KIMENUKA ADC NI VITA YA DOYO NA HAMAD RASHIDI
25:50
Пікірлер
@eliabbanyikwa8716
@eliabbanyikwa8716 19 сағат бұрын
Kweli
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 19 сағат бұрын
Wote ni criminals.
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 19 сағат бұрын
Maagizo toka juu hata bashe tunamulaumu bure boss ni chura hana muda wa kuongea na vichura vidogo vidogo bahati yao angelikuwa mzee magu bashe angelikuwa ananyea debe
@agripinabukhala649
@agripinabukhala649 19 сағат бұрын
Mi ni mkenya ...vijana ni wasomi na wanaielewa hiyo bill..walio kuwa maandamano niuni uni ersity kando nakukosa ajira sir ...alafu serekali ni ya familia...na marafiki....inajitafutia wao tuu na damilia zao...wengine tutoe ushuru wa juuu....kila kitu...cha kijinga hali wao wana sherekea na familia
@joshuason557
@joshuason557 19 сағат бұрын
Uyu msee hajui kama presido ni Zakayo bado anaonea wuluma Uhuru 😂😂😂😂😂
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 20 сағат бұрын
Ccm wanamisuguwano na kama sio jeshi la police na majeshi yote ccm ingekuwa ishajisambaratisha ukiachia kushindwa misuguwano ya ccm jeshi la police ndio wasuluhishaji na wao wenyewe ndo ccm
@beinafuu6219
@beinafuu6219 20 сағат бұрын
Lakin mlisifia mno kua ndo huyu mkubq leo mnamkandia mtu wenu.kisa hayupo
@beinafuu6219
@beinafuu6219 20 сағат бұрын
Uchambuzi uqa ni kutokua kua upande.
@beinafuu6219
@beinafuu6219 20 сағат бұрын
Kwan wapinzan ni wazur wakiwa ccm au ndo wanaenda kunyamaza.bora wangebak huko huko.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 20 сағат бұрын
Musukuma na Lusinde walijuwa waterezi wa haki. Kwa hili kuna mawili. Pengine kwa elimu yawo ndogo hawakuelewa. Ama kwa woga wa kutengwa, wanejiunga na wapigaji. Unampelekaje mbunge NEC mutetezi wa mali za umma unamwacha mpigaji. Kweli CCM kuna kazi.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 20 сағат бұрын
Tanzania hakuna kitu. Viongozi wetu wanajuwa wanaongoza wajinga. Wanatubulula wanavyotaka. Hili swala lingetokea Kenya, basi tungeona wengi Wanatowa hoja zawo. Tanzania kimya. Labuda ingekuwa ni mpira kati ya Simba na yanga. Aliyoyafanya Bashe ni wizi mkubwa wa waziwazi. Kwa kifupi Tanzania imetekwa na makatels wanaomusifia mama kumuziba masikio na macho, watanzania wanateseka bila ya sababu. Mpina baba umeonewa. Waliokuonea watawadanganya wasio elewa. Tunao elewa tunajuwa Bashe ametupiga , na sio peke yake.
@user-bj9ej7tt1k
@user-bj9ej7tt1k 20 сағат бұрын
Pina.ameonewa.kwa.kweri.na.wamemzaririsha.kwa.kuhararisha.mawaziri.waederee.kuiba.pesa.za.waripa.kondi.wanyonge.nawanamkwamisha.kupata.kura.zaurais.wateure..wake
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 20 сағат бұрын
Ilikuwa ni nchi gani iyo yenye upendo na sisi
@user-us4tk2tk3c
@user-us4tk2tk3c 20 сағат бұрын
Huna jipya. unatafuta tuu kiki. Hujui sheria. Bunge ni chombo kinachoendeshwa kw mujibu wa Kanuni za Bunge na kwazo ndizo alizohukumiwa nazo. Acha upotoshaji ndo maana unajikanyaga kanyagatu.
