Askofu Musomba aweka wazi/Mafuta ya Upako/Kutangatanga/Uvivu wa Kiroho/Kutaka Miujiza.

  Рет қаралды 15,573

Breez Online Tv

Breez Online Tv

2 жыл бұрын

Kwa Ujasiri mkubwa Askofu Stephano Musomba kwenye Mahubiri yake katika kanisa la Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Mbezi Jimbo kuu la Dar Es Salaam, Siku ya jumatano ya Majivu, ameonyesha wazi kutokufurahishwa na hali ya waumini wakatoliki waliopata Sakramenti zote kukingiuka na kuchanganya Imani zao na zile ambazo hawana misingi nazo ikiwemo wengi wao kutaka uharaka wa Maisha kwa Kukanyaga mafuta na kutafuta Miujiza bila ya kujua yote hayo yanachangiwa na mahangaiko ya maisha ambayo mwisho wake hayana tija ya kweli katika maisha yao.
Askofu Musomba ametoa mifano kadhaa ambayo licha ya uchungu wake bado mifano hiyo inabaki kuwa dawa kwa wale wanaopenda kupata matibabu ya kweli katika Kristo.
CHUNGU KUMEZA LAKINI INATIBU.
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #TubuninaKuiaminiIsnjili
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online. .
Instagram:Breez Online Tv

