No video

APARTMENT YA DOLA MOJA MAREKANI (PART 2)

  Рет қаралды 52,696

Hapa Nilipo

Hapa Nilipo

Күн бұрын

Leo ni (Part 2) ya Apartment ya $1.40/Week. Watu wengi walitaka niwaonyeshe ndani kulivyo. Sasa Leo naomba niwaonyeshe ndani kulivyo. This Duplex is beautiful, the space is big for one/two people. Enjoy .#tanzania #kenya #uganda #tanzanianyoutuber #tanzanianyoutuber

Пікірлер: 265
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 Жыл бұрын
Nyumba iko poa kwa mtu anayeanza maisha, ila kama uko marekani kwa zaidi ya miaka 10 bado unatafuta nyumba kama hiyo, bora urudi tu Home nyumbani TZ nyumba zipo nzuri, na bei poa, na mazingira tulivu.Ukiwa na biashara yako simple maisha yaenda bila stress.
@RehemaMwinyi-xs9bx
@RehemaMwinyi-xs9bx 2 ай бұрын
Dola moja Kama Dola moja? Na unalipia miezi mingai? Au Kila mezi?
@RehemaMwinyi-xs9bx
@RehemaMwinyi-xs9bx 2 ай бұрын
Naomba namba yako nnampango wa kuja uko nadhani utranisaidia my
@kisagentabirage6693
@kisagentabirage6693 Ай бұрын
Dada mambo mzima napenda interview zako mungu akubariki nafanya michakato ya kupambania kufika huko nitakutafuta siku nikifanikiwa kuja huko
@muccitronix
@muccitronix Жыл бұрын
Kwa bongo mtu mwenye mjengo kama huu ni mtu mwenye maisha mazuri mnooo
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Жыл бұрын
Mashallah bonge moja apartment kwa huku kwetu hiyo ni bonge la ghetto nice content my sister
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Asante sana.
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Contact nzuri sana
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Жыл бұрын
​@@hapaniliponaomba ramani ya hii jengo bibie.. nataka nitoe kitu kama hiki
@mariamsaid4112
@mariamsaid4112 Жыл бұрын
Kibongo bongo hiyo unaweza lipa hata laki tatu
@SamwelMisungwi
@SamwelMisungwi Ай бұрын
Hapa 😂ujasema jimbo gani sehemu gan madam
@emmycharles8463
@emmycharles8463 Жыл бұрын
Kaaa jamn kwahiyo hapo ndo marekan 🤔🤔
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 Жыл бұрын
Geto zuri sana vp kuhusu kazi mazingira hayo zinapatikana kwa wingi au hadi uende mbali zaidi na je neighbourhood ikoje
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 Жыл бұрын
Hapo waeza bakwa au ukaibiwa.
@allyshomari7417
@allyshomari7417 11 ай бұрын
Safi safi. My daughter!!
@hapanilipo
@hapanilipo 9 ай бұрын
Asante sana.
@dlumala
@dlumala Жыл бұрын
Unisaidie nano zamani ha ha inshore kusikiiza
@ashantidesire8635
@ashantidesire8635 Жыл бұрын
Kumbe hizi ni zile shelter za homeless ndio unaringa nazo.
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Jmn daah ila mbali sana kazi zinapatokana huko
@tanzuaprint
@tanzuaprint Жыл бұрын
Hakuna hizo Apt maybe zitakuwa zile za watu wenye mahitaji maalumu au ambao waneshindwa kukimu maisha yao. na mara nyingi hiz free apt huwa si safe.
@libeberu
@libeberu Жыл бұрын
Hapa tunaibiwaaaaa, kwamba homeless wa USA hawajui zilipo? Hapa tumepigwa
@alexandermilanzi9860
@alexandermilanzi9860 Жыл бұрын
​@@libeberuvitu vingine sio vya kubishia...kumbuka marekani ni kubwa nchi moja inakaribia kuwa sawa na ukubwa wa bara la Afrika....si rahisi kila sehem kuwa na watu wengi.... Mfano Tz🇹🇿 buguruni chumba si mpaka 15k mbona watu dar wanalala nje?
