWaAzali

Пікірлер: 1 000
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Mwana wa Azali Nimefurahi Sana Kaka Siku zote tunajifunza Sana kwako hasa unapomtaja Bwana YESU kwa undani na ufasaha wa Uzuri Wake
@mbokaandbahatitv8509
@mbokaandbahatitv8509 2 жыл бұрын
Napenda nisiwazoee nisikae karibu na nyie ili niwaheshimu, nipokee mlichopewa na Mungu kwa kiwango kinachostahili. Nawaheshimu sana watumishi wa Mungu Ambwene na Boaz
@barikimlawa970
@barikimlawa970 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sanaa
@milkahjoshua4760
@milkahjoshua4760 2 жыл бұрын
Hakikaa🙌 Bwana azidi kuwatunza nyie watumishi wake.. tunawahitaji sana katika nyakati hizi🙌
@miriamlinga4750
@miriamlinga4750 2 жыл бұрын
MUNGU awabariki sana kwa utumishi huu! An kuna nyimbo mnaimba mtu aspokuwa na roho mtakatifu hawez kuelewa. MUNGU azidi kuwatumia zaidi.🙌🙌🙌
@yusuphharamba7520
@yusuphharamba7520 2 жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya gospel (injili) music ya kuokoa roho za watu Na Worship music This is Gospel tena inasema fungua Moyo wako mwana wa azali aingie.. Am truly blessed Mungu awabariki mzidi eneza injili.
@user-my2mw5kh2q
@user-my2mw5kh2q Ай бұрын
Natamani siku moja nikutane tuyy na Abwene toka utoto nimekuwa nikimfuatilia nakuimba nyimbo zake.nindoto yangu Sana .Mungu atimize aja ya Moyo wangu 😢 .napenda kujifunza kwa tai niliye mfananisha nawewe.nakumbuka nikiwa mdogo.upendo.ninamkumbuka mama mmoja .majaribu ni mtaji .tulikotoka nimbali. Nimeachilia and so many songs and now mwana wa azali .be blessed servant of God 🎉
@rtlusungu
@rtlusungu 2 жыл бұрын
Mathayo 16:13 Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? 14 Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. 15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
@wakatiwaapolineapoline5508
@wakatiwaapolineapoline5508 2 жыл бұрын
Ameen 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@gwamakamwakalinga6705
@gwamakamwakalinga6705 2 жыл бұрын
Kaka Ambwene Huu wimbo jamani🙌🙌🙌🙌🙌neno La Mungu tupu.Yani unatupa changamoto vijana kweli.We need to come back to the source rather than singing short choruses
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi..... Wewe ni Moja ya waimbaji wanaowakilisha vizuri mbingu..... Asante sana
@emes602
@emes602 2 жыл бұрын
Kwa kweli ... wazee wa short chorus amen amen amen haleluya haleluya wimbo wote mpk unaisha
@huimamilambochoir2453
@huimamilambochoir2453 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hq6gm7R7lpvTXWQ.html
@huimamilambochoir2453
@huimamilambochoir2453 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hq6gm7R7lpvTXWQ.html
@estherwilliam5125
@estherwilliam5125 Жыл бұрын
@@emes602😂😂😂😂😂
@suzanakiwele1832
@suzanakiwele1832 10 ай бұрын
HIZI NI NYIMBO AMBAZO KAMA HUNA ROHO MTAKATIFU HUWEZI KUONA KAMA UNANGUVU KUBWA NDANI YAKE,,,UNANIBARIKI SANA, 🙏
@agricolamwageni5471
@agricolamwageni5471 2 жыл бұрын
KIUKWELI KABISA I PRAY MUNGU AWAWEKE NYIE WOTE KWA AJILI YA WATU WAKE, NA KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE. MUNGU AWATUNZE SANA WATUMISHI NA AWAFICHE SHETANI ASIWAFIKIE KWA AJILI YA HUDUMA MLIYOPEWA. AMINA
@yusuphharamba7520
@yusuphharamba7520 2 жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya gospel (injili) music ya kuokoa roho za watu Na Worship music This is Gospel tena inasema fungua Moyo wako mwana wa azali aingie.. Am truly blessed Mungu azidi kukutumia Kaka Ambwene kumhubiri Kristo. 😭😊 Mungu awabariki mzidi eneza injili.