Пікірлер: 68
@paulmsape163
@paulmsape163 10 ай бұрын
Nafikiri ni ufahamu tu,wengi wetu wanapenda miujiza kuliko neno la Mungu
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 жыл бұрын
Mapadre waache uvivu wa kuwafundisha waamini. Wajibu maswali yanayowasumbua waamini na wao wenyewe. Wakristo wafundishwe na wahimizwe kusoma Neno la Mungu na kuliishi. Huwezi kuwa mkristo safi na mwaminifu kwa Mungu kwa mahubiri ya dakika 5-15 mara moja kwa juma.
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 5 ай бұрын
Nakushukuru mtumishi sema watu tupone maana mie nashangaa sana sie wakatoriki wengi tunahangaika ukimkataza anakuchukia wengi wamekufa muundelee kutuelewesha na kutuongoza kipindi hiki ni kigumu msichoke semeni
@zablonshisia364
@zablonshisia364 Жыл бұрын
Wow very nice maubiri
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
Baadae wanalazwa na miunguuuuu......n kelele maskio kila mmoja Alalama
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
YESU KRISTO anasema ijue kweli nayo itakuweka huru
@samwelgaspar7361
@samwelgaspar7361 2 жыл бұрын
Amina
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Mbona hatuonagi uponyaji kanisa la katoriki mnaabudu sanamu zisizoweza kusema tuombe Tina kwa BWANA YESU
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Mnajihesabia haki kama wale mafarisayo
@chazyshadrack2558
@chazyshadrack2558 2 жыл бұрын
Amina baba .kwa neno ubariwe sana 🔥🔥
@deborahmgedzi7269
@deborahmgedzi7269 2 жыл бұрын
Mungu Mwenyezi Awabariki viongozi wanaochunga kondoo waliokabidhiwa na Baba.
@sixtuscharles1788
@sixtuscharles1788 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba
@julianadaudi8541
@julianadaudi8541 2 жыл бұрын
Asante baba kwa neno zuri .
@marrylimu6968
@marrylimu6968 2 жыл бұрын
Asante baba kwa neno nzurii Mungu atusaidie sana
@victorpatrickmnyika5948
@victorpatrickmnyika5948 2 жыл бұрын
Asante baba kwa mafundisho mazuri
@raphaelnzulimwashibanda3762
@raphaelnzulimwashibanda3762 2 жыл бұрын
Amina baba mm E A G T Ila huu ni ukweli sema kweli watu wapone nami nipote hii ndo injili ya kweli
@marie-laurene.
@marie-laurene. 2 жыл бұрын
Asante Baba!!! Mungu akulinde Mtumishi.👍🇨🇩
@tecklamgomberi4253
@tecklamgomberi4253 2 жыл бұрын
Amen
@thobiasbeda7204
@thobiasbeda7204 2 жыл бұрын
Hongera Sana baba huo ndio ukweli siku za mwisho tuache kuhubiri dini tumhubiri Kristo uvivu wa kiroho ndio tatizo wahasham wanalala usingizi wameridhika kuhudumiwa na masista kutembelea magari makubwa Sasa wauza mafuta ,vitambaa vya upako Sasa ndala za upako na mazingaumbwe na kujazwa mapepo kumbu 13:1--12 onyo kwa wote
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 2 жыл бұрын
Ahsante BABA
@patrickshirima3583
@patrickshirima3583 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana hongera kwa ujasiri huo
@raphaelnzulimwashibanda3762
@raphaelnzulimwashibanda3762 2 жыл бұрын
Tupone baba tupone
@thobiasbeda7204
@thobiasbeda7204 2 жыл бұрын
Baba huko Ni kujazwa hofu uchonganishi kusifia uchawi kumpandisha mapepo pia huko wanatoa pesa bila kupenda akili zao zimefungwa lakini kanisa liludishe maombi ya kweli yenye nguvu ili watu wapokee upako wa kweli itawasaidia wasiende hongera
@annamazengo975
@annamazengo975 2 жыл бұрын
Acha majungu kwenye madhabahu hubiri neno,kinakuuma,unaharibu watu Wala huwajengi.
@neemarenaida6667
@neemarenaida6667 2 жыл бұрын
Sema baba wenye masikio tusikie
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 2 жыл бұрын
Asante sana Baba kwa Somo,nimepata kitu ktk imani yangu
@judithnzisa9048
@judithnzisa9048 2 жыл бұрын
Asante Baba Askofu kwa kuwakumbusha kondoo kwamba washike imani kikamilifu na kuwa na msimamo wa kiimani.Mungu akubariki..Baba
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Kwanini mnamtukuza bikira maria mmeweka na sanamu hamsini kama mnawapeleke watu motoni
@lemykiyeyeu5436
@lemykiyeyeu5436 2 жыл бұрын
Songa mbele baba askofu tupone
@brownmtofole
@brownmtofole 2 жыл бұрын
Watu wanafuata imani inayotenda kazi...
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Tatizo katoriki mmejaa mapokeo tu hamfundishi NENO LA MUNGU ila mapokeo tu fundisheni BIblia
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Wakatoriki mnajichanganya sana kuyasema makanisa mengine.tukiwachambua hamuwezi simama wekeni mdahalo wa nani anafanya kazi ya MUNGU na anae fanya kazi ya wazungu
@prophetislael5265
@prophetislael5265 2 жыл бұрын
Mungu wao nimwanamke bikija malia
@samwelysilungwe9767
@samwelysilungwe9767 2 жыл бұрын
Asante kwa SoMo zuri Baba sema yote tupone. Ubarikiwe sana
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Pia imeandikwa lipo jina lipitalo majina yote ni jina la YESU KRISTO wa Nazareth sio bikira maria
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
Viini macho hivyo
@mamertkibori2450
@mamertkibori2450 2 жыл бұрын
Asante baba, kwa neno lenye afya Mungu akubariki. I 🙏🙏🙏
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 жыл бұрын
Watu wanatafuta kufunguliwa sio mapambo ya maneno kama ameponywa na YESU kwann amuache,
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
He
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Pia mmejaa mapokeo kwa nini mnasema bikira maria atuombee wakati BWANA YESU ndiye anayetuombea kwa MUNGU upo hp
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Uhuru wa kuabudu msitishe watu
