Angalia jinsi mfalme Zumaridi alivyomzungumzia mumewe FUNGA MWAKA

  Рет қаралды 15,021

Miss Shems

Miss Shems

7 ай бұрын

Пікірлер: 84
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 6 ай бұрын
Dah,kweli Mungu,acha nisimame ktk Imani yangu maana bila Roho Mtakatifu apa hatari tupu.
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 6 ай бұрын
Huyu mjinga mkimfatilia mtaandika mambo ya ajabu na mtamkosea Mungu pumzi inampa kiburi huyu kibri chake kina mwisho njia yetu moja na kwake tutarejea M mungu tujalie mwisho mwema
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 6 ай бұрын
Mhh mhh sjawahi ona kweli shetani anaweza ila kwasababu maisha ni fumbo mungu atashughulika nalo
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 6 ай бұрын
Mungu wa zumaridi anaiogopa serkali, sasa yupi ni mkubwa serkali au mfalme zumaridi 😅😅😅🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️Hii imekaaje. Halafu anasingizia ana vita ya kichungaji. Mungu wa jua huyu, ndio chanzo chake. Pole sana
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 7 ай бұрын
Mie sio kazi yangu kuhukumu. Mungu atashughulika naye kama ni mkweli au siyo kweli. Abarikiwe kama kweli.
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 6 ай бұрын
Huyo Mungu aliyekutokea ndiye aliyekuumba hajakushangaa kukuona umevaa wigi na hiyo rangi ni ya asili Yako ulivyoumbwa.
@johanjoha5262
@johanjoha5262 6 ай бұрын
Mbona hausemi gisi anajuwa kukukuna ,malaya wa shetano www ulaaniwe😊
@HaikaMtei
@HaikaMtei 3 ай бұрын
Mungu gani analala na mume kitandani alaf acha kutafsil maandiko kinyume shindwa kwa jina la yesu
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 6 ай бұрын
Zumaridi sijui ni mshamba au hajui maana ya mfalme ,,anajiiita Mungu, sasa mungu Tena awe na mume, mbona matusi sana jamani,mungu wa kweli anatukanwa adharani
@elizabethkitundu1936
@elizabethkitundu1936 6 ай бұрын
Mungu tunaomba toba,tunaangamia kwakukosa maarifa!
@BishopEllie
@BishopEllie 6 ай бұрын
Hatari sana, mtu anaposikiliza roho zidanganyazo. Mungu hawezi kukuambia chochote kinachopingana na NENO LAKE. Huu ni uchanga wa kiroho. Hii ni roho ya upotofu na cha ajabu ni kuwa WATU WENGI WANANUNUA HUU UONGO, na wengi wameelimika lakini wanashindwa kupambanua. Diana Bundala anahitaji DELIVERANCE ya hali ya juu, ili asipeleke wengi motoni pamoja naye. 😢
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny 6 ай бұрын
Anaehukumu ni mungu na cc binadam kama kweli ww mama una mungu ndan yko au kama una shetan bas mungu atakuhukumu
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 6 ай бұрын
Ww na wanaokufuata mmeamua kweli kweli kwenda Jehanamu.
@kamanda007
@kamanda007 6 ай бұрын
Wamwache huyu dada, hajavunja sheria yeyote ya nchi, kujiita mungu au mfalme hayo ni mabo yake na hakuna sheria inazuia hilo,na Tanzania serikali haina dini, amini mawe au mijusi wote sawa tuu na hakuna kosa
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 6 ай бұрын
Mfalme unachumishwa tembele😂😂😂
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 6 ай бұрын
zumaridi Mimi naomba uniambie unapaka nini nipake
@user-nc5cl1wv4y
@user-nc5cl1wv4y 6 ай бұрын
Mungu akusaidie hujui unachokifany
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 2 ай бұрын
Zumarudi jamani SI upinde unaonzunguka Mungu mkuu???kwani ni kitu Cha thamani Tena?
