Пікірлер
@augustinoevarist6754
@augustinoevarist6754 Күн бұрын
Nasadiki kwa kanisa Moja, Takatifu katoriki la Mitume✍️ Hapa ndipo Nyumbani kwangu🙏
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Күн бұрын
Tumsifu yesu kristo
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 3 күн бұрын
Tunashukuru Baba Askofu basi tubadilishe haya mazingira na mapadre waongeze nguvu ktk kusaidia hili na watu wakae karibu na waamini
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 4 күн бұрын
Ni kweli, mapadre wengi hawawasaidii waamini,. Wao ni kusisitiza waamini wasiotoa michango hawapewi masakramenti. Waamini wana mahangahiko kweli
@NamalaPothino
@NamalaPothino 4 күн бұрын
Ahsante sana Fr , ubarikiwe sana , aisee! uko vizuri mno .
@user-ws3lr5ps4v
@user-ws3lr5ps4v 4 күн бұрын
Asante MUNGU kwa ajili ya mtumishi wako
@daviddeusdedith9922
@daviddeusdedith9922 4 күн бұрын
Hongera sana mdogo wetu kwa utume. Bila shaka ndugu zako wa Katatorwansi wanajivunia uwepo wako.
@ADERICKMUJUNI
@ADERICKMUJUNI 4 күн бұрын
Asante sana Baba Padre kwa Ujumbe mzuri
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 5 күн бұрын
Kanisa lijitafakari, liwekeze kwenye katekesi Waamini walio wengi wana mahangaiko. Mapadre, maaskofu na wengine watoe katekesi Waache. alichoita Papa clericalism
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 4 күн бұрын
Unaweza kumlazimisha punda kunywa maji? Kanisa limeshajenga katekesi yake iliyokamilika na linaitoa kila siku sasa wewe huoni umeamua kutoelewa unatangatanga kiimani. Kosa la nani?
@user-ub1xk6yz6l
@user-ub1xk6yz6l 5 күн бұрын
Hongera sana bab askofu
@josephlorri431
@josephlorri431 5 күн бұрын
Jimbo gani
@jovitusrugahenda7139
@jovitusrugahenda7139 5 күн бұрын
Asante baba Askofu kwa kuhimarisha imani.Baba Paroko huo msalaba ni wa kilutheri sio crucifix yetu wakatoliki😂
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 5 күн бұрын
Hongera sana baba askofu, maana ni hiyo hiyo ya kuchomekwa chomekwa maudhui ya kinyume chetu(catholic) 💪🏿💪🏿🙏🙏
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 5 күн бұрын
Catholic ni shule kuu ya ukweli na itabaki kuwa hivyo.💪🏿🙏🙏
@JoshuaJulius-jk7ct
@JoshuaJulius-jk7ct 5 күн бұрын
Asante sana baba.lakin paroko wa parokia ajitathimin kwa kanisa hili.
@KelvinConorard
@KelvinConorard 5 күн бұрын
Kun mazingira bado hali ni ngumu uko vigangoni
@fadhilishabani4368
@fadhilishabani4368 5 күн бұрын
kweli lipo local sanaa
@emmadora7848
@emmadora7848 5 күн бұрын
Anza wewe kuchangia ujenzi wa kanisa zuri sio unaropoka tu, hivi umezunguka nchi nzima hii ukaona hali ya watu ilivyo au?
@user-ub1xk6yz6l
@user-ub1xk6yz6l 5 күн бұрын
Paroko afanyeje sasa. anza mchango. Hongereni sana Kwa hatua hii. Kanisa ni watu.
