BI HARUSI EPISODE 2

  Рет қаралды 33,154

MBWELA MEDIA

MBWELA MEDIA

3 ай бұрын

Пікірлер: 129
@Zeldaommy
@Zeldaommy 3 ай бұрын
Hii movie inakaukweli ndani yake nawapongeza sana wote mulio shiriki hapa mumefanya kazi nzuri sana team mbwela mko wp njooni mbwana mulike mucomment ❤❤❤🎉🎉🎉😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 ай бұрын
Bi harusi imetoka 🎉🎉🎉kaka mbwela nilikua nimesha isahau usiwe unakawiza sana movi nzuri kama iyi❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ngoshanangi8629
@ngoshanangi8629 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka tuko pamoja nikiwa kahama, shinyanga Ila naombeni like zenu jamaniiiii🙏🙏🙏
@ngoshanangi8629
@ngoshanangi8629 3 ай бұрын
Nashukuru sana kaka mbwela
@IreneNyavanga-dk6ux
@IreneNyavanga-dk6ux 2 ай бұрын
Mbona hii ilichelewa kunifikia
@IreneNyavanga-dk6ux
@IreneNyavanga-dk6ux 2 ай бұрын
Wao❤❤
@user-qx4dg1bc6r
@user-qx4dg1bc6r 3 ай бұрын
Kawia ufike ,,,ila kakang ngoja nying inatuumiza matumbo,,,kaz safi n hongera
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 3 ай бұрын
Yani hii ni tamu sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@nkurikiyearodiedavid6255
@nkurikiyearodiedavid6255 3 ай бұрын
Ep3tunaitaka haraka,nawapongezeni.yaani nikimuona mbwela lazima nitazame mpaka mwisho
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 3 ай бұрын
Wa du you wich🤣🤣🤣🤣kipara
@FurahaAmina
@FurahaAmina 3 ай бұрын
Asante Sana mbwela kwakutuletea mwendelezo , Nawapenda Sana mimi!!❤❤
@Zahrah11-xy2iy
@Zahrah11-xy2iy 3 ай бұрын
Kaka unachelewa sn kutoa muendelezo nakupata nikiwa 🇴🇲
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 3 ай бұрын
Kipara.jamani eti connection kwenye picha za utupu 😂😂😂😂 hatari
@dollar105
@dollar105 2 ай бұрын
Yeye hatari 😂😂sana hata kizungu
@biashaqtr-xd2mf
@biashaqtr-xd2mf 3 ай бұрын
Mashallah mwanangu siku zote naangalia movie zako.Hi movie niyaukweli kabisa Na Allahu amekujalia kupanga vizuri na pia nifuzo kwa jami zetu za kiislamu watajifuza na pia watajitambua namin hawatokubali kuchezewa ovyo.Napia zawadi yako Allahu amekuekea duniani na kesho Akhera . Nakupenda sana mwanangu mbweya Allahu akulinde na awazidishie busara na hikma hizi ndio movie mbora za kutufundisha madili na ustarabu wadini unapo mstri mwenzo na Allahu naye anakustiri bila hesabu.❤❤❤❤❤❤
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 3 ай бұрын
Next pls tamu zaidi ya asali can't wait ❤from kenya
@Brownlecovalfilms
@Brownlecovalfilms 3 ай бұрын
BROWN LE COVAL from Congo liké zangu kwema ❤❤ kweli naipendaaaaa
@salmahoperi9783
@salmahoperi9783 3 ай бұрын
From Pakistan napenda sana kazi za mbwela
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Safi sana big kaka na kundi lako🎉🎉🎉🎉kipara huna nywele ila una akili 😂😂😂#ukiahidi mtu kitu na usitimize Mungu anachukia ila umechoma apo kwa connections sijapendaaa😅😅😅 🙌 🙌 🙌
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 3 ай бұрын
Bi harusi inakubalika mbwela hii movie kali sana uschelewe kututolea tupe mwendelezo proo ❤❤
@user-eq8cg3pc1u
@user-eq8cg3pc1u 3 ай бұрын
Naomba like kwa kipara nipeni like zangu 🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂
@user-eq8cg3pc1u
@user-eq8cg3pc1u 3 ай бұрын
🤗🤗❤❤
