Anapoishi Mwijaku Nyumba Kajengewa na mkewe Magar Kapewa Amchana Diamond kapanga Afuga mbwa milion14

  Рет қаралды 138,235

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

Жыл бұрын

Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

Пікірлер: 223
@jeremieidysuhya-ff7iy
@jeremieidysuhya-ff7iy Жыл бұрын
Kkkkk Dc
@lisahhans295
@lisahhans295 Жыл бұрын
Kumbe bado anapanga jamani mmmmm .namaujanja yoote.anapangisha shenzi zake.😊😅
@lisahhans295
@lisahhans295 Жыл бұрын
Hahahhaaaa hakuna kituu ndani huyo ni fala etiii
@issarooney5190
@issarooney5190 Жыл бұрын
Hongera Mwijaku...endelelea kuenjoy life
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Wasaniii Na mambo yao Ni usanii siku ikitokea jambo tusishangae kuskia wamepanga. Mm wasanii siwaami mbwembwe zao.
@kassimhashi49
@kassimhashi49 Жыл бұрын
Kabisa
@wardawarda-fp3qe
@wardawarda-fp3qe Жыл бұрын
Kabisaa yaani
@winnawiliamwinnawiliam8859
@winnawiliamwinnawiliam8859 Жыл бұрын
wakati wamepanga iyo nyumba
@IANA2030
@IANA2030 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
@@IANA2030 au ww unaonaje??? Maana mbwembe nyingi Na tatizo likiwakuta la maradhi. Ss Watanzania ambao hatuna majumba wala magari ndio tunawachangia wakatibiwe. Yaani kila kitu usanii. Hivi kuna ubaya gani msanii akiishi maisha halisi. Badala ya kufec.
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Ni vizuri,Mwijaku anaispire vijan
@jameskitheka5791
@jameskitheka5791 Жыл бұрын
😂😂😂 mwijaku ni real hustler 💪 shout out kwako kutoka 🇰🇪
@raphaelenock8676
@raphaelenock8676 Жыл бұрын
Nakukubali sana bloo wangu mwijaku
@relaxationforever88
@relaxationforever88 Жыл бұрын
Mboona mwija amekaa kama yy ndio mlinzi😮😅
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 Жыл бұрын
Congratulations ❤
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Nampenda sana unavyo mpenda mkeo bc ila bwebwe nyingi sana izo ninyumba za kupangisha kabisa hapo ni familia za watu3
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Sio kwa mke wake wala kwa ndugu yake! Kaona aibu maana hata funguo za ndani hajapewa! Kaachiwa choo tu maskini wa Mungu! Sifa zitawaua wabongo! Hapo kaomba kuchukulia picha ndani ya nyumba kakataliwa!
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Hii nyumba mzee umepanga hiyo ya kupanga na hiyo ya pili anaishi mwenye nyumba kwa hiyo usitulishe matango pori
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Haswaaaaaaaaaaaa
@latiphamfoy4265
@latiphamfoy4265 Жыл бұрын
Mwijaku mjanja kapata mke msomi anakula bata maisha safi
@DominiqueDrouin-fh5pw
@DominiqueDrouin-fh5pw Жыл бұрын
nice one
@hasani565
@hasani565 Жыл бұрын
Nice house Mwijaku
@masoudabubakar9749
@masoudabubakar9749 Жыл бұрын
Huyu lumbukeni,iko ck maisha ya kuigiza yataisha.
@floraundisa3688
@floraundisa3688 Жыл бұрын
Watching your house tour 🇰🇪🇰🇪
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Nikija kusikia nahuyu yumo sitoshangaa, hawa wanatamani maisha ambayo wanatakiwa wafanye kazi, sio uchawa .... Ok Mazingira ya nje na ndani wala hayafanani kbsa.....
