Yaani wewe Baba Mungu akutunze una hekima iliyopitiliza
@SeewaMwaka6 ай бұрын
Mtumiahi uko vzuri,,yaani umekuwa tofauti na muulia maawali,hapo alitaka ujibu tofauti halafu amlete mwijaku kwa Mia ya kuwachonganisha,ubarikiwe sana mtumiishi
@rashidkihunga29386 ай бұрын
mungu atulinde umeongea vema .watu wameja wivu wa maendeleo.mwijaku hongera sana kula chuma hicho
@ASALABOY6 ай бұрын
Baba asante sana kwa Nondo zako uwa najengea ufaamu Changu🌍🌍
@user-ip4fc6et6v6 ай бұрын
Napenda mahubiri ya huyu mchunganji ..anahimiza sana Kwa maisha
@williammbuzimai57446 ай бұрын
Wanahabari wakorofi kwa maswali njooni kwa huyu mchungaji,, Hategeki kizembe.
@joshuamuro94946 ай бұрын
Kbsaa kwanza hakupi muda kuuliza maswali ya anakipaji chakujibu kile unawaza kuliza hatimaye unabaki kuitikiatu😂😂
@user-ui1qs9yl1nАй бұрын
HUYU BABA HUYU MZEE NI KAMA KOMPUTA ZA CORE NA HARD DISC ZA SSD YUKO SPEED NA KUMBUKUMBU KINOMA NA ANAJUA BIBLIA UKIENDA KUMUHOJI HUYU JITAYA LISHE
@fidelfidel-jz4iw6 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
@christopherjoseph83306 ай бұрын
Mchungaji nakubariki😊 unajibu swali kabla hujaulizwa na mtangazaji, unampa wakati mgumu 😂😂😂
@joshuamuro94946 ай бұрын
😂😂😂 hatari Sana
@user-uh2yu5sp5c6 ай бұрын
Baba Asante kwa mawaidha na wosia fln ndani yake 🤲
@user-up2ef7dc6k6 ай бұрын
Baba uko very nimekupenda bure Yani umejibu ipasavyo ujakosea hongera cn baba❤🌹💯
@aloycemathew39266 ай бұрын
Pastor yangaa tumekosomaaaa😂😂😂❤
@emmanuellwinga56866 ай бұрын
Huyu ni moja kati ya watumushi wenye hekima ya kufundisha
@emanuelvenanc86866 ай бұрын
sai kabisa
@paschaljoseph24126 ай бұрын
Mchungaji Hanaja kwa nn usigombee uraisi Tanzania baba 😂😂😂!
@clevermgedzi47086 ай бұрын
Baba hananja nimekuelewa Safi sana
@FridaUrassa-pj7yt6 ай бұрын
NIMEKUKUBALI KWA 100%
@muhdybrown90836 ай бұрын
Huyu mtangazi yupo vizuri
@PhortunataChilumba-dt4dh6 ай бұрын
Mungu akuzidishie majumba
@izobinyoizobinyo6 ай бұрын
Old boy huyu akili kubwa sana kupata new generation yenye upeo hivi ngumu sana bila kujali kiwango cha elimu. Big Up Mch Hananja kila upeo mkubwa sana
@mussayusuph65686 ай бұрын
YAN MM KATIKA WACHUNGAJI WOO TE SIJAONA KM HUYU MZEE YAN HAPINDISHAGI MAANDIKO NA HAYUKO KWENYE DINI KIMASLAHI ila MWANDISHI KATAHAYARI HAKUPATA ALICHO KITAKA
@user-zd5pc5nc9c6 ай бұрын
Mzee kakwepa Kila swali la kinafki,,,,,,! Jamani tusome psychology.
@samsonhamery38096 ай бұрын
Kweli Mchungaji hananja huwezi kumtega swali. Kabla hujamaliza swali kisha jua lengo lako,Ishajua unakoelekea,ishajua unachotaka kumaanisha. Ukimaliza tu swali majibu ya hekima yanamtoka kama computer.Mpeni maua yake.
@caissemalatinho2526 ай бұрын
Na nyie wandishi wa habari ayo manbo waulizeni wajinga wezenu sio watu wadini
@martinmuthii19006 ай бұрын
😁👏
@paschaljoseph24126 ай бұрын
Nitano tena mchungaji Hanaja!
@BrunoMakweta-dm5sb6 ай бұрын
Nakupenda baba
@musason16805 ай бұрын
Mchungaji wangu bora
@bahatimwaigaga59476 ай бұрын
❤❤❤❤ uko vizuri mtumishi
@moseskulola69136 ай бұрын
Muchuganji unasema point kabisa wagine wameubwa kuchekesha tu.ukiziona sura zao tu mfano kingwendu HB
@AmaniCosmetix2 ай бұрын
Ua namuelewa sana ananja kwakweli apewe mauayake
@joshuamuro94946 ай бұрын
Amen!!