@dinabilemanga1703
@dinabilemanga1703 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka mbwela nakukubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉 kaka mbwela 🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@user-dq5qu7hx1w
@user-dq5qu7hx1w 3 ай бұрын
Nzur sn nimeipenda 🇧🇮
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 3 ай бұрын
❤❤❤
@user-vv3vj9gu7q
@user-vv3vj9gu7q 3 ай бұрын
Mbwela huna BAYA my dear nikupe maua yako🎉
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 ай бұрын
We jama hiyo style yako yakuchomekea Kiingereza ni poa sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 3 ай бұрын
😂😂😂
@saumbliz8983
@saumbliz8983 3 ай бұрын
Hichi kisa kilitokea kweli daah hongera sana mbwela
@Zeldaommy
@Zeldaommy 3 ай бұрын
ACHA nilie alafu nitacommet badae😢😢😢😢😢😢😢
@MercyKahindi-go2nr
@MercyKahindi-go2nr 3 ай бұрын
Mbwela Kwa ubora wake❤❤ nakupenda Sana mbwela Mungu akuzdishiee kakanguuuu❤❤❤
@barkaoman-ub6ko
@barkaoman-ub6ko 3 ай бұрын
Bwela I love you ❤❤
@luckylucky7153
@luckylucky7153 3 ай бұрын
Bwela wee noma broo mungu akujalie uzidi kusonga mbele
@user-ce6gf1mh7i
@user-ce6gf1mh7i 3 ай бұрын
Hi movie nzuri sana haswaa huyo muimbaji hiyo saut mashallha
@MillycentSidi-ij7rr
@MillycentSidi-ij7rr 3 ай бұрын
Hongera kaka chukua mauwa yako mbwela🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹👌
@Mamalyzzy004
@Mamalyzzy004 3 ай бұрын
Movie zako nyingi mbwela hazihusishi mambo ya uchawi au ushirikina hvo basi znamafunzo sana tofauti na hzo zngine. Aky Mungu akzdshie Fikra
@remiomar7154
@remiomar7154 2 ай бұрын
😂😂😂kipara connection mjini dada mwenyewe app yake mangekimambi
@everdhekay4924
@everdhekay4924 3 ай бұрын
Kazi zuri mbwela,, Zumba 🤣🤣
@edwardmichubu3078
@edwardmichubu3078 3 ай бұрын
Mbwela 🎉🎉🎉🎉
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 3 ай бұрын
Saf sana kbs❤❤❤❤
@user-dx9ch7vw8r
@user-dx9ch7vw8r 3 ай бұрын
Eeh bhaan ee binam chakul ch ham❤😂alaf hao waliopend familia wakakuowey hhhhh kisa imetulia ikalelew kwny maadil aisee mbn mtadhalilik😅😅makos saan kuowa im kuolew kabl hujamaliz stareh zako jhhhh
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Wataaibika aswaa
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 3 ай бұрын
Mkeo ni kirango mbyaa hapo umekosea kuowa baba
@hghh6056
@hghh6056 3 ай бұрын
Bwela hongera bro kazi nzuri 🇰🇪 kwa kweli ww ni bingwa nakukubali hakika kazi zako zavutia saana Tena musimamo wako wa Kila tafsiri huwa unanipendeza saana sijui kwa kuwa ni kazi ou nimuonekano wako waonekana kijana mzuuri saana mwenye busara mpenda watu na kijana mwenye heshima saana kwa kweli Mimi nakupenda tu Bure ❤❤❤❤❤ mungu abariki kazi yako na akutie nguvu na akuheshimishe duniani🎉🎉🎉
@Ummykassimtz
@Ummykassimtz 3 ай бұрын
Mbwela unajua bwana
@marialumbanga
@marialumbanga 3 ай бұрын
Kazi nzuri hongera🎉🎉🎉best yake tatiana hapa
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 3 ай бұрын
Mbn mnachelewesha sana😮😮😮
@user-pz3py2qu4w
@user-pz3py2qu4w 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤ kaz nzur san
@mariammariam5723
@mariammariam5723 3 ай бұрын
Kazi nzur❤
@user-pv5xn6vc1w
@user-pv5xn6vc1w 2 ай бұрын
