Пікірлер
@EricMaingi-f8b
@EricMaingi-f8b 22 сағат бұрын
Amina, mchungaji Amiel, Mungu amekupa Neema kuu.
@Chris15697
@Chris15697 22 сағат бұрын
Shetani anambinu nyingi zakuwapotosha watu
@ChristianGregory-gf3gq
@ChristianGregory-gf3gq Күн бұрын
Ameni
@EunnyNicks
@EunnyNicks Күн бұрын
Aminaa
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 Күн бұрын
Mmezidi
@EstherPaulo
@EstherPaulo Күн бұрын
Amen
@eunicendunge-nb1qq
@eunicendunge-nb1qq Күн бұрын
Yesu anikomboe toka kwao
@tumainipeter458
@tumainipeter458 Күн бұрын
Ukimfahamu kweli kweli wala huteseki Mungu anakuwa kivuli chako mileleee mtafute kwa bidii mema utayaona
@FaustineTz
@FaustineTz Күн бұрын
Napenda hii injili we wachane mch katekela manabii Wanazingua sana
@sigfridchristian1890
@sigfridchristian1890 Күн бұрын
Kashetan kadgo kadgo😁😁😁😁 amina amina
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 Күн бұрын
Amina ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU Kwa baraka za mbinguni naduniani Hallelujah
@KennedyBernard-go1qj
@KennedyBernard-go1qj Күн бұрын
Manabii wa uongo wanawavuta watu kwa Kristo wakishaujua ukweli kisha wakaendelea kuwepo kwenye makanisa yao hilo ni tatizo lao
@KennedyBernard-go1qj
@KennedyBernard-go1qj Күн бұрын
Manabii wa uongo wanatimiza maandiko wasingekuwepo Biblia ingekuwa ni kitabu cha uongo
@mussamaro8068
@mussamaro8068 Күн бұрын
Amen mtumish wa Mungu mwenye maskio na hasikiee na achukue hatua apone
@ElvisReinhard
@ElvisReinhard Күн бұрын
Mimi huwa nampenda huyu mtumishi wa MUNGU kwa ukweli anao usema kuna mambo nimedhibitisha mambo mengine
@MethodIbrahimu
@MethodIbrahimu Күн бұрын
Kweli kwa msalaba sisi tumepona🙏🙏🙏🙏
@JanethFortunatus
@JanethFortunatus Күн бұрын
Kwanini mtu ukiokoka mambo yanakuwa magumu zaidi😢
@user-nf8gk5fi6c
@user-nf8gk5fi6c Күн бұрын
Lazima yawe magumu ili uanze kutilia mashaka kile ulichopokea, shetani anaanza kushambulia Imani yako lengo urudi kwake. Kuokoka ni sawa na Wana wa Israel walipotaka kuondoka misri, biblia inasema farao alipoona Wana Israel Wanataka kuondoka ktk himaya yao, adhabu yao iliongezwa mpk wakaanza kumchukia Musa aliewaendea ili kuwaokoa. Songa mbele usiogope, yako mema mbele yako
@user-lq6dd9pt7k
@user-lq6dd9pt7k Күн бұрын
Mi Niko Kwa kanisa lakini haihubiri utakatifu, lakini Mimi naishi kiutakatifu na ninaishi kulingana na bibilia.nitafanyaje nasioni kanisa ya utakatifu hapa Mombasa
@RobertMushi-yh7re
@RobertMushi-yh7re Күн бұрын
Sema Mtumishi tupate kupona
@RobertMushi-yh7re
@RobertMushi-yh7re Күн бұрын
Sema Mtumishi tupate kupona
@RobertMushi-yh7re
@RobertMushi-yh7re Күн бұрын
Sema Mtumishi tupone
@newbornhaule
@newbornhaule Күн бұрын
MTU HUYU WA MUNGU KANISA TUMUOMBEE SANA MAANA AMEJITOA KUISEMA KWELI...
@elizabethlusuardi2818
@elizabethlusuardi2818 Күн бұрын
Wawŵ❤
@elizabethlusuardi2818
@elizabethlusuardi2818 Күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏👍👍😭😭
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri Күн бұрын
Waambie ukweli
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 Күн бұрын
Twakupenda sana YESU asifiwe ,wengi wako uko ,Kwa ajili ya manjengo makumbwa magari ,na kutembea dunia nzima ,sifa ni YESU tuuu
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf Күн бұрын
Endeleya kusema ambaye nifilimasoni akasiliketuu SEMA TU mutumishi hata yesu walimuchukia kwakuwa alisema ukweli
@israelimarco6465
@israelimarco6465 Күн бұрын
Bado umetumwa kwa siri
@VeeSunshine-zr3iv
@VeeSunshine-zr3iv Күн бұрын
Sema usimuogope mtu Mungu ndiye aliyekutuma
@johnshayo7926
@johnshayo7926 Күн бұрын
Spiritual things cannot be Discerned by a carnal mind,
@user-xn3vq1gq3p
@user-xn3vq1gq3p Күн бұрын
Mungu kweli anapatikana kwetu Kwa nguvu za maombi,kufunga na sadaka, Mtumishi utuokoe na manabii Hawa,Amina
@jastinmkoba
@jastinmkoba Күн бұрын
Changamoto yako wewe uwtaji manaabii wauongo bari unafumba fumba akati mwanzo ulisema utawataja......
