ASKOFU BENDELA AFUNGUKA MAZITO "KUMPOTEZA KIMARO NI KUPOTEZA MAMILIONI" AMUOMBEA MSAMAHA

  Рет қаралды 36,569

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Жыл бұрын

ASKOFU BENDELA AFUNGUKA MAZITO "KUMPOTEZA KIMARO NI KUPOTEZA MAMILIONI" AMUOMBEA MSAMAHA
Askofu wa kanisa la Ufunuo lililopo Kimara jijini Dar es salaamu Askofu Paul Bendera amemuombea Msamaha Mchungaji DKT Eliona Kimaro wa kanisa la KKKT Kijitonyama ili apunguziwe Muda wa adhabu yake.
Katika Maongezi yake Askofu Bendera amesema kuwa Kumpoteza Mtu mwenye elimu Kama Kimaro kwenye ulimwengu wa Utumishi wa Mungu ni sawa na Kupoteza Mamilioni ya watu.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 199
@judithkabyazi1471
@judithkabyazi1471 Жыл бұрын
JAMAN KANISA TUKUBALI UKWELI KWANZA UAMINIFU WETU,UNAANZIA KUCHELEWA IBADANI NALO HATULIONI? WENZETU MDA UKIFIKA MTU ANAFUNGA DUKA ANAENDA KWENYE SWALA,TUKUBALI UKWELI JAMAN?
@niceayuma7256
@niceayuma7256 Жыл бұрын
Asante mchungaji Kwa maelezo yako
@rahabuibrahim5324
@rahabuibrahim5324 Жыл бұрын
Askofu jembeee wisdom imejaaa happy hekima mtupuu
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 Жыл бұрын
Wachungaji igeni mwenendo wa huyu askofu maana haya ndiyo maneno ya kichungaji! tuache kuingiza siasa kwenye neno la Mungu! Mungu azidi kukupa hekima nyingi zaidi!
@graceshayo2280
@graceshayo2280 Жыл бұрын
Ni kweli mch kmaro anaandaliwa na Mungu ktk nafasi kubwa hivyo hayo ni mapito ya kutengeneza ushuhuda,
@reginamassawe6998
@reginamassawe6998 Жыл бұрын
Umenena vzr Baba yetu Nabii Bendera....Jembe la ufunuo
@anglestinailungu9252
@anglestinailungu9252 Жыл бұрын
Nimekukubali baba Askofu Kwa hekima uliyoitumia Mungu akubariki sanaà
@georgenkaya905
@georgenkaya905 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na maelezo ya Askofu na ushauri wake kwa pande zote Mungu ambariki
@maryombenilyimo4325
@maryombenilyimo4325 Жыл бұрын
Mheshimiwa baba Askofu Bendela,, ubarikiwe na hekima ,Mungu amekupa
@davidideniss7808
@davidideniss7808 Жыл бұрын
Ww mchungaji uko vizuri unaofu ya mng
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wewe ni mpatanishi ni mwalimu katika kristo
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Жыл бұрын
Huyu Bishop Ana busara Sana,ni makini Sana,anachagua maneno vzr,anaelewa Adrienne ni kubwa.
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Hii ni jaribu wakristo nawashauri tuombe Mungu atuvushe kwa hili adui ameandaa pigo 😭😭
@sibilinaawary9581
@sibilinaawary9581 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa hekima yako Baba 🙏
@majaliwakulanga3806
@majaliwakulanga3806 Жыл бұрын
Bendera uko juu ushauri nimependa Mungu alibariki
@hellenmachibya2681
@hellenmachibya2681 Жыл бұрын
Ushauri mzuri mtumishi wa mungu,,Hilo ni pito la mch kimaro ili aimarike zaidi,,washarika muda huu ni wakati wa kumuombea saaana,,ili jaribu lipite
@jenithajuvenary
@jenithajuvenary Жыл бұрын
Fully wisdom of God be blessed 🙏
@rubenkategere3348
@rubenkategere3348 Жыл бұрын
Huyu Baba nimemuelewa sanaaaaa Baba Mwenyezi Mungu akubariki umeongea point jaman wana KKKT tuendelee kumuombea mchungaji wetu dkt Eliona Kimaro Mwenyezi Mungu ampe moyo wa subra haya yanapita tu ni sehemu ya Maisha 🙌🙌🙏🏼🙏🏼
@solsimaniakanam7843
@solsimaniakanam7843 Жыл бұрын
Ameen hakiamenena
@karenmchomvu3300
@karenmchomvu3300 Жыл бұрын
This is what called wisdom be blessed prophet bendera
@attujohnson6605
@attujohnson6605 Жыл бұрын
Kwakweli umejibu vizuri sana mungu akubariki sana.