@tanzuaprint
@tanzuaprint Жыл бұрын
@@alexandermilanzi9860 Narudia Marekani hakuna nyumba za $1 Iko hvi: Serikali inaweza ikakujengea nyumba ikiwa wewe una familia kubwa au kuna vigezo fulani unahitaji wanavyohitaji unavyo wanaweza kujenga kwa ajili yako alafu wewe utakuwa unalipa kidogo kidogo lakini si $1. Au unakuta nyumba hiyo alafu unalipa kama $200 kwa mwezi. hizo ni za serekali. Mara nyingi hizo apt huwa haziko safe. maybe nyumba cos wanakujengea sehemu tofauti. Hakuna kampuni ambayo itakujengea nyumba imeweka mamilion ya $ alafu wewe ulipe $1. labda za shiriki na shiriki ni sawa na bure na linapokuja swala bure maana yake hapo hakuna usalama. Na hata za shiriki kuna sheria zake kuwepo pale. hata nyumba zile za kuamishika hakuna hata ya $ 50 maybe za bure na bure si kwa kila mtu. Huyu dada si mjanja kuliko Wamarekani wote, tunazijua code zote za government. Marekani ni nchi kubwa laakini ukiwa Marekani ni kijiji. Acha kushangazwa na ukubwa wa nchi, mitindo mbinu ni rahisi sana. kutoka kusini( North carolina) mpaka CA ni saa 5 kwa ndege. Tunaendesha gari kutoka Carolina mpaka iowa.
@madytwaa
@madytwaa Жыл бұрын
​@@alexandermilanzi9860bro ukubwa wa bara la Africa unaujua vizur interms of square meters bara namba 2 kwa ukubwa after Asia au unaropoka tu 😂
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj Жыл бұрын
@@alexandermilanzi9860hata hotel Usiku tuh ni dolar 100 kwenda juu
@user-ev6bq9gf1f
@user-ev6bq9gf1f 2 ай бұрын
Ila acha wongo siyo dola moja
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Lo umejitoa ufahamu kupost UONGO 😂😂
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
Salam zangu kutoka neworleans Louisiana 👍
@Walae260
@Walae260 Жыл бұрын
Uwongoooo
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Jamani Kweliiiiiii
@neemachristine2666
@neemachristine2666 Жыл бұрын
I can leave there comfortable with my husband and eight children comfortable
@abdulshaban4560
@abdulshaban4560 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁marekaniiiii sawa Dada,......
@batromeombogo297
@batromeombogo297 Жыл бұрын
waaaao i like it... imejikuta na-subscriber in short nimependa kaziyako mnooo
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Jamani asante sana.
@sammirykamanga9960
@sammirykamanga9960 Жыл бұрын
Namba number yako au mawasiliano yako
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 Жыл бұрын
Nyolooo
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Good content
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
Aisee naomba no ...naitaka
@Fechasharon
@Fechasharon Жыл бұрын
Dah huyu dada ni muongo balaa dah😢
@PaskaziaLawi-kr3lx
@PaskaziaLawi-kr3lx Ай бұрын
Habari dada naoma namba yako kunakitu nataka nikwambie mimi ni mama
@user-yg4er5kb4x
@user-yg4er5kb4x Жыл бұрын
Great madame
@andrinisrael9289
@andrinisrael9289 Жыл бұрын
Ukijitaji hela pia kua na kitu chenye mashiko unafanya jambo la kudhalilisha nchi
@kevinsheshe4954
@kevinsheshe4954 Жыл бұрын
Nice one
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Thank you.
@innoofficialtz8516
@innoofficialtz8516 Жыл бұрын
Asee safi
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 25 күн бұрын
Dola 100
@stannydidasy
@stannydidasy Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@Humanscale800
@Humanscale800 Жыл бұрын
Sio kwa ubaya lakini mbona watu wa hapo kwani hawajui kama hapo ni $1 rent? Either ni murder scene hapo, ama ni $1 a kwa saa na $720 kwa mwezi. Ama $1 monthly na massage with happy ending to the landlord 😂
@ChikoMathias
@ChikoMathias 11 ай бұрын
Ndio tupate kaxi na kuja huko
@NIMFASHADieudonne-cy1fx
@NIMFASHADieudonne-cy1fx 8 ай бұрын
Thank you,so Dada ukweli hizo nyumba kiramda zinaonekana?ziko wapi sehemu yipi?mda wowote unaweza kuzipata?
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Жыл бұрын
Hiyo nyumba huku kwetu milion 2 laki5 bora tu nihamie huko sasa shida kazi
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Kazi zipo nyingi sana, Ila kwa mwanzo usichaguwe.