@ManichManich-yj4sl
@ManichManich-yj4sl Жыл бұрын
Mwijakuu💯💯💯💪💪👑👑
@uniquestories3609
@uniquestories3609 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Жыл бұрын
Mha wa kwanza mjinga
@seraphinemuthama5119
@seraphinemuthama5119 11 ай бұрын
Ni mxuri mwanamke kua na kazi jameni respect ndio hio
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Kumbe mwijaku ana maisha mazuri sana daah siyo poa
@mussakisope7207
@mussakisope7207 Жыл бұрын
Bongo watu wanapenda sifa sana
@OmariYahaya-bm8no
@OmariYahaya-bm8no Жыл бұрын
Kupatwa kwa maisha😂
@mvumoextratv
@mvumoextratv Жыл бұрын
Chance Tza💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥👍
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Жыл бұрын
Kumbe umeona bro hii.... aminia mwamba insha'Allah waenda mbali
@Japhetitz
@Japhetitz 10 ай бұрын
Vzr
@graceamuli9899
@graceamuli9899 11 ай бұрын
Uyu anazidi ata wacongo 🇨🇩🇨🇩
@estatekisombola9251
@estatekisombola9251 Жыл бұрын
Kesho tutamuona kwa konde akililia kodi😂 wasani wa bongo shida
@greatest_of_africa
@greatest_of_africa Жыл бұрын
😂😂😂😂😂et ndan cku ingine
@furahamwaisemba6532
@furahamwaisemba6532 Жыл бұрын
Subiri upate pancha 🤣 Mnaanza kutusumbua michango,, Get well soon Mr. ZIMWI
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 Жыл бұрын
Mbona ndani hujampeleka
@BrysonMayunga-lc6mq
@BrysonMayunga-lc6mq 11 ай бұрын
Na kama jamaa kapanga inamaana hata hivyo atakuwa na pesa kuweza kupanga hapo its not a joke congratulate me hata kama itakuwa kiki au uchawa jamaa atakuwa amejipanga vizuri sana jaribuni na nyie uchawa kama mtamfikia jamaa😂😂😂*djTop breezy
@alexmboya4926
@alexmboya4926 Жыл бұрын
😂😂umetisha mkuuu dada wa kazi no kutoka ndan mbwa hawajamzoe😂😂
@elbarrey3305
@elbarrey3305 Жыл бұрын
Sasa huyu kujimaliza kote huku anaish kwa mkewe.. Ivi ana japo kiwanja?
@estershekika8865
@estershekika8865 Жыл бұрын
Mbona nyumba yenyewe ndani imechakaa sana
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Af Yako Iko vipi Kwan mkuu?kujenga sio rahisi ukianza kujenga utajua au labda unapesa kumliko lakin sio rahisi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hongereni sasa mmyenyekeeni mwenyezi mungu maisha ya akhera ni bora zaidi
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
Kaburi tajiri😊
@tembarooney7899
@tembarooney7899 Жыл бұрын
Ukuta ndio nyumba hakuna
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
usijisifie ujinga ishi maisha yako halisi
@immanuelKibett
@immanuelKibett 10 ай бұрын
wanawake wote wa kenya wana akilii kumzidii mwijakuu.mtu ovyoo .daaaah😮😮😮
@john-ke5838
@john-ke5838 Жыл бұрын
Mnamambo makubwa huko Tzi🤗🤗🤗🇰🇪
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Жыл бұрын
Sio kama huko kenya kwenu hata mtu akifanyiwa interview ha repost 🚮
@alexandermcqueen.7555
@alexandermcqueen.7555 Жыл бұрын
​@@jayclassicke8163kwasababu huku kenya ni mambo madogo sana ila wabongo nani asiewajua hamna jambo dogo nyie😂😂
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
We Acha 2 mm nishachoka kuishi
@kevinoguna3807
@kevinoguna3807 Жыл бұрын
Mwijaku we muongooooo😂😂😂😂
@thebenzclassic1905
@thebenzclassic1905 Жыл бұрын
Beat yenu iko juu sana maneno hayaskikiki
@EliabApeli-un4th
@EliabApeli-un4th Жыл бұрын
Bure kabisa
@JumaHaruna-cr8rp
@JumaHaruna-cr8rp Жыл бұрын
Ata home wapo kaka
@wiseman7456
@wiseman7456 Жыл бұрын
Kenya cpa ni kitu ya kawaida ila tz it's big deal 😂
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
Wee mwenyewe umefanana na Rashidi 😂😂😂
@nordinebaraca4635
@nordinebaraca4635 Жыл бұрын
Meza mil10😂😂😂😂
@Kobe_254
@Kobe_254 Жыл бұрын
Alivyokua anasifia mbwa na hiyo meza ya seremara wa kigoma.. nilijua tu huyu misifa za peni mbili, ulizia Babalevo utajua kweli kaka amepanga😂😂
@sumaliinaleng5430
@sumaliinaleng5430 Жыл бұрын
Sio covenant ni conventry
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Pachafuu apo kwenye washing machine 😅😅
@awadhally1052
@awadhally1052 Жыл бұрын
😂🤣
@stanleymwangi5804
@stanleymwangi5804 Жыл бұрын
Hahahaha huyu chizi.
