AMRI JUU YA MAPAMBO NA WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI•NI MACHUKIZO MUNGU AMEKATAZA•Mch.Erick Yahaya-Mbeya

  Рет қаралды 11,857

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 176
@Nshimirimanajeanine-vh7mz
@Nshimirimanajeanine-vh7mz Ай бұрын
Turagushimiye cane mukozi Wimana kubutumwa bwiza.uriko.urigisha.imana.yowijuru.iguhe.umugisha.urusengero.uyoboye.gwitwa.gwiki.kuko.abakozi.bimana.beshi.bariko.baratuzimiza.urumurundi.canke.nitanzaniya.
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Naipenda hii mafundisho kweli Ina usima Yani mwanamke mwenye mapambo awesi mwona Yesu
@mossesmabulajr.3453
@mossesmabulajr.3453 Ай бұрын
Amen,,,mamlaka ya mwisho ya mtu yoyote ni Biblia kitabu kisicho goshiwa Wala shaka yoyote. Ubarikiwe ndugu
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Hallelujah hallelujah hii ndio injili ya Yesu kristo
@from.ideas2Actions
@from.ideas2Actions Ай бұрын
Ubarikiwe Sana pastor tupate Sasa watumishi Kama WEWE wapi ambao Roho wa Mungu anawa ONGOZA kusema kweli
@njombehc
@njombehc Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi semeni tuokoe hiko kizazi maana kinaangamizwa kwa kukosa maarifa
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 Ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi WA Mungu kwa kusema ukweli kutokana na Biblia mwenye masikio na asikie kile Roho anena na kanisa
@eliwanzitabonifasi4476
@eliwanzitabonifasi4476 Ай бұрын
Ukweli ni ukweli hata kama unauma ila unaokoa,pasua injili usimwonee Yesu haya,na ukweli uuseme usifiche chochote, atakaye kubali na kutii atakula mema.
@eliwanzitabonifasi4476
@eliwanzitabonifasi4476 Ай бұрын
Yesu aliitwa mwanaumesi kwa sababu kweli ni mwanaume,ila ni kwa nguvu alizokuwa nazo ambapo hakuna hata mmoja alizonazo na hatatokea kama yeye milele, Asante kwa kuelewa
@amimurajabu1327
@amimurajabu1327 Ай бұрын
Namshukuru sana Mungu anavyo anza kutuita sisi Waliokuwa waislamu kuja kwake kwa kuanza kazi yake ya kweli. Watumishi waliokutaniwa (wakristo ni siku nyingi wamenyanyasa wakristo kanisani kutohubiri ukweli!
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w Ай бұрын
I wish our gospel musicians wangeachana na mawigi na ma lipstick,i like the way. Upendo nkone anavaa kwa videos zake though si zote.😢
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 Ай бұрын
Tangu nijue hii tv have changed a lot barikiweni Promover tv
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Mungu yumwema
@rahelngwavi5197
@rahelngwavi5197 Ай бұрын
Nywele zako pia mwanamke huruhusiwi kusuka nneeno la Mungu linakataza katika 1 petro 3:3
@SadockChessa
@SadockChessa Сағат бұрын
Neno la Mungu nikweli limnyooka wachungaji wanalipindisha kwa ajili yakujipatia wauumini wengi ili wapate sadaka. Hataki kukemea maovu wamewapa uhuru
@HappyFlowers-ee8ru
@HappyFlowers-ee8ru Ай бұрын
MUNGU akubariki sana sana mtumishi akupe maisha marefu na udumu ktk kufundusha ukweli BWANA YESU KRISTO atakulipa usiogope
@janengaga2928
@janengaga2928 Ай бұрын
MUNGU atusaidie atufunulie zaidi .maombi na utii ni silaha kubwa.
@HalenBahati
@HalenBahati Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Neno ni kweli na AMINA
@AnnaLimbe
@AnnaLimbe Ай бұрын
Amen mtumishi ndivyo inavyotakiwa mimi mwenyewe Mungu aliniambia mwanangu unahangaikia nywele ndipo aliponiambia ninyoe kwani ni utumwa huo pia biblia inasema ukipanda kwenye mwili utavuna uharibifu hakuna faida ni kupoteza tuu nataman hela ya kusukia ningetoa sadaka au kusaidia wengine ningebarikiwa shukran sana kwa ili kwa wanawake tuambizane lakin uchaguzi ni kila mtu binafsi 🙏🙏
@user-sc7sn1tb9c
@user-sc7sn1tb9c Ай бұрын
Amen mtumishi Mbarikiwe Sana kwa wale ambao bado hawajaacha waache Mungu atusaidie Sana.
