YAFAHAMU MAJENGO MAREFU ZAIDI BARANI AFRIKA,TANZANIA YASHIKA NAMBA 10

  Рет қаралды 123,598

Millard Ayo

Millard Ayo

9 ай бұрын

Пікірлер: 142
@iddninga
@iddninga 9 ай бұрын
Mbona hesabu katika hii makala haipo sawa kabisa ,Mwalimu wa Mathematic anahitajika huku
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 2 ай бұрын
We Dada mnara na jengo ni vitu viwili tofauti la sivyo esabu na minara ya TTCL
@Markhomestz
@Markhomestz 9 ай бұрын
Mdada anasimulia vizuri ila kachoma vitu vingi sanaa😂😂😂😂
@princek047
@princek047 9 ай бұрын
😂😂😂😂 tembea huku kwetu Kenya upatane na GTC yenye iko Westland na utajua britam sio njengo refu Kenya. Wachana na Google madam tembea uhakikishe
@mohdabdalla7070
@mohdabdalla7070 3 ай бұрын
Mh Yan nyi wakenya Kila ktu kpo kwenu tu mna shida gani?
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 9 ай бұрын
Majengo marefu ni mazuri kupendeza macho, ila tujue kuwa hayo hayo yanaweza yakatumika kuleta maafa makubwa kwenye dunia hii ya matetemeko. Adui yetu anajua hivyo, na anatutazamisha kwa fahari na maendeleo kiasi kwamba hatuwazii hatari yake. Ni mtazamo wangu, japo ni reality.
@shafarh.
@shafarh. 9 ай бұрын
Alafu Tanzania wanafananisha dar salaam na Nairobi
@Samwelsamwelmera
@Samwelsamwelmera 8 ай бұрын
Watanzania tunaongopewa sana iweje namba 10 africa alafu namba 2 tx hironamba moja likowap
@kazkaz1943
@kazkaz1943 9 ай бұрын
Endeleen na habar za kina giggy money na babalevo iz habar hamziwez mtaonekana tu matapeli😂
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 9 ай бұрын
Sasahivi Millard Ayo taarifa zake azinaga usahihi ilimladi kapost tu hazina mvuto tena!.
@abdirahmanabby761
@abdirahmanabby761 9 ай бұрын
@1:43 ETI MSIKITI MKUU NCHINI MISRI IPO ALGERIA? NIKAMA KUSEMA MSIKITI MKUU WA DAR IPO NAIROBI 😮😅😅😅
@berusarga2897
@berusarga2897 8 ай бұрын
Leo nimeharibu mb zangu pumbavu
@kingfuture7147
@kingfuture7147 8 ай бұрын
Namba mbili kwa uref zaidi Tanzania. na namba mbili kwa urefu zaidi dar es salaam 🤣🤣🤣🤣🤣
@Dunia129
@Dunia129 7 ай бұрын
lililoko misri nchini Algeria nan ameskia hii😂😂😂
@abdallahkisuda4859
@abdallahkisuda4859 9 ай бұрын
huyu muangaaji ni muongo sana! millard media imekua sasa ajiri mhariri!
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 9 ай бұрын
La pili ndiyo la kwanza khaaa cjaelewa
@madrassatqadriyapalma
@madrassatqadriyapalma 8 ай бұрын
Tembeyeni muone sababu Tanzania akuna jengo lefu kushinda Mozambique. Uoo ni uongo tembeyeni
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 9 ай бұрын
Fanya tafiti vizuri sky kwapa
@alipetrelis7109
@alipetrelis7109 9 ай бұрын
Jengo namba 10 Africa , alafu namba2 tz😂😂😂
@mikelokamba1202
@mikelokamba1202 9 ай бұрын
Mwanamke huyu mwehu kumbe yani jengo namba 10 africa ndio namba 2 tanzania
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 9 ай бұрын
La pili lipo misri or Algeria?
@ayubusanga4997
@ayubusanga4997 9 ай бұрын
Vp like la ubungo kak 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zombazezu
@zombazezu 9 ай бұрын
Eti urefu mita 15 😀😀😀
@Pharadge
@Pharadge 9 ай бұрын
Angalau TZ hatujaachwa
@DM_15
@DM_15 9 ай бұрын
Jengo namba moja na nambambili sijaelewq vizur yoteyapo taifamoja au😂
@hamisichande4231
@hamisichande4231 9 ай бұрын
Namb moja n rozar rotana ambalo bado halijaingia kwny orodga hii
@totodavis1949
@totodavis1949 9 ай бұрын
Huyu hajielewi britam Kenya sio refu na hata maelezo Yako sio kweli mengi uwongo
@MuliKennedy
@MuliKennedy 9 ай бұрын
Gtc hiko na 208ft
@stivertz7014
@stivertz7014 9 ай бұрын
Hasa hilo jengo la Tanzania si wangeweka linaloongoza ambalo lipo pale Njia ya kwenda Mwenge PSPF tower
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 9 ай бұрын
kabisa
@abdulmruke2246
@abdulmruke2246 9 ай бұрын
Hapana lile halifikii hata yale majengo yote ya posta
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 ай бұрын
Hapa waje engineer waliojenga hayo majengo kila MTU aesme la nchini kwake lina mita za mraba ngapi ndo tutaenea humu,
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 9 ай бұрын
Mita 15!!
