Bendera ya Tanzania yatangazwa kwenye jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa, Dubai

  Рет қаралды 93,509

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

Пікірлер: 245
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 2 жыл бұрын
The best colored flag in that building ♥️♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@laika3991
@laika3991 2 жыл бұрын
The flag is looking so beautiful on The Burj. 🇹🇿🇹🇿 🇹🇿
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 2 жыл бұрын
Thank you
@jesitinakiwale8676
@jesitinakiwale8676 2 жыл бұрын
My beautiful country Tanzanian l miss you😍👑👑👑
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Maendeleo yanagharama zake, lazima nchi iwe na mahusiano mazuri na nchi nyingine, pia itangazwe. Matokeo yake sio lazima yaonekane ndani na muda mfupi
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 2 жыл бұрын
Napenda saana tazania ni nchi ambayo hua haina shida na mtu ❤❤💯
@nicromezb
@nicromezb 2 жыл бұрын
🇹🇿❤️ kazi iendelee
@Mcsceo
@Mcsceo 2 жыл бұрын
I think brother fredrick bundala umeshasifiwa sana mpaka umeishazoea,Ukweli ni kwamba wewe sio wa kawaida Mkubwa uko ulimwengu wako kwenye hii sekta Natamani ningekuwa na uwezo wa kukupatia TUZO sijui ningekupatia nini mku keep on insipiring new and old generation ur true Icon 🙌...
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Wenye nia njema ndio tumewabambikizia chuki Kwa siasa wale maadui tunaowaona wazi wazi ndio tunawakumbatia hatari sana mpaka jana tumeona jinsi wanavotunyanyasa na kutubagua hata kupanda treni tu kukimbia vita Allah atatupa lenye kheri
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 2 жыл бұрын
Yaani tena mimi nimesema putin apige tena apige kweli kweli sitaki kujua watoto wala nini Khai yaani bila ata aibu wanatubagua watu weusi. Nlchukia sana yaani😠
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Aaaaaaaaaw mashaAllah, Tanzania yangu
@azamajid9530
@azamajid9530 2 жыл бұрын
Alhamdulilah nashukuru mungu ñilikuwepo
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲🤲
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 жыл бұрын
Hongera nchi yanguTanzania. Asante Mama yetu, Rais wetu Sami kwa kazi mzuri sana. Tunakuunga mkono nantunakupenda sana. Tanzania Oyee. Mama Samia juu kabisa. Mwenyezi Mungu akupe maisha kwako. 2025 kura yangu kwako.
@shiksshiks8494
@shiksshiks8494 2 жыл бұрын
Aww this is btfl nchi jirani😍😍
@sheilamjune1233
@sheilamjune1233 2 жыл бұрын
God is Good ❤❤❤👏👏👏🙏🇰🇪🇰🇪🇦🇪
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 2 жыл бұрын
God bless Tanzania 🇹🇿🙏🏾
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 2 жыл бұрын
Best best sijaona rangi nzuri km ya nchi yangu. Watupe free visa tu sasa. Best president and I'm super proud of her
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 жыл бұрын
Ushuzi mtupu
@zawadichipilipili6491
@zawadichipilipili6491 Жыл бұрын
T
@charzcharles4634
@charzcharles4634 2 жыл бұрын
# hapa tumepigwa hela hawa jamaa hawatangazi bure, bora hyo hela mgeboresha hata tanesco tuepukane na shida za umeme
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
Munapenda vya bure njooni ulaya muone huku ulaya hakuna cha bure tatizo la nchi maskini Munapenda sana vitu vya bure
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@TUnech7 tembeeni muone dunia inavyoongozwa mimi miaka 20 niliyoish nchi za wazungu nimejifunza meng sana wazungu hakuna wanachotowa bure hao wazungu munaowaona wanakuja huko ketembea hizo hela wamezipata kwa tabu mno huku ulaya kazi ngumu sana