@user-bq6jv2mh1e
@user-bq6jv2mh1e Ай бұрын
Mchungaji , Unayosema ni kweli kabisaa.Nakuunga mkono kabisa kabisa.Nilikuwa sijasoma habari zako tangu sasa nitakuwa na kufuatilia sana.
@esterpeter8556
@esterpeter8556 Ай бұрын
I lov you mtumishi wa Mungu, natamani kanisa ulimwenguni kote liwe na wachungaji wa aina hii.afu ndugu mtangazaji nae anahitaji kuokolewa
@user-bl5qj9tv9i
@user-bl5qj9tv9i Ай бұрын
Kwa ruga nyepesi MUNGU anamtaka mwanadamu awe Kama alivyoomuumba yeye Kama Kuna mwanamke alizaliwa amesuka na aendelee kusuka aliyezaliwa na mapambo aendelee kwa wale wanaotaka kwenda mbinguni chukueni iyo ifike atua ukweli usemwe
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Ameen Ameen nabarikiwa mimi
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w Ай бұрын
Nimebarikiwa sana na uyu mchungaji,acha Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia.ukweli unaumiza,kibaya kinajitembeza,kizuri kinajiuza.
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Amepakwa mafuta na Roho mtakatifu abarikiwe milele
@DeogratiusSsnga
@DeogratiusSsnga Ай бұрын
Je kupaka nywele dawa nyeusibni kosa
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Ай бұрын
Ameen wafundisha vyema sna barikiwa mtu wa Mungu kwa kutufungua macho 😢🎉
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
@@DeogratiusSsnga Mungu alikuumba kwa mfano wake kwa nini utumie vyombo za kishetani kupadilisha uzuri wako? Mbona usiritike na jinzi ulivyo umbwa na Mungu au aujui jinzi ulivyo ndivyo Mungu alivyo, kwa hiyo ukijipadilisha unamwambia Mungu aukuniumba vizuri which is ni makosa tujipende jinzi tulivyo maana huu mwili ni dhabiu iliyo hai mbele za mwenyezi Mungu ukitunza vyema
@user-px3mp2yl2b
@user-px3mp2yl2b 29 күн бұрын
SHALOM MTUMISHI WA MUNGU! MTUMSHI HAWASIKII HATA WAMAMA WATUMISHI WANAJIPAMBA WAUMINI WANA SEMA MBONA MAMA MTUMISHI ANAJIPAPA? SEMENI NA WAMAMA WATUMISHI MUNGU AWASAIDIE
@EstherWayua-ke7kg
@EstherWayua-ke7kg Ай бұрын
Ni bora kutii kuliko dhabiu,kweli kabisaaa
@jimmymwashambwa7364
@jimmymwashambwa7364 Ай бұрын
Mungu akubariki umenyoosha kweli kweli
@user-qi5bf2br7z
@user-qi5bf2br7z Ай бұрын
Mtumishi usikwepeshe ukweli imeandikwa si kwa kusuka nywele we umesema wasuke hata kusuka haitakiwi kabisa 7bu si waafrika tumeumbiwa nywele fupi si kama watu weupe so kwa kusuka unamwambia Mungu alikosea kukupa nywele fupi,unamkosoa Mungu kitu ambacho ni machukizo mbele za Mungu wanadam tubadilike tumrudie Mungu tusifuatishe namna ya Dunia hii Dunia itapita na mambo yaliyo katka Dunia Bali neno la Mungu litadumu milele.
@horimberepeace7376
@horimberepeace7376 Ай бұрын
HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUA HALLELUAAAAAA ASANTE SAANAA YESU CHRISTO KWA MAHUBIRI 👏👏👏👏👏📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-ci5vo6sb2h
@user-ci5vo6sb2h 29 күн бұрын
Mbona makanisani wako wanatuubiria makanisani wanawake nawanava ivyohivyo😢 asantemtumishi
@LylianeBaumaLyly
@LylianeBaumaLyly Ай бұрын
Ubarikiwe sanaaa mutumishi wa Mungu nimebarikiwa sana wanawake wengi hatusikii Mungu nisaidiye mm 😢😢
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x 26 күн бұрын
AMEEN,kile alichokisema ndugu Eric,niukweli kabisa mwanamke haitakiw kabisa kwenda madhabahuni kuhubili mimi nimwanamke Rakini neno halituluhusu,mapambo bandia tunakatazwa kabisa mapambo ni ile Roho ya yezebeli chakula cha umbwa,frère Eric Mungu akubariki saana sio ww ni neno laMungu,kwahiyo uko sahihi kabisa!mimi niko ww
@MaryNjoki-h9t
@MaryNjoki-h9t 5 күн бұрын
Kweli umesema
@SabinaEzekiel-vb5nh
@SabinaEzekiel-vb5nh Ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji, ila mtangazaji haujiamini kulikoni?