@kentlubinda729
@kentlubinda729 Жыл бұрын
Asante asikofu kwa majibu yako mungu akubariki
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Watanzania acha kuchocheya, mdomo bila hakili, Big up askofu
@miriamalute1540
@miriamalute1540 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Askofu na Mungu wa mbinguni akutangulieee
@marcelinamshana1161
@marcelinamshana1161 Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu aliye juu Ushauri na maneno ya askifu huyu juuu ya Mch Kimaro yamenibariki ma Mungu wetu ktk Jina la Yesu ambariki sana
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 Жыл бұрын
Umeongea vizuri mchungaji ubarikiwe sana Mchungaji kimario ni chachu kwa walio wengi mimi sioni kosa lake kuhusu vijana na makanisa pia mtazamo wake ...siku zote msema kweli huwa wakubwa wanachukia
@peninamashala78
@peninamashala78 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa hekima yako. Umeongea vizuri sana
@josephineqamunga3482
@josephineqamunga3482 Жыл бұрын
Hungera Sana Baba kwa Busara ambayo mungu amekujali wanadamu tunakosea lakini siyo kushabikia bali kutafuta suluhu
@godfreychuwa7271
@godfreychuwa7271 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Siyo wakristo wote ni waizi umekosea hapo Kwa mf ukienda police kuchukua data ndo utajua na km woote siyo waaminifu kwanini yeye ni mkristo? Kakosea sana sema asingehukumiwa hivyo Kila mtu anakosea mngemwita mkamweka mezani akahojiwa maana mdomo hutelenza sisi sote ni wadhambi ndiyo maana tunaomba Toba Kila ck
@kayugajuma7878
@kayugajuma7878 Жыл бұрын
Yani umeongea kama wanaume kumi. Mungu akubariki umeongea vizuri sana
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 Жыл бұрын
Endeleeni kumpa kichwa ili atafutwe kutukuzwa n a wanadamu badala ya wanadamu kumtukuza Mwenyezi MUNGU
@naomibildad509
@naomibildad509 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi. Hakika umeongea maneno ya hekima mno. Huu ndio ukristo tuwe wapatanishi na sii wachochezi. Umekuwa mfano mzuri sana wa kuigwa ili jina la Mungu lizidi kuinuliwa.
@olivaerasto6669
@olivaerasto6669 Жыл бұрын
Asante Kwa hekima zako.Mungu akubaliki.
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 Жыл бұрын
😭😭ur the best
@florencearbogast3363
@florencearbogast3363 Жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa na kuinuliwa na Mungu aliye juu Kwa Mamlaka ya Yesu Kristo aliye Hai Kwa maneno ya Hekima uliyoyazungumza.Amani na Hekima itawale pande zote,Amen
@farajaamos
@farajaamos Жыл бұрын
Sina la kusema naomba Mungu akuzidishie maarifa yako umenitia moyo mim m kkkt
@elizabethmgimba
@elizabethmgimba Жыл бұрын
Mungu atupe neema
@mosesthindwa9212
@mosesthindwa9212 Жыл бұрын
Askofu nimekufatilia zaidi na ndo nimejua xwara la kimaro,ila kwa kifupi nimekupongeza kwa busara ulioongea,tuombe neema ya mungu mchungaji arudi ila kwa kifupi hatutokwenda kwa itikadi kumuona Muumba wetu bali katika kweli, na kweli ipo rohoni Mungu atusaidie kujua itikadi na kweli ya Mungu,tuombe Mungu atupe hekima ya kuona kweli na sikusimama katika itikadi Kristo yesu alikuja kufundisha njia ya Mungu kwa wanadamu pia Mtume Mhamadi amefanya hicho,ila itikadi ya mwarabu na wazungu ndo zimetufanya hivyo ila nimemsikia mchungaji na co mbaya hata si tukawafundisha watu wawe waaminifu kwa Mungu sio dhambi kwa kasisi kuto mfano watu fulani ni zaidi kuliko wengine ni vema kujifunza ili tuwapeleke kwa mungu na sio kubaki katika itikadi .nimekupenda baba kwa majibu yako ila umesema askofu malasus upo nae kwa karibu basi ni vema ukakaa jirani na askofu mwenzio wakalimaliza hili kwani dunia ya sasa yapenda ukweli zaidi kuliko itikadi