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 2 күн бұрын
Asante Baba Askofu kutembelea vigangoni umejionea mwenyewe Hali ilivyo huko
@StanuleDeus
@StanuleDeus 5 күн бұрын
Fr mungu anamakusudi yakukuweka kwenye utume wa Wa kichugaji Ili kusaidia jamii
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter 6 күн бұрын
Ni kweli
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter 6 күн бұрын
Ee Mungu nijalie kujali shida za wengine
@priscilaifunya8577
@priscilaifunya8577 7 күн бұрын
🙏
@deokrasisjosephat5857
@deokrasisjosephat5857 7 күн бұрын
Anavyo ongea utafikiri yeye ni MTAKATAFU
@maurachorobi7683
@maurachorobi7683 8 күн бұрын
Amina
@user-hj1ej7of8f
@user-hj1ej7of8f 8 күн бұрын
Ongera sana kwa maubili yako pdr kamungisha nakufutilia sana
@IsayaMahanze-yt8es
@IsayaMahanze-yt8es 9 күн бұрын
Hongera baba kwa msimamo wako
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku 9 күн бұрын
Hongera sana broo Sauro kwa kujitoa Mwenyezi Mungu akubalik sana
@user-xk7qc4xb5x
@user-xk7qc4xb5x 10 күн бұрын
Hongereni sana mapadri wa kesho
@mariamtepa1740
@mariamtepa1740 11 күн бұрын
Nimekipenda hiki kitu. Safi sana Mafrateli. Hakuna kukaa nyoronyoro kanisani
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 11 күн бұрын
Tatizo mnatumia nguvu za kuwadharau badala ya kuwaelekeza na kutoa miongozo mizuri hapo Bukoba wanaokuzunguka wanakufanyia unafiki wa mapadare hao ni shida tupu
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 8 күн бұрын
Hawa watu Wana asili ya ubishi hawataki kuelekezwa yani
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 12 күн бұрын
Karismatic ni karisma...au karama...na kila mtu ana karama ya Mungu ndani yake..nawaomba maaskofu na mapadre msimzuie roho mtakatifu kwa kazi yake ya kufufua karama za wakristo..sas hivi waumini wengi wa kanisa katoliki wanapukutika kwa sababu ya kurubuniwa na nadhehebu mengine ..wanadanganywa na wengi wana shahuku ya kulijua neno Mungu kupitia madhehebu mengine...karsmatiki imewasaidia wakatoliki wengi kurudi kundini . Baba askofu nakuomba chonde chonde utambuwe kuwa wakristo wakatoliki wanakwisha kanisa linabaki na majengo tu.. ingia mtaani kwako tazama jinsi madhehebu yanavyofunguliwa ndani ya wiki moja watu wameshajaa. Na wote hawo ni wakatoliki wamajazana humo. Je unalijuwa hilo ? wale wanaokuja kanisani ni wachache sana lakini wale wanaobaki majumbani ni wengi sana..je watu kama hawo ni nani wa kuwasaidia ? Baba ufike wakati turuhusu pumzi mpya ya roho mtakatifu ndani ya mioyo yetu...baba soma alama za nyakati..unaibiwaaaa waumini wako....kondoo wanamezwa na simba angurumae (yaani shetani)..wakristo wakatoliki tuna shauku ya kulijuwa Neno la mungu . Ninyi mmesoma vizuri sana huko seminarini na kwenye vyuo mbali mbali ..Elimu ya biblia mnayo ' kwanini sisi waimini wenu hatulijuwi neno la Mungu ?..je leo mimi nkiwa mchawi na nikitumaini kwa mganga wa kienyeji kwa kutolijuwa neno la mungu unaweza ukanihukumu ? wa kulaumiwa ni nani leo nikiwa mchawi ? baba zangu maaskofu sisi tunawatii natumekubali kutii maagizo yenu ila tunaomba basi mtufundishe Neno la Mungu kwa undani na lituingie vema ndani ya mioyo yetu. ..yawepo maombi ya kuwaombea wenye shida mbali mbali ..semina za neno la Mungu na kuvunja laana na mikosi na muzimu ya mababu....mababa zetu ukitaka kulijuwa vizuri kanisa letu ingia maeneo wanayoishi wakristo wakatoliki utagundua kuwa asilimia.kubwa ya wakristo wakatoliki hawana tofauti na wapagani maana kwa waganga.wanaenda na matambiko wanafanya na wengine wanatembea na hirizi mifukoni . Lakini kanisani wanakuja na wrngine wanakomunika. yote haya wanayafanya kwa sababu Neno la uzima halimo ndani mwao.. kama lipo ni kudogo sana.. Bibliia inasema : Neno la mungu na likae kwa wingi ndani ya mioyo yenu....Neno ni kinga ' Ekaristi ni kinga maana ni Yesu mwenyewe..lakini Ekaristi pasipo nguvu ya neno lake bado tunakosa nguvu ya imani . Nina waomba maaskofu wate msizuiye karama za roho mtakatifu angalau mtusaidie na ninyi makuhani wetu wakati tukiwa kwenye makongamano ya injili muandamane na wanakarama hawa..makongamano ni muhimu ili kuwaendea wale.waio nje ya kanisa katoliki ili waisikie injili ya Yesu kristo ili watu waokolewe. Haleluuuuuyaaaaa. Jina la bwana libarikiwe...amina .Tumsifu Yesu kristo.
