Samahani! Nawasalimia na nonawapongeza sana kwa kazi za maendeleo mnazofanya. Tena ningetaka munieleze: munaweza mukanijulisha ughali wa eneo (surface) inaohitajika kwa kufuga kuku za kutaga ( yani layers), mtu akiwa anatumia hizo local cages? (kutoka Burundi)
@charityfarm12262 жыл бұрын
Karibu sana kutoka Burudi, wasiliana nasi kwa Whatsap kupitia namba hii: +255654737373.
@kingiagritech_ltd Жыл бұрын
@@charityfarm1226 ukubwa wa banda ni mita ngapi kwa ngapi
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Ulizia kwa namba hii: 0654737373
@eunicemoyo889411 ай бұрын
@@kingiagritech_ltdnp .
@johnboscobiguli76928 ай бұрын
Am asking can't those bakers put black soldier flies eggs & we get maggots for other feeds Entebbe
@emmanuelsamwel615115 күн бұрын
Nice project
@johnboscobiguli76928 ай бұрын
Poa Asante Niko na nyinyi Entebbe
@MercyJepchumba-mn4tn9 ай бұрын
Watching from kenya
@charityfarm12268 ай бұрын
You're welcome we operate within east africa with high quality service with competitive price
@chausikukahitila2 ай бұрын
mbona kama banda dogo kuku wengi naona wanasubiriana kula chakula
@EmanueliThadei3 ай бұрын
Mko vizur
@saymonikahema2094 Жыл бұрын
Daah nmependa hiyo kaz yaufugaji wa kuku brother
@charityfarm1226 Жыл бұрын
karibu sana +255 654 737 373
@josephndibanje28372 жыл бұрын
I like this station very much
@charityfarm12262 жыл бұрын
Your most welcome
@LearnOutofSchool2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@tegemeaamony82045 ай бұрын
Nimelipenda sana hilo banda siku MOJA namm ntataka mnijengee
@charityfarm12265 ай бұрын
Kalibuu sana tufuge kibiashara
@niyonzimadavid1966 Жыл бұрын
Vyema sana
@jovinusjohn74162 жыл бұрын
Kwalaaaa san
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Mimi nataka banda la kuku wa kienyeji
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Sawa, tuwasiliane: 0654737373
@globalinternationaltvonlin6927 ай бұрын
I like that one cages
@charityfarm12267 ай бұрын
We can design and build one for you with lower cost, at uganda
@hellenmassawe7284Ай бұрын
Ninawapataje
@charityfarm122617 күн бұрын
+255 654737373
@nekashash21902 жыл бұрын
Kuku hana uhuru hata wa kugeuka loh.. Haki za viumbe wengine mmezikiuka
@charityfarm12262 жыл бұрын
Sawa
@kapingatshiasuma5647 Жыл бұрын
Asati sana Mungu akubari sana
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Aminaa
@mwajumaabeidy8137Ай бұрын
Nimependa hii.nakihitaji banda km hilo.. yani yenye cage hizo
@charityfarm1226Ай бұрын
Wasiliana nasi tukujulishe zaidi juu ya ufugaji wa kutumia cage
@globalinternationaltvonlin6927 ай бұрын
I'm in Uganda
@charityfarm12266 ай бұрын
Your welcome, to charity farm where here to help
@s.koileken36911 ай бұрын
unaweza kunifanyia kazi hiyo hapo kenya
@charityfarm122611 ай бұрын
Ndiyo, nitafute whatsapp: +255624015376
@JJ-hw8ob Жыл бұрын
Good job . We can partner with you in kenya you train me on making them here in kenya.
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Yes we can. contact me on whatsap no +255654737373.
@akeem1221 Жыл бұрын
Aise kuku wame banana si kawaida. Apana, sikupendelea ninacho kiona.
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Sawa
@user-qf1ys6zr5h4 ай бұрын
Mnamsaidiaje mfungaji upande wa masoko?
