Ambwene Mwasongwe - Nifungulie Mbingu

  Рет қаралды 72,771

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

4 ай бұрын

Пікірлер: 450
@YoungStarWilliams
@YoungStarWilliams 4 ай бұрын
Kama unasikiliza wimbo huu nje ya Tanzania na Afrika like hapa tujuane❤
@ZachariaMhondo
@ZachariaMhondo 4 ай бұрын
SHALOM SHALOM....NIMEUPATA WIMBO MZURI SANA MUNGU AWATUNZE SANA NKO OMANI MUSCAT 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@dorcaseliah
@dorcaseliah 4 ай бұрын
Hongera sana winbo unaupako, Yesu aendelee kukutumia
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 4 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-bv6vx4le9w
@user-bv6vx4le9w 4 ай бұрын
Amen,umetufikia ata Sisi wa Burundi tunao ishi ulaya.Tunampenda sana Ambwene
@fredrickmuoki5982
@fredrickmuoki5982 4 ай бұрын
Niko hapa naurudiarudia kutoka kenya, Nairobi
@elizabethchaula2414
@elizabethchaula2414 4 сағат бұрын
nazipenda sana nyimbo za ambwene mwasongwe nikiwa kwenye wakati mgumu huwa nafarijika 🙏🙏🙏
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 4 ай бұрын
Kama Kuna msanii wa kiume Tanzania nampenda na kazi zake nazipenda basi huyu baba naomba Aishi maisha marefu Huwa ananigusa sana na nyimbo zake ❤❤❤❤❤❤❤ best all the time
@user-lx6vw2bd5u
@user-lx6vw2bd5u 4 ай бұрын
Hunifikii mim ww
@patientkighoma3753
@patientkighoma3753 3 ай бұрын
Ni Mungu alikutuma kwangu n'a ujumbe wa wimbo huu. Nifungulie mbingu nikuone wangu Baba. Sitakaza macho kitazama mawe, nitatazama mbingu tu. Amen
@getrudecharles8689
@getrudecharles8689 3 ай бұрын
Amen,, Nimebarikiwa mno jamani na huu wimbo Jamani, Hakika Mungu unifungulie mbingu nikuone
@agynoel2846
@agynoel2846 4 ай бұрын
Naitwa Agnes naandika comment hii nikiwa ktk kipind kigumu, mwanangu wa miezi mitatu anapitia changamoto ya kukosa maziwa ya mama napia nilimzaa akiwa njiti wa miezi saba. Naomba Mungu amfungulie mbingu mwanangu maaana njia zote nimemaliza natazama mbingu tu.
@mhogomchungu7882
@mhogomchungu7882 4 ай бұрын
Atakuwa sawa ..amina🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Usertatu11683
@Usertatu11683 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Ni Mwaminifu, njia zake hazichunguziki, na Anaposhindwa Mwanadamu Mungu huanzia hapo
@mtonyole15Officially
@mtonyole15Officially 4 ай бұрын
MUNGU ayafungwe maziwa ili mtoto apate kula chakula toka kwa mama kwa JINA LA YESU na mbingu zikafunguke kwaajili ya mtoto na mama
@furahakavishe6478
@furahakavishe6478 4 ай бұрын
Pole ni kipindi tu usijali
@arnoldkalemela5078
@arnoldkalemela5078 4 ай бұрын
Mungu akutendee mema dada
@MariaWaYesu
@MariaWaYesu 4 ай бұрын
ASANTE YESU MWAMINIFU KWA KUNIFUNGULIA MBINGU🙏🙏🙏
@SalomeJohn-dp8tv
@SalomeJohn-dp8tv 4 ай бұрын
Naona utukufu wa MUNGU sitazami mawe ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@eliaskatole3701
@eliaskatole3701 4 ай бұрын
Mungu nifungulie mbingu nikuoneee Huu ni wimbo wangu Asante brother Ambwene
@aminimgheni8968
@aminimgheni8968 4 ай бұрын
Ulioanza nao huduma wengi wakekata tamaa,wengi wamepotea,wengine hawana tena mafuta,wengine huduma zilikoma,wengine wamepoteza kibali,Mungu amekubariki hadi leo upo na bado ukitoa kazi inatupeleka mahali namna hii,inatufanya tumuone Mungu kwa ukubwa wake na ukuu wake...naomba muungane na mimi kwa kumbariki mtumishi huyu Mungu ampe mafuta zaidi kwa kizazi hikii kwa kusema Amen.
