Kazi zisizohitaji Vyeti, Uzoefu Ukitua USA / Drivers License / Majimbo 10 yenye nafuu /

  Рет қаралды 11,739

Erica Lulakwa

Erica Lulakwa

Жыл бұрын

#swahilination #commonsence #Tanzania #marekani

Пікірлер: 62
@justusmochoge6577
@justusmochoge6577 6 ай бұрын
Wow I appreciate from here Kenya 🇰🇪 our beautiful Tanzanian ❤❤❤
@pilitanzania1420
@pilitanzania1420 6 ай бұрын
Habari dada asante kwa ushauli nzuri Mimi binafsi Nina ujuzi wangu ni welder nipo Mozambique nafanya kazi napenda kuja kufanya kazi huko
@Summerbtz
@Summerbtz 6 ай бұрын
Nimependa vile unavyowashauri ndugu zako kuhusu maisha ya ughaibuni
@Victor-Frank
@Victor-Frank 8 ай бұрын
Gaddamn she is giving me goosebumps with that beyonce
@user-cg1qf8xi7v
@user-cg1qf8xi7v 3 ай бұрын
Habali za kwako aunt
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh 9 ай бұрын
Nakupenda dadangu, nikija nitkutafuta Kwa maelekezo zaidi.
@HamisDotto
@HamisDotto 6 ай бұрын
Good sana sister nikisema nije huko ninunue gari ndogo laba ya kufanyia tex bei ya chini
@ilankundakamenya3171
@ilankundakamenya3171 6 ай бұрын
Big up sana sister nimekuelewa vzr sana
@user-kf9uc4us3j
@user-kf9uc4us3j 7 ай бұрын
Dada nimekuelewa vzr mm Niko oman nafanya kazi za ndani nataka kuja huko nipambane ni mtznia je nikija nitapata kazi ya usafi kulea mabibi au watoto naulixa hivyo maana elimi yangu darasa la 7 na hata wanakojenga kubeba tofali mm nikija sichagui kazi na hata kuzoa taka naomba nisaidie tafadhali dada angu pass port ninayo nani naomba nitajie gharama mpaka kufikia huko marekani nisaidie dada Sina Cha kukulipa ila mungu atakulipa pole Kwa usumbufu
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 7 ай бұрын
Uko sawa tu
@EricaLulakwa
@EricaLulakwa 7 ай бұрын
@user-kf9uc4us3j, Nimeelewa maelezo yako ntakujibu soon. Asante
@bainolatino3412
@bainolatino3412 6 ай бұрын
Nashukuru rafiki yangu mimi niko Zanzibar natamani sana nipate nafasi ya kufanya kazi hata hapo omani tu nitashukuru naomba unisaidie kama unachanel hiyo samahani kwa usumbufu maisha yetu hujui nani ataekufaa nisaidie sixhagui kazi kazi yeyote nafanya mimi
@Daima-ik1cf
@Daima-ik1cf 6 ай бұрын
Aha mm nipo oman nilitaka niende lakin bado nawafatilia vzr
@MwajumaRashidi-tx6ks
@MwajumaRashidi-tx6ks 5 ай бұрын
Dada VP ulijibiwa
@chamballaally8767
@chamballaally8767 2 ай бұрын
Nilidhani ww Salama Jabir wa BSS
@hanswan1
@hanswan1 2 ай бұрын
Mimi pia kafanana nae sana...mno
@abdallahyusuf7641
@abdallahyusuf7641 6 ай бұрын
Shukrani nimekuelewa vizuri sana tena sana
@reginaevance7175
@reginaevance7175 Жыл бұрын
Asante sana dada 🙏Mungu akubariki sana
@eliadaniel216
@eliadaniel216 7 ай бұрын
Asante kwa elimu poa madame
@eddiemend9250
@eddiemend9250 2 күн бұрын
Hi habar yako Dada Erica, Umeongea kazi za udereva etc vipi kuhusu Kazi za ku-operate mitambo like Hydraulic EXCAVATOR, frontend Loader, Motor grader etc naomba niulizie mtu akija akiwa tayar ni operator lazma arudi class asome tena and na vipi maslahi yake like wanalipwaje hao earthmoving machine Operator kwa apo Us..?
@allyfatma7359
@allyfatma7359 7 ай бұрын
Thanks
@mubabray9845
@mubabray9845 Жыл бұрын
Asante sana dada
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 Жыл бұрын
Asante dada
@ronaldouchi1083
@ronaldouchi1083 8 ай бұрын
Good job sister
@khadijaismail8427
@khadijaismail8427 8 ай бұрын
Nimefurahishwa sana na maelezo yako ubarikiwe
@samsonmusyimi1782
@samsonmusyimi1782 9 ай бұрын
Ghai msungu anaboga swahili❤❤❤
@emmanuelmliga132
@emmanuelmliga132 9 ай бұрын
Safi Sana dadayangu akiri kubwa
@babyboy6310
@babyboy6310 3 ай бұрын
Habari gani Dada.. Napenda program yako
@dainesdiana583
@dainesdiana583 6 ай бұрын
nashukuru sana dada Erika nimekuelewa naomba unisaidie niweze kipata mtu kitoka uko ili nipate viza au barua ya mwaliko nataman nije kifanya kaz hata za nurse home nina passport lakan sina wakuniasaidia kija uko
@ElikanaKiheka-fl4wu
@ElikanaKiheka-fl4wu 6 ай бұрын
Safe sana aiseee
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 9 ай бұрын
Naomba dada tuwasiliane
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 7 ай бұрын