@simonmollel2727
@simonmollel2727 Жыл бұрын
Taiga la Mungu Mtumishi Kimaro maneno hayo yalimponyoka tu hakukusudia. Najuae muda huu kwa kuwa ni mtu wa kirohoe anainama mbele za Baba Mungu nirehemu. Tusshangae kuwa sheria imekuwepo kwa sababu kosa limekiwepo. Jela imekuwepo kwa sababu wakosaji wapo Mchg Kimaro amekosa kama mwanadamu. Kuna somo tulufundishwa lenye kichwa kinachoseama SAMEHE KISICHOSAMEKA. Baba zangu wa Kiroho ikiwa kimaro atatubu.asamehewe na asikumbushwe dhambi yake tena. Mungu awape hekima sana msimwangalie kimaro tu angalieni na roho alizokuwa anachunga. Ila kmaro nakusihi mimi kama mjoli wa Bwnae shuka utakuwa umempendeza Mungu na wanadamu.
@amaninyekele5002
@amaninyekele5002 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Bishop kwa hekima.
@lothisrael927
@lothisrael927 Жыл бұрын
Nikupongeze sana Bishop umeonyesha ukomavu mkubwa wa akili piaMungu amekupa uwezo mkubwa wa kuonyesha njia hoja nzito zenye mashiko Barikiwa sana
@eliwajamgori2299
@eliwajamgori2299 Жыл бұрын
MUNGU akubariki Kwa hekima zako baba Askofu Bendela
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Жыл бұрын
Kutii mamlaka msitumie kama fimbo kwa wachungaji.
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 Жыл бұрын
Ur Soo Wise Papa
@eunicemathias8574
@eunicemathias8574 Жыл бұрын
Huyu askofu mungu ambariki sana mtumishi bendera ubarikiwe sana
@gracekisaka8461
@gracekisaka8461 Жыл бұрын
Ameeen mtumishii. Yesu aliwaambia wale watu.waliompelekea mwanamke aliyefumaniwa.Anayejiona hana dhambi na awe wal kwanza kumrushia mawe.mwishoni walitoweka wote.Mungu akubariki umeongea ya kujenga..Tulioumizwa ni wengi na sio washarika wa Kijitonyama..On line nje ya nchi tangu Korona makanisa hayajakaa sawa tunaotegemea madhabahu Kama hizo...WWP.MAOMBI YA ON LINE..UGHAIBUNI HUKU ...UBARIKIWE BABA ASKOFU
@mafutayabwanageography8187
@mafutayabwanageography8187 Жыл бұрын
Amina Baba
@roseyohana3500
@roseyohana3500 Жыл бұрын
Asante sana asante sana leo nimepata fallaja
@westmanmoses541
@westmanmoses541 Жыл бұрын
Kusahihisha ni ngumu sana.
@beatricemessay6210
@beatricemessay6210 Жыл бұрын
Well Said"PAPA P Paul Bendera
@marthamungure1777
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Hekima ya Mungu
@vumiliamwankingi4932
@vumiliamwankingi4932 Жыл бұрын
Barikiwa saana mchungaji kwa hekima yako
@meshackshirima6047
@meshackshirima6047 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana , endelea kuwa na hekima hiyo hiyo
@christinastephano951
@christinastephano951 Жыл бұрын
Mhuu mi napita tu Iko siku ya Mungu itafika
@ahavahtelevision
@ahavahtelevision Жыл бұрын
Unasitahili kuwa Asikofu wa kanisa kubwa kwa Hekima zako. by Mchungaji Jeremia mosi Kahama
@sayunikihunrwa4949
@sayunikihunrwa4949 Жыл бұрын
Mungu tusaidie , tusaidie baba yetu kuhukumu sio Kazi yetu bwana .99.9 isifutwe na kachachu hako kadogo, kimaro yesu akutunze baba .
