ASKOFU AOA WAKE WAWILI NA KUINGIA NAO KANISANI

  Рет қаралды 622

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

25 күн бұрын

#muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

Пікірлер: 26
@imranfundi6761
@imranfundi6761 23 күн бұрын
Allah atakulipa pepo inshallah hao wanaokipiga vita wasikukere
@drnow1528
@drnow1528 23 күн бұрын
12:04 Ushoga ulianzia Vatican ilianzia Vatican
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 23 күн бұрын
Proud to be a Muslim ☝️🕌🙏🙏🙏
@drnow1528
@drnow1528 23 күн бұрын
Uislamu pekee ndiyo dini ya haki
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 23 күн бұрын
Simama kwenye ukweli tu? Usijali sheikh wetu 🎉🎉🎉
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g 18 күн бұрын
jamani we shehe mwai hadi raha na raha tena, kha kumbe hadi wao wameshindwa kuvumilia na mke 1 ndo ukitaka kujua kwamba ukristo sio dini sahihi kutoka kwa mungu.
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 23 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo tafuta mic ndogo ya kufunga kwenye shati sauti itokee vizuri zipo ambazo ni wireless tafuta maana video hii sauti haina ya kutosha na video nyingine ushakua kimtandao boresha huduma yako kaka yangu.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 23 күн бұрын
Uislamu siyo dini ya Mwenyezi Mungu MUUMBA MBINGU NA ARDHI bali ni dini ya Waarabu Maqureishi wa Makka na mungu wao ni allah Al hajar Al aswad ndiyo maana Waislamu duniani kote mmeamrishwa kusujudia kuelekea huko Makka aliko allah wa Waarabu aliyepo al Kaaba
@MollelSirikwa
@MollelSirikwa 23 күн бұрын
Wwe mzee wacha unafik duniani bila ukiristo haiwezi endelea maan ndo mama hiyo yako niya kuja kulingania ukristo haupigiwi debe mwaipopo na haina mashati ukitoka unakatwa shingo.
@SamsiaKassaKangeta
@SamsiaKassaKangeta 23 күн бұрын
PAULO NI MPUMBAVU ASIYEFAA KUFUATWA! 2 Wakorintho 11:1. 1. Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami.
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 22 күн бұрын
dini ni mila za wazungu na waarabu sasa ukiwa unajielewa lazima uwende kwenye mila ya wazungu wametuletea shule maospital na nguo za kuvaa je waarabu wamekupa nn
@AyshaJoon
@AyshaJoon 23 күн бұрын
alafu wee pauli moshi kafirii mkubwa wee usiongee kabisa dini moja mungummoja yesu sio mungu ni mtume wa mungu Acha ukafiri pauli
@charlesunganiunjuu920
@charlesunganiunjuu920 23 күн бұрын
Mwaipopo wewe ni nabii Tito uliechangamaka
@anzurunindume
@anzurunindume 23 күн бұрын
Wakristo wanamfata askofu ao Mungu? Je waislam mnafata sule ao Muamadi?
@SamsiaKassaKangeta
@SamsiaKassaKangeta 23 күн бұрын
NB: Speaker yako inasikika kwa matatizo kulikoni? Chunguzeni sauti kabla ya kuanza kipindi tafadhali..!
@paulmushi2428
@paulmushi2428 23 күн бұрын
Hao ndiyo walisemwa na YESU KRISTO ni Makristo wa uongo Na anayetaka kuwa Askofu awe na mke mmoja 1Timotheo 3:2 na huyo ni mtu wa mshahara wala siyo Askofu
@SamsiaKassaKangeta
@SamsiaKassaKangeta 23 күн бұрын
HUO NI MPUMBAVU WA PAULO SI KAULI YA MUNGU! Mbona Paulo mwenyewe hakua na mke hata mmoja? 1 Wakorintho 7:6.,7.,8.,9. 6. Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri. 7. Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi. 8. Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. 9. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa. SASA UPUMBAVU WA PUALO NDIO FWATU'A YAKO UNAYOIFUATA? 2 Wakorintho 11:1. 1. Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami.
@GervasSospeter-vt3zi
@GervasSospeter-vt3zi 23 күн бұрын
Ungeuza mafuta dini huwez au njaa inakusumbua
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 23 күн бұрын
Njaa haimsumbuwi tatizo la nyinyi wa kristo mkipewa ukweli mnaanza kutukana vipi nyinyi
@charlesunganiunjuu920
@charlesunganiunjuu920 23 күн бұрын
Yaani wewe unaendaga vizr lkn unakwama aunaga content ya vipindi vyako mpaka uutaje ukristo ila mwaipopo wewe ni mwehu na hujitambui kbxa
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 23 күн бұрын
Sasa wewe njo ukristo unakufunza hivo kutukana we vipi
@paulmushi2428
@paulmushi2428 23 күн бұрын
Mwaipopo, shetani na majini dini yao ni Waislamu kwa sababu Muhammad aliwasilimisha wakawa Waislamu! Soma khadith wewe!!
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 23 күн бұрын
Wewe paulo ushazoea kumiminwa chin ya mzabibu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 23 күн бұрын
​@@kalamamuller-qe1yd Kumiminwa maana yake nini?
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 23 күн бұрын
Kasome bibilia kisha utajua nn maana yake
@paulmushi2428
@paulmushi2428 23 күн бұрын
​​@@kalamamuller-qe1ydNajua tu dhamia yako ni tusi ila nilitaka kujua busara yako ilipoishia, Mwenyezi Mungu akusamehe na akubariki😊 na tusi lako haliwezi kubadirisha Ukweli kuwa Shetani na majini walisilimu wakawa Waislamu Soma vitabu vya khadith
PADRI KUUWA ALBINO KISA MALI WATANZANIA walaani
24:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 811
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 21 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,3 МЛН
WASHIRIKINA WAJAA MAKANISANI NA MISIKITINI
34:26
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 481
Mama anayedai ametumwa na Yesu apambana na sheikh Hassan kariuki
39:12
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 677 М.
ISRAEL YAMALIZA PALESTINE WATOTO KULA MAJANI
33:18
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 504
MUNGU MKUBWA AFRICA YAANZA KUTIBU SUKARI
28:46
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 514
MUFTI ASHANGAZWA NA VUTENDO VYA WAISLAMU
40:49
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 597
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 21 МЛН