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Жыл бұрын
@@hapanilipo kwa mtu kama mimi elimu yangu ya 4m4 nitapata kazi gani
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Жыл бұрын
@@hapanilipo Natamani nipate kazi nimtunze mwanangu maana napitia wakati mgumu
@HalimaChuwa-kk5lt
@HalimaChuwa-kk5lt Жыл бұрын
​@@hapanilipokwa ambao hatujasoma tutapata Kaz gan uko jmn
@frolahsaloon2506
@frolahsaloon2506 Жыл бұрын
@@hapanilipo nitafutie kazi hata yakulea watoto
@vitrahbongz9420
@vitrahbongz9420 Жыл бұрын
Huy dem katupig 😂😂1$!!
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Kweli tena $1.40 Kwa Wiki.
@melkizedekoliech7859
@melkizedekoliech7859 Жыл бұрын
Tryna imagine thousands of$000i can save 4 investment livin in these houses😮😮😮 Uffffffff!!
@HawaKibeshi
@HawaKibeshi 2 ай бұрын
Marekani maeneo gan hayo nije madam
@godfreykipanga9468
@godfreykipanga9468 Жыл бұрын
Uwongo
@user-uk6cu3ls2q
@user-uk6cu3ls2q Жыл бұрын
HahahahahHaha mbavu mie zinatoka mbavu nimecheka sana comment
@ludobudege1662
@ludobudege1662 Жыл бұрын
Ttunashukuru kutuabarisha kumbe tusiogope kuja Kuna vyumba Hadi vya $1
@user-ev6bq9gf1f
@user-ev6bq9gf1f 2 ай бұрын
Mbona kama buza kwampalange
@bensonlameck6348
@bensonlameck6348 Жыл бұрын
Hio nyumba inawezekna iko nje kbsa ya mji wa marekani asee ,na hmna kazi hapo,na joto lililopo hpo ni balaa unaweza ukafa kma umegendua hio nyumba ina Ac,fan
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 Жыл бұрын
Ipoh a/c huionii
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 Жыл бұрын
Sema umbili WA kazi
@SwahiliChallenge255
@SwahiliChallenge255 2 ай бұрын
Hii nyumba n ya matofari au ya mbao,Je kuinunua n shingapi??
@bonfacmoshi569
@bonfacmoshi569 Жыл бұрын
Labda kama unaolewa! Msitudanganye hivyo!
@hurumakhadi9943
@hurumakhadi9943 Жыл бұрын
Ni uwongo hakuna nyumba ya dollar moja hapa marekani
@bigboys016
@bigboys016 Жыл бұрын
Umepapataje hapo dada,aisee
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kam hapo ni Marekan hayo maeneo sikai hat kwa bure hiv usalam upo kwnz
@minaahlove7618
@minaahlove7618 Жыл бұрын
😂😂 it's funny
@teychriss3248
@teychriss3248 Жыл бұрын
Mmh
@oswaldkakuyu
@oswaldkakuyu Жыл бұрын
Location ya hii apartment iko wap na je naweza nikapata contact yako ili unipeleke na nikapaone
@julianamassawe2508
@julianamassawe2508 Жыл бұрын
Hi
@oswaldkakuyu
@oswaldkakuyu Жыл бұрын
​@@julianamassawe2508hello
@veilasharu2162
@veilasharu2162 Жыл бұрын
Ok
@benjamincharles2606
@benjamincharles2606 Жыл бұрын
Me nko tayari KWA kaz yoyote
@GQTVONLINE
@GQTVONLINE Жыл бұрын
Dada tunaomba connection ya kupata kazi
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Nitakupa Connection nduguyangu usijali. Nipe muda nalifanyia kazi.
@GQTVONLINE
@GQTVONLINE Жыл бұрын
@@hapanilipo Ubalikiwe
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding Жыл бұрын
​@@hapanilipo jamani dada kazi ukipata nyingi mie pia nisisahaulike tafadhali Mungu akubariki sana
@mercysamuel9281
@mercysamuel9281 Жыл бұрын
Mamie naomba connection na mimi za kazi huko
@mercysamuel9281
@mercysamuel9281 Жыл бұрын
Mamie na mimi nisaidie kazi huko
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Usalama ukoje
@selineakoth1483
@selineakoth1483 4 ай бұрын
huko ni state gani dadaa
@Perfect-migomigo
@Perfect-migomigo 21 күн бұрын
Uyo dada ni muongo siyo $1
@saxinajoseph4289
@saxinajoseph4289 Жыл бұрын
Acha utapeli nyumba hizo ni za Bureeee kwa hapa marekani...
