Ni ufinyu wa fikra kudhani kuwa mchezaji anaweza kubaki kwenye timu miaka yote ya ubora wake. Mayele mliongea hivihivi na aliondoka na Azizi ki akachomoza. Vile ile Aziz akiondoka wacheza wengine watachomoza. Yanga wamesajili waxhezaji wazuri tu na bado wananafasi ya kutafuta mbadala wa Azizi.
@NicolasSteven-zr2hx13 күн бұрын
Hans umembadilisha Geoflea mpaka kuwa mchambuzi tofauti na zamani sasa nawaza kuwa shabiki yake.😊
@musakalamu913313 күн бұрын
Tusubiri tuone hatima yake ila mungu atusaidie kabisa yani!!
@daudimichael733813 күн бұрын
Aliondoka Fei nikaumia, akaondoka Mayele nikaumia sana, lakini Yanga imeendelea kufanya vizuri. Siko tayari kuumia tena hata akiondoka. Kwa kuwa Hersi yupo najua ataziba pengo na maisha yataendelea.
@Hope-ok9dy13 күн бұрын
Abaki tu jamani mungu atusaidie
@robertphilip38513 күн бұрын
Hans ukisema chochote nikuamini hujawahi kusema uongo
@user-sy3mj5gh5g13 күн бұрын
Team ni kubwa kuliko mchezaji
@user-ce3tx7mr8v13 күн бұрын
ENG HERS ANAWASAIDIA WAAMDISHI MKUZE MTAJI KWENYE HABARI ZENU NA KUWASUMBUA SIMBA ILI WAHANGAIKE SANA KUMPATA AZIZI KI
@robertphilip38513 күн бұрын
Wewe pambana na akina Debra wako
@josephgalandu12813 күн бұрын
Enginiaaaa waweke sawaaaaaa mpaka wasahau athimbabofu yaoooo😂😂😂😂😂
@emmanuellupiga12 күн бұрын
Ngoja niwaibie siri hiyo ni mind game niaminn mimi aziz yupo na alishasign miak miwil za ndani
@AbdallahKimbwanda13 күн бұрын
Duh Mambo mengi
@fadhilisule13 күн бұрын
uku Jeff kawa wa baridiiii
@hassanabdala738313 күн бұрын
Nyie wachambuzi kweli wa hovyo kama kweli amesign Team imeenza mazoezi mbna Azizi hayupo hebu kuweni professional
@MzeewaYanga-hm8jq13 күн бұрын
Kwn diara umemuona au chama
@allydaud61213 күн бұрын
Hata Pacome hayupo wachafuzi hawapendi maendeleo ya Yanga
@errydeo886513 күн бұрын
Kwani Wachezaji wangapi hawajarejea!?
@mohdabdalla707013 күн бұрын
Hao wachambuz wameongea hisia zao na ww kuwa na hisia zko upendavyo itokee bc
@CRISTIANORONALDO-pz8vg13 күн бұрын
azizi YUPO NA AMESAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI ,MSHAHARA 42, Nimewaibia Siri ndugu zangu, nimeona watu wayanga wanaumiza ,vichwa ,lakini Yote hii tumeifanya ili kuwa halibu kabisa wanasimba Yaani tunataka wachanganyikiwe Mpaka wasahau kabisa Usajili wao BUT NOTE THAT:AZIZI KII BADO YUPO YANGA NA YUPO SANA , TENA SAAAANA
@josephgalandu12813 күн бұрын
No mayele noo.........Ila azizi yupo naatawafunga mwaka huuu mpaka mkimbie kama fisi😂😂😂😂😂😂
@josephgalandu12813 күн бұрын
Vyuma vingi jamani,hata vya zamani vikiondoka vpya vipoooooo
@stevenemwakasimba-pt8er13 күн бұрын
Engineer si mtoto wa mjini?wnawapa content wachambuzi uchwara 😂😂😂😂
@anithawidambe754312 күн бұрын
SASA KM AMEMALIZANA NA YANGA INJINIA KWANN ASEME AZIZI BADO HAJASAINI YANGA?KIONGOZI INAMAANA NI MWONGO?ACHENI UTOTOWENU
@omarmhamed-sv7dx12 күн бұрын
Hivyo ni July full Kwa wajinga kama makolo wanahaaam
@ExecutiveHouseKeeperElewana13 күн бұрын
Yaani waandishi wa habari wengi mnabwabwaja. Cku zote mlikuwa wapi msiseme mambo ya Aziz K. Mbona mnatafuta Kiki kwa mambo yacyo na msingi?? Cku zote time ni kubwa kuliko mchezaji.