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Жыл бұрын
Alphard ,,Crown,Duelis mmmmh haviendani na hiyo nyumba ..gari hizo sawa sio nyumba ,,, wadanganye wamedia sio wananchi
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 11 ай бұрын
una laaana ya menina sikupendi mwijaku
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Nyumba za kukodi izo msibabaishwe wa TZ izo mbwembwe tu
@princemulunda5047
@princemulunda5047 Жыл бұрын
Muhogo sio kwake
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu Жыл бұрын
Maneno tuu -uongo chungu nzima
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 6 ай бұрын
Unahema misifa ndio maana hampati majigambo Sana!
@simonmdemu
@simonmdemu Жыл бұрын
Covenant financial consultant🎉
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
Mikaro's family 😂
@ulimwenguswed6394
@ulimwenguswed6394 Жыл бұрын
Mwijaku una pesa yoyote
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Unaona sifa eti nilikuwa namgonga na kwa Mungu akifa kajibu ivo ivo
@zakayomasingoti9238
@zakayomasingoti9238 11 ай бұрын
Izo nyumba ni za zamani za wazee wataafu..wanazoanziaga maisha mbwa ww..mmepanga hamuendani na mazingira
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Kiki tu. Ni nyumba ya Jamaa fulani anakaa nchi za nje. Siyo yake. Hiyo nyumba inalindwa na wamasai . Kawahonga wamasai afanye kiki. Huoni hakuna mkewe hapo wala mtoto wake. Soma alama za nyakati.
@mussajackson783
@mussajackson783 Жыл бұрын
Kapiga rangi ya bucha
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
NYUMBA KUUBWA,, WALINZI WAKO UNAWAFUGA KWENYE KINYAMKELA 😄
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Жыл бұрын
Mzee wa kujisifu na uongo juuu daaah tutajuta
@EdwardKilasi-kp8fp
@EdwardKilasi-kp8fp Жыл бұрын
Maisha yenu halisi tunayajua mkishakufa
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Kwahy sk unaachwa iitakuwa mbaya
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Hlf mkiumwa mnaanza kutuchangisha nyumba mzee hiyo ya zamani
@isackmbade3181
@isackmbade3181 Жыл бұрын
Unadanganya hapo umepanga mzee
@abdulkidebe1707
@abdulkidebe1707 Жыл бұрын
Ukiangalia vizuri tu unajua kabisa hapo kapanga maake kuna nyumba zaidi ya moja na fensi ni moja wakati jamaa anafika getini Ukiangalia kwa mbele kuna geti jingine
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 Жыл бұрын
Nyumba ina Rangi mbaya sana
@falouheart4329
@falouheart4329 Жыл бұрын
Washamba bwana 😂
@user-cp1jb2cf4l
@user-cp1jb2cf4l 11 ай бұрын
Kwaiyo. Mwijaku. Kumbe. Jumba. La. Mkewe. C. Lake. Kujigamba. Kote. Hana. Say.
@zakayomasingoti9238
@zakayomasingoti9238 11 ай бұрын
Nyumba ya kupanga jmn dar
@1tripple9
@1tripple9 Жыл бұрын
Mnatuchanga na pesa zenu kubwa kubwa kumbe kwetu Kenya ni kapesa kakununua Royco cubes.