@hezronmukumbwa7275
@hezronmukumbwa7275 4 ай бұрын
Amen.
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 3 ай бұрын
Amen, nyimbo za ambwene ni nimbo za lucifer kwenye kiti cha enzi
@miriamsongora6117
@miriamsongora6117 4 ай бұрын
Sitakaza macho kutazama mawe nitatazama Mbingu tu sitasikiliza maneno yao nitasikia ya Mbingu tu sitaangalia vidonda vyangu nitaangalia Mbingu tu AMEEN
@patrickpastory6216
@patrickpastory6216 4 ай бұрын
Hakika tunatakiwa kufikiria Mbingu tu katika maisha yetu ya kiroho na kimwili pia Kusikiliza Kutazama Kutembea Nk tufikirie Mbingu tu oooh halellujah ❤❤
@nkungujackson7092
@nkungujackson7092 4 ай бұрын
Kiukweli nyimbo zako hunitengeneza maisha yangu natamani niwe kama wewe japo YESU aliwauliza unaweza kunyea kikombe changu so kaka wewe ni zawadi kwa watanzania wote
@harold3863
@harold3863 4 ай бұрын
Mwalimu wa muda wote
@nkungujackson7092
@nkungujackson7092 4 ай бұрын
MUNGU ambariki ambwene mwasongwe
@patrickpastory6216
@patrickpastory6216 4 ай бұрын
Napenda sana uimbaji wako hautumii nguvu kubwa kumshawishi mtu asikilize au kutazama yaani mtu anakuja mwenyewe kwakua nyimbo zimejaa baraka tele zinatia moyo hasa kwenye safari hii ya kwenda Mbinguni. Mtumishi Ambwene unanibariki sana kwa nyimbo zako.
@CloudDiotreph-vd6kj
@CloudDiotreph-vd6kj 4 ай бұрын
Oooh Yesu mtunze mtume wako huyu. Mungu akutunze
@Mwampambakelvin
@Mwampambakelvin 4 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi hakika unajua kutufundisha kwa nyimbo zako nzuri
@user-kq3zx4nj1e
@user-kq3zx4nj1e 4 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze tunafurahia huduma zako ,zinatufariji sn,kwenye maisha yetu
@wanjikujoy-xm3ki
@wanjikujoy-xm3ki 4 ай бұрын
Only God knows how much I love Mr Mwasongwe's songs Nifundishe kuomba,misuli ya Imani....plus this one too it's Grace and it's really amazing#🇰🇪
@alfonceanton2273
@alfonceanton2273 4 ай бұрын
Best best gospel artist wa muda wote kwangu, ahsante kwa huduma yako ya uimbaji tunabalikiwa
@DianaKimario-xe7lu
@DianaKimario-xe7lu Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU hii nyimbo inanitia nguvu katika kipindi hiki kigumu ninacho pitia
@aminimgheni8968
@aminimgheni8968 4 ай бұрын
Ninaona utukufu wa Mungu sioni mawe,sisikilizi maneno yao,natazama ya Mbingu tu....Nitatazama kwako vinatokaga kware,manaaa....magari ya moto yabebayo watu wakoo.....Ambwene tenaa,Mungu akubariki umekuwa baraka sanaa,sijui huwa unafanyaje mpaka Mungu kukupa maneno makubwa hivii yenye kutufanya shujaaa katikati ya tabuu,yenye kutufanya kupasua kicheko hata tukiwa gerezani,yenye kutufanya tuvimbe tukumtazamia Mungu...Mungu atupe wengi wa namna yako
@edsonjeconia3257
@edsonjeconia3257 4 ай бұрын
Nifungulie mbingu nikuone.my favorite song from now
@barakaemmanuel8247
@barakaemmanuel8247 4 ай бұрын
Mbingu inafunguka kwa jina la Yesu kristo
@wahiaboranasari6462
@wahiaboranasari6462 4 ай бұрын
Sitaangalia mapito yangu...nitaangalia mbingu tu nikuone Yesu mwema