@neemamwamini2
@neemamwamini2 2 жыл бұрын
I have to say huyu ndo mwimbaji Kati yawaimbaji walio salia ambao hawaimbi blahblah. Unakuta mtu nimwimbaji anitumia 13min Kuimba tu maneno yasio namaana, eti ni nyimbo za injili. Mungu akupe ikima Ambwene yakutunga nyimbo pamoja na Malaika zake Bwana Yesu.
@min.jameskabuka6769
@min.jameskabuka6769 2 жыл бұрын
Me ni kijana ninayekuwa na kristo, chemchem inayotokana na YESU Haiachi nafsi Wala roho Wala moyo salama kama wimbo huu, lazima viguswe Tena vinaguswa kweli. MUNGU Awabariki sana watumishi wa MUNGU.
@bonirapha796
@bonirapha796 2 жыл бұрын
Nimesikiliza nimefuatilia nyimbo nyingi sana ila huu umenizidia nyimbo zote nilizosikliza humu na malaika walioko zamu na wale wasioko zamu wamo na wameimba na humu ndani upako wa ajabu mbingu zinashuka uwepo wa Mungu unatanda. Be blessed More.
@joelmoses3789
@joelmoses3789 2 жыл бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu, hakika yeye hana mwisho mwana wa azali, hakika kumtegemea Mungu kunafaida kuu.
@winmoi2019
@winmoi2019 Жыл бұрын
My Veins are shaking This name Jesus ❤❤❤ I’m In a bus feeling falling on my knees and worship 😢😢😢😢😢
@nellykakore8375
@nellykakore8375 2 жыл бұрын
Mwamba uko vizuri sana napenda unavyoiimba biblia unaimba neno la Mungu unahubiri Mungu akutunze
@piellaleo1391
@piellaleo1391 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza hakika Mafuta ya Roho mtakatifu yako Juu yako na Ndani yako tunabarikiwa na vya ufalme wa Baba yetu
@abiadhasmassawes3984
@abiadhasmassawes3984 Жыл бұрын
Ambwene Mwasongwe, Ambwene Mwasongwe....Wewe ni Ambwene Mwasongwe daah. Neno langu ni moja tu kwamba Namshukuru MUNGU kwa ajili yako
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Ubarikiwe masiya wa kristo kwa wimbo uliojaa mafuta ya Roho Mtakatifu
@nehemiamudala
@nehemiamudala 3 ай бұрын
Mungu awabariki, Leo nimesikiliza wimbo huu mara nyingi Zaidi na kugundua kuwa, wimbo huu umebeba upako na nguvu ya Roho mtakatifu.
@kingdomvoices_ke
@kingdomvoices_ke 2 жыл бұрын
Huu wimbo umebariki moyo wangu.
@carolinegondwe3706
@carolinegondwe3706 2 жыл бұрын
Mungu was mbinguni awainuie kwa ajabu ya pekeee ..Mwana wa azali
@MpenjaTV
@MpenjaTV 2 жыл бұрын
Woow!🔥🔥Mungu ni mwema
@pieedisc3306
@pieedisc3306 2 жыл бұрын
Amazing
@lightnesskweka4774
@lightnesskweka4774 2 жыл бұрын
Ameen na ww pia jaman. Wooow saut ya radi hongera winbo mtam Sana sanaaa
@neemalawrencenzowa403
@neemalawrencenzowa403 2 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri daima Yesu azidi kuwainua viwango hadi viwango. Huu wimbo umenibariki
@godfreygamalieli7086
@godfreygamalieli7086 2 жыл бұрын
Ameen, Bwana pokeya utukufu, hakika wastahili,
@everlynkilimba3963
@everlynkilimba3963 2 жыл бұрын
Bwana AZIDI kutumia kimtambulisha .Barikiwa MTUMISHI
@jotv6383
@jotv6383 2 жыл бұрын
Naona maraika kwafuraha wakicheza huu wimbo ❤️
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 2 жыл бұрын
Ambwene mwasongwe kaka penda sana Boaz danken penda sana sasa mungu akuwage naninyi siku zote za huduma yenu❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@salomerobert3583
@salomerobert3583 Жыл бұрын
Nausikiliza kuanzia asbh hadi sasa siuchoki,Ubarikiwe na Yesu
@pastorstevenmwasilembo3135
@pastorstevenmwasilembo3135 2 жыл бұрын
Hakika hii neema izidi sana juu yako mtumishi huu ni zaidi ya wimbo
@richardkazungu1224
@richardkazungu1224 2 жыл бұрын
Ni mwana wa Mungu Mungu mwenyewe🎶
@rachaelondimu4553
@rachaelondimu4553 2 жыл бұрын
Oh God! All I am allowed to do is just worship the most high God.Blessed be His name forever.More grace servants of God.Indeed I will follow your steps because I am convinced beyond doubt that you follow Christ.
@tuntufyeambukege877
@tuntufyeambukege877 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza na kukubariki mtumishi wa Mungu. Tunaponywa. 🙌🙌🙌🙌🙏🤝👏
@bonifacelazaro1025
@bonifacelazaro1025 2 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza huu wimbo jaman unanigusa sana,Mungu awabariki naazidi kuwatumia nataman saba milichonacho na mm niwenacho jmn, nawapenda sana wimbo huu umenitoa hatua 1 kwenda nyingine
@adamsonkyando682
@adamsonkyando682 2 жыл бұрын
Dar!!!wimbo mzuri mno Mungu aendelee kukutumia siku zote za maisha yako
@dismasndilwa71
@dismasndilwa71 2 жыл бұрын
MUNGU aendelee kukutumia ili nasi tujifunze jinsi ya kufanya ili tufanye kile kinachompendeza MUNGU katika uimbaji. AMEN.
@seththeyoung5778
@seththeyoung5778 2 жыл бұрын
Mistar ya nyimbo hii iko vzr sana,sio ya kawaida..stay blessed always
@mdimasongo6262
@mdimasongo6262 2 жыл бұрын
Good morning
@seththeyoung5778
@seththeyoung5778 Жыл бұрын
@@mdimasongo6262 How are you progressing mr.!?
@sarungiester8061
@sarungiester8061 2 жыл бұрын
Barikiweni sana mafuta ya Mungu tunapaka Rohoni sio mwilini hapo mmenigusa kweli barikiwen kwa kazi njemaaa. Injili ya kweli iende mbele.
@user-op7yu8nq6k
@user-op7yu8nq6k 5 күн бұрын
Oooh thanks Jesus
@neemashirima1617
@neemashirima1617 2 жыл бұрын
Mwana wa Azali jamaniii...fungua moyo wako aingie, ukimsikiliza jinsi kaka yetu abwene amemuelezea kwa undani ni mzuri mnoo na ukitaka kumjua yupoje Zaid mpe moyo wako🥳🥳 Mungu akutunze sana kaka abwene 🙏🏼🙏🏼
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Жыл бұрын
Hallelujah! BWANA YESU ni Hekima yetu toka kwa Mungu Haki yetu toka kwa Mungu, Utakatifu wetu toka kwa Mungu na Ukombozi wetu kwa Mungu! 1Wakorintho 1:28-31 Barikiwa sana Mtumishi Ambwene na wote ulio nao
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 2 жыл бұрын
Kuna Nyimbo halafu Kuna upako wa uimbaji. Amina Amina Amana. Pokea sifa zote Mwana wa Mungu , Mwana wa Azali katoka Kwa Mungu Baba amejaa Neema na Kweli
@tusekilesolomoni6028
@tusekilesolomoni6028 2 жыл бұрын
Namuona Mungu halisi kwenye wimbo huu jinsii unaunavyo muelezea kwa Mapana Yesu mwanaAzari barikiwa saana mtumishi
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 2 жыл бұрын
Nyimbo zako Ambwene zimenifusha Sana maaana nakumbka nikiwa kijijini nilikuwa sichoki kusikiliza nymbo zako mpaka saizi sichoki kusikiliza nymbo zako . Ubarikiwe Sana kwakalama yako .