Kaka mbwela upo mwanaume cleanheart kwa kumstiri binamu yako maua yako hayooo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@InnocentArmadillo-do9vm
@InnocentArmadillo-do9vm 2 ай бұрын
Filamu nzuri sana na inamafunzo ndani yake hongereni sana
@rehema-lg5cl
@rehema-lg5cl 3 ай бұрын
Jamani sio haramu kumuoa binamu msimkejeli mbwela😢
@salmah9908
@salmah9908 3 ай бұрын
👍👍
@SaraphinaFundi-rl2hx
@SaraphinaFundi-rl2hx 3 ай бұрын
Mbwela big up
@hassanpashua
@hassanpashua 2 ай бұрын
Kina wengne nampa papa noma Sana kipara ww
@NoelaGustave
@NoelaGustave 2 ай бұрын
Daaah kiukweli mnayajuwa nimependa aise
@VumiliaOmary
@VumiliaOmary 3 ай бұрын
Kazi nzuri
@user-zx3ji7ux4k
@user-zx3ji7ux4k 3 ай бұрын
Hiyo connection jamani mbona balaaa kweli kipara umetisha
@user-ef1zl5gi1k
@user-ef1zl5gi1k 3 ай бұрын
Kazi nzur hongerani Sanaa 🎉❤❤
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 3 ай бұрын
Kaka mbwela
@J23976
@J23976 3 ай бұрын
❤❤🔥
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h 3 ай бұрын
Ongeren san ila mnachelewesha jaman daa
@user-jv1so6rb7i
@user-jv1so6rb7i 3 ай бұрын
Aupo
@bigrabonta
@bigrabonta 3 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana
@user-pp3vo8rw5j
@user-pp3vo8rw5j 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SarafinaNaftali-lw2gk
@SarafinaNaftali-lw2gk 3 ай бұрын
Apo kweny what do you which
@giftelinazi3487
@giftelinazi3487 3 ай бұрын
usichelewe kutoa epsd inayofuat jamn
@user-wy7wn7cf6s
@user-wy7wn7cf6s 3 ай бұрын
Bwela hongera sana kaka nakuona
@nduwimanadiane3609
@nduwimanadiane3609 2 ай бұрын
Nakupenda sana mbwela
@user-xd4qc5iy7j
@user-xd4qc5iy7j 3 ай бұрын
Kipara😂😂😂 msengee sana
@user-qq4zr3sk2g
@user-qq4zr3sk2g 3 ай бұрын
Kipara sasa 😂😂😂😂eti mzee wa Kawe
@GravitTaboi
@GravitTaboi 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤ kazi safi sana Mbwela ila tu hujawai like comments zangu
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 2 ай бұрын
Nawapenda sanaaaaaaa jamani ❤❤❤❤❤❤❤
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 2 ай бұрын
Bwela wewe niwaamaana ssna unaweza sana
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 2 ай бұрын
Nzuri sana ❤❤❤🇹🇿
@bosslady1286
@bosslady1286 3 ай бұрын
Hongera mbwela🎉🎉🎉❤❤❤
@jeskaoscar9423
@jeskaoscar9423 Ай бұрын
Sema move inaboa mnaweka sehem Moja inakuwa ndefu Sana yaan wakianz kuongea adi tunaperek mbere ila move nikari San ongeren San 🎉🎉
@Muddy-jr1ej
@Muddy-jr1ej 3 ай бұрын
Mudy nyange apa mzee kazi ipi vizuri uwa munatoa kwamuda gan
@ChimamyMamy
@ChimamyMamy 2 ай бұрын
Alie imba ninani jamani nataka jina la nyimbo
@user-dz4jc5vr9s
@user-dz4jc5vr9s 3 ай бұрын
Hongera kazi nzuri ila naomba muendelezo usichelewe
@user-yd9ni1lt3l
@user-yd9ni1lt3l 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂kipara na kizungu jamani
@josephrwakayonza3654
@josephrwakayonza3654 3 ай бұрын
Mbona xaxaivi move mnachezea mazingila yaleyale2
@dollar105
@dollar105 2 ай бұрын
Kipara io kizungu yako ni kali😂😂
@user-zx3ji7ux4k
@user-zx3ji7ux4k 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@Agyy628
@Agyy628 2 ай бұрын
Sauti ya mbwela 😊😊😊😊😊
@Mwanajuma-ro9sl
@Mwanajuma-ro9sl 3 ай бұрын
Mbela pia Mimi nataka kujua maana ya zatiti
@suneelhamsik9673
@suneelhamsik9673 3 ай бұрын
Mnachelewa sana kutoa episodes
@dorahhussein