@ignasankoma5383
@ignasankoma5383 4 ай бұрын
Hallelujah, hii NI Ibada tosha, inatukumbusha pia kuwa karibu na mteyezi wetu, Ambaye atakuwa mtetezi Hadi mwisho wa dahari
@exaverymakoye6026
@exaverymakoye6026 4 ай бұрын
Hakika Nyimbo nzuri sana Nikikumbuka Nimewahi pitia kipindi kigumu Niliibiwa Pikipikiangu nilikua naipenda sana Nikawa Nasikiliza Wimbo wako Nimeachilia Ulinitia Moyo sana Nikasahau Mungu akanifanyia Makubwa zaidi nika Nunua Nyingine na Fedha nikapata Nyingi sana Mungu akubaliki sana kaka kwa Nyimbo zako🙏 Amen
@khalebnathael
@khalebnathael 4 ай бұрын
Nifungulie Mbingu nikuone,,sitasikiliza maneno yao nitasikiliza ya mbingu tu🙇🙏🙏
@MelkizedekiMboriyo-it8ht
@MelkizedekiMboriyo-it8ht 4 ай бұрын
Amen ❤
@nathanizebedayo6561
@nathanizebedayo6561 4 ай бұрын
Kila niwapo kwenye kazi zangu na karedio kangu basi Mwasongwe hunifanya niwe na furaha sana, lakini wewe Mungu waweza vunja jiwe Kwa ya Yai🙌🙌
@daudizacharia4453
@daudizacharia4453 4 ай бұрын
Daima huwa naimarishwa zaidi na huduma yako Mungu azidi kukutunza na kukufunulia nyimbo za kutufundisha ❤ Amen God Bless you
@p_photography_tz1
@p_photography_tz1 4 ай бұрын
Amina mtumishi nimebalikiwa najisikia amani moyoni mwangu 🤲🙏🙏🙏
@debdahchannel9159
@debdahchannel9159 4 ай бұрын
ONE of the great AMBWENE YOUR THE GREATEST the revalation never stop
@janethmollel406
@janethmollel406 4 ай бұрын
Hakika ni ombi langu pia Mungu anifungulie MBINGU nimuone katika maisha yangu maana mambo ya Dunia yanachosha. Hakika Ambwene Mungu azidi kukutumia sanaaa hujawai kutoa kitu kisicho na mguso.😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌
@majaysjrmtitu5300
@majaysjrmtitu5300 4 ай бұрын
Asante sana Kaka Ambwene. Mungu akubariki sana. Ujumbe umetimia 100%
@user-hv1mg8xc2n
@user-hv1mg8xc2n 4 ай бұрын
Amen❤❤❤
@user-so6fu3yb5z
@user-so6fu3yb5z 4 ай бұрын
Ndugu Ambwene nyimbo zako zinatuimalisha kiroho,uzidi barikiwa.
@ImpressiveFacts
@ImpressiveFacts 4 ай бұрын
Kaka ambwene imetinga wimbo ambao unanigusa 100%. Imefika wakati naona nipo peke yangu sina msaada zaidi ya Mungu tu😣😭
@user-hv1mg8xc2n
@user-hv1mg8xc2n 4 ай бұрын
Amen❤❤
@GastoryMusoma
@GastoryMusoma 2 ай бұрын
Hakika MUNGU wangu nakuomba umpe maisha marefu yenye baraka uyu kiumbe alieona si vema ukainua mawe yakusifu, Barikiwa sn Ambwene. ❤❤❤❤❤
@LeonFlorian-nt9js
@LeonFlorian-nt9js 4 ай бұрын
Huku ndiko kutumika kwaa ajili ya Mungu yani nyimbo inaupako sana. barikiwa sana mtumishi na Sifa zibaki kwa MUNGU alieye juu sana kwa njia ya Bwana wetu YESU kristo
@matokeomwakibinga3344
@matokeomwakibinga3344 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu hakika nyimbo zako zinanibariki mnoo, huu wimbo umejaa maneno ya kutia moyo sana Mungu akutunze sana
@ShadrackSanga-jj8pw
@ShadrackSanga-jj8pw 4 ай бұрын
Sitaangalia vidonda vyangu nitaangalia mbingu tuu😢😢😢hoja nyingine yenye nguvu mbele za Mungu hii apa,,, Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU hakika wewe ni zawadi kutoka kwa Mungu juu yetu thanks very much🎉
@marcelineluundo3009
@marcelineluundo3009 4 ай бұрын
Nifungulie Mbingu nikuone Mungu❤❤ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@meshackcharles17
@meshackcharles17 4 ай бұрын
Nifungulie mbingu nikuonee🙏🏾🙏🏾
@naamangidion
@naamangidion 4 ай бұрын
Nitasikiliza na kuangalia mbingu tuu ❤ Amen Amenii 🙏
@florahkimbage9571
@florahkimbage9571 4 ай бұрын
Ambwene hakika Mungu alikuleta makusudi ili utufariji kwa nyimbo zako,,,, hongera sana nyimbo zako zuri zinatufariji sana hujawahi kukosea🙏🙏🙏🙏
@farajangogo9125
@farajangogo9125 4 ай бұрын
Wimbo mzurii sana unagusa maisha yangu kwa Sasa "Eee Mungu naomba nifungulie mbingu nikuonee"😢
@ndayishimiye-jeremiah
@ndayishimiye-jeremiah 4 ай бұрын
Nakupend sana dady
@user-jy1db7yo8j
@user-jy1db7yo8j 4 ай бұрын
"Haya ni maombi yangu. Mungu nifungulie mbingu na mimi nikuone." Mungu akutlinde na akutunze Mwalimu 🙌🏾
@SeverinJanuary-du3oz
@SeverinJanuary-du3oz 4 ай бұрын
Nyimbo zako zako huwa zinanitiaga nguvu sana na zinanijaza Imani kubwa sana ndani yangu
@HildaMatei-tb7sr
@HildaMatei-tb7sr 4 ай бұрын
MUNGU aendelee kukutumia mtumishi wa MUNGU
@NormanMcguire-tn5lt
@NormanMcguire-tn5lt 4 ай бұрын
Mungu Akuinue Zaid na Zaid Nimebarikiiwa Sana Na Huu Wimbo Nifungulie Mbingu Nikuonee...!
@elizabethmwakipunda4630
@elizabethmwakipunda4630 4 ай бұрын
Nikiona utukufu nitadharau aibu! Nifungulie MBINGU nikuoneee
@luciamaganga1872
@luciamaganga1872 4 ай бұрын
Mungu azidi kukubarki,, kwa kweli nyimbo zako huwa zinanitia nguvu ya kuendelea na safari hii ya kuelekea mbinguni ilojaa mateso ya dunia hii
@neemamsafiri3129
@neemamsafiri3129 4 ай бұрын
Nifungulie mbingu nikuone Yesu...barikiwa sana mtumishi,huduma yako ni ya pejee,keep it up ❤❤❤
@Isaack-bm3xl
@Isaack-bm3xl Ай бұрын
Ambwene Mwasongwe asante kwa ujumbe mi nikikuskliza kwangu binafsi ni ibada tosha.
@suzanakitundu3935
@suzanakitundu3935 4 ай бұрын
Sitakaza macho kutazama mawe nitatazama mbingu tu... Amen Amen Amen
@daudmwakyusa89
@daudmwakyusa89 4 ай бұрын
Amina baba
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 2 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa Sana na nyimbo zako kila wakati na kila siku barikiwe mtumishi wa MUNGU
@victorhebroni3217
@victorhebroni3217 4 ай бұрын
Utabaki kuwa msanii Bora kwangu ❤❤❤❤ MUNGU akufanyie wepesi upate kila hitaji jema
@robertthadeo
@robertthadeo 4 ай бұрын
🎉🎉🎉 AMEN AMEN, SIANGALII MAWE HATA KAMA NAPIGWA NAUMIA NITAANGALIA MBINGU TU
@nicolasnyandwi9276
@nicolasnyandwi9276 4 ай бұрын
Asante ndugu. Wewe nyimbo zako zinanibariki saana. Mungu akubariki.
@jonisiamdulingwa6900
@jonisiamdulingwa6900 4 ай бұрын
Nifungulie mbingu nikuone👏👏👏Amina🙏🙏🙏
@saimonmakasi4148
@saimonmakasi4148 4 ай бұрын
Ahsantee sana Kwa wimbo mzuri kaka Barikiwa sana huduma yako inagusa wengi sana Mungu azidi kukuinua
@raybensrsanga6896
@raybensrsanga6896 4 ай бұрын
Kwa kifo na kufufuka kwake Yesu Kristo hakika mbingu zimefunģuka milele.
