BALAA LA CHAMBOU KARABOUE BEKI MPYA WA SIMBA/MRITHI WA HENOCK INONGA BAKA

  Рет қаралды 8,837

SIMBA PRO

SIMBA PRO

19 күн бұрын

Simba imemalizana na kitasa kutoka nchini Ivory Coast Chambou Karaboue kama mbadala wa beki mkongomani Henock Inonga alietimkia nchini Morocco kujiunga na Mabingwa wa mwaka 2023 FAR Rabat
Simba walipoona hivo ndipo walipoamua kumvuta fundi Chambou Karaboue ambae ndie mshindi wa tuzo ya beki bora wa mwaka 2024 nchini Ivory Coast na Mshindi wa kombe la Coupe nationale nchini Ivory Coast
Dullah anatupa undani wa nyota huyu
Kuungwa kwenye group la Simba PRO tutafute kwa namba 0626629644 ili uweze kupewa utaratibu wa jinsi ya kujiunga

Пікірлер: 8
@KHALIDMULILO
@KHALIDMULILO 17 күн бұрын
Kiukweli awamu hii viongozi wetu naona wako serious na usajili, kikubwa tuwaombee sana hawa wachezaji wetu wasiathiriwe na fitna za wapinzani wetu.❤
@morrisabdon7881
@morrisabdon7881 12 күн бұрын
Fasika Idumba ni bora zaidi, huyu mzito sana.
@kristofuraha
@kristofuraha 17 күн бұрын
We jamaa huwa unibariki sana sana sana! Hujawahi kuniangusha! MI NASUBIRI TU UTAMBULISHO WA MPANZU. AKITAMBULISHWA TU NACHINJA JOGOO!
@mohdmussa-e9o
@mohdmussa-e9o 11 күн бұрын
Una kitu kaka but unapswa kujiongeza badilisha location hio
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 16 күн бұрын
Safari mh! Tusubil tuone naona WACHEZAJI wanaosajiliwa ni wazuri
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 16 күн бұрын
Hivi kweli mpanzu anakuja Simba?
@DavidGabriel-m8u
@DavidGabriel-m8u 17 күн бұрын
Usajili WETU ni balaa lakini tunajua wenzetu WA upande wa pili jinsi wanavyo pambania kuwaharibu kwa kuwapiga misumari.Wanasimba wenzangu naomba hilo mlijue.Kama Kuna mtu anabisha aangalie matukio ya MORISSON kuvishwa busha, wengine akina BALEKE, PHIRI,ONANA kushusha viwango lakini pia MAYELE dhidi ya Majini.
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 23 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 36 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 7 МЛН
AHOUA JEAN CHARLES
4:22
Thierry Djodjo
Рет қаралды 147 М.
ТОП 10 Итогов Евро-2024
39:51
МЯЧ Production
Рет қаралды 360 М.
When GOATs Get Injured in Finals 😢
0:23
TIKI-TAKA
Рет қаралды 1,7 МЛН
Майк Тайсон НЕ НУЖДАЕТСЯ В ОХРАНЕ #shorts
0:30
Тайна ММА
Рет қаралды 2,2 МЛН
Майк Тайсон НЕ НУЖДАЕТСЯ В ОХРАНЕ #shorts
0:30
Тайна ММА
Рет қаралды 2,2 МЛН