@ponsianabyarugaba1564
@ponsianabyarugaba1564 13 күн бұрын
amina
@FrutunatusMuyango
@FrutunatusMuyango 13 күн бұрын
Wakora baba omukama akwemere kasinge omukigambo kyantaha
@yohanaanton7437
@yohanaanton7437 13 күн бұрын
Utii ni bora kuliko Sadaka
@johaneslwiza6504
@johaneslwiza6504 13 күн бұрын
Mungu atusaidie Tufunguke Akili zetu. Wengi tumefungwa Fahamu tumekuwa watu wakuzusha Maneno na kupinga kazi ya Mungu isiendelee. Charismatic haitokaa ife hata siku moja. kitu cha kimungu kitadumu Milele
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 8 күн бұрын
Nilitegemea utauliza Kwa nn ni hivyo kama hujui msingi wake Bora usingekiment kabisa
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 күн бұрын
Cha kishetani ni kipi hapo sasa? 😊
@user-fm3ew9tu9y
@user-fm3ew9tu9y 13 күн бұрын
Huyu ni anti Christ anawadumaza wakatoliki kiroho
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 12 күн бұрын
Kabisa inahuzunisha sana
@philippuguru9508
@philippuguru9508 6 күн бұрын
Shida sio karismatiki ila watu wanazidisha... Wanasahau km wao ni wakatoliki.. wanaenda zaid ya karismatiki ya kikatoliki..... Wengne kule bukoba walianza kuuza mafuta ya karismatik wew unaona sahih hiy
@HaroldKawedi
@HaroldKawedi 14 күн бұрын
Hakika father umenena !!
@SurprisedAlpineSkiing-pe7lv
@SurprisedAlpineSkiing-pe7lv 14 күн бұрын
Hongereni sana kwa ubunifu mkubwa wa kuwafanya mapadre wa kesho kuwa wakakamavu na vipaji vizuri sana. So proud!!
@charlesm7735
@charlesm7735 14 күн бұрын
Karismatiki inatupoteza.
@geradijoseph4726
@geradijoseph4726 14 күн бұрын
Mungu ni wa wote, KARISMATIKI ni karama ukifunga ipo ROHONI. maana hata wewe ASKOFU unakufuru ROHO MTAKATIFU. je huna karama????😢😢
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 8 күн бұрын
😂😂😂😂 kanisa Lina mwongozo kusingekuwa na miongozo tusingekuwa hapa maana binadamu akili zetu nizakubustiana tu
@emmadora7848
@emmadora7848 5 күн бұрын
​@@anodearsulusi7536miongozo ya kanisa ni biblia hayo ya watu kujiongezea si kweli
@josephlorri431
@josephlorri431 15 күн бұрын
Kuna uzushi mwingi kwenye karismatiki...hongera Baba Askofu. Huo ujumbe apate Askofu wangu
@jovinusferdinand2544
@jovinusferdinand2544 15 күн бұрын
Maaskofu hawa ndo wenye akiri
@lamerkkitosi5115
@lamerkkitosi5115 14 күн бұрын
kweli wewe ni askofu wakuigwa ahsante kwa kulinda imani katoliki
@user-ex1nd6so6d
@user-ex1nd6so6d 15 күн бұрын
Safi sana baba ikiwezekana kataza kabisa
@venantdamian4276
@venantdamian4276 15 күн бұрын
Hakika nimeburudika na wimbo huo hongera sana kwaya yangu Mungu aibariki katika utume .
@EmanuelMakalla-wu1zu
@EmanuelMakalla-wu1zu 15 күн бұрын
Nimeipenda sana hii
@johnmligo6966
@johnmligo6966 15 күн бұрын
BABA HONGERA SANA.... MUNGU AKUBARIKI!!!
@Registon-ed8sy
@Registon-ed8sy 15 күн бұрын
Hongera baba askofu kwa kuwa na msimamo thabiti juu ya Imani yetu mwenyez Mungu azidi kukuongoza katika utume wako.
@isaacthomas7888
@isaacthomas7888 16 күн бұрын
Hongera sanaa Baba Askofu.
@gastonnombo5714
@gastonnombo5714 16 күн бұрын
Mmmmhhhhh.. Humo church usipotoa sadaka sijui itakuwaje😂😂
@YasintaPiusi
@YasintaPiusi 17 күн бұрын
Inauma sana
@veronicamgimba5964
@veronicamgimba5964 17 күн бұрын
Kwa kweli mahubiri yako yamekonga moyo wangu hongera sana Baba umenipa moyo nimefarjika sana
@jamesmsafiri1914
@jamesmsafiri1914 17 күн бұрын
Real amazing hongereni makamanda wa Yesu
@AlexPaschal-m4p
@AlexPaschal-m4p 18 күн бұрын
Baba