No video

DEBORA FERNANDES NI KIUNGO WA AINA GANI KIUFUNDI/UBORA WAKE NA UDAHAIFU NA JINSI ATAKAVOTUMIKA SIMBA

  Рет қаралды 12,207

SIMBA PRO

SIMBA PRO

Ай бұрын

Simba Pro kupitia mchambuzi wetu mahiri Dullah Hassan amemdadavua kiungo mpya wa klabu ya Simba Debora Fernandez Mavambo ubora wake na jinsi ambavyo amekua akitumika katika kikosi cha Mutondo Stars chini ya kocha Zeddy Sailleti,
Kupitia uchambuzi huo utapata kujua ni upi ubora wa kiungo huyo na ni yapi madhaifu yake kiufundi yanayoweza kuathiri matokeo ya timu
Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuchek kwa namba 0626629644 tukupe utaratibu wa jinsi ya kuungwa

Пікірлер: 5
@JacksoniMushi-c2y
@JacksoniMushi-c2y Ай бұрын
Naomba numba yakujiunga what Asapp
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@nikky4757
@nikky4757 Ай бұрын
Huyu no 8 na kiuhalisia no 8 haitaki kuwa specialist in defending japo hatakiwi kuwa mbaya sana kwenye defence huyu jamaa ni mzuri kama atatumika kama link kati ya defence na attack na tutamfaidi zaidi kama tutacheza 4.3.3 ambapo no sita ni okejepja huyu debora na ahua wakae mbele yale ambapo ahua atakua advance zaidi karibu na washambuliaji wakati debora atakuwa link kati ya defence na attack Kwa jicho lingine huyu ni kama ngoma sema ni kijana Mechi ngumu kama ya yanga bado nitaprefer 4:2:3:1 tukitumia double pivot ya okejepja na mzamiru kuongeza defence stability ila zile mechi za kawaidia hiyu anafaa in 4:3:3 kwaajili ya kupiga boli safi la kutufurahisha mashabiki
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters Ай бұрын
@@nikky4757 Kama utakua na kiungo mkabaji asilia mmoja maana yake namba 8 wake anatakiwa awe na work rate kubwa sana ajue muda gani anapaswa kurejea kuungana na no 6 wakati timu haina mpira na pia ajue ni wakati gani anapaswa kua mbele kusapoti shambulizi. Work rate hii siioni kwa Debora Ndio mana katika michez aliyoperfom vzuri ni ile ambayo kuliko na viungo wakabaji wawli nyuma yake Nickson Musonda & Godfrey.
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
Mbona litakufa jitu mwaka huu tusubiri tuone
AUGUSTINE OKEJEPHA UWEZO WAKE NA MAGOLI USAJILI WA SIMBA 2024-2025
9:44
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 85 МЛН
小丑和奶奶被吓到了#小丑#家庭#搞笑
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 9 МЛН
STEVEN MUKWALA DESE ! GOALS AND ASSISTS HIGHLIGHTS 2023/2024 SO FAR
3:42
Mukwala Steven dese
Рет қаралды 182 М.
Elie MPANZU, the CATALYST (skills, goals & more)
5:31
11leopards
Рет қаралды 136 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 85 МЛН