@nellymtumishi3717
@nellymtumishi3717 2 жыл бұрын
Mwana wa Azali 🔥🔥🔥
@ephraimkyando6744
@ephraimkyando6744 2 жыл бұрын
Ni baraka Kubwa...Barikiwa mtumishi wa Mungu aliye Hai.
@glorykasanga7663
@glorykasanga7663 4 күн бұрын
Nimeuona huu wimbo upendo TV ikabidi nijee nimeupenda sana❤
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 2 жыл бұрын
Absolutely mwana wa Azali yupo kwenye stage ananena kupitia watoto wake na mtoto mwana wa azali ambaye aliiufungua moyo wake kwa miaka Lukuki . Huyu mwana wa mungu ndani ya AMBWENE amekuwa na anashuhudia marika yote Tanzania, Afrika, sasa ameiguza dunia . Asante mungu nimeifungua moyo wangu. 🙏
@thandiehauya
@thandiehauya 3 ай бұрын
Ni mwana wa Mungu kweli kweli love this song very much it has gospel.
@bahatinyalile1639
@bahatinyalile1639 2 жыл бұрын
Injili katika ufunuo wake inaongea na fahamu na nafsi. Yesu Kristo tangu torati hata agano jipya...Mwana wa Azali. Asanteni kukubali kufanyika watumishi wa Mungu. Wengi tunaumega mwingi toka kwenu Ambwene na Boaz
@kemilembekamugisha4765
@kemilembekamugisha4765 2 жыл бұрын
Biblia imesomwa vizuri hapa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯💯
@simonnzumbi1026
@simonnzumbi1026 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki kwa wimbo mzuri Sanaa hakika Mwana wa Azali ni Nuru ing'aayo gizani tena yeye ni Alpha and Omega 🙏🙏
@arthurkiana6585
@arthurkiana6585 2 жыл бұрын
The person of Christ. Ni mwana wa Mungu what a blessing
@barakachristopher2504
@barakachristopher2504 2 жыл бұрын
Linapotwa jina Yesu mwana wa Mungu kwa usahihi kama hivi moyo wangu unajawa na roho ya kuabudu tu...Mungu nisaidie nikutaje kwa usahihi #MwanawaAzali
@nvpmedia6467
@nvpmedia6467 2 жыл бұрын
Hatimae Mwana wa Azali nimebarikiwa na kazi hii
@isaackamando8484
@isaackamando8484 Жыл бұрын
Hiko kipande cha mwisho kama worship got me in tears and speak in tongue frequently 😭😭 nothing can describe the son nothing can describe JESUS,,,MUNGU Awatumie zaidi
@projestkaijage3538
@projestkaijage3538 Жыл бұрын
Kinatoa machoz
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 2 жыл бұрын
My fevorite artist of all the time.... Yaan nyimbo zako daah sinaniinua kila siku 👏👏👏
@neemamahhu2562
@neemamahhu2562 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaa kaka kweli wewe ni mfano ....na haujui namna unavyookoa nafsi zetu zilizo lnama
@sensoryexplorativetherapie175
@sensoryexplorativetherapie175 2 жыл бұрын
Wimbo unauzito fulani ; fungua , fungua, fungua Moyo Wako..
@josephjulio6112
@josephjulio6112 2 жыл бұрын
Wimbo ukiimbwa na mcha Mungu haichokeshi Leo nimeuruduria Mara 5 Safi Sana mwakilishi wa selikali ya mbinguni
@samuelrandu2278
@samuelrandu2278 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana this song is a blessing to me imeniinua kiwango kingine
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 10 ай бұрын
Ila Kaka uliyeingiza sauti ya tatu unajua aiseee❤❤❤
@terryemmanuel2870
@terryemmanuel2870 10 ай бұрын
Kwel kabisa
@josephngwale6251
@josephngwale6251 9 ай бұрын
Hakika Anajua.....
