JUA SABABU ZA WA AFRICA KUWA MASKINI
25:36
MWAIPOPO AINGIA POLISI TENA
28:14
28 күн бұрын
WISLAMU SIO DINI YA KUFUGA MAJINI
32:39
HAKUNA MTUME ALIYEFUGA MAJINI
32:27
Пікірлер
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 15 сағат бұрын
Naam🙏
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 Күн бұрын
Hvi hawa makafr wanashida gan na cc jamani!? Jambo haliwahusu wanajileta kukoment upuuz tu
@mbarakamwande4071
@mbarakamwande4071 Күн бұрын
Mwenyezi mungu atujaalie kuwa miongoni mwa watu wema,
@mbarakamwande4071
@mbarakamwande4071 Күн бұрын
Shekhe mwaipopo upo sahihi, hao jamaa ni washirikina,
@noormohamed-tt4fg
@noormohamed-tt4fg 2 күн бұрын
Jitahidi uweke mipaka usimsogelee mwanamke Ambae ni ajinabia kwako ili uweke heshima kwenye kipindi chako
@kissabrown4349
@kissabrown4349 2 күн бұрын
Sio rahisa kukubali ila ukweli ndio huo mtake msitake yesu ndio njia ya uzima na milele. Yeye alirudi Kwa bb kituamdalia makao. Muhammad yy mwenyewe hamjuwi aendako na anasubiri hukumu km ss
@lisiakudowela17
@lisiakudowela17 3 күн бұрын
Wewe mkongo achana na uyo dada yeye kaokoka
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 3 күн бұрын
Takbiru mungu akusmamie namjalie Mola weetu awaongoe na wenginee
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 6 күн бұрын
Thank,s sheikh wetu fanya kazi kuiteteya dini yetu.
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 7 күн бұрын
Uyoo muongo
@furaihafuraiha2789
@furaihafuraiha2789 8 күн бұрын
Dawa zake nifeki Yani mwaipopo han hat ilimi
@user-ht2dl4ft6n
@user-ht2dl4ft6n 9 күн бұрын
Kiukweli mimi nimkristo ila umeongeya mambo makubwa sana yamenigusa
@LeonChoaji-n8z
@LeonChoaji-n8z 9 күн бұрын
Zaburi 23:1-6 [1]BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. [2]Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. [3]Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. [4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. [5]Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. [6]Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele. Mwaipopo, pole kwa kufuata dini ilioanzishwa!
@HalifazuberiAwadhi
@HalifazuberiAwadhi 10 күн бұрын
Mashallah mashallah mashallah
@valentinedimoso987
@valentinedimoso987 10 күн бұрын
Sasa baada ya kusikia mambo yanayo muhusu mwalimu mwenzio ungemtafuta mzungumze kabla ya kumtangaza vibaya hapo naona unagwaya gwaya
@kenethmwangoka981
@kenethmwangoka981 11 күн бұрын
issa wa qurani ni mtu wa kufikirika hajawahi kuwepo duniani
@joramsengi9123
@joramsengi9123 11 күн бұрын
Halafu Yesu aingie kanisa gani wakati yeye ndiye Mwanzilishi wa Kanisa ?😂😂😂 Waislam kama mnamwamini Mzee wa Upako kwanini msiende kusali kanisani kwake sasa
@joramsengi9123
@joramsengi9123 11 күн бұрын
Hakuna shirika kati ya Nuru na Giza. Yesu aliingia Sinagogi lakini hammalizii aliingia kufanyaje ? Unaweza taja mambo matatu aliyoyafanya ? . Na Kama Usilam ulikuwepo wakati wa Yesu waislam walikuwa wanatumia kitabu gani kujifunza ?
@adammjomba5814
@adammjomba5814 12 күн бұрын
Huyo sio mchungaji Shekhe Mwaipopo wewe NI msomi bado hujui mchungaji na muumini wa dini ya kikiristo?? Kujua kusoma bibilia sio uchungaji , Mimi NI mkristo kwa mama na BABA halafu wote wameaga dunia sitaki kuwachokoza Mimi hautasimama na Ukiristo mwanzo mwisho Nina mpenda YESU alie hai ( YESU Kristo NI yule yule jana na Leo na hata milele na milele ,
@SimonKefa-lz1kd
@SimonKefa-lz1kd 12 күн бұрын
Kwa badili umeona, mashehe kulawiti matoto wa madrasa huoni,
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 14 күн бұрын
Tatizo lenu waislam mnapigania dini, mko tayar kufa kufia uislam, akat wakristo tunapambania kupata wokovu wa dhambi! Mungu hana dini
@IsmailYussuf-km5nl
@IsmailYussuf-km5nl 15 күн бұрын
Dr.Mwaipopo,hivi Dr.Sule yupo sawa.Mbona anavuruga UISILAMU??