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 21 сағат бұрын
Mbaya zaidi Kiwango cha vitabu na jumbe za imani alizonazo nikiwa na Imani ni nyingi kabisa kwa nafasi yake kama mchungaji vitamfanya asinyae sanaaaa na amani yake kaiweka rehani kwa ubinfsi na uroho wa madaraka. Zawadi ya kuwasaliti watu kwa wingi wao ambao walikuamini na kukupigania na pengine kupoteza maisha au kuwa ukilema wa kudumu hutoka kwa aliyeumba mbingu na ardhi. Msigwa ajiandae kuipoke kwa mikono miwili maana si punde maana Mungu hajawahi kudhihakiwa ata Mara moja
@user-tn7ic2ky3i
@user-tn7ic2ky3i 21 сағат бұрын
Nitashangaa kuona mtu mwenye akili kumpingia kura mbunge wa ccm mwaka wa 2025 kwanza ssi wa tanzania kama tunajielewa tuwaonyeshe hao wa ccm uchaguzi huu wa mwezi wa 10
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze 21 сағат бұрын
Wewe usimshike askari ila askari akushike wewe akuonee akunyanyase azuie usipate haki awalinde wezi wa kula ni katiba kweli hii washauri wa raisi wana akili fedha zetu mifuko yetu ya hifadhi ingepukutika hivyo.mtumishi hapo na wewe mm! Nchi hii kiuharisia kuna mkono mkubwa wa mungu kwa maovu yanayotendeka katika nchi hii Mungu akiamua aruhusu machafuko yatatokea tu utulivu huu siyo kwa sababu ya umahiri wa viongozi bali ni kwa sababu ya Mungu kuendelea kuweka moyo wa uvumilivu kwa watawaliwa .nakumbuka mimi baada ya kuchoka kuvumilia maonezi ya hakimu,mkuu wa kituo cha polisi niliamua kutamka na kuwa tayari kwa lolote.ndugu kama hujawahi dhulumiwa haki yako huwezi kuja haya ninayo ongea ,true story majambazi walivamia nyumba na kubaka mama na watoto mbele ya baba .baba alifia mikononi mwa majambazi .nitafundisha haki alafu utaona kinachotokea kenya tanzania pia inakitafuta na ndugu zangu ni mungu anainusuru nchi hii kwa kuwaondoa wanaodhulumu waombaji endeleeni kuomba ili roho itendayo dhambi ndiyo ipate adhabu
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 22 сағат бұрын
Hiyo ndio sura halisi ya wanasiasa wa Tanzania na siwexi kumlaumu Msigwa bali anatukumbusha watanzania kuwa wanasiasa wetu wengi ni vigeugeu na huyu sio wa kwanza kuhama chadema,wapo akina Komu,Selasini, na wooote hao sababu zao zinafanana kuwa kuna ubadhirifu, ubinafsi,ubabe na udictator. Miaka ya nyuma ilikuw sio rahisi watu kutamka maneno mazito ya siri za ndani ya vyama vya siasa kama ilivyonkea sasa. Hilo kwenu chadema lazima mlifanyie kazi na acheni kumfuatilie Msigwa aubwale waliohama chama chenu na badala yake fuatilieni hoja zao kama ni ukweli au uwongo. Na mkumbuke kuwa kila chama kinapokea wanachama wa vyama vingine kwa sababu kama hizihizi. Jee ina maama vyama vinawanunua ? Basi tutakuwa tumekwisha. Membe,Lowasa, Kingunge,nk. woote hao mliwanunua?
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 22 сағат бұрын
Madai ya Escrow kipindi cha Lowasa waliischia kamati kuchunguza ni vipi hili limekaliwa kimya, halijafanyiwa uhalali badala yake wameamua kumpa adhabu Mh.Mpina. Ni sawa, lkn mnatengeneza kitu kibaya sana kama bunge, na litabaki kwenye kumbukumbu. The time will tell. Tumeona kinachoendelea Kenya.