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Hongera sana Askofu nimekuelewa
@siimaezra9188
@siimaezra9188 Жыл бұрын
Hongera sana kwa maneno ya hekima Mtumishi. Hii ndio Hekima ya kimungu .
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Sijafatilia sana ktk mitandao lakini wamesema sana..mh
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Kimaro 1 ni wachungaji 2000 wa KKKT hahaha
@prijoseph4665
@prijoseph4665 Жыл бұрын
Wise
@noeleliaskashilila4612
@noeleliaskashilila4612 Жыл бұрын
Nimekubali hekima zako Mtumishi wa mungu
@holymakere
@holymakere Жыл бұрын
Umenena vyema Baba MUNGU akubarki Sana Mimi mwenyewe nampendaa yulee Baba Yangu Mchungaji Kimaro, MUNGU anamtumia vyema Sana Jaman Mimi oooooh yaan sjuiiiii nsemejee nampendaa mno💕 MUNGU amtangulie akauponde Moyo Wake uko Alpo piaa watu wanaomchafua Mchungaji na comment m ya waache yule n mpakwa mafuta oooooh tuwe making Hata waandashi wa abari muache uchochez
@christineamukoye9969
@christineamukoye9969 Жыл бұрын
You talk like a true man of GOD may GOD bless you.
@ebenezermachange1073
@ebenezermachange1073 Жыл бұрын
Amen.hakika ni maneno ya kweli na ya hekima
@florabenard5504
@florabenard5504 Жыл бұрын
Askofu point moja tu tii mamlaka iliyo kuu. Nb mapungufu yenu msitatulie kwenye mitandao
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Wanatafuta Noti
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Kimaro ndiye alichemsha asingeleta kesi yake mtandaoni hapo ndo nilimdharau ,Acha afundishwe adabu,Waongeze na siku ziwe hata miezi 5 ,Hafai
@florabenard5504
@florabenard5504 Жыл бұрын
@@trophywilson7211 Nikweli mchungaji kimaro amekosea sana tu lkn kanisa lipewe heshima jamani mambo kama haya kwa wakatoliki huwezi kupata nafasi ya kuhoji wala kujuwa nini kinaendelea mtu adhibiwa kimyakimya hakuna muuni yoyote kuhoji kanisa libaki kwenye hali ya utulivu
@eunicemathias8574
@eunicemathias8574 Жыл бұрын
Nikweli waislam hasa wale walioshika uislaam kweli niwaaminifu sana mchungaji hana kosa kusema hilo hata mimi nimeliona hilo ktk kazi zangu ukikopesha mwisilam amini utalipwa lakini ukikopesha mkristo mwenzangu sahau kulipwa hilo nila kweli
@samwelhassan2236
@samwelhassan2236 Жыл бұрын
Ameubili mengi mazuri,lakini ahikuwa habari ya nchi,lkn kwa maubili mamoja imezagaa nchi nzima"watanzania sisi runatafuta mabaya,sio mazuri.
@skyquakeinteriorsandfurnit5614
@skyquakeinteriorsandfurnit5614 Жыл бұрын
Kumpoteza mchungaji Kimaro ni kuwapoteza kondoo.biblia inasema adui atampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.thats what exactly is happening in kijitonyama!! Standing in praying for pastor Kimaro
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Amina Amina Amina mtumishi.
@meshackshirima6047
@meshackshirima6047 Жыл бұрын
Nimekupenda sana bureeeee
@195941233
@195941233 Жыл бұрын
Hiyo kauli kwamba simjui lakini huwa nasikiliza mahubiri yake! Hiyo peke yake inatosha. Mch. Dr Kimaro alihamishwa akitokea KKKT Kariakoo. Na alihudumu kwa miaka 10 na alihudumu vizuri.
@betharisowe4586
@betharisowe4586 Жыл бұрын
Hata hivyo bado mnayumbisha watu kiimani hayo mambo ni ya kiroho wayamalize kiroho sio kwenye mitandao bana.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Kimaro kaleta hadharani acha iwe hadharani aliyataka mwenyewe,Aliitwa kwa siri angeondoka kwa siri
@getrudaroman8941
@getrudaroman8941 Жыл бұрын
Amen! Amen!
