Anastacia Muema- Wema Wako Wa Ajabu (Official Video)

  Рет қаралды 3,903,610

Anastacia Muema

Anastacia Muema

Жыл бұрын

Hakuna jambo tunaloweza kulifikia katika maisha kama sio kwa Wema wa Mungu. Huruma ya Mungu kwetu ni Kubwa sana na ndiyo sababu tunapaswa kumshukuru kwa wema wake kwetu.
Ungana nami katika wimbo huu unaoitwa WEMA WAKO WA AJABU.
Wimbo huu umetungwa naye Angelo Kitosi, na kurekodiwa katika studio za RAJO Productions. Kinanda Kimechezwa na Ray Ufunguo.
Liturgical dance imefanywa na kikundi cha ARUSHA ELITE DANCERS.
Mungu wa Mbinguni atubariki sana.
Tradition: “Hehe Melody”
#trending #catholicgospelmusic #rajoproductions
#anastaciamuema

Пікірлер: 2 700
@anastaciamuema
@anastaciamuema 6 ай бұрын
To use WEMA WAKO WA AJABU as your SKIZA TUNE, send “SKIZA 5968706” to 811.
@DenisNiago
@DenisNiago 5 ай бұрын
Elle est de quel pays ? Je vous suis depuis le Sénégal. Bonne continuation et longue vie à vous.
@esaukiprotich-zh5dk
@esaukiprotich-zh5dk 4 ай бұрын
💯👍👍
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Mungu wetu ana huruma nyingi sana kwetu. Tunapopitia shida kwenye maisha yetu, au watu fulani wanapotupiga vita kwenye maisha yetu, tusisahau kwamba yeye ndiye aliyetuumba na anajua hitaji la kila mmoja wetu na ana uwezo wa kufanya miujiza katika maisha yetu ili kunyamazisha wanaotupiga vita. Tunyenyekee mbele zake kwa moyo wa shukrani kila wakati. Tafadhali nipe sapoti yako kwa Kushare huu wimbo.🙏🙏🙏. Please watch the ads too😀😀. Please SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE WIDELY! Nawapenda sana♥️♥️♥️ Pl
@MrMarchelian
@MrMarchelian Жыл бұрын
You should be really proud of yourself. You should also feel happy that you have created something that is both popular and original. Keep on creating more amazing songs like this one. Congratulations Anastacia
@briannanthamba1317
@briannanthamba1317 Жыл бұрын
Beautiful hit
@naphetkihara3550
@naphetkihara3550 Жыл бұрын
Kazi bora sana i promise and i will fullfil my promise from mwanza Tanzania.
@chellahpretty
@chellahpretty Жыл бұрын
Naupenda ujumbe wa wimbo huu Sana🥰❤️ Ni Mungu anajua kila Jambo na ana mipango mema juu ya maisha yetu,,,, asante dada.. God bless you 🙏🏾
@benaiahken7254
@benaiahken7254 Жыл бұрын
Asante
@kelsykerubo
@kelsykerubo Жыл бұрын
Wow! Wow! My new favorite🔥🔥.. so so impressive, blessed indeed❤️❤️
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much my sister♥️♥️♥️
@jameswasike7522
@jameswasike7522 4 ай бұрын
Nilipopigwa transfer nikafika kwao hawakufurahi, manager wa pale alipanga njama ya kunifuta kazi. Alitafuta mashahidi wa uongo wamuunge mkono ili nifutwe, NILIDHANI WAMENIMALIZA LAKINI SIKU YA KUSIKIZWA KWA KESI YANGU MUNGU ALIWAPIGA NA KUWAAIBISHA MAADUI ZANGU WOTE. Wimbo huu unanitia nguvu siku zote.
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 3 ай бұрын
Mungu yupo Sana.