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
Mtangazaji Yesu anakuona unavyo ufunika ukweli
@espoirMlondani
@espoirMlondani Ай бұрын
Amin mtumishi Mungu akuzidishiye katika jina la yesu kristo
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 Ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho haya
@annahasani7160
@annahasani7160 Ай бұрын
Mh ubarikiwe sana moyo wangu umefurahi kwa uiumbe huu
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Ай бұрын
Asante Sana mchungaji hasa kwa hali ya mapambo na wanawake kuwa wachungaji utafungua wengi sana
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Ай бұрын
Kiufupi mwanamke hafai kuvaa mavazi ya kiume
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Ай бұрын
My brother nakupa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ester7689
@ester7689 Ай бұрын
Hapana mtumishi wa MUNGU neno limesema sio kwa kusuka nywele hivyo kwa mujibu wa maandiko hayo hata kusuka nywele za kawaida ni kosa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
Si kwa kusuka nywele Tu??unaelewq Tu??
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Mbona usisome mandiko? Imekataswa kusuka nywele kwa hiyo kama wewe ni mtu wa kusuka uamuzi ni wako utii neno la Mungu au ungojee jehanam Wacha kurekebisha mtumishi wa Mungu yeye ametoa andiko wewe ujeelewa nini hapo
@EsitaDavid2-wp1uf
@EsitaDavid2-wp1uf Ай бұрын
Hakuna tu,,labda BIBLIA ya papa.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
kwa kweli ni ya wakati wa mwisho ,kuna Uchafu mwingi
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u Ай бұрын
Asante ni kweli
@ayubupeter2257
@ayubupeter2257 Ай бұрын
Amina ni kweli tupu
@AzenMalco-sd7cq
@AzenMalco-sd7cq 23 күн бұрын
Amen uko sawa
@AlphonsinaMkongoma
@AlphonsinaMkongoma 21 күн бұрын
Uyo bado sana ni libukeni wa ijili ajuwi kitu Huyo
@SadockChessa
@SadockChessa Сағат бұрын
Leo wanawake waingia kanisa wamevaa sox,
@safiesperance2582
@safiesperance2582 Ай бұрын
Amen 🙏 ni kweli
@IdahNambelasiwala-qs3su
@IdahNambelasiwala-qs3su Ай бұрын
Amen
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Yeremia 4 -30
@CatherineDavid-bl1jc
@CatherineDavid-bl1jc Ай бұрын
1Timotheo 2:8
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Ukweli kabisa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Wafalme2-,9,30
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Timotheo ya 1-2-9
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Barikiwa zaidi
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Mtumishi Ata Kusuka Nywele Za Kawaida Airuhusiwii mimi nilisikia sauti masikion mwangu na moyo pia kuzungumza Nyoa nyoa nilikuwa na dred zangu nywele yangu ya Asili lakini nilishuhudiwa sana Ninyoe tunapaswa sisi wanawake nywele tuzi tune tuu na kuchana kukufunika Kichwaa
@josykogei7647
@josykogei7647 Ай бұрын
Ukweli maandiko inasema ata nywele Yako tu usikunjekunje
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv Ай бұрын
Amina ,tunatakiwa tusichoange pembe za vichwa vyetu, kusuka, au style yeyote tusiweke bali tunyoe kawaida an kama tulivozaliwa na tukiwa kanisani tufunike vichwa kwa upande wa mwanamke.......hereni ,mikufu, bangili, vikuku, nk mapambo tisiyatumie
@v.o.gsoweto1530
@v.o.gsoweto1530 Ай бұрын
Wapendwa kulingana na Biblia mwanamke hatakiwi Kukata nywele yake maana amepewa hizo kuwa kama kifuniko
@user-sc7sn1tb9c
@user-sc7sn1tb9c Ай бұрын
Na Mimi pia niliacha mapambo nikawa nasuka za kawaida,Ila Mungu akanikataza adi Sasa sisuki, naziosha tu Kila siku na kuzichana na zinakuwa vzuri tu utafikiri nasuka Yani hazikatiki kabisa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
@@user-sc7sn1tb9c safi Barikiwa MTUMISHII
@sarahkishaluli6087
@sarahkishaluli6087 Ай бұрын
Mtangazaji sidhani kama huna la kusema ktk hayo, tusiukwepe ukweli, nyeupe nyeupe tu!