@IreneCremece
@IreneCremece Күн бұрын
Mungu akutie nguvu sana mtumishi wa Mungu uendelee kutufundisha
@GoimNikodem
@GoimNikodem Күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu aliyehai nakukubali na unaniongezea kiwango cha iman yangu sana
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 Күн бұрын
Sasa wewe umeokoka,inawezekanaje na kukamatwa kwa Nyota yako, wakati unasema una Mungu?
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila Күн бұрын
Nikumbuke namimi Bwana pia
@OswardalexandarbapafukeB-ty9oe
@OswardalexandarbapafukeB-ty9oe Күн бұрын
Ukimnyenyeka mumini huwezi kufika yesu Yu karibu kufika siku zimeisha nampenda sana huyu pasta
@VeronicaEdesiusBernard
@VeronicaEdesiusBernard Күн бұрын
Bwana Yesu Kristo Asifiwe watu wa Mungu kwenye maombi yenu mumuombee Kaka Jactan Msafiri na Kaka Erick wote hao muwaombee sana Mungu atawalipa hakika kwa jinsi wanavyojitoa mimi napona sana kupitia shuhuda kwakweli
@PromovertvTz
@PromovertvTz Күн бұрын
Amen
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Күн бұрын
Wanaohubirikinyume chaenjili auhatatorati ni mulipuko wa king'anng'anizi changuvu zashetani augiza enjili itaendeleakuwa neno lauzima nashetani ataendelea kupapasa gizanene nawafuasiwake. hiyo ikokwenye ufunuo alioonyeshwa Yohana naMungu kuwa hayana budi kutokea.
@VeronicaEdesiusBernard
@VeronicaEdesiusBernard Күн бұрын
Amen mbarikiwe sana nimemaliza shuhuda zote ishirini na nimejifunza vitu vingi
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Күн бұрын
Watu wanopinga elimu Ni waoga wa kufeli Viongozi wa kiroho waliopata elimu ndio waliokuwa hodari katika kusimamia huduma kwa mfano Nabii Eliya alikuwa na chuo alipofunza vijana kuongoza ;Nabii Gamaliel alikuwa na chuo aliko wafunza Akina Mtume Paulo Mtume Paulo akaja kuwa Bora zaidi katika huduma ya Kristo;hata Mtakatifu Luka hakuwa Mtume wa Yesu Kristo Bali alikuwa Daktari wa Binadamu Roma lakini ndie ametuandikia Kitabu Cha Injili ya Luka mtakatifu:Nabii Musa alisoma elimu yote ya kimsri hiyo ndio ilimwezesha kupambana na mazingira yake katika ufalme wa Farao:Kama lengo la kanisa la darasa la Sunday school lingezingatiwa Kama darasa kamili lingeinua elimu ya waumini kanisani lakini Sasa Sunday school zimegeuka kuwa kama ibada ndogo kiongozi anahubiri badala ya kufundisha hakuna maswali hakuna kupima ufahamu Sunday school imegeuka Kama ibada siyo darasa turudi kwenye kusudio la kuwepo Sunday school kanisa la TAG waloanza viZuri lakini Nao wamenza kuhubiri badala ya kufundisha zamani Sunday school ilikuwa inapima ufahamu na vinatolewa vyeti kwa wahitimu wazuri kwa watoto wadogo walikuwa wanapimwa kwa maswali kuchora picha za viumbe walioumbwa na Mungu ,waliofanya vizuri walipewa zawadi:Waislamu wamefauru Sana katika darasa lao la Madrasa mwanafunzi wa Madrasa Huwezi kuishambulia Imani yake ukamshinda wanapikwa Hadi wanaiva sisi Sunday school zetu kila siku zinadhofika waandaliwe waalimu wasomi wa elimu ya dini kuwa waalimu wa Sunday school si kila mtu hajui hata biblia anapewa kufundisha Sunday school lazima tujifunze kwa wenzetu Waislamu: Hata wayahudi walikuwa na madarasa ya kusomesha watu wao waweze kuwa hodari kuitetea Torati yao
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 Күн бұрын
Twakungoja 🇰🇪🇰🇪mtumishi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
Mkalimani Hatari saana maana si mkolezo huo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
God Help you Widow
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
Mkalimani Unaweka utamu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
Maana Na wewe ulikuwa huko sasa Ni wakati ulipe Deni kupiga kelele saana kwa hao Manabii wa Uongo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
Unalipa kwa sasa
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi 2 күн бұрын
Mtu hawezi kuja kwa YESU KRISTO asipoyaona matendo ya YESU KRISTO mutapigana sana. na hawezi kuja eti kwasababu wewe umefata maagizo ya Asikofu wako atakuja kwasababu umefata maagizo ya YESU KRISTO na kuyatenda siyo Roho mtakatifu anakwambia puliza pembe hayo matatizo yatawachia watu wako wewe unasema moyoni mwako eti Asikofu akisikia hii atanifukuza siwezi mpaka unanza kupingana na MUNGU kwa sababu ya Asikofu wako mwisho wa siku MUNGU anakuacha utumie akili yako anaenda kwa wanao mtii. Sasa ukishaona walio itii sauti ya MUNGU na kuyafanya maagizo yake wewe unaanzaa kuwasumbuasumbua kwa hasira zako. Wapo manabii wauongo sawa lakini siyo wote unao waona wewe niwauongo wapo na waukweli. ASOMAYE NA AFAHAMU.
@ellyitete938
@ellyitete938 2 күн бұрын
Pianist anazingua jmn muda wa kubonyeza umeisha