Пікірлер
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui 2 сағат бұрын
Unazeeka vibaya
@SalimDadi-us8jz
@SalimDadi-us8jz 10 сағат бұрын
أحسنت، وجزاك الله خيرا
@SalimDadi-us8jz
@SalimDadi-us8jz 11 сағат бұрын
أحسنت، وجزاك الله خيرا
@SalimDadi-us8jz
@SalimDadi-us8jz 11 сағат бұрын
أحسنت، وجزاك الله خيرا
@SalimDadi-us8jz
@SalimDadi-us8jz 11 сағат бұрын
أحسنت، وجزاك الله خيرا
@SalimDadi-us8jz
@SalimDadi-us8jz 11 сағат бұрын
Jazaakallaahu khayran
@SalimDadi-us8jz
@SalimDadi-us8jz 11 сағат бұрын
Ahsanta
@zaitunisingano8295
@zaitunisingano8295 12 сағат бұрын
Miski ya rangi inayofaa kufanyia ivyo shekh? Maana naonaga km ina rangi nying
@zaitunisingano8295
@zaitunisingano8295 12 сағат бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akulipe kheri Inshaallah
@seifsalum3018
@seifsalum3018 13 сағат бұрын
Wengi wanaokoment ummu ni wale bendera wasiopenda kuisom dini na kaz yao ushabiki
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Күн бұрын
Manshallah
@aliyussuf7165
@aliyussuf7165 Күн бұрын
MAJIBU KUHUSU IMAAM SUYUUTWIY رحمه الله kzfaq.info/get/bejne/ptyFmsx90bysj6M.htmlsi=Udx4NfbwdDP2gs4D
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Күн бұрын
Ushia ni ukafiri .
@rahmarizwan6357
@rahmarizwan6357 Күн бұрын
Elimu ina uwaja mpana kuhitilafoana hiyo haiwez kuondoka kila mtu ma mtazam wake usifosi watu wot wawe ma mtazam sawa na ww haiwezkan.musitupe lawama na kejel kwa jao mashekh bali angalieni ktk background ya elim zao zkoje.huy anafani hii ambayo mwenziw hana lazma atalalama 2
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya 2 күн бұрын
Na ww je
@user-ko3sx2hj4p
@user-ko3sx2hj4p 3 күн бұрын
Amin
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 3 күн бұрын
Sulle amefungua mlango wa ushirikina kwa waumini bila aibu, pesa kweli ni fimbo ya shetani.
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 3 күн бұрын
Nilikua namkubali sana Sulle, kumbe ni utapeli na ushirikina tu, hana lolote.
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 4 күн бұрын
Hizbi anailiza maswali😂😂
@user-vt3jl6kh4v
@user-vt3jl6kh4v 4 күн бұрын
Mpumbavu wa mwanzo bas ni ww
@amissigerard4004
@amissigerard4004 4 күн бұрын
Wanatoa hukumu ni wanazuon au ni Allah
@user-gt3rp9dy8w
@user-gt3rp9dy8w 4 күн бұрын
Sisi tungejuwa wap ulipo soma na ni mashekh gani ulio pita kwao lingetufarij ilo nakujuwa kuwa unayo yaongeya kuwa ni shubha ila wewe ni jahil hujakaa ukasomeshwa unachukuwa vtabu nakujisomeya bila kupata muongozo ya mashekh ndomana unajikuta unachukuwa chura unamfananisha na tembo
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 5 күн бұрын
MAASHAA ALLAH shukran sheik wetu kwakutuelimisha ALLAH akuhifadhi
@AllyAme-h9e
@AllyAme-h9e 5 күн бұрын
Cc tunataka miongozo ya dini mashekhe
@rajabrajab3525
@rajabrajab3525 5 күн бұрын
Allah akuhifadhi akupe umri mrefu
@sofiaadamugi1650
@sofiaadamugi1650 5 күн бұрын
Subhanaallah,porque tanto shirk😢
@MuhammedMkolimwa
@MuhammedMkolimwa 5 күн бұрын
Kaka saf san
@user-us7oy4fy5l
@user-us7oy4fy5l 6 күн бұрын
Sheikhe unanichanganya unasema ajatufundisha kusherekea siku ya kuzaliwa kwake je jumatatu tunafunga kwajili gani naomba nieleweshe
@user-us7oy4fy5l
@user-us7oy4fy5l 6 күн бұрын
Na mm sheikhe nataka kuuliza je mtume anajiswalia yeye mwenyewe
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 6 күн бұрын
MASHAALLAH SASA HAPO TUNATAKA RUDUDY MFULULIZO KWA WATU WABIDAAH😢
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 6 күн бұрын
1:02:57 kwani Shekhe lako #HasaniAwadhi sio #Dai ni muislamu wa kawaida tu? Hivi unajua kweli unachokizungumza kweli au umeamua kuwapotezea watu muda?