@denisdenis1389
@denisdenis1389 2 жыл бұрын
@@rubenprince8990 Nimekuelewa sana mkuu
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@denisdenis1389 saluti kwenye ukweli lazima usemwe kamanda wangu
@parfaitkale2503
@parfaitkale2503 2 жыл бұрын
Congratulations Tanzania 🇹🇿
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 2 жыл бұрын
Thank u,your wellcm Tanzania my peaceful and beautiful country 🇹🇿🇹🇿
@naslee1010
@naslee1010 2 жыл бұрын
Mama hongera kwa kucheza pass ndefu mungu ibariki Tanzania
@hussenmishamo1963
@hussenmishamo1963 2 жыл бұрын
Kila rakher mwenyez mungu atuongoze mwisho mwema 🙏
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
🇹🇿😍😍😍 Hongera Mama Samia
@tanzania2559
@tanzania2559 2 жыл бұрын
Tanzania yangu 🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Tuliinjoi jamanini asikwambiye mtu watanzania tuliiteka dubai kama yakwetu maana tulikuwa na mbwembwe saaana mpka kigoma cha udugwai kilikuwepo hatari 💃🥰
@sheriibrahim6753
@sheriibrahim6753 2 жыл бұрын
Tumefurah sana watanzania Huku
@thamani5842
@thamani5842 2 жыл бұрын
Ma Sha ALLAH
@halimamimarich3799
@halimamimarich3799 2 жыл бұрын
GOD BLESS TANZIANIA.....ALFU BRO MBN UTULETI HABR YA UKRN
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 2 жыл бұрын
Mama itangaze Tanzania matajiri waje waekeze tupate ajira
@safiirulislaam9290
@safiirulislaam9290 2 жыл бұрын
Tanzania chungeni sana hawa warabu Mutapoteza nchi yenu au mutweka ramani rasilimali zenu kama bandari na airport Hawa warabu kuna nchi nyingi wana lalamikia
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 жыл бұрын
ni bora wao kuliko nyinyi
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 жыл бұрын
Sio warabu wote ni UAE pekee ndio wana kiu cha kumiliki mabandari vile hawana mali asili ila petrol ikiwaishia watarudi jangwa ..Somalia walifukuzwa hao UAE
@moneytv524
@moneytv524 2 жыл бұрын
Sasa tumia izo rasilimali zako uone utafika wapi ,ww lazima uzitowe t huna wataalam rasilimali za kzi gan
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@moneytv524 siamini unayosema, rasilimali za kazi gani? Kwani zitaoza? Si uziache wape elimu watoto wake waje kuzi shughulikia wao. Uzitoe Kwageni zikiisha wanao watabaki na nini? Matope
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
@@moneytv524 usizungumzie wataalamu wakati Sheria ndio zinawabana Sana watu wa kawaida wanaobuni vitu na kusema vikapimwe viwango ulaya na inaishia hvyo hvyo
@zahiribrahim7418
@zahiribrahim7418 2 жыл бұрын
May God Almighty Allah Inshallah bless Tanzanians all over the World go go go hakuna kurudi nyuma Mama Mh. Rais Samia Suluhu Hongera mama 😍🎀🌺🌺🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@umsalim6515
@umsalim6515 2 жыл бұрын
Wacheni kumwita mama mtalii, hata alipokuwa Magufuli, safari zote za kiserikali alikuwa akienda yeye au Majaaliwa, Magufuli alikuwa hasafiri sababu ugonjwa wake wa moyo
@zayanaalmarjibi4254
@zayanaalmarjibi4254 2 жыл бұрын
Sababu alikuwa hajui kizungu, mbona Tanzania nzima alikuwa akitembea
@umsalim6515
@umsalim6515 2 жыл бұрын
@@zayanaalmarjibi4254 TZ alikuwa akitembea kwa gari, mwenye ugonjwa wa moyo , ndege ikipaa angani oxygen level inapungua , inakuwa tabu kwa wagonjwa wa moyo. Kutokujua kizungu sio hoja , marais wengi wanatembea na mkalimani
@umsalim6515
@umsalim6515 2 жыл бұрын
Na msirukwe roho , siku hiyo Tanzania wamefanyiwa bure kuwekwa bendera kwenye Bur Khalifa
@edlumala9428
@edlumala9428 2 жыл бұрын
Big up Her excellency Samia Suluhu Hassan.