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
sasa hiyo pesa si bure kabisa utofauti ni nini
@nuruvinny5141
@nuruvinny5141 Жыл бұрын
Ndo maana awatupigii picha wakiwa makwao
@florianscarion5085
@florianscarion5085 Жыл бұрын
Acheni kupumbaza watu.
@anthonysindabaha7517
@anthonysindabaha7517 Жыл бұрын
Hizoo ni unsafe apartments na mara nyingi hutumika na disabled ..hvyo basi hakuna apt hapo states kwa $1 acha kudanganya watu unless una seek for subscribers na followers
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Una shida gani? Yaani uko moto msyuuuee
@crownpress5512
@crownpress5512 Жыл бұрын
Huko kutakuwa ni Kama uende kuishi mabwebande 😂😂😂…kutakuwa hata huduma za jamii unasafiri siku mbili
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
😅😂😂
@adammalima3408
@adammalima3408 Жыл бұрын
Nimesubscribe Leo ila nimefaidika Asante sana keep up
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Жыл бұрын
Dola moja unapata chumba,choo,sebule jiko....duh hatari.
@maxsolutionstz
@maxsolutionstz Жыл бұрын
NAZANI ITAKUWA NI DOLLER 1 KWA SIKU NA SIO KWA MWEZI HAIWEZEKANI ULIPIE 2300 KWA MWEZI
@SophiaMarwa-gt6id
@SophiaMarwa-gt6id Жыл бұрын
Naomba conection ya kaz dada
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Nduguyangu Kuna Website 5 za kazi nimetowa leo. Hope itakusaidia.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Hee dola moja kwa mwezi wakati kuna watu kibao marekani wanaishi barabarani washindwe kulipa dola moja mhuu
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
$1.40/Week
@handzdownrecords1156
@handzdownrecords1156 Жыл бұрын
Mmmmh😂 dolla moja?? Whats the catch?
@pembemussa2804
@pembemussa2804 Жыл бұрын
Ukiishi Maisha hayo waeza Ng”oa pisi kali ya kizungu kweli hapo ni mwendo wa Chama la sabuni😢
@hanschuma7734
@hanschuma7734 Жыл бұрын
Tembea mwanangu utanielewa unan'goa sana mpaka utaniambia....mbona rahis tu hao
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Wapi hapo
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Texas
@petermponeja498
@petermponeja498 Жыл бұрын
Tunaomba address za hizo apartment
@hmanews12
@hmanews12 Жыл бұрын
Habari yako,,,, nahitaj namna ya kuweza kuwasilian na ww,, hata Kam ni kea email kuhusu mafunzo ya KZfaq na namna ya kufungua channel
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 Жыл бұрын
Iyo nikwel kabis wala sipingi
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Жыл бұрын
Sinza ni laki 2 huu mjengo aisee balaa
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Yani balaaa na nusu, tena pale mitaa ya Kwa Remmy.😅
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 Жыл бұрын
Dollars Moja hi ya 23000 kw tz sh au
@carolineaugustino6629
@carolineaugustino6629 Жыл бұрын
2000 na kitu
@user-hv1oz4ei3t
@user-hv1oz4ei3t Жыл бұрын
Taratibu utavunja vitasa vya watu
@BenLeeBl
@BenLeeBl Жыл бұрын
Mgen akija km anatak kwenda choon inabid aingie chumban....
@anoldmajivuno684
@anoldmajivuno684 Жыл бұрын
Salute sanaaaaaa
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Asante sana.
@merrymassa-hi6iy
@merrymassa-hi6iy Жыл бұрын
Mimi niko Tanzania
@marygregory7566
@marygregory7566 Жыл бұрын
Mbona kila kitu kimepinda kianzia milango mpaka makabati😆😆😆😆
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Yani wewe🤣🤣🤣
@user-fq4ys9ws7u
@user-fq4ys9ws7u Жыл бұрын
Mbona hutu tafut nasisi
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 Жыл бұрын
Nataka nije
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 Жыл бұрын
Wewe ulianza hapo....
@user-of1uy6jv3o
@user-of1uy6jv3o 7 ай бұрын
Dada naomb namba tuwasiliane
@kisagentabirage6693
@kisagentabirage6693 Жыл бұрын
Dada mie nataka kuja marekani unaisaidiaje pls am very interesting kweli dada angu pls
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Sawa jamani, angalia Video yangu ya Kesho Inamajibu.
