Ww iko na lala naota au naota na lala veve bado tembea , tebea one banchoti
@ErickKilolo-z1zКүн бұрын
Kwaiyo wasouth amna kabisa
@HassanShabani-sy3ew2 күн бұрын
Shennzi kabisa
@HassanShabani-sy3ew2 күн бұрын
Tamka vizuri R
@AllyMohammed-nv5sj2 күн бұрын
Siyo laia ni raia
@imanikiza3 күн бұрын
Is very good
@josephamos66363 күн бұрын
Umekula mb zangu bule mpangilio wako siyo sahihi
@SukaTv_3 күн бұрын
Pole
@user-lm8go7sf8j4 күн бұрын
Uongo bwana namba moja ni adis abba ❤ is the best
@user-lv7gz4ih4x5 күн бұрын
Post facts acha ujinga, Nairobi is the most developed city in east and central Africa
@SukaTv_3 күн бұрын
Unaweza kutoa takwimu zako
@user-hd8vi1cu7q5 күн бұрын
kigali nimuizi
@user-qk2dp9dx2l5 күн бұрын
Hiyo mimi siikubali hata kidogo
@kapafulemartin51646 күн бұрын
Mimi ni Martin tuko mjini RDC
@kapafulemartin51646 күн бұрын
Shukrani muana inchi
@user-gr9wc7bc2m6 күн бұрын
Hivi kigali unaijua au unasema tu
@SwammaduAlly6 күн бұрын
Tatizo wakenya mnataka Kila kitu muwe wakwanza wakati majengo yenu ni ya kizamani sana
@suzanne95177 күн бұрын
Napenda sana Africa yetu ❤❤
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign7 күн бұрын
Je suis à Kinshasa 🇨🇩 mais je regrétte d'être surpasser par le Rwanda vraiment c choquant incroyable aussi Kinshasa es très Salle mais es très construite les humbles existe Chez nous.
@SeifSaid-ld6qj7 күн бұрын
Sio Balani ni Barani sivunze Bro
@SeifSaid-ld6qj7 күн бұрын
😂
@SeifSaid-ld6qj7 күн бұрын
Usisasahau mji wa pemba
@maclaudismail66063 күн бұрын
😅😅
@imaniLameck-fd4eb9 күн бұрын
Watanzania tunakuja juu na kwamijengo kenya hamtufikii yenu mijengo yakizamani sisi Tz ya kisasa tunawapa miezi 6 tutawazidi
@cheiknamouna205810 күн бұрын
Bro kazi yako ni nzuri ila soma lugha kiasi unatuangusha🙏
@cheiknamouna205810 күн бұрын
Miji mizuli zahidi balani Aflika hapo ndiyo sijakukubali na mbona Morocco uirudie mara 3 nchi inaongoza kwa uchafu hujafika ujionee 😂😂😂😂
@sheikhamansoor352213 күн бұрын
Watangazaji jifunzeni kwanza kiswahili mkijua ndio muwe watangazaji Sema Harare sio halale Morocco sio moloco Nzuri sio nzuli Bara sio Bala
@ByamunguChalom13 күн бұрын
Kadanganya, umeacha Kinshasa
@user-gj8dk4rj6n16 күн бұрын
You're right bro
@FrenkJohanes19 күн бұрын
Muongo ww
@christinewomanoffaith547921 күн бұрын
🤣 yaani nairobi ampite Addis Ababa, mmh😊
@christinewomanoffaith547921 күн бұрын
Masihara yaani lagos iwe ya 11? Dar hatujaifikia lagos
@christinewomanoffaith547921 күн бұрын
Mmh kampala😂😂
@abooaboo-rs4uw23 күн бұрын
Naijua tanzania vizuri sana.bado miaka 30 mf8ke tulipo na hapo tutakua mbali sana.anyway,mnajaribu lakini bado.ukeli ni kwam a ufisadi hamna tanzania.
@abooaboo-rs4uw23 күн бұрын
Upuzu utaisha lini.hakuna miji endelezi kama nairobi mombasa kisumu eldoret thika kakamega nyingi kenya
@yustomwaisomania258714 күн бұрын
Acha bangi hiyo n miji iloyoendelea kwenu huko Kenya asee
@Wastara00110 күн бұрын
shida kutoelewa jiji ( capital city) lini Mombasa, Kisumu... ilikuwa capital city??? Utachekwaaaaaa
@steveanthon55236 күн бұрын
Bora umemsaidia kuelewa, kwahiyo alitaka miji yote aliyoitaja ya kenya iwe miji mikuu? ingekuwa nihivyo Chicago, Newyork city, ingekuwa miji mikuu ya Marekani! lakini mji mkuu wa nchi huwa nimmoja tu! hiyo mingine inabaki kuwa miji mashuhuri.
