Allah Amjalie kaburi lake liwe miongoni mwa ktk viwanja peponi tena ktk pepo za juu kabisa firdausi amiin
@shekhally57413 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu na akulipe pepo kwa rehema zake kwa kazi kubwa ya dini uliyo ifanya na adhari ya dini uliyoiacha ktk dunia inshaallah
@omarkhamys98187 ай бұрын
Umeondoka ila kama hukuondoka; vijana wako wameunga vizr sana pale ulipopaacha! Allah akulipe kila kheyr
@hassanhemed96032 жыл бұрын
Allahumaghufir lahu waskinhu filjanah
@OmarAbdallah-y8q23 күн бұрын
Allah anajua juhudizako ktk dini bc kwahayo akulipe aliyoyaahidi kwa wajawake wema
@ibrahimmwinyi6957 Жыл бұрын
Allah akurehem
@salmaiddi15273 жыл бұрын
Namuomba allah akupe pepo ya hali ya juu
@yassirsuleiman78042 жыл бұрын
اللهم اغفرله ورحمه وادخله فى الجنة جزاه الله الخير وجنة النعيم
@omanbarka20533 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh akulipe pepo yajuu kabisa kwa rehma zake amin
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Allah akurehem na akupe pepo y juu
@seifasaa78383 жыл бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك
@eshasalim54963 жыл бұрын
Allahumma Aammiin
@athumanisese55802 жыл бұрын
Aamin
@lacroquetalacroqueta68132 жыл бұрын
Allahumma Amin ya Rabb
@user-mz6jo6xr3u11 ай бұрын
جزاك اللّٰه خيرًا
@user-qg9ip2dg4m3 ай бұрын
Masha Allah Allah akuhifadhi shekh nasoro
@albassambakili37573 жыл бұрын
Allah alipe kheri shekhe wetu
@issaabdallakhamis26923 жыл бұрын
Masha allahu mungu akurehem she nassor bachu
@apangomombasa92303 жыл бұрын
Allahumah Amin yarabi iiiii
@mohdmbarouk8465 Жыл бұрын
Mohammed Bachu fata njia ya huyu Marhuum Sheikh Nassor Bachu utapata faida Sana uwache mijadala
@awadhally10529 ай бұрын
Hata huyu pia alikuwa anapinga maulidi ni bidaa kubwa niuzushi hakufanya mtume wala maswahaba wake walio waongofu nyie masufi mmetoa wapi bidaa hii
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Maashallah Allah akupe kivuri chake kaburini na sikuyakiyama kwa uwezowake na huruma wake lnshallah 💕
@seifasaa78383 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
@abdallahzahorrashid52049 ай бұрын
Allahumma Ij-alna Bikhusnil khaatimah
@idrisaaly35573 жыл бұрын
Allah a Amlaze mahali pema peponi sheikh wetu marehem sheikh Nassor bachu na akupe afya njema ewe kaka yetu Muhammad Nassor bachu uwendelee kuturushia mawaidha ya sheikh wte huyu Nassor bachu ili tupate fawaida
@suleymanislam40153 жыл бұрын
Maashallah. Amalhakika tumepoteza kiungo muhimu katika dini hii. Allah amrehemu
@fatmaahmed50613 жыл бұрын
RbbAmrehem Amueke pema
@fatmaahmed50613 жыл бұрын
Ex
@fatmaahmed50613 жыл бұрын
Rbbi Akurehem Akueke pema Amn
@shaadenshaduni77553 жыл бұрын
Subhan'Allah! Allah nimjuzi zaidi🙏
@AhmedAhmed-ct5pg3 жыл бұрын
Mashaallah,Allah akurehemu ktk Maisha yako ya Akhera,kwa hakika nakupenda Sana sheikh wangu,Kama wewe mm sijaona,
@apangomombasa92303 жыл бұрын
Allahumah Amin yarabiiiiii
@mwakakigona2803 Жыл бұрын
M/mungu ajarie kaburi lako liwe ktk viwanja vya pepon
@jabirkasunzu68412 күн бұрын
Aamiiin
@moanamohammed14063 жыл бұрын
Shukran kwa ukumbusho Allah amrehem sheikh wetu
@omanbarka20533 жыл бұрын
Nikweli kabisa hakuna anaejua mambo hayo bali watu wanakufuru kama hizo nyutro saund kuna mdada anawtt wakiume sasa anataka wakike kila mimba anapima anaambiwa na doctar anamtoto wa kike akijifungua wakiume sasa wamefika wtt 5
@MrTouch-rm4rh3 жыл бұрын
Maashallah mwenyezi mungu akufanyie wepesi uko kabulini ulipo
@Abdulazizhigah-zi3qf9 ай бұрын
اللهم اغفرله وارحمه واسكنه مكان في الجنة الهم لا تحرمنا اجره ولا تفتنا بعده واغفرلناوله ولجميع المسلمين
@user-pp1uk2vs2l11 ай бұрын
allah akuhifadhi
@ishakafaki35013 жыл бұрын
Namuomba ALLAAH AKATUFUFUE KESHO KIAMANI TUKIWA MIONGONI MWA WATAKAO PATA KIVULI SIKU HIYO NA ATUINGIZE KATIKA PEPO YA FIRDAUS. #ALLAAH HUMMA AMIN YARABBY
@SalmaAhmed-qb8wy3 жыл бұрын
Mashaa Allah waadhi mzuri,Allah atuongoze njia njema.Amin.
