Banda Bora la Kulelea Vifaranga vya Kuku

  Рет қаралды 63,299

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

5 жыл бұрын

Ili kupunguza changamoto za vifo kwa vifaranga vya kuku ni muhimu kuandaa banda bora la kulelea vifaranga vya kuku.
Kutokana na changamoto hizo Shas kuku farm imebuni bruda maalum kwa ajili ya kulea vifaranga vya kuku ambalo litazuia mpaka mbu kuingia bandani ili kupunguza maambukizi ya virusi vya ndui.
Tazama video hii mpaka mwisho ili uweze kujifunza kitu kwa ajili ya vifaranga vya kuku wako.
Usisahau ku-subscribe kwenye channel hii
#ufugajiwakuku #changamkiafursatv

Пікірлер: 58
@hagaidaniel1158
@hagaidaniel1158 4 жыл бұрын
Nawakubali sana mko vizuri sana mungu awabariki
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Ubarikiwe pia
@jaffariyusuph1955
@jaffariyusuph1955 5 жыл бұрын
Kwel changamkia fursa imetufungua macho ilo banda nimelielewa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
🙏🙏
@anoldambroce7912
@anoldambroce7912 4 жыл бұрын
Braza ongera unatufundisha sana bos
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Asante
@dominickmartine9249
@dominickmartine9249 5 жыл бұрын
Asante kwa soma.vifaranga sana wiki moja wanaishiwa nguvu nakuziba macho kisha wanakufa.naomba ushauri please
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Chunguza ugonjwa wa mafua au upungufu wa vitamin A kisha wape dawa sahihi
@davidmushi5274
@davidmushi5274 2 жыл бұрын
Ni bei gan
@priscaabias4130
@priscaabias4130 4 жыл бұрын
Nimefika hapo mahali pakp poa aisee
@emilygathoni2196
@emilygathoni2196 5 жыл бұрын
Nzuri kabisa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Asante sana ndugu
@GodfreyAlfonce-mi5ik
@GodfreyAlfonce-mi5ik Жыл бұрын
Inapendeza nataka kufuga kuku wa mayai naitaji niwatembelee nijifunze by anko g mbez beach
@augustinewafula18
@augustinewafula18 3 жыл бұрын
Niko western Kenya iwapo mnaweza kutufikia
@chrismilambo1064
@chrismilambo1064 2 ай бұрын
Vifaranga vyangu huga baada ya kufika kuanzia mwezi
@yohanamagele3633
@yohanamagele3633 5 жыл бұрын
Safi sana inabidi niwatafute nahitaji kufuga kisasa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Karibu
@sikujuwabackari3554
@sikujuwabackari3554 Жыл бұрын
mwalimu tuambie basi vipimo , ulipima mita ngapi urefu na upana
@bijaytamang234
@bijaytamang234 2 жыл бұрын
@florahmushi748
@florahmushi748 5 жыл бұрын
Ok
@husseinkhatibu5614
@husseinkhatibu5614 3 жыл бұрын
Hussein
@yohanamagele3633
@yohanamagele3633 5 жыл бұрын
Kujiunga na magroup yenu Tsh ngapi?
@bahatibahati2090
@bahatibahati2090 2 жыл бұрын
Kwaio ili unaingia ndani ya bnda kuptia juu au
@margaretmnzava7111
@margaretmnzava7111 2 жыл бұрын
Mimi natamani nije hapo nione mwenyewe ninahitaji kujenga banda na mimi nifuge
@alfredjoshua8625
@alfredjoshua8625 4 жыл бұрын
asante kwa elimu nzuri
@margaretmnzava7111
@margaretmnzava7111 2 жыл бұрын
Naomba namba ysko ya simu niongee na wewe
@jacquelinekasimbazi9221
@jacquelinekasimbazi9221 4 жыл бұрын
Mmetumia nyavu ya ukubwa gani??
@mnazaretinemi4203
@mnazaretinemi4203 4 жыл бұрын
Asante mtaalam wangu...hii ni chanel yangu bora...vipi kuhusu mwanga wa jua?au cyo lazima kama kuna chanzo kizuri cha joto
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Kwa umri wa awali watatumia mwanga wa taa na hauta waathiri kwa chochote
@mnazaretinemi4203
@mnazaretinemi4203 4 жыл бұрын
Asante sana...umri huo wa awali unakomea wapi?
@killymayebo3704