Hizo gharama za nyumba USA unazosema ama apartment za USA naona kama China tu hapa! Chini ya dollar 120,000 USD china hapa hupati nyumba kudadeki naona hakuna tofauti sana na USA.😱
@EricaLulakwa
@EricaLulakwa 7 ай бұрын
@tradersEasyway, hayo majimbo niliyoongelea ni Yale yenye gharama za chini USA.
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 7 ай бұрын
sawa@@EricaLulakwa
@user-mf5yw8nv7n
@user-mf5yw8nv7n 2 ай бұрын
Hellow
@johnkasosokola7461
@johnkasosokola7461 7 ай бұрын
Habari dada jee naipataja hiyo visor yakuja huko pia nahitaji kuja kufanya kazi nnje ya nchi
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 Жыл бұрын
Nimesabskraibu👍
@stanslausmbuta-ck5im
@stanslausmbuta-ck5im Жыл бұрын
Safi sana dada, naomba email na no ya simu maelezo yako ni mazuri sana unaelimisha vizuri kwa kweli.
@JacksonFrances
@JacksonFrances 5 ай бұрын
Daaah Aisee ñaoña Ùpo Kabila Lañgu Naomba Namba Kwa Mawasiliano"
@deniskangombe7442
@deniskangombe7442 2 ай бұрын
Tatizo lako dada haujibu msg lakin una vitu vingi sana
@user-xw4uc1pb5u
@user-xw4uc1pb5u 9 ай бұрын
Dada naomba no yko tuwasliane unielekeze zaid
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 Жыл бұрын
Sauti yako ndogo dada ongeza Sauti..
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 9 ай бұрын
Dada tunashukulu sana kwamaelekezo naomba no yako
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 7 ай бұрын
Wapi hiyo?
@krtv3666
@krtv3666 Ай бұрын
My name is Yohana Mweta. My question to you is that how can I get there
@salumsalum8866
@salumsalum8866 10 ай бұрын
toa sauti
@user-qy2ft1lg6e
@user-qy2ft1lg6e 2 ай бұрын
Mawasiliano yko dada
@josephstephen2047
@josephstephen2047 6 ай бұрын
Fb upo na unatumia jina gani?
@emmanuelmliga132
@emmanuelmliga132 9 ай бұрын
Naomba namba Yako dada
@user-ic7qf8fl9x
@user-ic7qf8fl9x 8 ай бұрын
Oi my tuongee namba
@user-st1xf9un7v
@user-st1xf9un7v 6 ай бұрын
Hello Erica Mimi Nina degree wa ualimu wa kiswahili na kingereza je naweza kupata kazi huko
@HabibaIdany
@HabibaIdany 2 ай бұрын
Dada namba namba
@samsonmusyimi1782
@samsonmusyimi1782 9 ай бұрын
Kama ukumalixa form 4 ukipata Green card utakubaliwa kweda?
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 ай бұрын
Green card sizan km wananglia kiwango cha Elimu
@kibejaden3306
@kibejaden3306 8 ай бұрын
Mambo ya saloon kunyoa vp
@rukiyashali
@rukiyashali Жыл бұрын
Vp kazi za kuchora heena ziko?
@viousa
@viousa 9 ай бұрын
Hamna
@bainolatino3412
@bainolatino3412 6 ай бұрын
​@@viousanaishi Zanzibar naomba channel ya fursa nisaidie pia samahani kwa kusumbua huenda utakasirika lkn ni shida na usongo wa kujikwamua kimaisha naomba uniwezeshe kwa lolote hata ushauri pia naishi Zanzibar
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 3 ай бұрын
Vigezo gani vinahitajika kwa ajili ya green card?
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 3 ай бұрын
Naomba ni connect na agency wa delivery driver wa USA madam
@user-mf5yw8nv7n
@user-mf5yw8nv7n 2 ай бұрын
Hellow ​@@viousa
MAISHA YA TRUCK DRIVERS USA 🇺🇸 SIO MCHEZO
19:49
Haron Nyambati
Рет қаралды 14 М.
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 166 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,9 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 105 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 7 МЛН
Erica Lulakwa - Aragoba (Official Music Video)
4:07
Erica Lulakwa
Рет қаралды 4,5 М.
KAZI ZA MASHAMBANI NCHINI CANADA 2023
6:26
Teacher Msauzi
Рет қаралды 7 М.
Erica - "Close To You"
5:35
Erica Lulakwa
Рет қаралды 1 М.
Unaenda Marekani Unarudi Tanzania???--My Real American Experience
9:34
My daughter always appears at the most critical moments
0:35
昕昕一家人
Рет қаралды 24 МЛН
Дымок или Симбочка?? 🤔 #симба #симбочка #mydeerfriendnokotan
0:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 1,9 МЛН
Жалко эту собаку 😥
0:34
Awesome Cuts
Рет қаралды 3,9 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
0:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 8 МЛН
He doesn’t like illusions
0:17
V.A. show / Магика
Рет қаралды 10 МЛН