@estermarwa2477
@estermarwa2477 7 ай бұрын
Huyo alikuwa mungu jua sio wa mbinguni
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 2 ай бұрын
Roho ataushi milele......Sasa Diana ataushi milele?
@esterpaul5856
@esterpaul5856 6 ай бұрын
Kwa mirald ayo ulisema umejilea mwenyew ukasema baba alikukataa..hapa unasema umelelewa na baba na mama..we mama ni tapel
@user-bj5tm3ne8g
@user-bj5tm3ne8g 7 ай бұрын
Amina Mfalme Zumaridi
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 7 ай бұрын
Tizama huyu pimbi
@HaikaMtei
@HaikaMtei 3 ай бұрын
H😂😂😂Hakuna kitu kama icho Mungu kaolewa na kazaa nje ya ndoa mimba ya Yesu ilitungwa kwa uwezo wa Roho Sasa ww mimba Yako ni ya binadam , Yesu Si wa Dunia hii wewe niwadunia hii Mungu wa Dunia DNA ya Yesu ni ya mbinguni wewe ya kwako ni yawapi Yesu alituokoa kwa kufa msalabani wewe ulimfia nani, nampenda Yesu milele kabla ya Yesu na baada ya Yesu hatatokea kwingine we nnani by the way
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 6 ай бұрын
Kwahiyo kweli baada ya mitume unasema Mungu alinyamaza,ndo amekuja kukutokea sasa wewe Diana.
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 5 ай бұрын
Maleno yako siyapingi kwani ukweli anao mungu na wewe kwani neno la mungu tumeyakuta yapo nayatakuepo ilimradi usimkufuru roho mtakatifu fanya kazi wewe sio mcawi wewe sio mwizi wewe unafanya uduma ya mungu neno naliendelee wanakao kuukum kwa maneno watakua wameukumiwa mimi nasapoti kazi ya mungu sijaona ulipo kosea kila mmoja anaitwa kwa wakati namajira yake
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 5 ай бұрын
Mimi nime mwelewa sumaridi ayupo kimwili bali nikiroo
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 5 ай бұрын
😅😅😅hahahahaaaa kwaiyo huyo roho ndio uyo zumaridi? Mh mama muogope mungu wako hata hofu ya mungu huna umeweka pesa mbele uo wako nougalme wa dunia nambinguni huendu wewe
@roselyimo3676
@roselyimo3676 7 ай бұрын
Amen king of kings hujawahi sema uongo baba yetu wewe ni mkweli siku zote huna Kona Kona ❤❤❤
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 7 ай бұрын
Rose!!!!! Baba yako ni huyu
@roselyimo3676
@roselyimo3676 7 ай бұрын
@@rehemavickie6521 ameelezea maana ya kuitwa baba kama umesikiliza clip vizuri
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 6 ай бұрын
​@@rehemavickie6521Huyu mwanamke dawa yake ni kupigwa pumbu tu hadi atulize mijege.
@estermarwa2477
@estermarwa2477 7 ай бұрын
Pole Diana bundala
@VeronicaBenard-kl5zu
@VeronicaBenard-kl5zu 5 ай бұрын
Huyu mama sijawahi kumkubali hata cku moja,mfalme ni mmja tu naye ni Mungu huyu anayejita mfalme ni mavi tu
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 6 ай бұрын
Wewe Mama unatumia majini na mapepo ndio yanaendesha hiyo imani yako, huna lolote. Hembu uwalete akina Kanumba na wengine wengi waliokufa tuwaone kama ulivyosema utawafufua na tutawashuhudia. Wako wapi?
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 6 ай бұрын
Unazingua sister
@manrakizagervais4418
@manrakizagervais4418 6 ай бұрын
Kumbe mungungu Anasimamiwa namungu mwenzake shaitwani wewe😢😢😢😢😢 chefu
@selezumarid4375
@selezumarid4375 7 ай бұрын
👑👑🦁🦁🦁❤️
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 5 ай бұрын
Hehee unajisema mwenyewe
@HaikaMtei
@HaikaMtei 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢 Ina maana huji kufa 😮
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 6 ай бұрын
Huyu atakua anatembea na vitoto vya humo kanisani kwake
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 6 ай бұрын
Mapambo yako hayaendani nautumishi akuna MUNGU anae weza kusema namtu Kama wewe
@Asma-ff3bj
@Asma-ff3bj 6 ай бұрын
Ww si unajiita Mungu Mungu anakufa?