@athumanially906
@athumanially906 2 жыл бұрын
Fanya kazii mama achana na manenoo,fanya kaz mama ,welevu wanajua unachokifanyaaa
@jongwemomumo8729
@jongwemomumo8729 2 жыл бұрын
Milion 400 na point kwa saa inapotea kwa promo wakat ingetumika kujenga health centre moja. Uganda walifanya mwaka jana kwa kulipia tangazo ktk jengo hilo 😇😇😇😇😇
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 2 жыл бұрын
Bishara matangazo hiyo mia NNE itazaa mabilion ila kwa kuwa wivu unakutesa
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Jongwe wenye akili wanasema unawivu kwa kuwa wenye akili wanaona ni sawa .Hivi kinatangazwa nini nani asiyeijua Tanzania katika karne hii ya Tiktok Whatsap Facebook Twitter ni ubadhirifu wa fedha tu .Waache waponde raha hapo wamebebana watu kibao fursa kwenda kutembea Dubai first cluss Emirates nafikiri kwa mtu mmoja ni nauli ya mtu mmoja Economy Class kwenda na kurudi mara 3 apo wameenda watu wangapi?.Enzi ya Jamaa mmoja walikuwa wanasafiri watu thalathini na kuendelea na wanakaa five star Hotels .Hiyo ndio Afrika viongozi wetu,kuna kipindi Raisi wa Niger aliwahi kufikia kwenye Hoteli kubwa wanayofikia maraisi wa nchi zenye uwezo ilibidi waandishi wazungu wakeshe kumngoja wampe maswali moja ya swali aliulizwa Mr President tunajua nchi yako ni maskini kwa nini hizo fedha nyingi ulizotumia kufikiria Hoteli hii usingesaidia nchi yako .Hakuwa na jibu aibu kwa viongozi wa Afrika wao ndio umaskini wetu.
@hassansalumu210
@hassansalumu210 2 жыл бұрын
Ukitaka kutengeneza hela ,lazima upoteze(sacrifice) hela.... marketing strategies , Advertisment...usikazw sana fuvu mzee
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 nakuunga mkono tuta mkumbuka sana hayati John hakuwa na izi mambo na tulifika uchumi wa kati
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@hassansalumu210 Siwezi kukujibu kwa kweli
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 9 ай бұрын
Very nice to see Tanzania flag there, Swali nani amelipia garama za Tangazo hilo?
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 жыл бұрын
Milioni200 kwa serikali ya tanzania pesa ndogooooo sanaaaaas
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Naam
@khayraatabdool2286
@khayraatabdool2286 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Alhamdu lillah
@mustafasaid9887
@mustafasaid9887 2 жыл бұрын
Mashaallah
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 2 жыл бұрын
Asante mama yetu Kipenzi unatuwakilisha vema lakini tunakuomba utupatie hati za kusafiria na sisi tuweze kwenda kutafuta kazi nje ya nchi.
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie!