@ANNATHEINSPIRATIONGIVER-lz8tt
@ANNATHEINSPIRATIONGIVER-lz8tt 2 ай бұрын
I have the same experience
@petronilamohammed2080
@petronilamohammed2080 2 ай бұрын
Wimbo huu unanifariji sana
@annlemiso3383
@annlemiso3383 23 күн бұрын
Amen,Mungu anatupigania siku zote
@maurinejebichii9772
@maurinejebichii9772 Жыл бұрын
Am not a Catholic, in fact an SDA but am addicted to this song🥰
@giselegiram
@giselegiram Жыл бұрын
What an amazing song 🔥🎵 👏. Great voices. Hongera sana Anastacia 👏👏👏. Keep it up. More anointing. Waouhh, creativity 🔥🔥
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much my dear🙏🥰🥰
@giselegiram
@giselegiram Жыл бұрын
@@anastaciamuema You're welcome. Be blessed 🙌 🥰🙏
@sampee6283
@sampee6283 Жыл бұрын
Your songs will bring back many to church, as catholics we are proud of you. Indeed your songs are message from God🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amen to that. May God do wonders through these songs as we continue with the works of evangelization.🙏🙏
@AngelAssenga
@AngelAssenga 5 ай бұрын
Huu wimbo unanilenga Mimi nilipoanza kazi mahali nikajiuliza nitaweza kweli lakini mungu aliniwezesha mpaka Sasa ni miaka saba nafanya apo tu
@maryMunyithya-xh4dc
@maryMunyithya-xh4dc Ай бұрын
Nakubuka Kuna siku nliwahi dharauliwa, nkatusiwa nkiitwa kwetu n maskini😢😢But let me tell you Mungu n nani😢😢Leo hii walionidharau wananioba nirudi kwao
@alexandermwango6893
@alexandermwango6893 Жыл бұрын
Annastacia Muema rocks the catholic solo voice. Such a talent is a blessing to many. Thank you. We are yearning for more.....
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thanks and Amen to that. I hope God will continue strengthening all of us to serve him in truth and spirit.🙏
@paulmukhwana5181
@paulmukhwana5181 Жыл бұрын
You're an inspiration to Kenyan Catholic singers. You sing so well. Thanks for representing us we'll in Tanzania. Mwiai Akuathime...
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amina. Asante sana Paul. Mwiai akuathime.🙏🙏🥰
@doreenjoseph26
@doreenjoseph26 Жыл бұрын
Najivunia kuwa muumini wa RC kizuri kisifiwe siku zote hii kwaya imenifanya nitamani kuimba kwaya kabisa. Dada kweli umeitumia sauti yako vizuri kumuimbia bwana HONGERA SANA KWA KAZI NZURI hii kwaya naisikiliza kila muda 😊🤝
@margerymunyi8901
@margerymunyi8901 5 ай бұрын
Am not a catholic but hii nayo imeniguza from tiktok
@makaliuscharles4452
@makaliuscharles4452 Жыл бұрын
This is an extraordinary performance! Angelic voices,excellent and churchic dressing style , the dancers did so well as if they have no bones within their bodies , instruments well organized coordinated and regulated , a well fitting and fascinating message. Congratulation to the producer, talented sister Annae, dancers and who ever involved. This is the song of the year to me
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much Mr. Makalius. May the good Lord bless you for your kind and lovely words of encouragement. Blessings upon you!🥰🥰
@chellahpretty
@chellahpretty Жыл бұрын
Wombo mtamu Sana... Kwa kweli ni Mungu ndiye anajua mipango aliyonayo juu ya maisha yetu. Asante kwa kutubariki na wimbo huu😍❤️ God bless you sister 🙏🏾 Keep on using your talent for the Glory of God. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amina. Niombee nipate nguvu za kuendelea kufanya kazi yake.🙏🙏♥️
@chellahpretty
@chellahpretty Жыл бұрын
Bila Shaka nitazidi kukuombea dada🙏🏾🙏🏾
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Ukihitaji kutumia WEMA WAKO WA AJABU kama skiza tune yako Send “SKIZA 5968706” to 811.
@sr.theresiargs5822
@sr.theresiargs5822 Жыл бұрын
Thanks 🙏
@Katrina-uq3dl
@Katrina-uq3dl 6 ай бұрын
Listening to this when waiting for my son's 2 surgeries and so far undergone 2. And he's just 1 year few months.
@estherwanjiku2104
@estherwanjiku2104 6 ай бұрын
All the best
@veronicamugo3487
@veronicamugo3487 6 ай бұрын
He will make it in Jesus Name❤❤❤❤❤.