@killymayebo3704 2 жыл бұрын
@@changamkiafursa je taa ya solar inafaa
@petronillajosephat2655
@petronillajosephat2655 5 жыл бұрын
vyungu unaviuzaje
@olipamahajile5354
@olipamahajile5354 5 жыл бұрын
Nami nimepata changamoto hiyo ya vifaranga kupata ndui kabla ya wiki 4,je mlitumia dawa gani wakapona mana mimi mpaka sasa bado nawahangaikia na wameanza kufa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Pole, wasafishe kwa maji ya uvuguvugu yenye chumvi nyingi kisha wape vitamin na limoxin
@olipamahajile5354
@olipamahajile5354 5 жыл бұрын
@@changamkiafursa asante
@mohaisha
@mohaisha 3 жыл бұрын
@@changamkiafursa na Kama huna umeme sehemu ulipo inakuaje kuhusu kuwashia taa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Unaweza ukatumia taa za kuchaji kwa kipindi cha wiki 2 za mwanzo
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 жыл бұрын
Hivyo vyungu kwa ajili ya joto ni vizuri kwa kiasi gani?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Uhakika wa kuvipa joto vifaranga muda wote na matumizi madogo ya mkaa
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 жыл бұрын
ChangamkiaFursa Tv , ooh kwa vifaranga 100 kinatosha kimoja?
@bizilabarakah8429
@bizilabarakah8429 5 жыл бұрын
Hii number ya huyu fundi hapatikani kabisa au kabadilisha number?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Simu yake imeibiwa na bado hajarejesha namba, Tumia hii 0768337759
@DRICK-vn3oj
@DRICK-vn3oj 5 жыл бұрын
@@changamkiafursa 2.5 x 2.5= 5m za eneo
@rarekukufarm1478
@rarekukufarm1478 4 жыл бұрын
@@DRICK-vn3oj hapana hapo utakua umejumlisha hivyo ni kosa tayari.... Urefu Mara upana, yaani 2.5 x 2.5=6.25 hivyo Changamkia fursa wapo sahihi kabisa.
@DRICK-vn3oj
@DRICK-vn3oj 4 жыл бұрын
@@rarekukufarm1478 sawa mkuu
@ruttapastory3734
@ruttapastory3734 4 жыл бұрын
Naomba namba yake huyo wa kujenga bruda.Nina vifaranga wataletwa 25,mwezi huu
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Namba kwenye video
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 4 жыл бұрын
Natamani kufunga lkn ni mkenya naomba kujuwa chanjo na zaazia mda ngani kwa kku pka mda ngani thafadhali
@simonpure109
@simonpure109 4 жыл бұрын
Dakika ya 1:04 naona mmoja anapiga sala ya mwisho 🙄
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Uko makini sana lakini hauko sahihi
@simonpure109
@simonpure109 4 жыл бұрын
@@changamkiafursa karibu kwenye ulimwengu wa KZfaq where people share jokes trading for humor...u don't have to reply to everything said upon your Post. Hizi dakika nilitegemea kushare that joke na watu ila naona kautamaduni kagumu mwishowe umeamua kunijibu mwenyewe...video yako nimesave kwenye playlist yangu...shukran
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
😄😄😄 🔥🔥
Kulea Vifaranga vya Kuku kwa Kutumia Brooder
14:28
Changamkia Fursa
Рет қаралды 48 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 44 МЛН
11 November 2023
1:17
MANJENGA CONSTRUCTION WORKS
Рет қаралды 4,6 М.
NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI  SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI
12:12
UJENZI BANDA LA KUKU 1000 - 1300, SEHEMU YA PILI
11:16
Charity Farm
Рет қаралды 26 М.
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU BILA KUPATA V I F O
10:35
Changamkia Fursa
Рет қаралды 136 М.
NJIA RAHISI YA KUTOTOA VIFARANGA VYA KUKU
10:00
YAGOMBA
Рет қаралды 14 М.
March 27, 2024
2:44
MANJENGA CONSTRUCTION WORKS
Рет қаралды 4 М.