@nsmilles_tz2601
@nsmilles_tz2601 Жыл бұрын
Kapangishwa na mkewake😂
@samuelniyokwizera9378
@samuelniyokwizera9378 Жыл бұрын
😂 Mwijakuu mbona unafanana kama mlinzi apo mahali ulipo
@aliyussuf8068
@aliyussuf8068 Жыл бұрын
umeonaa eeh
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Kelele zote unalelewa
@agreyangaza9124
@agreyangaza9124 Жыл бұрын
Ao koko ataa hayabwekii
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Mwijaku ni kichwa kingine 😂😂
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k Жыл бұрын
Mwijaku anaongea ukweri yeye ni marioo 😂😂
@gres1182
@gres1182 Жыл бұрын
Mwijaku Eti meza 10M wacha uongo
@mugishagerard8241
@mugishagerard8241 Жыл бұрын
Huyo mwijaku anapanga, anaonyesha vitu sio vake
@brianbabu6984
@brianbabu6984 Жыл бұрын
Mwijaku uko na mambo🇰🇪🇰🇪
@hameezhami7795
@hameezhami7795 Жыл бұрын
Yani anavyomuelezea unadhani mkewe alipelekwa na wazaziwake kusoma amsomee mwijaku
@xaverisunday699
@xaverisunday699 Жыл бұрын
Meza ya laki ikeongezwa sifuri nyingi dahaa kwl tuna danganyana
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Sio kwa mirangi hiyo ukutani khaa!
@aliyussuf8068
@aliyussuf8068 Жыл бұрын
mm nilizani nikituo cha zima moto
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
​@@aliyussuf8068 😂😂😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
@@aliyussuf8068 🤣🤣🤣🤣🤣
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 Жыл бұрын
Mi Naina unafens tu nyumba huna
@johnrickmwamselele1036
@johnrickmwamselele1036 Жыл бұрын
Bongo mshatufanye wengi vilaza mkiugua mnapitisha bakuri tuwapeleke India .nasema mkome mara ya Kwanza mbaka tatu
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
Kwenda uko bwegee wew umeolewa unalelewa imebakia uvalishwe gauni Tu😂🤣🤣👈
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Mshamba😂sanaa wewe mwijaku 😅😅
@solangekubota9487
@solangekubota9487 Жыл бұрын
Kaka anaonekana ni mario
@jamestera2122
@jamestera2122 Жыл бұрын
Meaning ulikuwepo hapo kabla ujakuja kubisha gate
@wakunatahafai1969
@wakunatahafai1969 Жыл бұрын
Uwongo mbaya kasema mke katoka na gari lake ajabu gari ziko tatu tayari 😂😂😂😂🙌
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 Жыл бұрын
Duuh gari pia unanunua black friday
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 Жыл бұрын
Eti million 3 😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@johnrickmwamselele1036
@johnrickmwamselele1036 Жыл бұрын
Dc fanya kusaidia kujenga shule Tanzania ata chumba Cha darasa
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Limbukeni hana siri....
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 Жыл бұрын
😅😅meza million kumi wadanganye mafala sio sisi
@zaitunjuma870
@zaitunjuma870 Жыл бұрын
😀😀
@frankminja2343
@frankminja2343 Жыл бұрын
Wakuda bana sifa Miiingi
@goodluckjoseph3540
@goodluckjoseph3540 Жыл бұрын
Meza M-10 hapaa tumepigwaa
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Hiyo mlangoni umeshidwa kupinga rangi khaa!!!
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Tena kaowa mchaga atakoma hafu ndo tajiri mkewe
@zaitunjuma870
@zaitunjuma870 Жыл бұрын
izo sifa zenu endelen nazo ivyo ivyo mkijaumwa hp mwatak mchangishiwe
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
UTACHEKA NANGA NA WAKUSMARTA_KEVOO_SHAFII😀
7:36
Kevoo Joker Comedy
Рет қаралды 365
MJENGONI KWA HARMONIZE NJE MPAKA NDANI ANGALIA PAKISHUA SANA
10:16
Exclusive: Mwijaku Amjibu Baba levo/Kama Anaweza Aachie Video
14:30
Dizzim Online
Рет қаралды 24 М.
Бабайка #юмор #рекомендации #прикол
0:32
МэдПринц 👑
Рет қаралды 1,9 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 26 МЛН
Matt Kills Dexter's Deer | Dexter: New Blood S1E1 | #Shorts
0:51
Clashed PR
Рет қаралды 12 МЛН
Моя Жена Босс!
0:40
Petya English
Рет қаралды 9 МЛН
Difference of girls and boys when eating sweets 😂😬
0:35
VovaLika Family
Рет қаралды 11 МЛН