@meddy4
@meddy4 2 жыл бұрын
Nice
@magangajames4644
@magangajames4644 2 жыл бұрын
👏👏👏
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 2 жыл бұрын
Alihamdulilah
@kwisa4899
@kwisa4899 2 жыл бұрын
😂😂😂mshapigwa tayari kwa ujinga wenu
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 mchana kweupe🙌🏽 umeme majanga
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Sio kweli
@kwisa4899
@kwisa4899 2 жыл бұрын
@@hajjiomary2383 si ndio maana ya lile neno ujinga hakuna kitu cha bure uko
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 жыл бұрын
@@hajjiomary2383 na wewe si unajikuta mwarabu na ilo jina ndomana
@khadijahassan5415
@khadijahassan5415 2 жыл бұрын
Proud of you my president
@LaizerMlay
@LaizerMlay 5 ай бұрын
Thanks for any buidiling to flag 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@rehema2018
@rehema2018 2 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿
@hamisimuna125
@hamisimuna125 2 жыл бұрын
Kulipendeza sana
@reganclarence4657
@reganclarence4657 2 жыл бұрын
Wow dat iz good
@Babyzay178
@Babyzay178 2 жыл бұрын
Kaka Sky 💜 🇹🇿👏
@UFC_HIGHLIGHT123
@UFC_HIGHLIGHT123 2 жыл бұрын
Milioni 200 kwa cr7 ni pesa ya kuku tu kaka 😂😂😂😂sis ni pesa ya mishahara ya walimu zaidi ya 2000 kwa mwezi
@tanialucas4579
@tanialucas4579 2 жыл бұрын
Kazi iendelee
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 жыл бұрын
Tunasogea taratibu, OIC naiona kwa mbaliiii...kazi iendelee!!
@marthamgaya1304
@marthamgaya1304 2 жыл бұрын
Mashallah
@viviankangara7492
@viviankangara7492 2 жыл бұрын
Dah Tz bhna asilimia kubwa tunadanganywa na vitu vidogo mno kama watoto yani dah
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
🇹🇿 Kwanza ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@judithmakuto3612
@judithmakuto3612 2 жыл бұрын
Karibu Mama Samoa,Tuko huku
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 2 жыл бұрын
nothing is free so guys chill
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 2 жыл бұрын
Umeme wa shida.
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤❤❤
@sunshinesunshine7478
@sunshinesunshine7478 2 жыл бұрын
Iam Tansanian 💜💜💜💜
@lufitetv7120
@lufitetv7120 2 жыл бұрын
salut for my country flag
@denismasele4130
@denismasele4130 2 жыл бұрын
Mhhhhhh kwann uanze kutuelezea mambo ya mikataba ss hatujakuulzaa
@jaswabe_tz
@jaswabe_tz 2 жыл бұрын
Mama tumia ela kwani kodi tunatoa za nn
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 2 жыл бұрын
Mmmmmh Kwa nini Tanzania apo kunajambo ndege kubeba mchanga
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 10 ай бұрын
We need educated people in our country
@lucky9285
@lucky9285 2 жыл бұрын
Jamani mambo mengine ni kutokujua,ni kawaida sana bendera kuwekwa kwenye jengo ilo pindi raisi wa nchi anapokuja Dubai,mwezi uliopita Mseveni alikuwa hapa na kilitokea hicho pia,siku ya kusherehekea Uhuru wa nchi mbalimbali pia bendera uwekwa pale mfano Uhuru wa Pakistani, India Kenya nk.Maonyesho ya Expo yanayoendelea maraisi wengi sana walialikwa na wakifika bendera za nchi zao uwekwa pale.