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 6 ай бұрын
Tubu Zambia dada mpingakristo
@isaacmollel345
@isaacmollel345 6 ай бұрын
Acha.uongo.wewe.Roho.mtakatifu.anakaa.kwayeyote.anayemkiri Yesu .kristo.siyowewe.smaridi.
@estermarwa2477
@estermarwa2477 7 ай бұрын
Yaani we diana bundala muogope Mungu,acha kudanyanywa na shetani mwachie moto wake okoa nafsi yako
@joycepaul5260
@joycepaul5260 6 ай бұрын
Hajawahi danganya yeye husema ukweli na Huwa hadanganyi, hivyo ukweli ndiyo huo.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 6 ай бұрын
Atueleze wako wapi akina Kanumba, Amina chifupa, alisema atawafufua. Wako wapi?
@Veni584
@Veni584 6 ай бұрын
Ulijuaje ni smg?
@joycejackson2320
@joycejackson2320 5 ай бұрын
Mungu anaogopa serikali?????
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 6 ай бұрын
Huko mbinguni tutaona mengi jamani.
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 7 ай бұрын
Wewe ukiwa miongoni mwao
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 6 ай бұрын
Toka pepo
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 6 ай бұрын
Swali ni mama ama mke hilo tu
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 2 ай бұрын
Huyo ni shetani tu hana lolote huyo Mtumishi gani anajichubua, anavaa misuruali, mwongo mwongo tuuuuuu.... Huyu ni mtumishi wa shetani kabiiiisaaaa
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 6 ай бұрын
Kuna vichaa dunia duh
@rozingwanji5556
@rozingwanji5556 6 ай бұрын
Shindwa pepo 8:54
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 5 ай бұрын
Fremason
@estermarwa2477
@estermarwa2477 7 ай бұрын
Sasa kweli diana darasa la tatu hayo yote uliyakaririje
@joycepaul5260
@joycepaul5260 6 ай бұрын
Mungu Huwa hasahau, yeye vitu vyote ni vya kwake hivyo kumbukumbu zote alizonazo hazifutiki Wala hazisahauliki.
@akberyuda5950
@akberyuda5950 6 ай бұрын
ILA MAKE UP KUMBE ZINABADILISHA SANA
@mrimimarwa6485
@mrimimarwa6485 7 ай бұрын
Acha uongoo
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 5 ай бұрын
Kwenda muongo mkubwa usimtaje mungu kwenye uchawi wako shetani ww
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 5 ай бұрын
Huna mume chukuwa nafasi hii kutafuta mume
@ashaali7154
@ashaali7154 7 ай бұрын
Huna lolote wewe ni mtu mbaya sana unaetumia watu kwa manufaa yako binafsi. Ujue Mungu anakuona na iko siku utaona nguvu yake chezea binaadam lakini Mungu atakuhukumu na kufuru yako hiyo.
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 7 ай бұрын
Kweli kabisa huyu anajikuta ana kiburi lkn akumbuke ata firauni alijikuta mwamba lkn leo hii kabaki historia
@roselyimo3676
@roselyimo3676 7 ай бұрын
Yaani angekuwa ni wakuuawa hata Leo hii asingekuwepo duniani kwa matukio ambayo ameshayapitia. Yote ni kwasababu Mungu anamlinda mwanayr kuliko kawaida
@justinruben1967
@justinruben1967 7 ай бұрын
Kama haujui chochote Kuhusu Mfalme Zumaridi kama kaa kimya, ila kama unamjua it's okay fine
@joycepaul5260
@joycepaul5260 6 ай бұрын
Na kamwe mnamnenea mabaya lkn hayawezi kumpata maana Mungu aliyeko ndani yake anamlinda. Hivyo Zumaridi ni Mungu mzima mzima.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 6 ай бұрын
​@@joycepaul5260Akisema atawatoa akina Kanumba na wengine wengi waliokufa, hilo limeishia wapi nyie wajinga mnao aminishwa mambo na kugeuzwa ufahamu wenu? Wako wapi akina Kanumba, Amina chifupa nk
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 5 ай бұрын
Mpinga kristo wewe
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z 5 ай бұрын
kwanza anapoongea kama cha ngodoa eti hata vizee vinajuta wewe unatumikia shetani unapotosha watu kuwapeleka kuzimu
@ZachariaNgesse-el1ge
@ZachariaNgesse-el1ge 6 ай бұрын
Du Mungu tuhurumie watoto wako! Mtumishi wa kweli amejengwa juu ya misingi ya mitume na manabii, imeandikwa siku za mwisho mioyo ya watoto itawageuka wazazi wao, na wazazi itawgeuka watoto wao, ila Mungu kwa huruma zake ataigeuza mioyo hiyo yote igeukiane kwa wazazi na watoto pia iwarudie wazazi wao ktk loho, ivi sasa nikwa nn watu tuna ujasiri wa kuwakataa wazazi wetu wa kiloho?? Leo huyu mama anamkataa baba yake wa kiloho ambae ni askofu mkuu wa makanisaya UFUNUO TANZANIA AMBAE NI PAUL BENDERA, leo anasema ametokewa na Mungu kwenye ndoto, eti akapewa jina zumaridi akati alibatizwa na Bendera na kupewa hilo jina, ila kwa kweli??? BENDERA akiyaskia hayo anashangaa xn
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 7 ай бұрын
Hovyo! Tubu mapema
@joycepaul5260
@joycepaul5260 6 ай бұрын
Mtakubali tu siku yenu yaja.
@estermarwa2477
@estermarwa2477 7 ай бұрын
Hivi kumbe weupe gerezani unaisha,halafu miungu wapo wengi pia wewe ni mtumishi WA mungu wa kuzimu,UKo sahihi kujiita hivyo
@joycepaul5260
@joycepaul5260 6 ай бұрын
Usemayo huyajui ila elewa kuwa Mfalme Zumaridi ni Mungu aliyakuumba wewe na mm pia a ndiye aliyekuwa akitawala enzi zote Sasa Yuko ndani ya Zumaridi, hivyo ipo cku utatubu na kulikiri jina la Zumaridi.
@nyankondoichweka9079
@nyankondoichweka9079 6 ай бұрын
Vita ni kubwa. TB Joshua ni mmojawapo aliyetumia jina la Yesu. Sasa taarifa zimetoka juu ya siri ovu za mtu huyo.
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 5 ай бұрын
Yaani unaonekana kabisa kuwa nimuongo na kama ninguvu za giza atawewe ndio unazozisbufu kwaiyo wewe c mungu wamtaja mungu yupi tena?lakini tuyaache ayo mungu wspo wengi
BMG TV: Mfalme Zumaridi afunguka mbele ya waandishi wa habari #01
10:20
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 13 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 21 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
BMG TV: Mwanzo mwisho, nyumbani kwa Mfalme Zumaridi
14:21
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 19 М.
MFALME ZUMARIDI AMTAMBULISHA MAMA MKWE
9:47
ZumaridiNews Tv
Рет қаралды 7 М.
MTAZAME MFALME ZUMARIDI MVUTO WA DUNIA AKIINGIA KUPOKEA MWAKA 2024
24:01
TAZAMA MFALME ZUMARIDI AKIONYESHA UREMBO WAKE BALAAA
0:19
Sabora Tv
Рет қаралды 5 М.
BMG TV: Mapya yaibuka sakata la Kisiwa, Mlima kuuzwa Mwanza
17:40
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 30 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 13 МЛН