@GeoffreyEchakara
@GeoffreyEchakara 2 жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana .Mbinu na mtindo wa uimbaji ni wa kipekee .Pokea upako maradufu.
@emmanuelmtonyole9958
@emmanuelmtonyole9958 2 жыл бұрын
Oooooooh hallelujah hallelujah mwana wa Azali uinuliwe milele yoteeee 😭😭😭maana wewe unastahili
@foodie2660
@foodie2660 2 жыл бұрын
Huu wimbo huu! Muujiza wangu nimeukuta hapa. This kind of music is direct from the Holy Spirit. Explaining the mystery and revelation of Jesus.
@martinfubusa6304
@martinfubusa6304 Жыл бұрын
Naomba bwana yesu akajibu maombi yangu kupitia wimbo huu mwez huu❤❤
@njombesecondary1713
@njombesecondary1713 Жыл бұрын
Amina
@SamsonMwaipwisi-fo2tz
@SamsonMwaipwisi-fo2tz 8 ай бұрын
Amina nami naungana nawe
@raphaelkyando1094
@raphaelkyando1094 2 жыл бұрын
Utunzi alikupa Mungu kwa kweli
@EmmanuelKwayu
@EmmanuelKwayu 2 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Bwana Wakaulizana mtu huyu ni nani Jina lake nani na ametoka wapi......ana mamlaka na nguvu ya asili....hawakujua ametoka Mbinguni Ni mwana wa Mungu ....Mwana wa Azali.....
@kidenyarichard6386
@kidenyarichard6386 2 жыл бұрын
Glory! Glory! Nimefungua moyo wangu hakika ameingia nina feel uwepo wake kabisaaa !Mwana wa Azali
@gladysmwendwaofficial4997
@gladysmwendwaofficial4997 2 жыл бұрын
No one has ever described jesus in this manner through a song , only mature people can understand this song congratulations
@stephenmakau4410
@stephenmakau4410 2 жыл бұрын
Gladys my sister I tell you I am overwhelmed by the describing of Jesus Christ, leave alone the best instrumental accompaniment, the wording of who Jesus is May God bless you Minister Ambwene ft Boaz
@kelvinsimkoko8070
@kelvinsimkoko8070 2 жыл бұрын
SURE SURE good song indeed I have been repeating several times to listen the song
@janethjonas1700
@janethjonas1700 2 жыл бұрын
Why Jesus in small latter...
@nassepeter8089
@nassepeter8089 2 жыл бұрын
@@stephenmakau4410 qppmmp
@joanmisiko1718
@joanmisiko1718 2 жыл бұрын
True
@samwelinyaku3810
@samwelinyaku3810 2 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa mno mno kuona namna watumishi wa MUNGU mnavyonyenyekea hata chini na kumwinua huyu YESU
@Filopolazalo
@Filopolazalo 2 жыл бұрын
Sifa na utukufu nikwa mwana wa AZALI
@benedictyona6196
@benedictyona6196 2 жыл бұрын
Yesu awakumbukee wote wanaopitia mapito,yatima,wagonjwaa na wajane pia,,asantee ambwene, you're song it connect me with Jesus Christ
@christinebura6235
@christinebura6235 2 жыл бұрын
Haleluya !!!Ni mwana wa Mungu,,,mwana wa Azali... powerful,💪
@8019bm
@8019bm 2 жыл бұрын
Mungu kweli kweliii Yeye hana mwisho.
@eliphazcongera8929
@eliphazcongera8929 2 жыл бұрын
Yesu kristo Mwana wa Azali na ni Alfa na Omega barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@hopekaiza7500
@hopekaiza7500 2 жыл бұрын
JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS I feel like shouting that name, heeeeey...YESUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
@florarog548
@florarog548 2 жыл бұрын
My God, my God, this is too much oooh, you deserve honor and glory. Yaani huu wimbo kwa kweli una nguvu ya Mungu. Nimeifuma nikiwa kwenye daladala, nilishindwa kabisa kujizuia kutikisa kichwa changu oooo Jesus, mzidishe mtumishi wako. Nimeshairudia zaidi ya mara tano.