@carenmutindi3175
@carenmutindi3175 5 ай бұрын
Ni Mungu atawawezesha🙏😍
@pama.quotes
@pama.quotes Жыл бұрын
Mi ninakushukuru 😊 Hongera kwa kazi njema sana @Anastacia Muena. Karibu Shinyanga Tanzania 🇹🇿
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Asante sana Rex.🥰🥰🥰 Nitafika Shinyanga soon!
@bernadettemwende8862
@bernadettemwende8862 Жыл бұрын
❤💕 Can't get enough of this song. Nimesikiza the whole of Yesterday and still on it. The voices🔥🔥, content😍, production💞 is super awesome.
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaawww🥰🥰. Thankyou so much Mwende🙏
@FaizaNelima
@FaizaNelima 2 ай бұрын
Nilifukuswa kwangu without anything bt now niko na shamba,na pia nimejenga nyumba ya 82 iron sheet ya permanent,aki wimbo huu imenikuza sana,nimebarikia mpaka huwa siamini
@Florencenjeri99
@Florencenjeri99 Жыл бұрын
This song has been my morning medicine daily 🙏. Much love🇰🇪🇰🇪
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaawww❤❤. I’m glad you love it!🤗
@felistusfelicia9098
@felistusfelicia9098 Жыл бұрын
You've blessed us with such an inspiring song as we begin our Sunday. Proud to be a Catholic# Be blessed girl🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much Felistus.🙏 Proud to be a Catholic💪💪
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 Жыл бұрын
It's gratifying and heartwarming to see you profess your catholic faith through scintillating music. It truly puts you on the frontlines in the work of evangelization. Your music is like a well laid out buffet - it soothes, uplifts, entertains, teaches, and leads one to a deeper union with God through prayer. Keep doing what you do Anastacia. Very proud of you 👍🏽🙏🏽🙏🏽👌🏽
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much Fr. MJ.🙏🙏 Thankyou so much for the compliment. I always feel good when reading your comments. They are very encouraging.🥰 All I ask from you is prayers. As you offer mass, please always tell God something about me.😊🥹🥹 Be blessed.🙌🙌🙌🙌
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 Жыл бұрын
@@anastaciamuema Your inspiring songs continue to tilt the scales in God's favor. Baraka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@user-kd1mf5hm2f
@user-kd1mf5hm2f 4 ай бұрын
I not speaking your language but I like your gospel song so much good day my family for God
@ruthnzilani6671
@ruthnzilani6671 5 ай бұрын
From TikTok ❤❤ this song is a blessing to me
@vincenttoo4416
@vincenttoo4416 Жыл бұрын
It's wow,, which cultural dance & dress code it's more than traditional,Almighty Bless the brethren indeed & much More Inshallah 🙏.
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much Vincent! Baraka tele kwako🥰🥰
@vincenttoo4416
@vincenttoo4416 Жыл бұрын
@@anastaciamuema Shukryaa & much welcome mummy 😘
@BRAMOSCHOOLofMUSIC
@BRAMOSCHOOLofMUSIC Жыл бұрын
Tunakutana tena Miss Anne, I had missed listening to your voice in a new song 🌹 Ni wimbo mtamu mno, nimeuenda sana. Hii ni kazi nzuri, kongole 👏🎉
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Asante sana. Na tutakutana tena kwa nyimbo nyingi zaidi.😃 Tumwombe atujalie nguvu na uwezo.🙏🙏
@sammymwangimburu2578
@sammymwangimburu2578 Жыл бұрын
Hii kati ya nyimbo zako zote naipenda Sana I like playing it mara Kwa mara Anastasia keep it up Far u going 🔥🔥🔥🔥🔥
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
I’m glad you love it!🤗🤗😘 AMEN AMEN🙏🙏
@annlemiso3383
@annlemiso3383 23 күн бұрын
Just out of surgery,feeling consoled with this song,Glory be to GOD forever
@maureenochieng2085
@maureenochieng2085 Жыл бұрын
Great is an understatement...This is soo wonderful 😍.Thank you soo much Anne for blessing us with such a beautiful song.It keeps getting better every single time.Keep soaring higher ❤️
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much my dear sister! Thanks a lot for watching!♥️♥️
@Jotanya
@Jotanya Жыл бұрын
I love how you are dedicated in your singing, may the good Lord guude and keep you high katika kazi yako ya uinjilizaji
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amina🙏🙏. Tumshukuru Mungu kwa yote.🙏🙏 Asante sana Josephat Taige for watching.🌹
@benkiboen9102
@benkiboen9102 10 ай бұрын
This song is a true reflection of my life story....I always sing and thank God (my eyes full of tears 😭) just imagining how God as always makeup me win all the battles, God as really done alot to be .....I will forever be thankful to Him .