@IsmailYussuf-km5nl
@IsmailYussuf-km5nl 15 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo.We like you very much for telling the truth Because you don't fear anymore except Allah.We Love you very much .(Ismail Yussuf Abdi Bileh).From Somaliland Hargeisa. I f you can remember me.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 15 күн бұрын
Mzee wa Upako haleluyaaaa😂😂😂
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 15 күн бұрын
😂😂😂
@margaretnadzuwa
@margaretnadzuwa 15 күн бұрын
Sasa mbona ukristo unawauma hivi
@amilyabdu1563
@amilyabdu1563 16 күн бұрын
Allah Huma Amina
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 16 күн бұрын
safi sana mze wa upako karibu kwenye dini yahaki ya uwislam
@user-bp5pq9to9e
@user-bp5pq9to9e 16 күн бұрын
YESU KRISTO akuokoe na uwe miongoni mwa wanaokwenda mbinguni baada ya kufa!Mwamini BWANA YESU KRISTO akuokoe na uwe na uzima tele ktk siku za maisha Yako!ni Mimi Mwl CHRISTOPHER JACKSON SAMBAA kutoka SINGIDA tena Kijiji Cha Merya
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 16 күн бұрын
mashaallhu kweri
@VenanceKotta-c5h
@VenanceKotta-c5h 16 күн бұрын
Wewe ni Kenge nilogebasi
@VenanceKotta-c5h
@VenanceKotta-c5h 16 күн бұрын
Mwaippopoachaukenhe
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 16 күн бұрын
Shukran Sheh Mwaipopo Allah akueke uzidi kutupa maarifa ya elimu
@user-rm8uw1qx5z
@user-rm8uw1qx5z 16 күн бұрын
Huyu mtu sijawahi kumuuelewa sijui kalewa mbona macho mekundu
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 16 күн бұрын
Uislam unapotoshwa na Waislam wenyewe
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 17 күн бұрын
Halafu Mzee wa upako na Mwaipopo ni ndugu sasa sijui hapa wana stage show nini?
@husseinSadick-kz9iu
@husseinSadick-kz9iu 17 күн бұрын
😂😂😂
@IsmailYussuf-km5nl
@IsmailYussuf-km5nl 17 күн бұрын
Aslm Alykym.Kama unaweza kunikumbuka.Mi niko Hargeisa Somaliland.Huyu Dr.Sule,having mbonana mnamuacha anachufua DINI?Hebu mueleweshini.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 17 күн бұрын
Mzee wa Upako halibomoi kanisa wewe, Muhammad mwenyewe alishindwa kulibomoa mpaka akafa, mzee wa upako ataliweza wapi? Wewe ni kama fisi tu mzee wa mizoga, unasubiri hoja za wengine upate cha kuongea. Mzee wa mkutano mkubwa, mkutano mkubwa lini kwanza?😂😂😂😂
@jamalyathuman9895
@jamalyathuman9895 18 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo,swali langu,apo askofu kasema Zaman kulikuwa na sinagogi ambayo ndio msikiti wa wayahudi na wanafunzi walikua wakisoma tourati enzi zake waislam wanasoma Qur'an swali langu wakati yesu yupo Qur'an ilikuwa ishaashushwa?
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g 18 күн бұрын
jamani we shehe mwai hadi raha na raha tena, kha kumbe hadi wao wameshindwa kuvumilia na mke 1 ndo ukitaka kujua kwamba ukristo sio dini sahihi kutoka kwa mungu.