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
Upo ushuhuda nimeuona wa Mai mahiu yale mafuriko yalikua hapo April mama mke wa mchungaji Mungu alimsaidia hakuigia kuzimu lakini Yesu alishika kichwa chake akamuuliza nini hii mbona mimi sikukuumba na hizi nywele hizi sio za kwangu utarudi utakapo rudi hebu zikate
@JUMAMwambeule
@JUMAMwambeule Ай бұрын
Wewe pastor, fuatilia mafundisho ya mtume MALIYABWANA muache kushikilia elimu ya theolojia wengi mmeacha njia ya kweli mliyoitiwa.
@CatherineDavid-bl1jc
@CatherineDavid-bl1jc Ай бұрын
Mwanzo 38;11-15
@Houseofprayercentertz
@Houseofprayercentertz Ай бұрын
TAFUTENI ROHO ZA WATU , ACHENI SIASA ZA MFUMO DUME!
@CatherineDavid-bl1jc
@CatherineDavid-bl1jc Ай бұрын
1 wakorintho 14:35
@simonnjuguna612
@simonnjuguna612 Ай бұрын
What's the contact for the pastor Eric. You tube yake ni ipi?
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Mbona Nyisaki wa Mbeya ni Askofu na Mungu anamtumia kwa viwango vikubwa zaidi yenu maana yake ni ni mengine sio kweli bana ombeni ktk Roho Mungu atawafunulia vizuri,Neno linasema enendeni Ulimwenguni mwote mkawafanye Mataifa wote kuwa Wanafunzi wangu
@AYOUBPAUL-255
@AYOUBPAUL-255 Ай бұрын
Unaweza kutumiwa kwa viwango na usinyakuliwe siku ya unyakuo au ukafa ukaenda kuzimu, fiata biblia sio mtumishi
@espoirMlondani
@espoirMlondani Ай бұрын
Bibilia ndio kweli nasi atuko kwakufwata wa watumishi Bali neno neno amin
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 Ай бұрын
Soma Neno la Mungu vizuri mpendwa unaweza tumiwa kwa viwango vya juu na usinyakuliwe kwa sababu hukufuata Neno na ndio litakalotuhukumu maana ndiyo sheria yetu na kumbuka Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana ataingia katika ufalme wake mwanamke anakatazwa kuwa mchungaji na askofu tu ila kuwa nabii,kutao ushuhuda na kufanya uinjilisti nje ya Kanisa au madhabahuni ni ruksa sio asitende kabisa kazi ya Mungu
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
@@AYOUBPAUL-255 kinachozuia mtu asiende mbinguni ni dhambi tu,kama hauna ushirika na Mungu si mwamke kutumika.nyinyi shida yenu mnachanganya vitu viwili sheria na Neema.soma maandiko muache ujinga.