@user-cb8ee7gf9i
@user-cb8ee7gf9i 9 ай бұрын
Nice song ,kumbe ni ww Mungu ❤
@benchadzutsa6509
@benchadzutsa6509 Жыл бұрын
Mmmmmmmm I have lost words to describe how I feel more blessed listening to this amazingly produced song. Keep it up doing well in this industry Anne as you stay blessed dearest rafiki 🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much rafiki yangu. Be blessed🥰 Thanks for your support!!!♥️♥️
@magdalinekemboi3468
@magdalinekemboi3468 Жыл бұрын
Wow this is so amazing,,congrats and keep soaring high in the Lord,, beautiful worship indeed❤️❤️❤️
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thanks alot Magdaline. Amen🙏🙏🙏
@user-kd3mk4to2h
@user-kd3mk4to2h 4 ай бұрын
Mungu akitaka kumuinua mja wake hakuna wa kumzuia songa mbele kutuonjilisha nitakuombea daima
@peterthehustler
@peterthehustler Жыл бұрын
Am an SDA but hii song is on another level
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much peter. Be blessed!☺️☺️
@geoffreymogendi4241
@geoffreymogendi4241 Жыл бұрын
Honestly this song is lit 🔥 I lack words that can express how touched I'm but Anastasia you are doing a great job. Keep it up, continue nourishing our souls with good music.
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much my friend Mogendi. God bless you!🙏🥰🥰
@tavanomucheka1895
@tavanomucheka1895 Жыл бұрын
wow you again made it what a hit. Its really such an inspirational song for sure if I see where I came from and where I'm now I have to thank God. Thank you MUEMA for preaching the Gospel may almighty Father never blink his eyes over you and your companions be blessed forever
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amen! For sure God is faithful and His love is reigns for ever!🙏
@geoffreyaricha4520
@geoffreyaricha4520 14 күн бұрын
Am adventist and we are very choosy about songs, but this one is a classic song, very uplifting...congratulations!
@sixbert963
@sixbert963 Жыл бұрын
Ubarikiwe dada kwani unatumia vizuri talanta uliyopewa na mwenyezi Mungu 💓💖💓💖💓
@kavinyakadongo
@kavinyakadongo Жыл бұрын
Congratulations Anastacia and team, for blessing us with nice message
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much for watching 🙏😊😊😍
@bchacha_official
@bchacha_official Жыл бұрын
Greetings Early birds. Kindly let's share this amazing and inspiring song across our social handles. Do this for our beloved sister and graces will flow in order. UBARIKIWE. BCS
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou for putting emphasis on that. Be blessed🥰♥️
@btenavmba3657
@btenavmba3657 Жыл бұрын
Hongera sana
@mariemuthoni9516
@mariemuthoni9516 9 ай бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo❤ Nafurahia sana napo uimba....any day any minute🎉
@itikamwaseba4156
@itikamwaseba4156 Жыл бұрын
I can’t get enough i love this song alot i am not a catholic but this songs makes me feel like one well done❤❤
@tiberiusmogendi4827
@tiberiusmogendi4827 Жыл бұрын
We are blessed here in catholic life. Such a song wow!!
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Let’s thank God for everything. For ever catholic💪💪💪
@tiberiusmogendi4827
@tiberiusmogendi4827 Жыл бұрын
Am really blessed. Thank you for the spiritual nourishment. Be blessed
@kiambasimon8732
@kiambasimon8732 Жыл бұрын
I'm playing this song for the I don't know tenth or what time today. It's my birthday and it feels like it was meant for such occasions. The song is so lovely, entertaining,such a sweet melody then I love the voices... And the bass part ofcourse.. I can't have enough. Well done
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaaawwww🥰🥰🥰🥰. I’m glad you love it. Wishing you a happy happy birthday.👑👑 How old are you nooooowww….??? Singing😅😅😅
@kiambasimon8732
@kiambasimon8732 Жыл бұрын
@@anastaciamuema I'm old enough nooooooooow(singing)....