@mohammedbaraka9230
@mohammedbaraka9230 Жыл бұрын
Tunasubiri wote hiyo video
@hanschuma7734
@hanschuma7734 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo nyumba huku ss tunalipa mahela meengi halfu chumba na sebure choo bafu kichen how come
@frankdanford8245
@frankdanford8245 Жыл бұрын
Atufanani kiuchumi kwa america inawezekana ila kwa afrika itatuchukua karne mbili kufikia huko
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 Жыл бұрын
marekani ya wapi jamn kusingekua na homeless kama ni hivyoo je kunahuduma za kijamii
@alexandermilanzi9860
@alexandermilanzi9860 Жыл бұрын
Ushaambiwa huko ni Texas sio kila sehemu marekani ni maisha mazuri tu.... Na ndo maana hata hao homeless wapo pia marekani.... Haya njoo dar vyumba mpaka 15k bugurun
@vom84
@vom84 Жыл бұрын
Bonge moja la Ghetto
@yaqubyahya6285
@yaqubyahya6285 Жыл бұрын
😂😂😂 apo umetu danganya dada,..akuna nyumba ya 1$ USA....
@muskrilcardo9372
@muskrilcardo9372 Жыл бұрын
hi ni mathalau ya hali ya ju, milango ata aifunguwe?!?!?
@AminaMustafa-uw7jc
@AminaMustafa-uw7jc Жыл бұрын
dollah 1 kwa siku or
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Kwa Wiki $1.40
@Momonabudget31
@Momonabudget31 Жыл бұрын
Insecurity though
@Doremi_pro
@Doremi_pro Жыл бұрын
Mbona kama unatucheka tunaotaka kunnua ilo geto
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Shida ni ghetto area sio salama
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
😅😅😅Ukianza maisha hamna kuchaguwa.
@leonardpeter8239
@leonardpeter8239 Жыл бұрын
ni dolla1 kwa mwezi au kwa siku?
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Kwa Wiki. Kaangalie Part 1.
@erenestawanjiru1935
@erenestawanjiru1935 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@athumanizaidi8560
@athumanizaidi8560 11 ай бұрын
Hizo apartments zinapatikana wapi hap US?
@hapanilipo
@hapanilipo 11 ай бұрын
Texas
@pamelawanderaofficial6257
@pamelawanderaofficial6257 Жыл бұрын
State ipi hii huko Americani
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Texas.
@aishasaidmimo5239
@aishasaidmimo5239 Жыл бұрын
naomba conection ya kazi dada
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Upo wapi kuna mtu akupe connection km unahitaj
@keyla3641
@keyla3641 Жыл бұрын
Jamani Dola moja tu wapi sijawahi kusikia
@user-nx7ll2ce5v
@user-nx7ll2ce5v Жыл бұрын
Hata bongo vjijin upati kwa bei iyo
@user-qz3wn6tt6b
@user-qz3wn6tt6b Жыл бұрын
Usalama upo madam na vp Kwa tulio kua Tanzania kama natka kija
@rehemalusindengawa5186
@rehemalusindengawa5186 Жыл бұрын
Mbona nimetamani kuja
@hapanilipo
@hapanilipo Жыл бұрын
Njoo Mwaya.😊
@Rachid_Daudi
@Rachid_Daudi Жыл бұрын
#LiegeEdward nyumba kwa $1 😂
HAJA KUBWA NI DILI UTALIPWA $500-$180,000  MAREKANI
11:52
Hapa Nilipo
Рет қаралды 4,9 М.
KAZI ZA MAREKANI
10:27
Hapa Nilipo
Рет қаралды 17 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 38 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 9 МЛН
VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA
14:00
NYUMBA YA DOLA MOJA
4:27
Hapa Nilipo
Рет қаралды 1,4 М.
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 17 М.
Unanunuaje Nyumba USA ukiwa mhamiaji? Mbinu hizi lazima uzijue
9:56
Maisha ya bed sitter kwa ghetto ya Yues
10:28
LUXOR MEDIA ONLINE
Рет қаралды 9 М.
MAISHA YA MAREKANI NI YA MADENI | WENGI WANAKUFA KWA STRESS YA PESA | ELIMU YA FEDHA
1:20:10
UKIJA MAREKANI JIANDAE KULA CHAKULA HIKI...
15:47
Hapa Nilipo
Рет қаралды 541