@dorahhussein 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Joyce-qf5px
@Joyce-qf5px 3 ай бұрын
Mwasiiii kakoso😅😅😅😅😅
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 2 ай бұрын
Mange kimambi unajulikana😂😂😂😂
@user-hm5ze9sz2v
@user-hm5ze9sz2v 3 ай бұрын
Kipara bnaah ety why do you which😅😅
@MaryZawadi-yg4cu
@MaryZawadi-yg4cu 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅
@MaryZawadi-yg4cu
@MaryZawadi-yg4cu 3 ай бұрын
Kizungu problem 😅😅
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@NaomiMichael-lr2ny
@NaomiMichael-lr2ny 3 ай бұрын
Mambo ni 🔥
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 3 ай бұрын
Mwaji nakucukiya kwakauli yako mbaya zumba ataivuca tu nfowa😁😁😁🤣uci mtupu ametuliya na mumewake bwelakimya🇧🇮
@bintsulaymansuleiman668
@bintsulaymansuleiman668 3 ай бұрын
❤❤❤❤ kaz nzr mbwela
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 3 ай бұрын
Kaz nzr san mbwela n team yko❤
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Madevu utajua ujui paka ww
@user-sk4yh5kw9j
@user-sk4yh5kw9j 3 ай бұрын
Next
@lydiahnyamokami5058
@lydiahnyamokami5058 3 ай бұрын
Kumbe kipara uko na akili sana ya advice ongerereni sana❤😂
@victorhare6599
@victorhare6599 3 ай бұрын
hapa hananga tabia ya umbea😂😂
@StephaniaOscar-ug9ph
@StephaniaOscar-ug9ph Ай бұрын
NaKubal kak huna baya
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 3 ай бұрын
Nyinyi ndo mwashangaa lakin mtoto wa shangazi na mjomba wanaowana
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 ай бұрын
Vizuri sana wanaowana Kaka n'a dada itakua binamu wamuaciye pempo😅
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 3 ай бұрын
Kabsa hata kwetu wapo na waliza watt 6
@joycecharles6799
@joycecharles6799 3 ай бұрын
Mmmh binafsi inanisisimua sanaaaa!!! Binamu jaman ni ndugu Sana mjue
@BalakaDodoma
@BalakaDodoma 3 ай бұрын
👍👍👍👍
@mchinaVEVO1
@mchinaVEVO1 3 ай бұрын
Asante kaka mbwela sikupingi kaz zako
@SaudaSaidi-uz7ib
@SaudaSaidi-uz7ib 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 3 ай бұрын
Kwenu ndo maajabu lkn mtt w babako mdogo pia yuakuoa
@user-wf2yx7ld7m
@user-wf2yx7ld7m 3 ай бұрын
Jamni mbna amnijibu ko.ratifa nae anaigiza
@Melvy-kb3lc
@Melvy-kb3lc Ай бұрын
Aky kipara mwambie tena hizo ni connection aache ushamba 😂😂😂😂😂
BI HARUSI  EPISODE NO 3
22:06
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 28 М.
MTUKATI FULL MOVIE  |  SENGO MK
34:27
SENGO MK
Рет қаралды 132 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 104 МЛН
BI HARUSI / EPISODE NO 4
20:25
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 28 М.
MFUMO EP {{ 1 }}
27:26
SAB-ONLINE TV
Рет қаралды 34 М.
NDOA CHUNGU SEHEMU NNE
15:00
Relax online tv
Рет қаралды 778
LESO FULL MOVIE
2:24:00
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 165 М.
MSELA BABU , FULL MOVIE
1:11:10
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 36 М.
KIJANA MUUZA MAJI | EPISODE 01 | 💞 Love Story
32:22
DONTA TV
Рет қаралды 1 МЛН
MWEZI MCHANGA | EPISODE  1
21:49
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 25 М.
MWEZI MCHANGA | EPISODE 4
17:10
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 6 М.
Inside Out Team VS E E Ei Meat Team - Who wins?
0:23
AmogusMan
Рет қаралды 9 МЛН