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
Hussain Mwinyi alienda hebu tuonyeshe wapi Bendera ya Zanzibar iliwekwa kwenye hilo jengo
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 2 жыл бұрын
@@binhussain3445 kwan Zanzibar inabendera ganii unafikiri Zanzibar ipo Kenya au Malawi Acha Ushamba Zanzibar ni Tanzania visiwan Tanganyika ni Tanzania Bara Kwapamoja ni Tanzania hilo neno Tan zan ia (Tanganyika) (Zanzibar) Fatilia nia ni yann na hatuna bendera mbili ss wa Bara na wa visiwan bendera yetu ni Moja tu ambayo ni hiyo ya rangi 4
@lucky9285
@lucky9285 2 жыл бұрын
@@binhussain3445 Ata Raisi wa Dubai Sheikh Makhtoom akienda nchi nyingine anakuwa hana nguvu ya Uraisi (Kama Mwinyi)Lakini Raisi wao wa Muungano (Sheikh Khalifa )ndiye anayebeba nchi
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 жыл бұрын
Mama anaupiga mwiingi mno, kikubwa a tufungulie milango vijana wake tusepe kwa wingi majuu.. 2022 ni mwaka wetu wa mabadiliko. #Kaziiendleee
@guybob4974
@guybob4974 2 жыл бұрын
Kwa iyo Taifa nzima la Tanzania na watu wake wote mnachukuwa mda kufuata Mambo yaliyofanywa na mtu mmoja tu cristiano Ronaldo na wala Ronaldo mwenyewe hajapaniki?😃 Kweli haibu nikujitakia mwenyewe 😃 pole Tanzania
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Kweli aibu sana hapo ndio utajua kuna watu lakini kichwani empty 🙌😆
@selemannaoda2027
@selemannaoda2027 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@moneytv524
@moneytv524 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 na ww kicha maji
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@moneytv524 Asante but iam not useless as you are!
@talibsaid8081
@talibsaid8081 2 жыл бұрын
Lakini nani mwenye uhakika kama Tanzania imelipa hizo hela inawazekana ilikuwa ni goodwill, mkumbuke kuwa Tanzania ilialikwa huko dubai, hii ndo maana nchi za kiafrika haiendelei manake ss tunafikiria pesa tu kwani tunasahau kuwa pesa huzaa pesa.
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
Huku ulaya nchi ambayo nimeiyona mara nyingi kwenye TV ikitangaza utalii wake ni afrika ya kusini na amerika, Australia ufaransa uswizi,Norway,uingereza,ujerumani,swideni, Denmark,ajentina, nishaona nchi nyingi sana zikitangaza utalii wa nchi zao kama serekali imelipa pesa kutangaza utalii imefanya vizur sana tena sana tu tatizo la TZ hawajuw chochote kile wanachojuwa ni kuhusu misaada tu lakin ile misaada sio misaada kama waafrika tunavyojuwa misaada ni jina tu lakudanganyia raia wenye akili za kimaskini pesazm za misaada ni pesa za mkopo tena mkopo wenye gharama sana ili siku moja mujitowe kwenye hali ya kukopa kopa munatakiwa mukusanye kopa kila kona muna takiwa mutangaze nchi yenu ijulikane kimataifa munatakiwa mukamate na kuwafunga wala rushwa na watowa rushwa mukifanya ivyo mutaanza kuendelea huku ulaya wazungu wameendelea kwa sababu wanadhibiti mali ukikamatwa unachukuwa rushwa au unatowa rushwa imekula kwako
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 2 жыл бұрын
@@rubenprince8990 hatujali kuhusu ulaya yako na magaidi wake
@gladnesssidiu4922
@gladnesssidiu4922 2 жыл бұрын
Hii nchi kuna namna
@jmtv1736
@jmtv1736 2 жыл бұрын
RIP MAGUFULI 😭, daaah Hii nchi ipo siku tutapigwa mnada na wananchi tutafurahia 😥