@eliwanzitabonifasi4476
@eliwanzitabonifasi4476 Ай бұрын
Exactly 💯
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Danieli 3,21
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z Ай бұрын
kwa kujipamba na nywele na kuunga mkono ni dhambi. Yesu alisema tufuate nia yake... sio ya kina paulo au mitume wengine. Kuna mahali Yesu alisema mwanamke hasihubiri? Mwanake kamzaa Yesu yaani kuhubiri neno lake ndio haruhusiwi? Mwanamke wa kwanza kuhubiri ni yule aliyekutana na Yesu kisimani... after ameelezewa dhambi zake na ukweli wote Yesu aliomwambi.. Mwanamke aliamka akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu," njooni mkamwone mtu aliyeniambia mambo yote niliyotenda! Je, yawezekana kuwa yeye ndiye Kristo? Huyo mama msamaria ndio akawa mwijilisti kwa wakati huo na kumbuka kwamba uijilisiti ndio unaozaa uchungaji. Kitu ingine Mungu anaabudiwa kwa roho na kweli. Hivyo basi rohoni hakuna uke wala uume. Na huo uke mnaouona uko kwa nje... Haya ufunuo 1: 6 inasema akatufanya sisi kuwa wafalme wake na makuhani wanaomtumikia Mungu, Baba yake. Alipojifanyia makuhani akusema waume au wake..... hii inamaana mwanaume na mwanamke rohoni ni same. Kwa sababu wanafunzi wa Yesu wa siku hizi wanapenda kuangalia kwa macho ya nje.... Isaya alitabiri kwamba Yesu "hatahukumu kwa mambo anayoona kwa macho yake, wala kukaripia kulingana tu na mambo anayosikia kwa masikio yake. Atawahukumu kwa haki watu wa hali ya chini. Isa.11:3-4. Hivyo basi kama wanawake wachungaji ndio wanafanya kanisa kufanana na kahaba mbona na wachungaji wakiume wanaruhusu mavazi ya kikahaba kwa sababu gani? Hivi leo hakuna wachungaji wa kiume ambao wanatumikia ufalme wa giza wamemuasi Mungu. Sote ni wafalme na makuhani wa Bwana katika roho. Kama unaona uchungaji kwa nje basi nikwambie hiyo ndio njia shetani anatumia kuwabadilishia agenda watumishi wa Mungu. Mbona ukihubiri kweli ya Mungu wataokoka tu.
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 Ай бұрын
Kwanza ni kweli wapo wanaume wachungaji wanaokosea hilo hatukatai kabisa pili yule mwanamke kisimani pale alifanya kazi kwa sasa tunaita uinjilisti kazi ambayo mwanamke yoyote aliyeokoka anatakiwa kuifanya kutangaza habari njema ya wokovu ila mwanamke kuwa mchungaji na askofu hilo hapana hakuna kitu kama hicho mwanamke anaruhusiwa kufanya uinjilisti nje ya madhabahuni mfano masokoni,mashuleni,barabarani,majumbani,stendi na sehemu nyingine na kuombea wagonjwa na kutoa pepo na kuwa nabii na kutoa ushuhuda kwa sababu hata katika barua za mtume Paulo anawasifu wanawake wengi tu aliokuwa anafanya nao kazi ya uinjilisti pamoja nae pia huwezi kusema tusifuate mafundisho ya mitume wengine hapana hao mitume waliitwa na Yesu na maandiko waliandika kwa Muongozo wa Roho Mtakatifu na sio akili zao kwaio hilo katazo ndo limeisha hivyo na ndiyo litakalo tuhukumu wana wake anyway muulize vizuri Roho Mtakatifu akufafanulie vizuri zaidi maana unaweza kuwa mwanamke mchungaji au askofu unayetumika kwa viwango na mwisho wa siku usinyakuliwe ila wanaosema mwanamke asitende kazi ya Mungu kabisa hapana wanakosea sote tunatakiwa kuvuna nafsi za watu na kuzipeleka kwa Kristo
@AnethSam
@AnethSam 22 күн бұрын
Anaongea fact kama unabisha muulize mungu wako unae mwabudu
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Kwa Mafundisho hayo hata kujipaka mafuta ni dhambi,sio kweli mengine ni uongo
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Endelea kubusia mandiko siku imekaribia Yesu kuja na utajipu yote maana alisema mkinipenda mutalishika nano langu kwa hiyo kama utii neno la Mungu wewe si wa Mungu Baba
@CatherineDavid-bl1jc
@CatherineDavid-bl1jc Ай бұрын
1Timotheo 2:10
@CatherineDavid-bl1jc
@CatherineDavid-bl1jc Ай бұрын
Danieli 3:21
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Mwanzo 38 v 11
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Ай бұрын
Mi nauliza je wanaume mnaruhusiwa kuvaa suruali,mbona Yesu hakuna mahali alivaa suruali ilikuwa ni kanzu,na kunyoa kiduku vp hapo?😊
@user-ss8mn8wu5r
@user-ss8mn8wu5r Ай бұрын
Ulimuona??
@MiltonKalume
@MiltonKalume Ай бұрын
Jibu ni kwamba suruali tumejua ni za waume
@sakongjohnson-bf9wb
@sakongjohnson-bf9wb Ай бұрын
Huyo mchungaji anahijika shule ya biblia sana.