@abeidali51363 жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@mahmoudali28813 жыл бұрын
Mungu amrehemu sheik wetu
@jabirkasunzu68412 күн бұрын
Aamiiin
@abuunajat44503 жыл бұрын
Maashaallah sheikh ,Allah akufanyie wepesi katika maisha yako akhera amiin
@yasminjuma6633 жыл бұрын
Amin
@BinshakbuHemed-gb2zi11 ай бұрын
Allwah. Akuhifadhi. Sheh. Wetu
@athumanisese55802 жыл бұрын
Mashaallah
@nurdinibakari22833 жыл бұрын
Allaah amrahamu Shekh wetu.katuachia Mtoto imekuwa fitina kwasababu haka kanaye hakana hekma..Mudi jifunze Busara za babako.
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Muogope mungu ayo yazugumziza maneno machafu xn Yan fitina kivip chuki zako bak nazo kwenye nafsiyako usidanganwe n pumzi
@shabaniumande9 ай бұрын
Nifitna kwa watu wa bidah Kama baba yake pia alikuwa fitna kwa watu wa bidah
Allah akurehemu sheikh nassor ila mwanao ameiwacha manhaj ya salaf tunamuomba Allah amuongoze aifuate manhaj ya salaf swaleh
@Muhammad_Nassor_Bachu_.3 жыл бұрын
😆😆😆 Ameen😆😆😆
@lacroquetalacroqueta68132 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. الله المستعان
@lacroquetalacroqueta68132 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. 😆
@hamzaalliy8210 Жыл бұрын
Allah bless you more wherever you are
@AdanHumbe-os8dg5 ай бұрын
Allah Akbar
@ahmedbaga263 жыл бұрын
Amiin
@bakariabdallah25793 жыл бұрын
Nambuomba alla amrehm
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
Amiin
@ishakali82193 жыл бұрын
Allaah akurehemu shekhe wangu, wewe ndio sabb yamimi kuona njia na kujua kusudio langu la kuletwa hapa duniani
@aishasalum51733 жыл бұрын
Ewe mola wetu mrehemu shekhe wetu na amsamehe yy na sie tuliobakia. Ameen
@kishingokishingo18402 жыл бұрын
Tafadhali anza.kwa harufi kubwa unapotaja jina la.Mola wako
@sadiqabdullah12942 жыл бұрын
😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️
@hatengekimanaajml72303 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@mutomubaya2 жыл бұрын
Sheikh ametukumbusha umuhimu wa kuelimika masomo ya Uislamu na ametutahadhrisha wengi watu tumepuuza utekelezaji wa mambo ya masomo. Kwa mfano, tazama vijana utaona wengi hawana uwezo wa kimasomo ya Dini wala ya kishule wanapotelea kwenye anasa kama vile za nyimbo na ulevi na uzinzi na wapo wanapotoshwa na matapeli kwa unajimu nk. Kwa sababu hawakupata kujua Tawhid na kujua vyema tofauti baina ya halali na haramu nk. Hasara Lawama juu ya viongozi kwa kuwa wanafunga misikiti haraka baada ya Swalah badala ya kuwaandalia vijana na wazazi na Waislamu wapya masomo angalau muda fulani baada ya Swalah na wafuatilie wajue wanafunzi wanaelewa au la na wawakusanyie zawadi za kuwashujaisha na mawaidha waoende kusoma....tutapata hasara tukipuuza Ujumbe wa Allah
@thureyazuheir293 Жыл бұрын
mashaallah
@abuusufiyanjamada3775 Жыл бұрын
Shekh Nasoro Allah amrehemu na amsamehe madhambi yake na atukutanishe naye ktk Pepo ya Firdaus ya juu
@issaabdallakhamis26923 жыл бұрын
Masha allahu mungu akurehem she nassor bachu
@kalungarajab4348 Жыл бұрын
ALLAHUMMA aamin
@jumamohammed79833 жыл бұрын
Inhaallaah tujitahidi kuusimamia na kuufuata kikweli kweli uislaam w2