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Sijaona tofauti ya makuhani wakatoliki na manabii maana wote wanatumia vifaa vya kiroho katika Ibada zao hakuna tofauti nashangaa Kwa nini wanatupiana madongo au NI mwendo wa kugombea waumini ?
@kasianzulu3859
@kasianzulu3859 2 жыл бұрын
Tunaambiwa kila sku ila kuelewa hua hamna lakini ni ukaid tu wakatolik wengi wanajua kabisa kuhusu kanisa letu
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 2 жыл бұрын
ANZENI KUFANYA ISHARA ZA MITUME KAMA MATENDO 5:14-17. KIVULI CHA MITUME PETRO KILIINUA WAGONJWA, KANISA KATOLIKI WASHENI MOTO WA NGUVU ZA MUNGU ILI KUKOMESHA MAKANISA YANAYOINUKIA KTK NGUVU ZA KIROHO...SAA IMEFIKA MOTO WA KRISTO UTAWAKA MAHEKALU YATABAKIA WAZIIIIIII
@alisasportsTV
@alisasportsTV 2 жыл бұрын
Yn 14:13-14 SUV "Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya" Yaani huyu askofu ni wa mchongo kabisaa hana lolote anatoa majungu akiwa madhabahuni... amesahau kuwa kanisa la Roman katoliki linaamini zaidi kwenye mapokeo kuliko neno la Mungu..ndio maana kanisa limejaa masanamu kila kona na kusahau kuomba kwa Jina la YESU!! MUNGU ATUSAIDIE SANA KATIKA NYAKATI HIZI TULIZONAZO!
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Msimseme mtumishi wa BWANA pia msijione kama katoriki ninyi kuwa mpo sahihi sio hivyo kila mtu anavyoamini lmani ni kitu kingine usiseme wewe upo sawa
@jordanjuma6709
@jordanjuma6709 2 жыл бұрын
Ahaa katoriki mnaabudu sanamu zisizoweza kusema toweni hayo masanamu
@annamazengo975
@annamazengo975 2 жыл бұрын
Tokeni mtaani muone mateso ya watu,acha watafute uponyaji,hamna mbingu ya kupeleka mtu,hayo ni majungu Yesu hakaagi na wenye majungu.
@prophetislael5265
@prophetislael5265 2 жыл бұрын
Wanaonesha wazi kuwa hawamuabudu Mungu kunakitu wanamuabudu hawajui kuomba hawajui kufundisha kaz kujifanya mtakatifu mtakatifu wakati niwalev
@joyceAdam-xn2yw
@joyceAdam-xn2yw 4 ай бұрын
Wee anna una matatizo yako binafsi, mtu ambaye hana imani ndip anatangatanga, kama mwana mke malaya
@warriouslendika1289
@warriouslendika1289 2 жыл бұрын
Hakuna zehebu lenye watu, Bali watu ndio hufuata zehebu analotaka kila mchungaji achunge kondoo wake usiwapotoshe Kyle ama hapa ndio sehemu sahihi
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 5 ай бұрын
Hivi watu wagumu jamani mtu anaenda huku kuhangaika kwenye kukanyaga mafuta mie naenda katolic natoa zaka maombi yangu shida zangu mungu anajibu palepale siwadanganyi tusitangetange katolic mapadre wanafundisha vizuri pia kuna karismatic tuache mambo ya hovyo mathayo 24 soma sura yote
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 2 жыл бұрын
Tusome kitabu cha Baruku
@paulmsape163
@paulmsape163 10 ай бұрын
Ujumbe huu utuguse kiroho,maana tuliowengi hatusomi Biblia tunasubili kusomewa tu
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Mnatakiwa kujibiwa na wasomi wa BIBLIA MNA MATENDO MENGI MABAYA .WIVU WA KIHUDUMA MMEKWAMA NA MAFUNDISHO YA KINYONGE WATU WANATAKA MAJIBU YA ROHO NA MAISHA YAO
@joyceAdam-xn2yw
@joyceAdam-xn2yw 4 ай бұрын
Wewe mtakatifu, huna dhambi, tulia upashwe wewe mvivu wa kuamini
@rihannajoseph5796
@rihannajoseph5796 2 жыл бұрын
Hayo mafuta mbona ww hukuyakataa kipindi unapakwa acheni uchoyo bora mwamposa alipakwa mafuta na yy ametumwa atupake amefata maandiko ya Bible yanavyosema kama husomi biblia au padre hajafundisha huwez kujua
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 2 жыл бұрын
Wanafata uponyaji maana yake nikwamba nyie mnamaneno ya uzima lakini Uzima haumo ndani yenu
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
🙆🙆🤣🤣🤣🤣
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 жыл бұрын
Uponyaji gani uponyaji utaipata ukiongeza wewe mwenyewe kiwango chako cha imani
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 жыл бұрын
Wachungaji wa katoliki inawapasa kuweka semina za Mara kwa Mara kufundisha. neno.Jumapili hadi Jumapili.tena saa 2 tu.Biblia siyo kipaumbele.hapo kuna shida Sana.hasa kipindi hiki shetani Ana mbinu za kisasa.
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 жыл бұрын
Kuna novena mafungo mbona yanatosha kabisa ni umalaya tu wa imani na kutokujitambua
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 2 жыл бұрын
Mwamposa aambiwe ukweli kuwa ni MPOTOSHAJI. Roma Catholic Church kemeeni hadharani hayo anayofanya Mwamposa yasiyo sahihi kulingana na neno la MUNGU. TUNAMLAANI ZUMARIDI MBONA TUNACHELEA KUMLAANI MWAMPOSA?
@matumizbinafsi4094
@matumizbinafsi4094 2 жыл бұрын
Tuchapeni injili watu wanaomjua Kristo wapate kuongezeka
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 2 жыл бұрын
Kwani Mwamposa anewafanya nini wakatolic hata siku moja sijawahi kumsikia akiwasema mapadri Wala maparoko mafundisho yake anawafundisha watu kimwili na kiroho na ameweza kuwafikia hata watu wasiyokuwa na Dini watu wa mataifa ambao kanisa katoliki limeshindwa kuwafikia tuache kuwakatisha tamaa watumishi wa Mungu kwa sababu tu wamelitikisa kanisa lenu acheni kujihesabia haki Mungu awabariki
"MAKONDA" TAARIFA MPYA YA MASIKITIKO MAKONDA_ MAKONDA JAMANI_ _
18:15
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 30 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 68 МЛН
Kanisa  Anglikana Tanzania lilianzia Eneo Hili Hapa
9:44
Christian Council of Tanzania CCT
Рет қаралды 8 М.
Mh. Mustafa Mkulo -  Waziri wa Fedha Mstaafu
5:38
NBAA
Рет қаралды 13 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 30 МЛН