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 6 күн бұрын
58:20 Muhammad bichwa ww ni #jaahil mada imekushinda unajifanya muda umekwisha. Hizo Athar za Salaf ulizowekewa ni kitanzi kwako. Unabakia kuuliza "shida iko wapi, shida iko wapi" huku ukikaza macho!!!. Mambo ya kielimu hayapelekwi hivyo huo ni #utoto
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 6 күн бұрын
Utoto wa M.bachu haujifichi hata kidogo. Elimu si kubwabwaja sanaaa mitandaoni na kukaza macho.
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 6 күн бұрын
17:51 M.bachu kaona tusi kuitwa MJINGA #jahili na kujifanya eti anabusara sana.! Wakati huo huo kwenye kichwa cha habari cha video yake kamuita Abul Abbas ni #kibaraka!!! Hilo kwake yeye na wapenzi wake kwao sio tusi!!! Allahul Musta'an
@ShaabanKhamisAbdulla-nt6rm
@ShaabanKhamisAbdulla-nt6rm 6 күн бұрын
Makosa kama haya Anayo Kishki wa Tanzania.....ila husema sio aya vipi Anajumuishwa na Suyuti?
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 6 күн бұрын
Kwani huyo Rabii al madkhali hakosolewi ni kama nani. Yeye ana makosa kibao lakini ili uyatambue makosa yake mpaka uwe umesoma na sio kufata kitu kwa ushabiki.
@HemedSerious
@HemedSerious 6 күн бұрын
Sawa kabisa,
@HemedSerious
@HemedSerious 6 күн бұрын
Fact Yani walio okoka ni kundi lao tu, tuliobaki sote motoni, pepo ni Kwa ajili ya salafi majadida tu
@HemedSerious
@HemedSerious 6 күн бұрын
Swadakta sheikh 😂😂
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 7 күн бұрын
MASHAA ALLAH tabarakallah sheikh
@RamyGichero
@RamyGichero 7 күн бұрын
Nyie maubwa mtafanya nini wasenge nyie kazi kupiga mdomo tu dhehebu ndo hilo la kidemu demu la kutoka saudia mnajipendekeza kwa Marekani na Israel
@yahyaphd
@yahyaphd 7 күн бұрын
bacho huna hoja za mana hata kidg hueleweki wapi upo kuna siku ukasema mtu atakae msema vibaya barayyaan akatike nguvu za kiume leo unakuja unamtetea amabae anampinga barrayaani UPO WAPI WEEE MTANGA NA NJIA BACHOO HIZBI ANNSWAR SUNNAH
@user-rq8le1cd9b
@user-rq8le1cd9b 7 күн бұрын
A, alleykum allah atuongz inshallah endelea kutufunza maan ni mtihan huko tunapoelekea na vizaz vyetu vijavyo tunakupenda kwaajir ya ALLAH usichoke wala usikate tamaa na pia nna shida na no zako kam itawezekan inshallah
@mabablaz123
@mabablaz123 8 күн бұрын
Nyinyi wote ni mahizbi munafudisha mabinti na wake wa watu bila ya pasia..wakati hadithi na ayat zipo zakukataza
@abubakarnassor8280
@abubakarnassor8280 8 күн бұрын
no commandments but kumbusha hakika ww ni mkumbushaji maamuna wakiona ww unaondoka na wao haooo mbio nyingi hakuna nyuradi wala salamtume ila ww ukitulia pale utakumbusha in term of body language na wao watabaki kufanya nyuradi but ukiondoka na wao kma unawaruhusu na karne hizi tucdanganyane mtu akitoka masjid hakuna sehem m2 ataenda kaa kufanya nyuradi.😎
@Abubakarhaji-cq2cq
@Abubakarhaji-cq2cq 8 күн бұрын
Muandishi wa Habar Muhammad Bachu huna tofaut na Millard ayo kwa sas hiv hahahah dini inakushinda kaa kitako usomeshe
@SwaahibulMakaan
@SwaahibulMakaan 8 күн бұрын
Wew mtoto mdogo wa bidaa saidi kakutoa mavi naumejikojole mafuta mashine kubwa
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 8 күн бұрын
Wayahudi waanzilishi wa kundi potovu la Kiwahabi kwa hakika wamefanikiwa kwenye baadhi ya malengo yao dhidhi ya Uislamu duniani kote.
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 8 күн бұрын
Hongera sana HIZBIY
@imranmrisho
@imranmrisho 8 күн бұрын
mvuruqaj tu huyu namaliza mb zangu bule.
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 5 күн бұрын
kan ulitumwa uangalie😆? haqq inawaingia hapa na hoja zenu zote zisizo na mashiko zinavunjwa hapa..