@Wastara0016 күн бұрын
@@steveanthon5523 Baadhi ya wakenya hujiona wamesoma kwa kuzungumza kiingereza kingi kumbe hawajaelimika
@blackmonkey46064 күн бұрын
Kumanyoko wewe mpumbavu mkubwa akili huna nini ama fyetu from Mombasa apa nakutusi ata kama we mkenya mwnzangu
@abooaboo-rs4uw23 күн бұрын
Dar ni kijiji
@maclaudismail66063 күн бұрын
Sawa bora mwanza siyo.?
@abooaboo-rs4uw23 күн бұрын
Wewe mgonjwa.katibiww kichaa
@JackM.-mh5cs28 күн бұрын
Dar tanzania ni mji mbovu duniani kwanza hauna barabara walA umeme maji usiende dar utajuta looh!😊
@RamadanPaul19 күн бұрын
Chuki binafsi
@MorganMwaipyana-tz9vc3 күн бұрын
Jinga wewe, watu 5million wanaishi vipi bila maji?
@eddechriss266429 күн бұрын
Wewe ni Mtanzania umefanya kazi yako kwa kuzingatia weledi hongera sana, kuna mkenya alituwekea top ten ya reli ya standard gage akajari ukenya wake kwa kuudanganya umma kuwa SGR ya Kenya ni bora kuliko ya Senegal, Ethiopia na Tanzania
@rosepaskali2760Ай бұрын
acha uongo wewe nenda kalime mbwa wewe ujui chochote mwongo wewe eti dar ni kuzuri kuliko lagos
@user-ht2dl4ft6nАй бұрын
iyo nimawazo Yako
@SukaTv_Ай бұрын
Ruksa kutoa ya kwako
@user-ht2dl4ft6nАй бұрын
Uwongo kbs Fally niwa nane Africa koffi niwakumi kwa diamond amefika aje apo
@SukaTv_Ай бұрын
Umetazama kwa umakini hiyo takwimu ni ya mwaka gani?
@EmmanuelMalandoАй бұрын
Burundi unafanyaje huko
@SukaTv_Ай бұрын
😃
@inspirationalquotes7342Ай бұрын
Good boy
@SukaTv_Ай бұрын
Thanks
@chusseboywcb28082 ай бұрын
Muongo Dubai ikwapi
@zenasalum2231Ай бұрын
Sasa Dubai ipo Africa we wa wapi
@chusseboywcb2808Ай бұрын
@@zenasalum2231 🤣🤣🤣🤣🤣
@hiseamichael23932 ай бұрын
Durban and pretoria iko wapi umelogwa nenda ukarudi kutembaa bwana
@abnassirkarriem-ko5pw2 ай бұрын
Why Lagos no
@SukaTv_2 ай бұрын
Look at the statistics for 2024, that was for 2023
@LitbMwami2 ай бұрын
Nice
@SukaTv_2 ай бұрын
🙏
@samwelisamsoni64022 ай бұрын
Bilioni 1 ya kitanzania shilingi ngapi ?
@SukaTv_2 ай бұрын
Ni Dora Billioni za kimarekani
@SukaTv_2 ай бұрын
Kwa mujibu wa orodha ya matajiri duniani iliyotolewa na Bloomberg mwezi April 2024 inaonesha Mkurugenzi wa Kampuni ya Meta Mark Zuckerberg amempiku kwa mara ya kwanza Mkurugenzi wa Tesla, Bilionea Elon Musk. Katika orodha hiyo Zuckerberg ameshika nafasi ya tatu kwa utajiri akiwa na utajiri wa dola bilioni 187 huku Elon Musk, akishuka hadi nafasi ya nne akiwa na utajiri wa dola bilioni 181. Hii ni kwa mara ya kwanza kwa Zuckerberg kuingia katika tatu bora ya watu tajiri tangu mwaka 2020. Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos anashika nafasi ya pili (dola bilioni 207) na Mkurugenzi Mtendaji wa LVMH Bernard Arnault yupo nafasi ya kwanza akiwa na utajiri wa ($223 bilioni).