@MonicaRaila-tn5rb
@MonicaRaila-tn5rb 22 сағат бұрын
Asante Sana mtani hata Mimi Nimeolewa mkoani kagera 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 22 сағат бұрын
👍👍👍👍✔️✔️✔️💯Una HAKI kutetea mwana mapinduzi WETU Luhaga Mpina. Ila mpeni salamu kasheku kuwa aaache chuki binafsi, ametoa maneno ya shombo, hafai KABISA.
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 20 сағат бұрын
Kwa kweli mbunge Msukuma ovyo,yaani badala kuwa pamoja na mtu wa kwao,badala yake yeye ndio anakuwa sinichi namba 1 kwa Mpina,Mimi wa singeweza kufanya kitu kama hicho,nikishindwa kumtetea wa kwetu,nakaa tu kimya ,
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 19 сағат бұрын
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 22 сағат бұрын
WAPIGA KURA WA TZ KAMA WATAENDELEA KUPIGIA KURA WATU WA AJABU KAMA HAWA, TAIFA LIMEZAMA
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 22 сағат бұрын
HAKUNA KAMATI MLEEE. NI KAJOPO KAAJABU KTK KUENDESHA MAMBO YAKITAIFA, TENA NI AIBU
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 22 сағат бұрын
Spika ni nani gharika inakuja
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 22 сағат бұрын
Tumeibiwa na kina bashe spika anateteya ujinga.
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 22 сағат бұрын
Damu ya Yesu itakubeba mpina machoz na damu ya etnzania ccm mwisho wenu umefika Mungu anashuka atawaangamiza km sodoma.
@PidasonNestory-tx6fl
@PidasonNestory-tx6fl 22 сағат бұрын
Acha kupotosha wakenya wanachokipigania kinajulikana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 22 сағат бұрын
Spika ni mbunge wa kuteuliwa, akachaguliwa kwa wingi wa kura za wabunge wa ccm, hatimaye akarudi kuendelea na uspika kwa ticket ya kuchaguliwa baada ya Ndugai kuhujumiwa. Bashe kadhalika ni mbunge wa Nzega aliyeteuliwa kuwa Waziri. Bashe kavunja sheria na kulidanganya bunge lakini hatujaona hatua yoyote ya spika wala ya serikali,kamati imetoa taarifa ya mahojiano na Mpina pekee Spika akapendekeza adhabu, wote wakaunga mkono kwa kashfa nyingi ambazo ni sawa na kuwakashifu hata wananchi, Bashe akasafishwa. Hapa kuna jambo la serikali na bunge kulea uovu na uongo, kwa kuukemea ukweli na uzalendo.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 19 сағат бұрын
Tanzania inaongozwa na wahuni. Kipeana sifa za uwongo huku watu wanaumia
@PidasonNestory-tx6fl
@PidasonNestory-tx6fl 22 сағат бұрын
Viongozi wa dini jitahidini kuwa watetezi wa haki msijifiche kwenye kutetea amani wakati amani ni tunda la haki popote palipo na vurugu ujue kuna haki imekiukwa.
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 22 сағат бұрын
Mpina usijali Mungu atakutetea hao wanaokutaabisha ,sijawah kuna mwenye haki ameachwa jitie nguvu wtnznia tuko nyuma yako
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 22 сағат бұрын
Mungu akiwa upnde wetu ,CCm watakiona cha moto
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 22 сағат бұрын
Huu ni uongo wa Hali ya juu unawezaje kuchepusha meli yenye oda ya Inchi nyingine wewe muliza maswali nyinyi Watanzania mwache ufinyu wa Akili
@MwanaHALISITV
@MwanaHALISITV 21 сағат бұрын
Fuatilia Mambo hii SI kwa Mujibu wa Mtangazaji Bali kwa Mujibu wa aliyeongea hapa Mtangazaji amenukuu Kutoka kwa Mmiliki wa Kiwanda
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 20 сағат бұрын
Mmmmh!... Oda ya nchi nyingine sisi tukaichukua ndio vigogo au mie nauliza.