@beatricedalius5186
@beatricedalius5186 2 жыл бұрын
Niseme ukwel nyimbo zako zinanigusa sanaaaa mungu akubariki❤❤❤🙏
@nurukidakule9468
@nurukidakule9468 2 жыл бұрын
Kaka ingekuwa vipawa vinaambukizwa, ningeomba uniambukize kipawa cha utunzi, napenda jamani, mpangilio wa maneno, Barikiwa Kazi njema mnoo kaka
@richardkazungu1224
@richardkazungu1224 2 жыл бұрын
Sifa na utukufu vina wewe Mungu Heshima na Agama vina wewe pekee 🎶🎶🎶
@josephmutungamusau141
@josephmutungamusau141 2 жыл бұрын
Love from Kenya...Nairobi..utunzi wa nyimbo zako kaka wafutia sana.. congrats bro.
@rehemamwanjokolo542
@rehemamwanjokolo542 2 жыл бұрын
Ni mwana wa Mungu,mwana wa azali.Mungu mwenyewe Haleluya!!!
@b.jmwalupii7684
@b.jmwalupii7684 2 жыл бұрын
Ni mwana wa Mungu! Ni Mungu mwenyewe kweli kweli !!!!👍👍👍
@winmoi7620
@winmoi7620 2 жыл бұрын
Wewe ni tofauti na wengine Mkuu wa Wakuu. Aaaah ulifanyika laana hili Niwe Aaah 😢 😭 How many are in repeat mode,,
@kamaulukasblessedofficial786
@kamaulukasblessedofficial786 2 жыл бұрын
Wimbo unaimba Kwa akili yangu usiku wote... May God increase you Sir You make us Understand Our God in a deeper way
@kellymwandiga8953
@kellymwandiga8953 2 жыл бұрын
Ambwene Mwasongwe Umemtaja Yesu kwa undani vile alivyo Umembainisha na kumtanabaisha alivyo na alicho This song flows in my veins
@lightnesskweka4774
@lightnesskweka4774 2 жыл бұрын
Hakika amemtaja kiundan Sana sana sana.yn kiugum mnoo jaman Mungu wa ajabu sana
@Shalom2018
@Shalom2018 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana,sifa na utukufu zimrudie mwenyewe Bwana Yesu Kristo.be blessings
@jessekairira171
@jessekairira171 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 keep it up man of God
@Thanks254
@Thanks254 2 жыл бұрын
Nimeisubiri sana hii nyimbo... Imenibariki sanaaaaa
@btsshorts6859
@btsshorts6859 2 жыл бұрын
Kaka Mkubwa Mungu Wa Mbinguni Azidi Kuwainua Na Kuwatia Nguvu #Godisreal Boaz Danken Siku Moja Tutafanya Kazi Na Nyinyi Kaka Yangu Mbarikiwe Mno #mwanawaazali
@katsuvakamatedaniel7893
@katsuvakamatedaniel7893 2 жыл бұрын
Mubarikiwe na Bwana watumishi wa Mungu
@marthadarema834
@marthadarema834 2 жыл бұрын
Mwana wa azali MUNGU akutunze mtumishi unatufaa sana.tunaponywa mioyo kupitia nyimbo zako.
@ikupachaula2609
@ikupachaula2609 2 жыл бұрын
Nice Song in deed.....Glory to God.
@ogbundi5731
@ogbundi5731 2 жыл бұрын
Wow! Nimekuwa nikiwaambia watu, kuwa wewe ni story teller. Yaani you have a unique way ya kuandika and sing. Yaani you pull in your audience. May God keep anointing you with His Oily, blessings. Nimebarikiwa mno na huu wimbo.
@yusuphsimon575
@yusuphsimon575 2 жыл бұрын
yeah truth , huyu mtu anaimba matukio
@joanmisiko1718
@joanmisiko1718 2 жыл бұрын
My first time to listen to his songs and am getting in love with them coz they are ministering to my soul.