@elizabethringo7154 Жыл бұрын
Naitaji kujifunza
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Karibu 0654737373
@thereziaaloyce34305 ай бұрын
Naomba namba zenu
@charityfarm12265 ай бұрын
0654737373
@mamalaocruz9616 Жыл бұрын
Nimependa muongozo wenu tafadhal namb za wasup zipi
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Karibu sana namba zetu ni zifwatazo 0654737373
@yohanaedward3055 Жыл бұрын
Nawapateje nipo Simiyu
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Tupigie: 0624015376
@sokastreet4 ай бұрын
Mm npo kerege kwa manofu pia nataman kuwatembelea nijfunze zaid
@charityfarm12264 ай бұрын
Kalibu sana tunapatikana msigiani center, madale pia unaweza kuwasiliana nasi 0654737373
@marikimilton87892 жыл бұрын
Naitaj cage
@charityfarm12262 жыл бұрын
TUPIGIE +255 654 737 373
@tatukassim46992 жыл бұрын
@@charityfarm1226 Lina ukubwa Gani Hilo Banda?
@charityfarm12262 жыл бұрын
Tupigie simu kwa hiyo namba hapo juu
@abdulrahmanmandandu85195 ай бұрын
Mnapatikana wap?
@charityfarm12265 ай бұрын
Tunapatikana msigani center dar es salaam
@charityfarm12265 ай бұрын
Kwa mawasiliano zaidi 0654737373
@salumkhamis7818 Жыл бұрын
Hawa jamaa Wana Bei halafu kuwapata ni shida nilipiga simu sikupata ushirikiano kabisa ikabidi niahirishe project ya ufugaji
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Piga tena utapewa ushirikiano
@upendosimon35252 жыл бұрын
Mnauzaje cage za vifaranga?
@charityfarm12262 жыл бұрын
Tupigie kwa namba hii: 0654737373
@onesmomgaya25412 жыл бұрын
Naomba kujua gharama zalocal cage ya kuku 2000 nipo njombe
@charityfarm12262 жыл бұрын
Karibu, tupigie kwa mawasiliano zaidi: 0654737373
@RevJosphatWahinya7 ай бұрын
Na takamatsu kutoka Kenya, je muna offisi Kenya.
@charityfarm12267 ай бұрын
Kwa kipindi hiki hatuna ofisi Kenya, lakini tunaweza kufanya site visit Ndani na nje ya Tanzania, Kenya ikiwepo kwa garama nafuu sana
@charityfarm12267 ай бұрын
Unaweza kuwasiliana nasi 0654737373 ,
@suzysoraelw206216 күн бұрын
Ya kuku 160 ni shilingi ngapi?
@charityfarm122616 күн бұрын
Ungependa tututengenezee ya mbao au ya chuma
@charityfarm122616 күн бұрын
Mqqnq garama zinabadilika , 0654737373 tuzungumze zaidi
@michaeljanuary3736 Жыл бұрын
Banda la keki la kuku elfu 1000 linaggalimu shingapi hadi kukamilika
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Wasiliana nasi: 0654737373
@jantawakitaatv4534 Жыл бұрын
MWanza mko wapi
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Tupigie: 0654737373
@juliuschagama73042 жыл бұрын
Napata he AUT nioles za maji ?
@charityfarm12262 жыл бұрын
Piga hii namba utahudumiwa +255 654 737 373
@edgartemu8299 Жыл бұрын
Ufanisi WA haya mabanda uko je
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Yako vizuri
@ismailomary66262 жыл бұрын
Cage ya kuku 160 Ni tsh ngapi??
@charityfarm12262 жыл бұрын
Tuwasiliane: 0654737373
@floridakubila30082 жыл бұрын
Na je hayo mayai yanafikaje hapo pakuokotea??
@charityfarm12262 жыл бұрын
Karibu piga simu namba: +255 654 737 373
@swafaayahya5389 Жыл бұрын
Natak nihudhurie semina zenu, nafanyaje?
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Uko wp
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Wasiliana kwa no hii; 0654737373
@mmungamleci4876 Жыл бұрын
Muna patikana mkoa gani?
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Nchi nzima
@amrytweve1998 Жыл бұрын
Samahani mwenye uzoefu,. Kuku kuharisha kinyesi chenye maji zaidi ya asilimia 60 ya kinyesi chake, shida Ni Nini? Na tiba inaweza kua Nini?