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 22 сағат бұрын
Kijana Yupo Vzr Hila Angarie Asije Akatekwa Na Kwenda Kutupwa Mbugani Shida Ya Mchi Hii Ccm Imefanikiwa Kulindwa Na Majeshi Yetu Uinzi Yote Lakini Nasema Hipo Siku Mkuu wa Majeshi Mmoja Ataiondoa Ccm Ataitoa Madarakani Yani Atapindua Nchi Na Ndio Itakua Mwisho Wa Ccm
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 22 сағат бұрын
Kwa kweli Mpina kaonewa sanaaaa kuna siri sirini mtu akisemq ukweli hapendwi
@user-bq6jv2mh1e
@user-bq6jv2mh1e 22 сағат бұрын
Wameisha mwamba Rais Samia husiingilie mambo ya Kenya tunakuomba shughulika na mambo yenu mna makubwa zaidi .
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 22 сағат бұрын
Yombaga Mwanawane
@georgemahenge
@georgemahenge 23 сағат бұрын
Nchi ya uvumirivu siyo kisiwa cha amani
@georgemahenge
@georgemahenge 23 сағат бұрын
Upigaji mwingi.nawanautetea.nidiri ra spika
@kuyajr1lanyoru903
@kuyajr1lanyoru903 23 сағат бұрын
Huyu Msigwa Ni Mhuni
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana 23 сағат бұрын
Genz inakuja isubirie tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 22 сағат бұрын
Kwa Tanzania jambo la hilo la Kenya haliwezi kufanyika kamwe
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 20 сағат бұрын
Kwa nini lisifanyike ? Umejihakikishia wapi ? Na limekuwa approved na nani kuwa haliwezi kufanyiks ?
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana 23 сағат бұрын
Wewe mwandishi acha unafiki kwani tatizo lasukari limeisha? Toa unafiki wako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 22 сағат бұрын
Huyo mwandishi yuko kazini hana tatizo
@MwanaHALISITV
@MwanaHALISITV 21 сағат бұрын
😂😂
@amaliamapunda7178
@amaliamapunda7178 23 сағат бұрын
Mpeni anayejua kusoma vizuri.
@BossiLaizer
@BossiLaizer 23 сағат бұрын
Ni watanzania wote wazalendo sio Kanda ya ziwa tu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 23 сағат бұрын
ODER PAPER 🤔🤔🤔
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 23 сағат бұрын
Sasa ana madeni makubwa ambayo yanamsabishia njaa hilo atalimaliza kwa njia ya kununuliwa na chama tawala ili kupunguza shinikizo analowapelekea Ccm kwa kuwapumguzia umaarufu ambao wao.wamejijengea kwa wananchi wasiojua lolote
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 23 сағат бұрын
Mahakama iharakishe kesi Ili sisi wananchi tujue kulikoni Na sio maneno tu
@geey7893
@geey7893 19 сағат бұрын
Unategemea Mahakama itamtetea Mpina? Thubutuuu😊
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 23 сағат бұрын
Hapa ni kuungana viongozi wa upinzani na viongozi wa dini kuchukua hatua wanafunzi ktk shule mbali mbali kuishindikiza hii serekali kupata katiba mpiyia na tume huru ya uchaguzi ktk hii taifa hakuna njia nyingine uwoga ni.hatsri ktk taifa sisi ni shamba la ujinga kwao
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 23 сағат бұрын
Sisi ni shamba la wajinga ndio maana tumeshindwa kuchukua hatua ktk taifa letu Kila kitu malalamiko tuu hatuchukui hatua mpina anatetea haki ya watanzania wote sio ccm wala chadema Bado tuanaangalia tuu hatuchukui hatua hii lnatakiwa kuchukua hatua vyana vya upinzani viongozi wa dini na wananchi kuchukua hatua bado tunauowaga ktk taifa letu uwoga ktk taifa letu sisi ni shamba la wajinga
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 23 сағат бұрын
Tz tumelzka na uchumi wa chini katikati
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 23 сағат бұрын
Nimekuelew kaka mpina yuko damuni pangu