Mashaallah Allah awajariye kheri na afya njema mmslize hijja sallama mrudi salaam mtuombee na sisi mliyotuacha Allah atujaliye nasi tuwe miogoni mwamahujaji na atujaliye kheri na afya pia ili nasi mwaka wwt tuende khija tunawaombe inshallaj
@zuwenamasoud-jz7ju17 күн бұрын
Masha Allah Allah awajaalie kheri Hijja makbuul
@mdika381114 күн бұрын
Ya Rabbi, tujaalie tuwe wenye subira na shukrani katika nyakati zote. Tuongoze kwenye njia iliyonyooka, njia ya wale uliowabariki, na siyo ya wale walioangamizwa au walioipoteza njia. Ewe Mwenyezi Mungu, tubariki kwa afya njema na riziki halali. Tupe ilimu yenye manufaa na utuongezee imani. Tunakuomba utuepushe na maovu yote na utujalie kuishi kwa amani na upendo. Tunakuomba uwalinde na uwabariki wazazi wetu, familia zetu, na wapendwa wetu. Waepushe na kila aina ya madhara na wajaalie heri na fanaka katika maisha yao. Ewe Mwenyezi Mungu, tunakuomba utusamehe madhambi yetu ya zamani na yajayo, ya siri na ya wazi. Ewe Mwingi wa Rehema, utuongoze na utujalie toba yenye ikhlasi. Ameen ya Rabb al-Alamin.
@ZuhuraKhamis-rw1it14 күн бұрын
Ya Allah wakubalie. Ibada zao na ss utujaalie tuweze tufika inshaallah
@MUSSASILIMA-ts6dv14 күн бұрын
Allah awazidishiye uzima mahujaji wetu na awakubaliye hijja zao na ss watuombee tufike na watusalimiye bwana mtume na maswahaba wake amin
@HamiduMashaka-ni6cs18 күн бұрын
Allah awatiliye wepesi katika katika ibada hii
@binurusm888612 күн бұрын
Nimependa Huyu Baba Jinsi Anavyotoa Maelelekezo kwa Ufasaha, Mwenyezi Mungu Awaongoze InshaAlla.
@binurusm888612 күн бұрын
Nami pia Naomba MNisalimieni Mtume Na Mjumbe Wetu jamani.
@ZanuraBakari12 күн бұрын
Mashaallah Allah awkubalia hijja zetu na mrud salama salmin bi idhinillah
@AbimsSails13 күн бұрын
Mashaaallah Allah awappe Killa la kheri na atujaalia inshallah mwakani pia sisi twende hukuu
@omante19424 күн бұрын
Allah nijalie na na mm niwe miongoni mwao amina amina yalabilalamin 🤲🤲🤲☝🏾
@qwerqasd859716 күн бұрын
Allahuma aamin jamia
@user-ke3uo6ro4s13 күн бұрын
Amina
@gamarmahsan825415 күн бұрын
اللهم صل وسليم عليه duwa zenu jamani alla awatakabaliye haja yenu twa tamani na sisi kufika hapo
@mdika381114 күн бұрын
Jamani na mm naombeni mnisarimie mtumie
@FatumaRashid-db6cc25 күн бұрын
Allah awafikishe salama
@fatmaahmed86379 күн бұрын
Mwenye ezi Mungu awatimize Hija n mrudi Salaama
@user-bw6cd7ml1i11 күн бұрын
Inshaallah mwenyezi mungu atujaalie na ss tufike huko inshaallah
@HanifaSuleiman-sx4lq3 күн бұрын
Na ss M, Mungu atujaalie tufike huko
@MerwenSeidw2 күн бұрын
MASHAALLAH❤ jjazakallah ALLAH aibark zaid INSHAALLAH kheir
@JaziatBakary14 күн бұрын
Mashallh Allh awatakabalie hjja inshallh
@TibaMatokeo-kk3mj5 күн бұрын
Ametoa maelezo mazuri sana Mungu amjalie Kila la kheri
@MustaphaKiluke15 күн бұрын
MashaAllah
@frankaydeclassique66187 күн бұрын
Allahumma Swalli alaa Sayyidina Muhammad
@hamidashaban120311 күн бұрын
Shekh unaetoa introdaction Allah akuridhie pepo ya firdausi na akuhifadhi
@aminaomary556711 күн бұрын
Nimempenda Hutu shekhe anaongea vyema❤❤❤🎉🎉
@zeinayusuph456611 күн бұрын
Alhamdulillah
@SwaahibulMakaan13 күн бұрын
Nisalimieni mtume muliopata fursa mkirudi mcheni allah
@setiseti52816 күн бұрын
Maashaallah
@Khadees2624 күн бұрын
I wish am there in sha Allah
@fatmam199726 күн бұрын
Mashaallah❤
@Abuu-bakarAbdullah2 күн бұрын
Yarab tuwezeshe
@Kiyara000013 күн бұрын
Masha Allah❤❤❤
@fatmaabdulazizy2272Ай бұрын
Mashallah
@aquidamussamussaakida6 күн бұрын
Mashalha
@petermogha702512 күн бұрын
Imani ya Kila mtu isidharauliwe
@KaifaKaifa-uj1dz12 күн бұрын
Allah akbar
@maufoung17 күн бұрын
Huonyeshi matukio,unatuonyesha watu
@eshasaid325818 күн бұрын
Mashaallah❤❤❤mahujaji kufika madina munawar ❤❤❤❤❤
@KarimuHamisi-nv4lq14 күн бұрын
Mwenyenzi akupen wepec mkubaliwe toba zenu na mrudi kwa usalama nasi mtuombee kwa allah atupe wepes nasi tusienda basi atupe wepec na sisi tufanye ibada hii mwaka wowot
@HanifaOman-oo4pl14 күн бұрын
Mtuombee Dua na sisi wapendwa. Allah awakubalie Duazenu.mnachok8takamk8pate huko mjitukufu
@user-tu2ne7so3b14 күн бұрын
Munafanya mzaha Allah ,hapendi mzaha
@user-tu2ne7so3b14 күн бұрын
Nyoso zenu zipo kidunia zaidi
@dr.jjmwaka25967 күн бұрын
Alahu. Akibaru
@mdika381114 күн бұрын
Mashallh 🙏🙏
@FatumaJuma-si9mt14 күн бұрын
E.mola.wajalie.wote.mahujaji.
@MuammaryAbdalla11 күн бұрын
hii saut ya huyu mzee ni yule ambae anatafsir kur ,ani