@rajopro
@rajopro Жыл бұрын
Happy Birthday .... God Bless you.
@kiambasimon8732
@kiambasimon8732 Жыл бұрын
@@rajopro I'm humbled.
@Veronica-ur1jy
@Veronica-ur1jy 4 ай бұрын
This songs really make me feel so proud of my catholic faith
@lastogolden2788
@lastogolden2788 Жыл бұрын
Im always blessed when i listen your songs sister Anastacia, you never disappointed me from dressing code, up to song content, your talent is blessed. 🎉
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou🙏
@faithmwende3172
@faithmwende3172 Жыл бұрын
The long awaited is now out😀😀 I must comment the song is so sweet 🥰🥰not forgetting the voice is soooo amazing 🔥🔥🔥 blessed Sunday sister 🙏🙏🙏
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaaawwww🥰🥰🥰. You’re making me blush. Thankyou so much dear and have a lovely Sunday as well.😊
@alexnadome7253
@alexnadome7253 Жыл бұрын
I keep watching this video again and again Message - loud and clear 💕 Video - Heavenly 💕 Voice - Angelic 💕 Beautifully done Ann. More blessings!
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaawwww🥰🥰🥰. Thankyou so much Alex🙏🙏🥰🥰
@veronicah2791
@veronicah2791 6 ай бұрын
Wow nice songs siz umefanya moyo wangu kuwa umetulia
@justinemlasu5853
@justinemlasu5853 Жыл бұрын
Nyimbo zako huwa zinanibariki mno nakunitia nguvu sana
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Huo ni ushuhuda tosha! Amina🙏
@marywaiganjo6840
@marywaiganjo6840 Жыл бұрын
Miss Ann you are really blessed....I so much love your voice and your songs...They always rift calm my spirit....This is so beautiful ❤️❤️❤️❤️❤️...... Go Go Go Our Kenyan star ✨⭐✨⭐
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much Mary. Thanks for those good words. Let’s pray for one another.🙏🥰🥰🥰
@marywaiganjo6840
@marywaiganjo6840 Жыл бұрын
I promise you my prayers siku zote...I want to be like you when I grow up more😂😂
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu.
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe 🥰
@JudithMsemwa-gk3in
@JudithMsemwa-gk3in 6 ай бұрын
Na hata sasa niwewe Mungu unaniongoza nakushukuru Mungu kwa mapitio yangu
@CalistusGesaka-tp7cj
@CalistusGesaka-tp7cj 5 ай бұрын
Najivunia kuwa MKATOLIKI dada Anastacia ,your songs are encouraging keep it lit 🔥🔥🔥💪💪💪
@esaukiprotich-zh5dk
@esaukiprotich-zh5dk 4 ай бұрын
👍👍💯
@irenemaua6777
@irenemaua6777 Жыл бұрын
My favourite Catholic solo artist in Kenya be Blessed
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaawww😍🥰🥰. Thankyou so much gal.♥️
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amina 🙏 Ubarikiwe sana Zawadi.♥️♥️
@naimakaguo3773
@naimakaguo3773 9 ай бұрын
Wimbo mtamu xana nabarikiwa mnooooooo
@ezraondaratv
@ezraondaratv Жыл бұрын
From Kenya with love. Unaimba vizuri zaidi mamaa.
@jamesmwangi7455
@jamesmwangi7455 Жыл бұрын
African Beauty 💞 Miss Anne ! You have raised the bar so high in Solemn praise and Thanksgiving to GOD The Most High. 💖Sweet voice and relaxing Praise 🙏 , you stand out as The most adorable role model to many young and old. You will live long to see the fruits your good work.👏👏👏.
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
AMEN!AMEN!AMEN! God bless you James🙏♥️
@patrickmswazi6684
@patrickmswazi6684 Жыл бұрын
😍😍😍👏👏👏hongera sana dada yetu....nafsi zetu zinafarijika sana...kwa nyimbo zako...tunapata imani na tunaimarika kiroho...kwa nyimbo nzuri za kikatoliki...👏👏👊💯💯💯🥰
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amina🙏 Tumshukuru Mungu kwa yote🙏
@marcelmichael9034
@marcelmichael9034 Жыл бұрын
Namimi ninampongeza sana
@UrisNyamwaro
@UrisNyamwaro Ай бұрын
All time my ringtone❤❤❤ I appreciate this song so much it decicates me whenever am going through difficult time❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@hermanmungafu7715
@hermanmungafu7715 6 ай бұрын
❤ mungu apewe sifa nashukuru Sana tangu nianze kusikiza nyimbo za dada muema Niko very blessed natamani kushiriki nanyi sana asanteni
@njeveh
@njeveh Жыл бұрын
Nice song, I love it!!👏👏👏...all glory and praise to the most high God for the talent and skills He has bestowed upon you and for the grace that you use them in magnifying His Holy Name. keep up buddy👊
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much my dear friend. Thanks for the compliment! God bless you.🥰♥️
@steffmaya5422
@steffmaya5422 Жыл бұрын
Rajo production never disappoints🙏🙏🙏💙💙 Ray ufunguo it's at his best
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thanks for the compliment! He is the best.👏👏👏👏
@MaryChamdoma
@MaryChamdoma Ай бұрын
Asantee Mungu umenitoa mbali sana umenikinga na mengi Nashukuru Mungu 🙏🙏
@noellawesonga1601
@noellawesonga1601 Жыл бұрын
Wema wako kweli ni wa ajabu hongera dadangu! Karibu Tassia Catholic church mafanis wako tuko mob.
@marymimina
@marymimina Жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri dadaa. Sichoki kusikiza sauti yako tamu🥰
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Asante sana dadangu Mary. Ubarikiwe sana🥰🥰
@felixmwirigi631
@felixmwirigi631 Жыл бұрын
Kwa kweli Muema anayo sauti Tamu sana
@marymimina
@marymimina Жыл бұрын
@@anastaciamuemaAmina pia nawe ubarikiwe🙏
@marymimina
@marymimina Жыл бұрын
@@felixmwirigi631 kabisa very sweet natural voice😍
@petermwangi3001
@petermwangi3001 Жыл бұрын
Kazu zuri anastacia❤️
@mainalucy9357
@mainalucy9357 Жыл бұрын
Have watched and listened to this song uncountable times, am blessed.Nice song!!
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaaawww🥰. I’m happy to hear that. Be blessed🥰
@lynnwambo6230
@lynnwambo6230 Жыл бұрын
Thanking my God having brought me this far 🙌 🙏 I'm a living testimony ,never saw myself stepping into this year......😭😭😭😭😭😭😭Lord your girl is grateful 🙏
@jacsongitonga
@jacsongitonga 20 күн бұрын
kweli mungu ndo anani lead every where thanks! & be blesssed
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 Жыл бұрын
Weeeh! Sema kuingoja! Finally it’s here!!! And now I’m sobbing tears of joy!!😢 Thank you darling for this!!
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaawww🥰🥰. I’m glad you have a testimony! May God bless you.🙏
@chachaschachaofficial7792
@chachaschachaofficial7792 Жыл бұрын
Asante sana,huu wimbo ulikuwa kama kionjo kwenye wimbo wako wa #nyimbo tamu. Nilpoomba na sasa umejibu nilikuwa nikiungoja Kwa hamu sana
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Aaaawww🥰. Nafurahi sana kusikia hilo. Asante sana kwa kutazama. Mwenyezi Mungu akutangulie.🥰🙏🥰
@chachaschachaofficial7792
@chachaschachaofficial7792 Жыл бұрын
Asante mungu akufanye kuwa wa viwango virefu zaidi katika karama Yako hii ubarikiwe sana karibu sana mkoani songwe ya Mt.peter claveri mlowo mbozi songwe
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
To support my ministry Till Number: 9057903 Mpesa No: +254795457774
@judyguandaru694
@judyguandaru694 Жыл бұрын
Sikiza code?
@millyirungu6463
@millyirungu6463 Жыл бұрын
Been looking for the lyrics to print it for my father...
@olgahotichro2781
@olgahotichro2781 Жыл бұрын
Please, next time come to church with copies of your album. We need to buy.
@seremanibenjamin6367
@seremanibenjamin6367 Жыл бұрын
Good good work sis keep 🔥🔥🔥🔥🔥 burning Asante sana
@fortunesivya2653
@fortunesivya2653 Жыл бұрын
Ongera dada Anastacia. Ubarikiwe sana. From DRC 🇨🇩
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Asante sana Fortune. Ubarikiwe zaidi🙏
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Hongera sana Anastacia kwa bidii yako, keep the fire 🔥🔥 hot. Kazi safi production team
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Asante sana ST. Abudant blessings upon you.🙏
@mathewmakula7330
@mathewmakula7330 Жыл бұрын
@@anastaciamuema good work msichana wetu injili iende mbele
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
@@mathewmakula7330 asante sana. Amina🙏🙏
@juliusdanson225
@juliusdanson225 Жыл бұрын
Sichoki kusikiliza ujumbe wa mungu
@juliusdanson225
@juliusdanson225 Жыл бұрын
Alafu wambie rey mungu anampenda sasa sisi pia twakubali kazi zake kweli mungu amempa kipaji cha kutunga nyimbo napendasana nyimbo zake ,sasa mwambie nakuomba anitumie notar zake plz
@fabigalaxytv
@fabigalaxytv Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Miss Anne. Kama sio Mungu hatungekuwa tulipo. Editing by Ray is always good
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much. 🥰🥰🥰🥰
@veronicamugo3487
@veronicamugo3487 Жыл бұрын
Huu wimbo watu wamekuwa wakiufanyia challenge kwa TikTok na Mimi siwezi kawia sana,siachwi nyuma.Mungu ametutoa mbali na ataendelea kuwa nasi🙏🙏🙏🙏🙏.
@user-tb1xy1ls5d
@user-tb1xy1ls5d 7 ай бұрын
Natamani kuimba kama wewe but siku moja mungu ataniongoza❤❤❤
@abrahamomwoyokenya1
@abrahamomwoyokenya1 Жыл бұрын
Kila wakati nisikilizapo nyimbo ulizoziimba hiwa nafarijika moyo wangu Anastasia ❤️. Mungu azidi kukueka kama sio yeye hatungeweza be blessed mamaaa 😍😋
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
AMINA🙏
@srmargynanjala5061
@srmargynanjala5061 Жыл бұрын
This songs make me reflect alot about my life. Congrats
@fabianshwovoulsky5638
@fabianshwovoulsky5638 Жыл бұрын
I'm leaving my comments here so that if anyone likes it I get reminded of this song....congrats 🎊 for this great song Kenya is locked and listening
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Thankyou so much Fabian🙏🙏🥰
@julesbanza4928
@julesbanza4928 Ай бұрын
Salut ma sœur, c'est votre aimable serviteur jules Banza depuis le lualaba en République démocratique du Congo. J'aime beaucoup vos chansons et je les audionne chaque jour au travail, à la maison et surtout quand mon coeur est déchiré par l'injustice dans les actes de mes propres. Que Dieu vous bénisse pour ces belles clips à la gloire du seigneur Jésus-Christ notre seigneur
@CarolineWangari-jk9pr
@CarolineWangari-jk9pr 6 ай бұрын
Am proud to be an catholic you will go go go far God bless you 🎉.
@ruthmunyoro4231
@ruthmunyoro4231 Жыл бұрын
This is my testimony...I can't get enough of this song.
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amen! Amen! Thanks be to God in the highest.🙏🙏
@salomepatricebura7239
@salomepatricebura7239 Жыл бұрын
Wimbo wangu pendwa sanaa🥰🥰🥰
@user-sd5cs3mn8f
@user-sd5cs3mn8f 6 ай бұрын
Anastasia muema ubarikiwe sana kwaya zako nazipenda sana mungu awe pamoja nawe🙏
@user-lo9fv8nt9c
@user-lo9fv8nt9c Жыл бұрын
Anastacia you are doing a great job God bless you you are using your talent for good ❤
@maggiemsoe3521
@maggiemsoe3521 Жыл бұрын
Can't get enough of this song.... congratulations my home-neighbour. May Abba Father keep you and grant you more days and grace to do what you like most.