@joselinezephaniah1336
@joselinezephaniah1336 4 ай бұрын
Mungu aendelee kutusimamia kwakwel ...Silaha yangu itakua wewe 😢
@EvangileBashengezi-sf6hq
@EvangileBashengezi-sf6hq 4 ай бұрын
N'a fata nyimbo ...na DRC ...mungu amu bariki baba Ambwene ,..naku pendaga sana !!!!! Mungu aendekeye ku tukuka kila Léo ....tukaze Imani tu karibu Ku fika kwetu mbingu
@tusekilemwaisabila4603
@tusekilemwaisabila4603 4 ай бұрын
Nyimbo zako Ambwene zina kitu cha tofauti sana. Kwa wasomaji wa Biblia wanakuelewa sana. Mungu akubariki sana.
@user-cu3yy9vn9k
@user-cu3yy9vn9k 4 ай бұрын
Amen mtumishi kwa ujumbe,Lakini wimbo umetugusa watu wote tunao Muamini Yesu na tuliosikiliza huu kuna hata wale ambao hawa somi neno nao wameguswa vilevile kama wengine,na ndio itakua sababu pia ya kufunguliwa kwetu tusione soma neno,lakn ukisoma kwa wanao soma neno tu haijakaa sawa kama mtumishi wa Mungu sorry lakni ,ubarikiwe.
@MadukaPoul
@MadukaPoul 4 ай бұрын
Very impressive song God help me to reach in your kingdom and help your servant too
@upendomwasamboma7967
@upendomwasamboma7967 4 ай бұрын
Hongera mtumishi wimbo unabariki moyo sana Mungu akutunze🙏💌
@user-ir9io2ex4u
@user-ir9io2ex4u 4 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@dapesastudiosalon6875
@dapesastudiosalon6875 4 ай бұрын
wa kwanza hapa hongera mtusmishi
@user-yu8pv5vz1o
@user-yu8pv5vz1o 4 ай бұрын
Hongera sana Kwa wimbo mzuri wenye kuvutia na wenye kufundisha
@user-gk9sg4mv2n
@user-gk9sg4mv2n 3 ай бұрын
Mzee ambwene ni mu tshakuliwa wa mhngu, nyimbo zake inaleta salama sana na utulivu mu roho, mungu amu bariki sana ❤❤❤
@stevenhaule6786
@stevenhaule6786 4 ай бұрын
Kaka Ambwene Obadia Mwasongwe nakupenda sana kaka;maaskofu slogan Yao hawataki waumini tusiwapende sana watu mim nakataa alichoweka Mungu ndani Yako kwangu ni baraka kwanin nisikupende au kwann nisimpende?nakupenda kaka Obadia nakupenda sana bro
@jonathanmlinda2580
@jonathanmlinda2580 4 ай бұрын
Nifungulie Mbingu Nikuone, ubarikiwe sana Mtumishi
@prophetemadembo2743
@prophetemadembo2743 4 ай бұрын
Asante mwalimu. Umeturushia kitu kimpya.
@WinfridaJoseph84
@WinfridaJoseph84 4 ай бұрын
Wimbo una ujumbe mkubwa sana ni ibada tosha🙏
@user-th3lb3kw7b
@user-th3lb3kw7b 4 ай бұрын
Eee MUNGU nifungulieee mbingu
@pilumsolah1234
@pilumsolah1234 4 ай бұрын
Nifungulie mbingu nikuone Yesu
@DidierAKILIMupimbidjumaDidier
@DidierAKILIMupimbidjumaDidier 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa mema ipo kwenye uwaminifu na utukufu barikiwa na bwana
@aime6186
@aime6186 4 ай бұрын
MUNGU AKUBALIKI SAANA na kulinde Kwa Kila jambo ❤ tumebarikiwa saana kweli ❤
@user-nb8cb8iy6y
@user-nb8cb8iy6y 2 ай бұрын
Nifungulia mbingu nkuonia Baba katika maisha yangu
@FanuelDanford-jb6gc
@FanuelDanford-jb6gc 4 ай бұрын
Hakika bwana anakutumia kwa viwango vya juu sana,,,ee bwana nifungulie mbingu nikuone,,,
@elizabeththomas2239
@elizabeththomas2239 4 ай бұрын
Asante Mungu kwa kutumia watumishi wako kututia moyo🙏🙏
@donartyaloyce1565
@donartyaloyce1565 4 ай бұрын
Kaka huandiki tu ili mradi umeandika wimbo ila roho mtakatifu yu nawe katika kutunga na kuandika nyimbo zako, ni Mara nyingi imetokea nikiwa nasikiliza nyimbo zako Kuna hisia mseto napata hakika MUNGU anaongea na sisi kupitia wewe ubarikiwe sana na kila lenye kheri liwe nawe 🙏 Mimi ni mwenye dhambi ee baba nifungulie mbingu nikuone 🥺🙏
@josphatmogaka8668
@josphatmogaka8668 4 ай бұрын
Amen. Mungu azidi kutubariki.