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Жыл бұрын
Bendera uko sawa na upendo wakweli.
@deokessy6596
@deokessy6596 Жыл бұрын
GREAT BISHOP
@kiboshokibosh9372
@kiboshokibosh9372 Жыл бұрын
Mmsamehe kama Mungu alivyomsamehe Daudi
@danielkamendu2153
@danielkamendu2153 Жыл бұрын
Jamani tukiambiwa ukweli tusikasirike
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ndo hivyo kasimamishwa mvumilie
@jennifaonesmo602
@jennifaonesmo602 Жыл бұрын
Mwambie Askofu mahasusa hatiii mamlaka. Maana asipoweza kutii ni shida angemuita kimaro Yani moyo unauma watu hawaend kanisan kwajili ya kimaro
@rosesilayo5659
@rosesilayo5659 Жыл бұрын
Majibu yenye hekima na busara, Uzidi kubarikiwa baba yetu Ask. Paulo Bendera
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Asimuliaye mvua imemnyea. Swala nikufuatilia maadili ya vijana wetu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Hayo ni kama ya dr mwaka yatakwisha tu na ukweli utabaki palepale
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 Жыл бұрын
Wakristo nimatapeli sana sana manabii wanauza maji mafuta uapeli mtupu huyo mwenyewe wamwonaje huyo hapoo mwangalie alivyo mh mmm mungu atusaidie tu
@emmakifimbo1049
@emmakifimbo1049 Жыл бұрын
Kuma la mama yako
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Wale siyo wakristo ni kama boko haramu tu au hujui boko haramu??kwamba ndo Boko haramu imewakilisha waislamu wote??au Alahabab ndo waislamu wote??basi kama hivyo nawachukia waislamu wote kuanzia leo maana Nigeria wanasumbua nchi nzima mashetani wa Boko haramu
@luciusmlowe1248
@luciusmlowe1248 Жыл бұрын
askofu, Bendela huu ndio ukristo "MSAMAHA" mwanadamu yupi hakosei katika ulimwengu huu.....NA SOTE TUKIENDEE KITI CHA BWANA CHA REHEMA.
@danielmgomo717
@danielmgomo717 Жыл бұрын
Excellent advice from Bishop Bendela, I hope the authority concerned with the matter will handle it carefully to avoid further misunderstanding.
@mwangabora2335
@mwangabora2335 Жыл бұрын
Rekebisha kauli yako hakuna mtumishi mkubwa kwa MUNGU
@williammchome9167
@williammchome9167 Жыл бұрын
Umenene vema baba
@glorymushi1135
@glorymushi1135 Жыл бұрын
Ameen
@sayunikihunrwa4949
@sayunikihunrwa4949 Жыл бұрын
Kabisaaa
@rebeccakiloba
@rebeccakiloba Жыл бұрын
Maneno mazuri
@estherdominic1673
@estherdominic1673 Жыл бұрын
Hasante Baba yangu huko vizuri Kwa busara na hekima mungu azidi kukutumia
@amenmushi5945
@amenmushi5945 Жыл бұрын
Asante sana Mch Bender's kweli wamsamehe ,Hao viongozi kama wanampenda Mungu hiyo siyo Nazi kisiasa ni ya Mungu,nao wamefanya makosa
@amenmushi5945
@amenmushi5945 Жыл бұрын
Asante baba Mch Bendera kweli wamsamehe
@kemilembekazimoto
@kemilembekazimoto Жыл бұрын
Apo umenena haku specify mtu,ni maneno ya kawaida waubiri wengi wanayatumia,ila kumbuka hajamega kanisa kama kumfata wanamfara mwenyewe
@emanuelkilinga9196
@emanuelkilinga9196 Жыл бұрын
Nou ina we laad jiizaz cris niem me a beg unu bradda and sista fi taap aagyu wid unu wan aneda and plit op plit di choch inna grup
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 Жыл бұрын
Very good argument kuhusu source ya takwimu feki za dr feki wa KKKT, hiyo Phd alisoma lini wakati hatujamuona akiends shule kwa miaka yote tangu atoke kariakoo. Mtu anayepambana na likizo ya kikazi angewezaje kuachia ofisi kwa miaka 3 kama miezi miwili tu inamsumbua. Prosperity gospel imeingia KKKT
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Жыл бұрын
Punguza ujinga na Mihemko.