@hassaniddrismwamba
@hassaniddrismwamba 9 ай бұрын
Kenya kuna mijengo mirefu kuliko hio britam
@maxwellsanga3662
@maxwellsanga3662 9 ай бұрын
Tembea Kenya dada😂 britam sio jengo kubwa kenya
@walternyabicha9057
@walternyabicha9057 7 ай бұрын
Wanaangalia hadi spire
@gregorybakuza5796
@gregorybakuza5796 6 күн бұрын
Hiyo mita 15 ni jengo au kitambaa!?
@mosepaul3886
@mosepaul3886 9 ай бұрын
Yan humu ndani mmechoma atarii
@babasandra638
@babasandra638 9 ай бұрын
Kwan mwana habari ni Samia suluhu
@sofiaabdirahman7838
@sofiaabdirahman7838 9 ай бұрын
Jengo ndefu kenya ni Times towers. Acheni hizo
@jibrilmohammed3698
@jibrilmohammed3698 9 ай бұрын
Nigeria iko wap umekosea saaana
@SakinaSadiki-tw2qt
@SakinaSadiki-tw2qt 8 ай бұрын
Hahahahahaha daaah nimecheka sana jengo namba kumi Lina urefu wa mita 15 namba mbili kwa ukubwa Tanzania lakini ilo namba moja kwenye majengo marefu alijawekwa
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 9 ай бұрын
Aliyeelewa kuhusu hilo jengo la Tanzania anieleweshe😮
@steveomaryKabogo
@steveomaryKabogo 7 ай бұрын
Tanzania yangap kwaukubwa was jeshi
@djsunextv
@djsunextv 8 ай бұрын
Sijakubaliana na nyingi kabisaa GTC Towers ina urefu zaidi ya Britam towers
@parabinamu55
@parabinamu55 9 ай бұрын
Naona Millard Ayo ulikuwa unatupima kama tupo makini habari itolewayo au tunatizamaga tyu ili tumalze mabando yetu 😂😂😂
@kenedykimulika2224
@kenedykimulika2224 9 ай бұрын
msikiti upo algiers mara nchini misri mara upo Algeria
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 9 ай бұрын
Hata kitega buchumi ni jengo refu sana dar, 😂
@kassimayoubmohd6313
@kassimayoubmohd6313 9 ай бұрын
😂😂😂😂 Jengo namba 10 kwa urefu Africa lkn ni namba 2 kwa Tz😂😂😂sasa hilo namba 1 kw tz linashika namb ngp kw Africa???😂😂😂
@frankkatima607
@frankkatima607 9 ай бұрын
Hahahahaa!!! Ndo wandishi wetu sasa tutafanyeje ngoja tuibiwe MB zetu
@allutacontinua719
@allutacontinua719 9 ай бұрын
so funny 😂😂😂😂😂
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 9 ай бұрын
😀😀😀😀🤣🤣🤣
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 9 ай бұрын
Hawajielewi hawajitambui
@iamlenox1
@iamlenox1 9 ай бұрын
Wamezingua 😂😂
@kingfuture7147
@kingfuture7147 8 ай бұрын
Habari za kikuma tu
@keteargaszpubg2672
@keteargaszpubg2672 8 ай бұрын
Hizi ni stori za jaba😂
@vitrahbongz9420
@vitrahbongz9420 9 ай бұрын
Hapo kweny tower la kibongo hapaelewek vizur 😂😅 -Mita 15 😂 -Nr 2 nchini 😂
@user-kc4il6yb7u
@user-kc4il6yb7u 9 ай бұрын
Hilo la namba Moja la mwenge hawaja update taarifa likaingizwa Kwa kuwa jengo halinamdamrefu ,mupo hapo
@djkikombe
@djkikombe 8 ай бұрын
Sasa kwann lijulikane namba mbili wasingesema kuwa ninamba mbili wangeachatu mpaka lingeingizwa kwelist ndo waseme kuwa ninamba mbili
@shafiikhamis2336
@shafiikhamis2336 9 ай бұрын
Msikiti mkuu uliopo miasri, aljers algeria Nd nin sasa
@kandydgitaltz
@kandydgitaltz 9 ай бұрын
@kandydgitaltz
@kandydgitaltz 9 ай бұрын
Wakiwa wanaandaa makala wajaribu kuwasiliana na wahusika basi
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 9 ай бұрын
😅😅😅
@Reece-qk9ji
@Reece-qk9ji 8 ай бұрын
Tembea Nairobi ujue britam sio refund tena
@amazi6796
@amazi6796 9 ай бұрын
Mita 15???
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 9 ай бұрын
Hovyoooo
@t1910j
@t1910j 6 ай бұрын
TRA tower la Tanzania lina urefu wa mita 15?😳 huyu dada hayupo makini 🤷🏾‍♂️
@brianmasiga9748
@brianmasiga9748 8 ай бұрын
Wewe hujui kitu unasema😂😂😂
@EsauNaboth-yn2fl
@EsauNaboth-yn2fl 9 ай бұрын
Tanzania na majengo marefu wap na wap 😂
@MuhidinMangu
@MuhidinMangu 9 ай бұрын
Mmepigwa
@michaelfrenkline3429
@michaelfrenkline3429 9 ай бұрын
Mmetuokota. Sasa ni namba mbili Tanzania inakuaje namba Kumi afrika. Iyo namba moja Tanzania je
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂Dunia ngumu hii
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 9 ай бұрын
Tumepigwa hapo namba moja hawajaweka
@hamisichande4231
@hamisichande4231 9 ай бұрын
Namb moja n rozar rotana,bdo halijaingia kwny hz orodha
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 9 ай бұрын
Linakuwaje jengo refu na unasema lina mita 15??
@officialstar_walker
@officialstar_walker 9 ай бұрын
Sasa kama hilo ni namba mbili tanzania kwanini msingelieka namba moja tulijue ,alaf kutuambia hilo mita 15 ni uongo
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 9 ай бұрын
Sasa sindo nashangaa linashikilia nafasi ya pili kwa urefu Tanzania na nafasi ya pili kwa majengo marefu Dareslaam asa jengo namba Moja Tanzania na Dareslaam si ndo ulitaje Hilo kuliko kututajia namba mbili
@officialstar_walker
@officialstar_walker 9 ай бұрын
@@EzzyEddy-il3ce kabisa yani kwanza apo mambo mengi kaongea ya uongo
@hamisichande4231
@hamisichande4231 9 ай бұрын
Ypo sahih dada,namb moja linaitw rozar rotana ambalo bdo wakt orodh hii inatok lilikuw bdo halijaingia kwny orodha
@abdalahfundi7936
@abdalahfundi7936 9 ай бұрын
Huyu dada anaitwa nan
@fireworks574
@fireworks574 9 ай бұрын
Dada, simulia ulale
@saudaramadhan5855
@saudaramadhan5855 9 ай бұрын
Mnatupotezea bando
@muddybreezy4595
@muddybreezy4595 9 ай бұрын
Jengo la Tz lina mita 15?😅
@GeorgeEbake
@GeorgeEbake 9 ай бұрын
Ivi mnajua mnara ulioko congo wa Mitac 212 au mnabuni tu
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 9 ай бұрын
Mita 15😂
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 9 ай бұрын
Jengo lefu Tanzania si lile pspf tower pale mwenge?
@abdulmruke2246
@abdulmruke2246 9 ай бұрын
Hapana lile ni la tano ni kwa vile liko peke yake Ndo maana unaona vile
@user-ec5we1gr4f
@user-ec5we1gr4f 7 ай бұрын
We ni fala tu
@leuyaxt5382
@leuyaxt5382 9 ай бұрын
Djamaa el Djazaïr msikiti mkuu nchini misri uliopo Algiers, Algeria. Yoo ni nini unaongea au Algeria sio nchi😂😂😂
@kingbeetimoo
@kingbeetimoo 9 ай бұрын
GTC iko wapi,from 254
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 8 ай бұрын
Westland ama nn
@kingbeetimoo
@kingbeetimoo 8 ай бұрын
@@elinamilyatuu7337 yes chiromo
@rogasianshayo3740
@rogasianshayo3740 9 ай бұрын
Mnatubeba ujinga
@josemedia6661
@josemedia6661 8 ай бұрын
sasa kama linashika namba 10 na wakati huo ni jengo namba 2 tz mh cjaelewa hapo 😂😂😂😂
@mwakyusamwakyusa686
@mwakyusamwakyusa686 9 ай бұрын
Haka kadada kujinga sana
@Abdallahmosha35
@Abdallahmosha35 8 ай бұрын
Msameheni ameteleza
@ygggggg9762
@ygggggg9762 7 ай бұрын
Ameanguka kabisa huyu hata haja teleza 😂😂😂😂
@williamkirema6254
@williamkirema6254 9 ай бұрын
Fanya uchunguzi vizuri wewe
@user-uy6fg1ze7q
@user-uy6fg1ze7q 9 ай бұрын
Nikwakuwa lile la mwenge liko mbali lingewekwa posta lingezidi kupendezesha mji na aliyeshauri jengo lile kujengwa mwenge hakuwa na akili sawa sawa muwe mnaangalia hata ushauri
@abdulmruke2246
@abdulmruke2246 9 ай бұрын
Ila lile jengo linamuonekano nzuri tena sana kuliko hata lile la bandari pale posta
@Runkiller1
@Runkiller1 9 ай бұрын
Kwanini hilo lililo shika namba ya kwanza Tanzania lisiwe la 10 Africa 😂😂😂😂
@stanleyjohn1361
@stanleyjohn1361 9 ай бұрын
Hilo la bandari ni uwongo
@johnmlay4759
@johnmlay4759 9 ай бұрын
hizo ni research zinafanyika sio ati mtu anakurupuka
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 ай бұрын
Unabisha simulia wewe basi
@johnmlay4759
@johnmlay4759 9 ай бұрын
@@fahadfaraj6474 si ndio, mtu anabisha bila fact
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 ай бұрын
@@johnmlay4759 kashashiba chapati zake na njegere kaweka kibando chake cha mia tano anatafuta wakumtolea hasira zake za maisha
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 9 ай бұрын
Atuletee yaliyo ya kweli kama kaona haya ni oungo
@JacksonDominicko-st2qy
@JacksonDominicko-st2qy 9 ай бұрын
bwana ww 😂😂😂 MITA 15
@frankshindano4620
@frankshindano4620 9 ай бұрын
😂
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 9 ай бұрын
Hamjaedit makala yenu kabla ya ku upload ghorofa 35 na mita 15 Hamna hata aibu kula mabando yetu kwa uongo Wasting floor ya ghorofa n mita 4 mpaka 4.5 so chukua 35×4 kisha mjicheke wenyewe
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 9 ай бұрын
Mnatulazimisha kukanyaga tope siyo? eti Mita 15 na la pili tz hakiki habari vizuri ala!
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 8 ай бұрын
Hata USA plaza ni zaidi ya Mt 15 hapa Leganga Usa river
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 8 ай бұрын
Watu wana msongo wa kausha damu
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 8 ай бұрын
@@aminielimushi8709 😂😂
@user-iw9zm7zh2u
@user-iw9zm7zh2u 9 ай бұрын
Mtawekaje number 2 wakati number1 ipo
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 9 ай бұрын
Ndo ushangae na wewe
@MrGoatAi
@MrGoatAi 8 ай бұрын
Sky krapa wewe kuwa makini
@ayubusanga4997
@ayubusanga4997 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zashayrasaid8950
@zashayrasaid8950 9 ай бұрын
Khaaaah mfyuuuuuuuh 🤣😂🤣😂🤣 Tanzania tena
@kennar012
@kennar012 8 ай бұрын
GTC towers is way too tall than BRITAM. stop lying. Kenyans we know that.
@armandoleonardo6966
@armandoleonardo6966 9 ай бұрын
Como é possível nessa lista constar Tanzania e não Mocambique uma vez que Tanzania não tem nenhum prédio que supera o de maputo de 33 andares?
@allyhumoud
@allyhumoud 9 ай бұрын
Esse de Tanzânia tem 35
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 9 ай бұрын
Hata mimi sijaelewa inawezekana vipi kama sio kutuongopea
@lazzrchanal1935
@lazzrchanal1935 9 ай бұрын
Além disso, a analista é tanzaniana, isso não pode te machucar
@samuelnjau1600
@samuelnjau1600 8 ай бұрын
😊
@user-si6ct5jz1h
@user-si6ct5jz1h 7 ай бұрын
Sasa jengo n la pili kwa urefu Tanzania na la kwanza halipo top ten
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 9 ай бұрын
Hahahahaahhaha hiyo post atakuwa amefanya MTU tofauti na Mkenya
@KisofaOg-wv8ex
@KisofaOg-wv8ex 9 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/l7yRnMRnvse7XY0.htmlsi=x58znitIflbBNC3N tweni tukatizame
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 101 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
MAJENGO 10 YA AJABU DUNIANI
3:36
swahilitimes
Рет қаралды 192
DO YOU KNOW WHY TANZANIA DIDN’T GO TO THE OLYMPICS? BY: MCA TRICKY
10:37
Churchill Television
Рет қаралды 121 М.
HIZI NDIZO NYUMBA KUBWA ZAIDI ULIMWENGUNI
4:40
Spesho Kabwanga Online
Рет қаралды 33 М.