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
Promover mnachanganya watu,leo mnaleta watumishi wanawake wanaoitwa na Mungu na sasa mnaleta wanaosema mwanamke harusiwi kuwa mchungaji,hivyo nini kiaminiwe natamani uweke mdaharo ili tuchambue tujue mke kuwa mchungaji ni dhambi au siyo dhambi.Neno la Mungu linahitaji kujua mazingira,kusudi la Paulo kusema hivo kulikuwepo shida gani,walichukuliaje wanawake,je sisi tuko kwenye mazingira gani,tunachukuliaje wanawake kimila na kidesturi.Paulo huyohuyo kuna mahali anawambia Neno la Mungu Linaua na kuisha.someni mtaondokana na laana ya torati.
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso Ай бұрын
Je hata skini taiti iriyo ndefu nimbaya?
@Houseofprayercentertz
@Houseofprayercentertz Ай бұрын
WENGINE WAVA VIZURI UNAVYOTAKA LAKINI WANAFIKI, TENA WABAYA HATARI
@CatherineDavid-bl1jc
@CatherineDavid-bl1jc Ай бұрын
2wafalme 9:30
@Choleta_Charles
@Choleta_Charles Ай бұрын
Mapambo ni Roho ya yezebeli.
@neemakawogo5479
@neemakawogo5479 Ай бұрын
Series pia biblia imekataa kwenye timotheo anasema msiangalie hadithi zisizoisha
@hoseamasogi1946
@hoseamasogi1946 Ай бұрын
Sasa mbona kusuka umeharalisha uruhusu na suruali maana vyote ni kitu kimoja kusuka nyele haijaandikwa kwa nywele bandia tu inamaana hilo limekushinda maana utafukuza wengi kanisani hubiri kweli.bora wakuite mshamba kwa kusema kweli.wasuke msuko gani sasa.
@JoramKasenga-ig2gk
@JoramKasenga-ig2gk Ай бұрын
Debora alikuwa nabii sio kuhani mchungaji ni kuhani
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 Ай бұрын
Ufunuo 5:9
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza Ай бұрын
Biblia iko wazi sio kwa kusuka nywele , zamani hapakuwa wigi au rasta , wewe unasema wasuke ila wasiweke wigi na rasta, tunahitaji Roho mtakatifu kwa ajili ya kuelewa maandiko
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Ай бұрын
KUSUKA NYWELE, HAPANA, HUWEZI KUTUNZA NYWELE KWA KUSUKA. Ila acha tusubirie ile siku ya Bwana, maana watu wanataka waje wamsikie YESU akisema kusuka ni dhambi au kuvaa suruali ni dhambi, Lakini ile siku ya Bwana, ya hukumu ya ulimwengu wote na wanadamu wa kila taifa,kila lugha,kila kabila, na kila rangi, hakuna hata mtu mmoja atakayefungua kinywa chake aseme nilisuka ili kutunza nywele au mwanamke atasema nilivaa suruali kwa sababu kazini walisema tuvae suruali au kulikuwa na baridi, Hayupo hata mmoja kwa sababu ufahamu wake utakuwa mkubwa na hata yeye ataona haya kujitetea kwa sababu hilo sio jibu . Mwanamke uliyeokoa na mwanaume uliyeokoka acha na fundisha haya mambo, asiyekusikia hasa wa nyumbani mwako mwache, hutahkumiwa wewe ila yeye atahukumiwa.
@lilianndete1735
@lilianndete1735 Ай бұрын
Hakuna kushuka nywele kabisa hata ya kwako 1Timotheo 2:9
@juliaannenderitu
@juliaannenderitu Ай бұрын
So wat should one do then
@user-pu8vf3xt8o
@user-pu8vf3xt8o Ай бұрын
Hapo kwenye mavazi ya thamani huwa pananichanganya inamaana wanawake wasinunue mavazi ya gharama kubwa? Nahisi kuna muktadha (context) nyuma ya haya maandiko
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 Ай бұрын
Yani mafasi ya kiasi
@JUMAMwambeule
@JUMAMwambeule Ай бұрын
Mavazi ya gharama huleta majivuno, hata Sulemani hakuvaa vazi la gharama.
@user-yt8zp7rg8u
@user-yt8zp7rg8u Ай бұрын
Hapo Hana maana tusivae mavazi ya gharama anamaanisha kuwa tusivae Kwa kujionyesha Yani kutaka kujionyeaha Kwa watu sii Kwa faction tunavaa hata Kama ni ya gharama lakin Kwa kumheshimu Mungu
@user-yt8zp7rg8u
@user-yt8zp7rg8u Ай бұрын
Tusivae Kwa kujionyesha
@nyangiboke
@nyangiboke Ай бұрын
Nikuulize mtumishi anayenena Kwa rugha na anawigi kichwani ie
@Choleta_Charles
@Choleta_Charles Ай бұрын
Kunena Kwa lugha hakukufanyi Kuonyesha kwba huyu ni Mtumishi wa MUNGU. Maana hata shetani ana Nena Kwa lugha pia. Na kunena Kwa lugha siyo mazoea....hiyo huja automatic.... Kikubwa nakusihi jitahidi U SOME NENO. ipo hukumu pia km husomi NENO, na pia ukisoma NENO na ukalieweka na likakaa ndani ya moyo wako, ndyo Roho wa MUNGU anajaa ndani Yako. Maana MUNGU/NENO ni ROHO , Hvyo bila NENO hakuna Roho
@JoramKasenga-ig2gk
@JoramKasenga-ig2gk Ай бұрын
Mwanamke kuhubiria anahubiri ila sio kuchunga kabisa na akihubiri mandiko yamempa vigezo awe kuwa akiwa anahutubu afunike nywele na anapoomba afunike nywele kumbuka huyo mwanamke ambaye yuko na mme ila kama ni mwanamwali hio Sheria ya kufunika haimfungi
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Umesoma 1 Corinthians 14 v 34 ,35 umesoma kweli au unakana mandiko 1 Timothy 2v 9 to 15 heri Mtu yule anaye tii mandiko
@donudonu2.r
@donudonu2.r 22 күн бұрын
tunaomba mstari wa mwanamke muhubiri.
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Camera Man next time uwache kutetemeka mkono
@naomikangangi4480
@naomikangangi4480 Ай бұрын
😅
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
@@naomikangangi4480 ukweli anatetemeka ni kama anaogopa
@user-pu8vf3xt8o
@user-pu8vf3xt8o Ай бұрын
Hivi Debora si alikuwa mwamuzi katika Israel je si aliamua wote wanaume na wanawake Sasa hili limekaaje
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Ай бұрын
Mungu sio mwanamke walamwanaume Mungu niroho nao wamwabudio imewapasakumwabudu ktk roho.Sasa kama neno linasema wanawake wahubirio injilinijeshi kubwa je neno linajipinga?na pia yoel anasema siku za mwisho wanawake watatabiri je watatabiri wakiwa wapi na km sio madhabahuni,na kutabiri ni kulisema neno la Mungu,hzi ni siku za mwisho wapendwa,mafundisho mengi ya uongo yatatokea yumkini ht kanisa kukumbwa kwenye ouvu huo ndo maana neno linasema siku za wateule zitafupishwa.
@user-pu8vf3xt8o
@user-pu8vf3xt8o Ай бұрын
@@annabyekwaso-wt7oi kwenye hili hata mimi nimeshimdwa kumuelewa huyu MCH maana Deborah alikuwa mwamuzi na ni mwanamke
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 Ай бұрын
Ndiyo alikuwa nabii na hata mwanamke hakatazwi kutoa unabii, ushuhuda na kufanya uinjilisti nje ya kanisa mfano majumbani,barabarani,mashuleni sokoni sehemu nyingine hakatazwi kabisa ila tu marufuku mwanamke kuwa mchungaji wa kanisa au askofu hilo ndiyo kosa ila nje ya madhabahu ni ruksa
@v.o.gsoweto1530
@v.o.gsoweto1530 Ай бұрын
Hakuna mahali Biblia inasema wanawake ni Jeshi kubwa ukitaka uhalisia soma ya kiingereza utaona wametafsiri vibaya. Halafu kuhusu Deborah kulikuwa na Baraka nyumba yake. Soma maandiko utaona. Halafu Kama Mungu ni Roho na NENO lake ni la Kiroho sasa inabidi kuwa wa Kiroho kulielewa. Ikiwa Neno limesema wanaume na wasalishe kila mahali inabidi yule wa kiroho alipokee maana Roho humtii Roho
@user-pu8vf3xt8o
@user-pu8vf3xt8o Ай бұрын
@@v.o.gsoweto1530 hapo kwenye kuhusu Deborah sijakuelewa ulichoandika
@danfordobadiah
@danfordobadiah Ай бұрын
Upo.vizuri.ila.mazingira.ya.kutumia.hermenutics.imekuweka.pembeni.mfano.umessage.nenough.natuaral.kwani.nguo.za.Adamu.na.Hawa.zilikuwa.zipi.sikupingi ila ukifaulu kujua.asili.ya andiko nani.lini.nini.sisi.leo.utafaulu.vizuri.sana.hoja.hizo.