@annahilonga3550
@annahilonga3550 4 ай бұрын
Amen man of God
@PromesseMuhindo-bx5to
@PromesseMuhindo-bx5to 4 ай бұрын
Ubarikiwe na Mungu kwaku Titia moyo nakutuongeza nguvu zidi ya safari yakwenda mbinguni. 🙏🇨🇩
@jeromepriest2942
@jeromepriest2942 4 ай бұрын
Kaka WWE ni mwandishi Bora sana wa nyimbo endelea kubaki kwenye misingi yko ntaendelea kujifunza kwako👏👏👏
@yusuphmofati
@yusuphmofati 4 ай бұрын
Nifungulie Mbingu🙏🙌
@chilebenson7839
@chilebenson7839 4 ай бұрын
Thank you Lord open doors for me My father in heaven 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇿🇲🇿🇲
@henockmzilo6446
@henockmzilo6446 4 ай бұрын
My favorite gospel singer ❤
@joshuajustustz
@joshuajustustz 4 ай бұрын
Player song 🎉🎉 Baba nifungulie Mbingu
@samweljames
@samweljames 4 ай бұрын
Nakupenda ❤Sana Ambwene Mungu azidi kukumiminia mafuta ya Baraka ❤
@oscarmwasongwe1260
@oscarmwasongwe1260 4 ай бұрын
Barikiwa Mwana wa Mungu alie hai Nikisikiliza kipawa cha Mungu alicho weka ndani yako najikuta natokwa na machozi ushauli wangu kwako endelea kunyenyekea Mungu yuko pamoja na wewe
@nelumwakasege5155
@nelumwakasege5155 4 ай бұрын
Sitakaza macho kutazama mawe nitatazama mbingu... Mungu akubariki mwalimu
@innocentmanyinyi2018
@innocentmanyinyi2018 4 ай бұрын
AMINA kaka nyimbo zako tatizo huwa zinanitoa machozi kaka yaani hongera sana ulibarikiwa sauti na uimbaji
@joyceshindayi4576
@joyceshindayi4576 4 ай бұрын
Hii imenipitaje!! 😢Nifungulie mbingu BABA yangu.🙏
@EliaaKisuma
@EliaaKisuma 4 ай бұрын
Maneno yako Nayafike mbinguni yakawe ukumbusho milele
Ambwene Mwasongwe - Nimeachilia (Official Music Video)
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 47 МЛН
Ambwene Mwasongwe - Nifundishe Kuomba (Official Music Video)
7:15
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 220 М.
NINA HAJA NAWE TENZI ZA ROHONI - YUSUPH MANAMBA |SWAHILI PRAISE AND WORSHIP
4:56
Yusuph Manamba Official
Рет қаралды 7 М.
Ambwene Mwasongwe - Ukae Nami (Official Audio)
9:24
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 60 М.
KUTANA NA MUNGU KWANZA( Official video)  By Emmnuel Mgogo.
9:43
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 242 М.
Inasikitisha: Kilichomkuta Ambwene Mwasongwe Unaweza Kutokwa Machozi
11:29
Nnala
8:05
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 410
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
Kenjebek Nurdolday & Baller - sokpe#сокпе#сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 159 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,1 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 1,3 МЛН
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 658 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 2,1 МЛН