@angellomarcel56776 ай бұрын
Eti ...Mwijaku kama Pacome😅 Ila ki ukweli namkubali huyu Commentator huwa Interview zake ziko vizuri
@user-uo5dp7hw8x5 ай бұрын
Hongera mchungaji
@clouartmichael72966 ай бұрын
Mchungaji ubatakiwa kuonya hao wakidunia hata hivyo wanavyovifany acha kuunga mkono , 2 Thimotheo 3:16 na wamewekew hukumu siku ya mwisho Mithali 19:29 hiyo mizaa Mungu hapendi ,usiunge mkono hao ,Bali waonye hayo wanayoyafanya na kuwasifia wanaume na kujigamba na matukano...usienende kama vile mataifa wanavyoenenda Warumi 12:2 ....
@odilomwemeziernest6465 ай бұрын
Sasa pasta na mambo ya mwijaku wapi na wapi,mnakosea adabu,alafu pasta si kila utakaloulizwa na mwandishi utajibu
@GeraldDanieltarimo-ke3ik6 ай бұрын
Lakini umasikini nikitukibaya sn, mbonakunawatu wanapesa hawajitangazi? Waache ushoga wewehatakama inathamani ya tilion,unatangaza nn? Huoniumasikinii
@user-sj1ee8of7z6 ай бұрын
Sanaaa
@KennethMgona-jy4vc6 ай бұрын
🎉🎉
@Satier475 ай бұрын
Mzee mch ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@deathrow80046 ай бұрын
❤
@PhortunataChilumba-dt4dh6 ай бұрын
Huyu mchungaji zaidi ya mchungaji
@abubakarimchani83626 ай бұрын
Safi sana mkuu uko vizuri sana ubarikiwe
@mwanjaaseif52296 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@user-ui1qs9yl1nАй бұрын
NIMEPENDA HAYA MANENO MUOMBEE ALIYEBALIKIWA UTABALIKIWA MLAANI ALIYEBALIKIWA UTALAANIWA
@teedullah57086 ай бұрын
Imekuwa kizaza a na mediya ya tz
@emanuelvenanc86866 ай бұрын
salama kabisa
@allyndabe24586 ай бұрын
hongera mwijaku kwakupiga mwingi kaka mpaka shem kakupa ghorofa dah namimi wacha nianze maufundi ili nipate mjengo hamidu city mikwambe kigamboni dar TZ🇹🇿
@AbdulmalikFedrick-ct7nb6 ай бұрын
Mchungaji nakupenda sana Na mungu akufanyieni wepesi inshallah uwe muisilam ujekuwa Shekh mkubwa Tanzania
@daudimichael73386 ай бұрын
Hapo pakuwa Muislam ndiyo umekosea, amuache Yesu Kristo aliyehai amfuate Muhammad aliyekufa na yupo kaburini mpaka leo? Fikiria upya.😂
@elsonkingtz45066 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mangaluzacharia35116 ай бұрын
Huko aliko apige kazi ya MOLA haihitaji awe muislam
@jpmanotaofficial6396 ай бұрын
Anaujuwa uislamu vizuri ndomana hawezi kuja huko
@martinmkoba3615 ай бұрын
Ata yeye anakuombea wewe uje uijue neema ya mungu
@muharamiesther59086 ай бұрын
❤❤❤
@josephanthon80376 ай бұрын
Mchungaji uko poa sn
@katabaroonlinetv96886 ай бұрын
Hananja hujawahi kukosea pokea Maua yako kwa majibu mazuri
@ahmadamohamed19076 ай бұрын
Yy si binaadamu ?yuko vizuri 2 Ila usiseme hajawahi kukosea. Mm namkubali Sana huyu mzee sana
@katabaroonlinetv96886 ай бұрын
@@ahmadamohamed1907 huenda hatujaelewana kiswahili ni chetu lakini tunakipa tafsiri tofauti kwenye maisha mkamilifu ni mungu lakini Mimi nazungumzia speech zake wala sio maisha yake bonafsi
@ramadhanimtiba8346 ай бұрын
Naomba namba yake
@VeronicaRugoyi6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@saumusalimuhassan24995 ай бұрын
Yuko sawa uyu Baba
@francismanda746 ай бұрын
Pacome 😂😂😂😂
@user-sw1kn2sv8j6 ай бұрын
Vizuli baba
@user-zk7td5bp5i6 ай бұрын
Namkubali sana uyu ananja ira, Namkalibisha kwenye Usilamu
@daudimichael73386 ай бұрын
Mtafute umuhubirie Uislam ni nini, akufundishe na kukuonyesha Uislam siyo dini ya Mungu, ni ya Muhammad tu.😂
@elsonkingtz45066 ай бұрын
Wanao mjua yesu Raha Sana, sio kama hao majini😊
@polycarpykavishe90016 ай бұрын
Yaani atoke sebuleni aende chooni..!?
@khadejarajab80076 ай бұрын
Vijana na nyie wavurugeni na nyie mpewe nyumba hongera sana mwijaku acha wapige kelele😂😂😂😂
@Maryc2G6 ай бұрын
Hata mimi Nampongeza Mwijaku kwa ujenzi wa nyumba.