Рет қаралды 1,150
Askofu Jovitus Mwijage Askofu Jimbo Katoliki Bukoba, alipoongoza Misa takatifu ya kumuaga na kumuombea Mzee Domitian Rweshabura, Makamu Mwenyekiti Kigango cha Mt Charles Boromeo - Busimbe Parokia ya Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba.
Misa takatifu imeadhimishwa nyumbani kwa Mzee Domitian Rweshabura, Busimbe mjini Bukoba.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja