Рет қаралды 16
Huyu ni Elizabeth Hoad Mwanamitindo wa Zamani wa Uingereza. Baada ya Kuvunjika kwa Mahusiano Yake Zaidi ya 220 ya Kimapenzi, na Kuvunjika kwa Uchumba Mara 4, Mwaka 2019 Aliamua Kufunga Ndoa na Mbwa Aliyeitwa Logan.
Harusi Ilirushwa LIVE Kwenye TV.