Рет қаралды 33,108
AHADI NI DENI | Ni ile ahadi aliyoitoa shabiki wa Simba, Kisugu Mikoi kwamba yanga akiwa bingwa wa #NBCPremierLeague msimu huu wa 2023/24, atatoa shamba la heka nne…… Dody ameamua kufuatilia ahadi hiyo na hiki ndicho alichoambulia…..
#Kisugu #Dody