@asiaamohd4077
@asiaamohd4077 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 pole
@musakaphu4581
@musakaphu4581 2 жыл бұрын
Masomo muhimu Saana aisee jifikirie Saana ,,, Hayati Nyerere alishawai kusema Lazma uliwe kidogo ndo UL sasa bila investment Nchi itapiga hatua vipi please work on your education due to understanding skills
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 2 жыл бұрын
@@musakaphu4581 wewe unaona kuuza bandari kwa wachina ni sawa. Unabaki kushangilia vitu vya kijinga huku waarabu wanawanyanyasa waafrika wanaoenda kufanya kazi kwao
@musakaphu4581
@musakaphu4581 2 жыл бұрын
@@nightwishisthegreatestband6355 sidhani kama unajiskiza umeandika nn Kwanza hujaelewa chenye nimeandika hapo Ndiomana unachanganya mafile sasa kuuza bandari Kwa China na watu wanaonyanyashwa na waarabu inaingilia wapi Ila sema nimeona kidooogo unaweza fikiria waeza nitafuta Kwa kukusaidia kiasi sio kwamba nimetetea hapana najua kabisa we have got poor leadership in entire African continent but hukuelewa chenye nimemaanisha
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
@@musakaphu4581 sio kweli africa uwezi ishi bila watu weupe iyo ndoto brother labda magu alikuwa anakusaidia wewe
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 2 жыл бұрын
Tufurahi lakini pia mjue limelipiwa hilo jengo..huku dubai wapo kibiashara zaidi
@JtanyMedia
@JtanyMedia 2 жыл бұрын
Kondole
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 жыл бұрын
Mmh mmh mmh! Nchi inaanza kuuzwa kwa waarabu taratibu, ndo nshasema ivooo. Waafrika huwa hatufikirii kabisa adi iwe too late
@wazambulitv5735
@wazambulitv5735 2 жыл бұрын
DUBAI😃👇: Jengo refu zaidi Duniani lilianza likiwaka "Kaa Nyumbani" ambayo Ni maneno ya Kiswahili ayo kwaajili ya pambano dhidi ya Covid, kuwaasa watu wakae zaidi Majumbani, #SwahiliNation🇹🇿 *WAZAMBULITV IN DUBAI* Alafu baadae bendera ya taifa ikafata #Tanzania🇹🇿
@kiatu
@kiatu 2 жыл бұрын
Value for money?
@wizyjunior5771
@wizyjunior5771 2 жыл бұрын
Bado JPM ataonekana ni mwamba tu Samia Hapana kwan Waziri wa mambo ya njee ana kazi gan jaman ama balozi wa Tz huko Dubai kazi yake n nn jaman hizo pesa za matangazo x angejenga hata zahati ya kijiji tu
@zombazezu
@zombazezu 2 жыл бұрын
Ni jitihada nzuri na ni kitu kikubwa. Hapa kuna watu wengi wa Dunia
@sheriibrahim6753
@sheriibrahim6753 2 жыл бұрын
Tanzania yetu inapawishwa benders yetu inaungaa Dubai. Kazii ienderee
@omarifadhili651
@omarifadhili651 2 жыл бұрын
Mama mtalii hajawahi kufika Dubai naona wanyonge tutanyooshwa
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 2 жыл бұрын
Hhahaa Dubai kashakwenda saana tu.....
@Adeen.1
@Adeen.1 2 жыл бұрын
Ni mwendo wa kuwekana tu asa ka zamaradi kamuweka mumewe sie nani tusiweke bendera yetu
@samwelmaduhu1233
@samwelmaduhu1233 2 жыл бұрын
Izo pesa za kutangaza bendera c bora mngenipa mimi nikaongezea kwenye mtaji wangu wa nyanya
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 жыл бұрын
Hayo ni mapokezi ya mgeni rais samia sio serekali ya Tanzania italipa
@berthatz
@berthatz 10 ай бұрын
Na hapa ndiyo Walifanya toast ya kugawa bandari…Mungu awalaani hawa viongozi wahaini.🤬
@venancemalima1181
@venancemalima1181 2 жыл бұрын
Sawa lakini baadaye itakuaje huko.