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 18 күн бұрын
KUNA WATU HUWA WANA TABIA YA KULETA UDINI KWENYE COMMENT SECTION, NATAKA NIWAAMBIE TATIZO LIKO KWA WATU! WATU WA DINI ZOTE WANA MADHAIFU YAO, KILA DINI INA WATU WENYE MATATIZO! USIHANGAIKE NA MADHAIFU YA MTU UTALETA SHIDA, CHUKUA MAZURI YAKE NA KAMA HAUWEZI KUMSAIDIA KWENYE MADHAIFU YAKE MUACHE NAYO MUOMBEE MUNGU AMSAIDIE SIYO KUBAGUANA NI TATIZO HILO! MARUMBANO YA KIDINI HUWA YANALETEA WATU UMASKINI MAANA WATU WANATUMIA MUDA MWINGI KUSHINDANA KIPUMBAVU, ANGALIA WATU WENGI WANAOBISHANA MAMBO YA UDINI NI MASKINI, UKWELI NDIO HUO! VIONGOZI WA DINI WENGI WAMEFANIKIWA SO WAHIMIZE WATU KUFANYA KAZI WATOKE KWENYE UMASKINI Haina haja ya kuingilia imani ya mtu aliyeamua yeye awe wapi, wapo watu wa dini zote wanaohama kila siku kila mtu anaenda anapotaka, wengine wanahama kwa kuoana mmoja anahamia kwa mwenzake wa dini yoyote na yule mwenye dini husika hufurahi! IMANI ipo kuwaelekeza wanaoiamini kuelekea huko wanakokuamini wao, wako sahihi au hawako sahihi siyo suala lako, kaa kwenye imani yako. Imani ni suala binafsi la mtu na anachoamini. Mtu akipika makande nyumbani kwake kila siku usimuingilie maana siyo kwako na wewe kale migebuka yako kwako. Litabia la mtu ni lake yeye huwa halihusiani na kabila lake wala imani yake, kemea wanaoharibu jamii kwa ujumla wao bila ku spot watu utawagawa. Kila mtu abaki na imani yake na kila mtu aheshimu imani ya mwingine , achana na matendo ya mtu heshimu imani yake. Huu ni upagani wa zamani unaoleta mashindano ya kidini ambayo yatapanda chuki na kugawa watu kwa kutafuta attention za kipumbavu. Penye mabishano huwa hakuna faida ni mafarakano ya kijinga na mauzezeta. Kitu chochote kinacholeta taharuki ya kiitikadi ni cha kupingwa na kupuuzwa maana kinawagawa watu wakati watu wa imani zote wanashirikiana kwenye mambo ya kijamii/, kiuchumi: Elimu, biashara(sokoni/mnadani/dukani nk),hospitali, migahawani, hotelini na kwenye maeneo mengine. Badala kuanza kuchambua imani ya mtu mwingine tumia muda wako kujiimarisha kwenye imani yako. Usijichoshe kuingilia imani ya mtu yeyote utasumbuka deal na imani yako huku ukishirikiana na watu wote kwenye mambo ya jumla tu yanayowaunganisha kiutendaji i.e shughuli za kijamii na kiuchumi. IYKYK ❗

@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 18 күн бұрын
Huyu na mchungani wake wote hakuna wanachoelewa kuhusu biblia
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 18 күн бұрын
Allah akujalie wewe pamoja na sis
@justusngonyani165
@justusngonyani165 19 күн бұрын
Acheni kufikiri kibinadamu
@justusngonyani165
@justusngonyani165 19 күн бұрын
Na wew unamtetea KWA maslahi ya nani kama sio unafiki.Mzee wa upako ni mtumishi wa nani?
@justusngonyani165
@justusngonyani165 19 күн бұрын
Anabomoaje kanisa? Ni kiongozi wa wapi? Kanisa ni imara hivi kiasi haliwezi kubomolewa.Kama Yesu si Mungu,ni nani SASA kadiri ya Mzee wa upako?
@elishampoki8751
@elishampoki8751 19 күн бұрын
Mfumo wa Dini ni mfumo wa pepo la uongo , kalibu Dini zote Mungu amebaki na injili kwa mataifa yote ,na mapenzi ya Mungu mataifa yote watu wakabila zote na lugha zote anataka wawe wanafunzi wake,. mitume wa Yesu walitoka kwenda kuhubili injili ya ukombozi kwa mataifa yote, Hawakukaa kwenye kimvuli cha mathehebu na Dini ,tena ishara na miujiza ya kuponya wagonjwa ilifwatana nao , ukichunguza tasisii za kidini waumina wao ndiyo waliojaa kwenye maosipitari ya selikali za watu binasfi wanateseka Hawana wa kuwaponya wanasubiliwa kufa na wakuu wadini wawazike na kuwaombolezea ,na kuwatolea ushuhuda kuwa mumini wetu alikuwa mwaminifu wa kutoa zaka na sadaka wakijua kabisa kuwa ajaenda mbiguni kaenda kuzimu , Jamani mwenye haki mmoja akifa anaenda peponi Wenye thambi elfu moja waliodanganywa na roho ya uongo wanenda kuzimu ,Mungu inamsikitisha sanaaaa
@user-fm5md9xn5g
@user-fm5md9xn5g 19 күн бұрын
Hivi na sisi tukianza kuchambua misikiti mbona nchi hii kitanuka
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 18 күн бұрын
Chambua kama unauwezo. Uislam umenyooka kuliko ruler