@dr.gersonmgaya7427
@dr.gersonmgaya7427 Жыл бұрын
I like the message of your songs. Mungu akubariki Anastacia
@GenovevaIbrahim-de2nc
@GenovevaIbrahim-de2nc Жыл бұрын
Dadaangu nakupenda sana Yani natamani siku Moja niwe kama wewe unanibariki sana dada Anna
@sharonachieng4046
@sharonachieng4046 Жыл бұрын
A proud Catholic thanks for the song it's such a blessing
@matthewnara8371
@matthewnara8371 Жыл бұрын
Bringing a new taste into the Catholic music in Kenya! Sauti nayo Maulana kakupatia nawe kaitumia vilivyo. Hongera
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Asante sana Matthew. Tuendelee kuombeana ili tuzidi kumsifu Mungu kwa njia ya nyimbo tamu.🙏🥰
@peterkoileken4495
@peterkoileken4495 Ай бұрын
Mnapendeza kweli,wimbo huu unatia nguvu zaidi,i love the rhythm sounds and mostly the instrumental s, keyboardist uko gifted,i use to see you in many songs,kwa jumla Mungu wetu awabariki, Amen
@marleenchepchirchir9809
@marleenchepchirchir9809 Жыл бұрын
Where you say "Mungu wa wokovu wangu"......this is a beautiful song 🥰🌼🤩
@chiriijoy9368
@chiriijoy9368 Жыл бұрын
5.4.2023 wapi likes za April plz this song can't get enough if it
@cathrinebahati8175
@cathrinebahati8175 Жыл бұрын
This is what the lord has done for me ....looking behind and where am heading so far ni mungu ..wema wako udumu milele
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
AMEN AMEN. His goodness and grace is sufficient! He is the author of our lives and nothing fashioned against us can prosper.🙏
@augustinemosha2589
@augustinemosha2589 Жыл бұрын
Kwa kweli unastahili sifa unaimba kwa ubunifu mkubwa na upako mwingi mungu akufikishe mbali ktk uinjilishaji huu
@veronicaaqweso5653
@veronicaaqweso5653 Жыл бұрын
MUNGU awajalie mema mengi ndugu zangu nimependa mnavyo msifu MUNGU azidi kukufungulia baraka zake hiyo karama uliyo nayo ikue zaidi na zaidi 🙏
Anastacia Muema - Maisha Yangu (Official Video)
4:33
Anastacia Muema
Рет қаралды 3 МЛН
Anastacia Muema- Wewe ni Wangu (Official Video)
5:57
Anastacia Muema
Рет қаралды 1,8 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
TUNAPASWA KUSHUKURU
5:50
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 8 МЛН
Anastacia Muema- Inakuwaje Tunasikia Maneno-Pentecost (Official Video)
5:04
Anastacia Muema
Рет қаралды 3,1 МЛН
NINAMJUA NINAYEMWAMINI| SUORA FRIDA
4:49
Suora Frida 🎼🎻
Рет қаралды 20 М.
KESHUKUNYE YESO BY RESIAN LEPERES (ORIGINAL VIDEO)
4:48
RESIAN LEPERES
Рет қаралды 3,1 М.
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 2,5 МЛН
Anastacia Muema - Ni Mungu Tu (Official Video)
4:41
Anastacia Muema
Рет қаралды 1,2 МЛН
Anastacia Muema- Nyimbo Tamu (Official Video) (4K video)
5:56
Anastacia Muema
Рет қаралды 3,8 МЛН
MAMA MARIA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)-
6:16
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 1,2 МЛН
Anastacia Muema - Nitume Mimi (Official Video)
4:28
Anastacia Muema
Рет қаралды 932 М.
R-ONE - SENSIZ / СЕНСІЗ (Official Audio)
2:51
R-ONE MUSIC
Рет қаралды 87 М.
Serik Ibragimov ft IL'HAN - Жарығым (official video) 2024
3:08
Serik Ibragimov
Рет қаралды 321 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 13 МЛН
JAMAL & GANJA, ИРИНА КАЙРАТОВНА & КАЙРАТ НУРТАС - TUN (LYRIC VIDEO)
3:41
ИРИНА КАЙРАТОВНА
Рет қаралды 1,3 МЛН
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 288 М.
Kenjebek Nurdolday & Baller - sokpe#сокпе#сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 251 М.