@science_fact93
@science_fact93 2 жыл бұрын
Kwani kuna mtu ambae haijui Tz Jamani jpm aliitangaza Kwa misimamo migumu na bila ghalama yoyote
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 10 ай бұрын
Tanzania tuko juu zaidi
@gaddafi_og1966
@gaddafi_og1966 2 жыл бұрын
🥶🥶
@hassanjongo4309
@hassanjongo4309 2 жыл бұрын
Like
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
Hatukatai kulitangaza taifa,lakini huku bdo tunalia na tozo na mengine mengi yanayofanana na hyo ,ifanyeni nchi ifurahiwe na wote japo Kwa vitu vidogo vidogo vitakavyosuuza nafsi zetu ,
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Taifa linatangazwa karne hii kweli?mbona kila msimu unavitimbwi vyake sasa tupo kwenye series ya kutangaza nchi .Tanzania inajulikana karne hii ya Facebook whatsap Twitter Tiktok hivi kweli ni ya kutangaza ati tuna mlima Kilimanjaro na mbuga za wanyama. Wakati miaka nenda rudi watalii wanakuja Tanzania! Na tunamaonyesho kila miaka yamesimama sasa juu ya Corona ya International Board of Turism hufanyika Ulaya hadi Marekani na wadhamini ni Wizara ya Utalii na Makampuni yale yote yanayooenda hulipia na kwenda huko kutangaza biashara ya utalii. Sasa huu utalii unaotangazwa sasa tena hii ni kutimba fedha au Raisi mzima kufanya filamu wakati kuna Waziri wa Utalii na watendaji kibao hii ni kihoja cha ajabu katika nchi hii .
@moneytv524
@moneytv524 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 wabongo hamna mnalotaka ,hata huyo magu mulilalamika ,alipokufa tu mukaanza kumsifu🤣🤣🤣
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 hiyo ndo Tanzania
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@moneytv524 Magu tulimkosoa Kwa mabaya yake na tulimsifia Kwa mazuri yake na Kwa bahati nzuri tuliyaona mazuri mengi Sana akiwa hai, Rudi uangalie comments za watu enzi zake utaons
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 acha tu
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 жыл бұрын
Tangaza nchi tupo nyuma
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 жыл бұрын
Rwanda wameinvest sana kwenye kutangaza nchi yao kimataifa yaani waliingia mkataba na Arsenal ili watangaze utalii wa nchi yao na wanaingiza pato kubwa,sasa sisi kuweka Tangazo la dkk 3 kwenye jengo hilo binafsi sijaona kama ni big deal, tunatakiwa kuingia mikataba na makampuni makubwa ya matangazo au Team kubwa za michezo hili tutangaze vizuri Taifa letu na Tamaduni zetu.
@hamisikambona8763
@hamisikambona8763 2 жыл бұрын
MAKOLO cjui wameiona hii
@philipocharles8507
@philipocharles8507 2 жыл бұрын
Yetu macho tu
@peterirungu2904
@peterirungu2904 2 жыл бұрын
Kenya ilikua uko last week
@amzyahmed313
@amzyahmed313 2 жыл бұрын
Matangazo ya bendera za nchi hazilipiwi. Ni ishara ya Urafiki.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 жыл бұрын
Yeah right😏
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 2 жыл бұрын
nchi ishauzwa huko
@lilianambokile7795
@lilianambokile7795 2 жыл бұрын
Kwaiy nass kuitangaza hiyo bendera tumetumia milioni 157 duuu! Niatali lkn salam
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Kawaida tu brother
@bizzoforreal8502
@bizzoforreal8502 2 жыл бұрын
Hii ya kibabe sana
@kabhusimbengawandenga6432
@kabhusimbengawandenga6432 2 жыл бұрын
Safari za ulaya kibao mwaka hauja isha utafikilii mtalii
@teddynyash8073
@teddynyash8073 2 жыл бұрын
zamaradi ndo akamuweke mmewe pale
@enockmgeni5897
@enockmgeni5897 2 жыл бұрын
Taxmoney of Tanzania daaaah we are destroyed
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 52 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 31 МЛН
Bill Gates on AI, Elon Musk & Why 2050 Climate Goals Still Possible
24:07
Bloomberg Television
Рет қаралды 66 М.
Who killed the ESG party? | FT Film
27:58
Financial Times
Рет қаралды 85 М.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Churchill Television
Рет қаралды 207 М.