@everlyngarugi8594
@everlyngarugi8594 Жыл бұрын
I tell you this man of God describes Jesus like no other person,🙌🙌🙌🙏
@simonkash649
@simonkash649 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe , mtumishi wamungu , huu wimbo umenibariki sana, haswa biti ya kwanza
@matildamkilima8211
@matildamkilima8211 Жыл бұрын
Mimi nalia tu huu wimbo nimeupenda bure ninyi watu wa Mungu mbarikiwe
@roselynemwaipopo4911
@roselynemwaipopo4911 2 жыл бұрын
Amen amen amen ni Mungu kweli kweli yeye hana mwisho 🙏🏼🙏🏼Ambwene Mwasongwe, Boaz Danken Mungu awabariki sana
@pintymelodytz913
@pintymelodytz913 2 жыл бұрын
Sichoki kunisikiliza Mwana Wa Azali Mungu Kakutumia kwaviwango Vyaajabusana Yaaan Dah 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭 Unanifanya nimfaham zaidi Yesu
@carolinejohn9201
@carolinejohn9201 2 жыл бұрын
Hakika ni Mwana wa Mungu ,Mwana wa Azali anatoka kwa Mungu mwenyewe 🙌🏾🙌🏾 Aisee I can’t stop listen this song Ohh God 🙌🏾
@joanngao1079
@joanngao1079 2 жыл бұрын
Wow, powerful song.... Jesus Christ be glorified
@emmanuelmwaikambo5516
@emmanuelmwaikambo5516 2 жыл бұрын
Mungu akubarki Sana Kazi yako n njema Sana Bwana azidi kukuinua na zaidi
@Estherbongo
@Estherbongo Жыл бұрын
Mungu kweli kweli , yeye hana mwisho, nimepanda Kila kitu
@anethleonardchengula1887
@anethleonardchengula1887 2 жыл бұрын
Every time I listen to ur songs I realize ur levels of knowing God are much higher, some singers sing like they don't know their God but not you brother, through ur songs I have known characters of God that I was not knowing, I have been blessed. Yo are always doing best for ur God may he keep you and protect you endlessly.
@christiankusaga1934
@christiankusaga1934 2 жыл бұрын
He is the man of God... His Lyrics are spiritually composed ✍️✍️✍️
@pastorshadrachmutukuoffici7523
@pastorshadrachmutukuoffici7523 2 жыл бұрын
Every time I listen to Ambwene's Songs I get much inspired to know God more and more, I feel Fanuel Sedekia alive again. May God keep refreshing you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love you....
@huimamilambochoir2453
@huimamilambochoir2453 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hq6gm7R7lpvTXWQ.html
@xadammwandete6779
@xadammwandete6779 Жыл бұрын
True
@sifaelkikoti3141
@sifaelkikoti3141 2 жыл бұрын
Aaaise brother ambwene naona kitu cha tofauti ndani yako hakika namwona Mungu kwenye hii nyimbo hii nyimbo imejaa nguvu za Mungu Sana . Imefrika na mafafanuzi ya undani wa Yesu wetu l love you my brother ambwene Tanzania na Dunia nzima tunaiona nuru ya Mungu ndani yako ikiwa juu ya kiango
@byahelelwaabongela2293
@byahelelwaabongela2293 2 жыл бұрын
What a powerful inspiration! Surely Jesus Christ is the Son of God; the only true God.
@subirakulyamo5921
@subirakulyamo5921 2 жыл бұрын
You blessed me servant of God
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA - BWANA NIMERUDI TENA (FOR SKIZA SMS : SKIZA 6983105 TO 811)
6:39
PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA
Рет қаралды 7 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 1,5 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 21 МЛН
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
REHEMA MWAKYUSA TULIKOTOKA NI MBALI COVER
8:03
Rehema Mwakyusa
Рет қаралды 10 М.
Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika na Mungu(Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 557 М.
Umestahili Yesu  - Tafes Aru Praise & Worship |  Live Music Video
13:18
Tafes Aru official
Рет қаралды 3,1 МЛН
Bella Kombo ft. Zoravo - Ameniona (Official Live Video)
11:50
Bella Kombo
Рет қаралды 3,3 МЛН
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 2,1 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,1 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 1,2 МЛН
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 177 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,3 МЛН