ASKOFU NYAISONGA AKEMEA USHOGA NA USAGAJI "LIVE" MBELE YA WAZIRI MKUU,MAASKOFU,MAPADRE NA WAAMINI

  Рет қаралды 3,704

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

2 ай бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 6
@asiaasia2908
@asiaasia2908 2 ай бұрын
Asante baba ,hilo ndilo kanisa katoliki ninalo lijuwa mimi
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 2 ай бұрын
Ahsante sana Baba Askofu. Tunapinga kabisa vitendo vyote visivyofaa. Tutaendelea kuielimisha jamii nzima kuhusu ulinzi wa Watoto ambao wanakuwa wahanga wa kwanza, kutokana kutoweza kujitetea! Hivi vitendo vya ushoga na usagaji tusivifumbie macho, agenda yake ni hatarishi sana, kizazi chetu kitapotea, wao warudi kujinufaisha na Rasirimali za Nchi yetu pendwa.
@oscarjamestarimo9331
@oscarjamestarimo9331 2 ай бұрын
Hivi mgeni rasmi ni majaliwa badala ya askofu msimikwa! Hakika tuna safari ndefu mno!!
@abelthom
@abelthom 2 ай бұрын
Msimikwa anakuwaje Mgeni Rasmi tena? Yaani mfano mwanafunzi ana-graduate halafu anakuwa mgeni rasmi mwenyewe tena?
@MsalabaniReko
@MsalabaniReko Ай бұрын
Ww nawe Sasa msimikwa si ndo mwenye sherehe yake Sasa atakuaje mgeni rasmi yani umalize shule wew ugaduu ww na ugeni rsmi pia uwe wewe uliona wapi
@songeza
@songeza 2 ай бұрын
Msimikwa atakuwaje mgeni rasmi? Angekuja rais angekua msikilizaji? Madaraka yazingatiwe
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 23 МЛН
7th August 2024 Wednesday Evening Service | Good News Mission Kenya
1:21:31
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in Chicago
36:28
FOX 32 Chicago
Рет қаралды 392 М.
MAKAMU WA RAIS TEC AFAFANUA KWA KINA MAANA YA PALLIUM ATAKAYOVALISHWA KARDINALI RUGAMBWA
14:14
FULL INTERVIEW: Donald Trump takes questions from NABJ panel
35:47
ABC News
Рет қаралды 1,2 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 23 МЛН