@neemakawogo5479
@neemakawogo5479 Ай бұрын
Tupe maandiko tukuelewe usilete mawazo Yako kuna andiko na neno la Mungu
@AnnaNgobola-pm7fz
@AnnaNgobola-pm7fz Ай бұрын
Wana wa israel walitowa helenl za dhahabu walipotengeneza ndama hayakuwa mapambo acha kuiangalia biblia upande mmoja
@v.o.gsoweto1530
@v.o.gsoweto1530 Ай бұрын
Jambo la kwanzaa inabidi ujue Israel alikuwa wapi wakati anahizo heleni na mapambo? Alikuwa misiri mahali penye mchanganyo ndiyomaana aliendeleza hata uzinzi.
@JUMAMwambeule
@JUMAMwambeule Ай бұрын
Sasa nini kiliwatokea? maana ilikuwa ni miungu hivyo hupaswi .
@user-cn7vz6ye1i
@user-cn7vz6ye1i Ай бұрын
Kwa hiyo mwanamke kuhuburi injili ni mbaya??
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Kuwa Mchungaji atariii
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Ай бұрын
Sio dhambi walaaa,bibilia imesema wanawake wahunirio injili ni jeshi kubwa sasa hiyo injili atahubiria wapi km sio madhabahuni.Yoel alisema siku za mwisho wanawake watatabiri na kutabiri ni kulisema neno la Kristo,sasa huyo mwanamke atatabiria wapi!je Mungu ni mwanamke au mwanamme,neno linasema Mungu ni rohp na hao wamwabudio watamwabudu ktk roho na kweli.leo watumishi wa uongo wanachomoa maandiko kulitisha kanisa na ili watumishi wa kweli wapungue ili waongo wachukuw nafasi,Neno uuua roho mt ulihuisha ,pia injili za paulo zilikuwa zinakemea kanisa la korinto lilikuwa limejaa fujo.Ndo maana kwenda thiologia pia usaidia kujua waliondika ilikuwa ni nyakati zipi na zipi,Roho mt acha aliongoze kanisa lake .Nyakati tulizonazo ni zahatari,badala kuhubiri watu kuacha dhambi wanaingilia vitu vidogo wananyofoa maandiko ili kutosha watu.
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 Ай бұрын
Mwanamke anaruhusiwa kutoa unabii,ushuhuda,na kufanya uinjilisti nje ya Kanisa na siyo madhabahuni ni marufuku mwanamke kuwa mchungaji au askofu ila huduma nyingine anazifanya sio asifanye kabisa hapana
@PatricisAmani-ip4pm
@PatricisAmani-ip4pm Ай бұрын
Kuhubiri au kufundisha je?​@@rosemarymwanitega7926
@njombehc
@njombehc Ай бұрын
kusuka haitakiwi mtumishi iwe nywele ya asili su rasta
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
kumbukumbu la torati 22
@HappyFlowers-ee8ru
@HappyFlowers-ee8ru Ай бұрын
MUNGU akubariki sana sana mtumishi akupe maisha marefu na udumu ktk kufundusha ukweli BWANA YESU KRISTO atakulipa usiogope
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Ай бұрын
Kumbuka neno uua lkn Roho uhuisha,paulo alikuwa mtume na alionya sana kanisa la korintho maana lilikuwa linajichanganya,kwa fundisho hilo ysiwafanye wengi kulaza vipawa vyao,ikiwa Mungu alimwamini mwanamke kuweka mwokozi kwenye tumbo lake na kupitia huyo ulimwengu ukaokolewa leo hii iweje aibu kwa mwanamke kumtumikia Mungu,wengi mnadharau vyuo vya bibilia ila maarifa ni mhimu pia kila neno ulikijua liliandikwa kwa kusudi lini na waandishi waliandika kwa msaada wa Roho wa Mungu,hyo Roho ataliuhuisha kwako na liwe msaada kwa wengi.
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
PROMOVER TV
Рет қаралды 1,3 М.
WANAWAKE HUOGOPA KUKOSEA, WANAUME HUOGOPA KUSHINDWA | Deo Sukambi
12:54
NGUVU INAYOZUIA MAFANIKIO YAKO.
54:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 160 М.