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 Жыл бұрын
@rosemary mwakitwange kumbe milembe inakuhusu wewe hauko sawa kiafya ya akili
@kemilembekazimoto
@kemilembekazimoto Жыл бұрын
Kama kuna kitu kingine nyuma ya pazia waseme, kosa moja halimfukuzi mke,mmemwonya mara ngapi labda mkaamua kumsimamisha? Umenena nimekuona wa maana sana na wewe Mungu akukumbuke,mch. Kimaro hana kosa kabisaaaaaaaaaaaa,mchana kweupe
@zithalazaro6288
@zithalazaro6288 Жыл бұрын
Kama kweli mnajali kondoo kwanini mkatishe SEMINA?
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Good majibu
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Uko vinzuri sana wewe muchungaji wewe ni WA kuigwa maneno unayoongea una hekima busara na utii hongera sana
@tumainisamwel2925
@tumainisamwel2925 Жыл бұрын
Mmmh haumfuatilii sana
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Lakini hajasimamishwa kapewa likizo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Yaani waTanzania ovyo
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Umeulizwa kuhusu semina iliyokuwa enaendelea pale sasa wewe unaongea nje ya swali
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Semina siyo mbingu,Uongozi ukigoma basi
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji mgumubsana kuelewa...kila siku swali hilohilo ina maana hujapata jibu
@mahumbijilala1568
@mahumbijilala1568 Жыл бұрын
Muulize yeye ana hata mtumishi mmoja ambaye anaweza kumuhamisha bila manung'uniko??
@martinsimon7689
@martinsimon7689 Жыл бұрын
Ni kheri kubaki na wachungaji wachache wanaohubiri neno la Kristo kuliko kuwa na wanafiki kama Kimaro.Takwimu kazipata wp?,aondoke akasilimu ama atubu hadharani.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
UMEWAHI KUWA MWANAFUNZI WA KIMARO HADI UKAUONA UNAFIKI ALIONAO? HIVI ZILE AMRI KUMI NI NANI AMEWEZA KUZITENDA? JE SI KWELI KWAMBA HATUTENDI KAMA NENO LA MUNGU? USIWAOGOPE WATU MWOGOPE MUNGU.
@martinsimon7689
@martinsimon7689 Жыл бұрын
@@dicksonkilupa2258 Nahitaji kuwa mwanafunzi wa neno la Yesu Kristo na c wa mhubiri fulani.C wote watajao jina lake Mwenyenzi Mungu watakaorithi ufalme wake.
@ndennkya9554
@ndennkya9554 Жыл бұрын
We ndo mnafiki na inaonekana wewe ndo pilato msaliti mkubwa wewe
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
@@martinsimon7689 SASA WEWE PIA UNA SHIDA MAHALI. HUYO YESU WA KUKUFUNDISHA BILA KUMTUMIA MTU KWA SASA PIA NI NENO JIPYA, LABDA UTUSAIDIE TUSIO ELEWA JINSI YA KUMPATA YESU USO KWA USO AKATUFUNDISHA ASITUWEKE CHINI YA MTU, UNITAFSIRI HIVI:SIPINGI KUWA MWANAFUNZI WA YESU BALI KUWA MWANAFUNZI WA YESU PASIPO GAMALIE AU PAULO NK
@martinsimon7689
@martinsimon7689 Жыл бұрын
@@dicksonkilupa2258 Mwenyenzi Mungu hana mtumishi mmoja huwainua wengi ! nadhani ww ndio miongoni mwa vijana wa 'kikristo' msiokuwa waaminifu anaozungumzia Kimaro.Ww ni wa kuonewa huruma,imani inadhalilishwa ww unaunga upande mwingine.C mwende uko nyie mbuzi mliovaa ngozi ya kondoo?
REV. DR. ELIONA KIMARO: MAMA MCH. KIMARO AKITOA USHUHUDA WA MTOTO HUYU!
8:49
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 59 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 16 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3,6 МЛН
FULL INTERVIEW: Donald Trump takes questions from NABJ panel
35:47
ABC News
Рет қаралды 1,2 МЛН
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in Chicago
36:28
FOX 32 Chicago
Рет қаралды 385 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН