Bi harusi ninaipenda sana inamafundisho lakini ukiangalia kwa jicho la wivu yuwezi ona chochote bc kama unaipenda Bi harusi kama mm gonga like hapo kazi nzuri kaka mbwela mungu akubariki akufungulie milango uzidi kukuwa kwenye kazi zako amini❤❤🎉🎉🎉
@user-ex2id7sw4x2 ай бұрын
Xax Kam X mm WA kwanz nan mwengne alaaa like kwang
@directorkakoso2 ай бұрын
Kazi iendelee
@ericknjirumwana23122 ай бұрын
Mpe usauri director
@stonnerpictureske2 ай бұрын
kakoso wee ni fundi mzee
@helinasubila9872 ай бұрын
Bwela vile tunaedelea aki nimetokea kukupeda sana mupaka nikilala nakuota aki kuja kenya baba❤❤❤❤
@mahmoudnajad2172 ай бұрын
Congrats! Kutoka ZANZIBAR kazi nzuri team Mbwela Media
@user-rw2nz4vd9w2 ай бұрын
❤kazi nzur sana mbwela nakukubali tangu upo na madebe had Sasa hv unazid kufanya vzr nakupenda sana mbwela ❤❤
@RizikiZiki2 ай бұрын
Uyu dada ni mjinga unajivuniya uzuri njo unataka upangiye wanaume wakusubiri myaka salasini 😅iyi kali ya mwaka kaolewe matala ndo umetaka bilaivo imekula kwako au tafuta kijana uolewe ndoa uwe bimkubwa😂
@Nailaty5642 ай бұрын
Shukraan mbwela mume wangu 🥰🥰🥰 I love you ❤❤❤❤
@adelaidasospeter3832 ай бұрын
❤❤❤
@aminahhuawei11332 ай бұрын
mbwera nakupenda sana kaka yangu mungu akubariki sana🥰🥰❤️🙏🙏🙏🙏
@user-sq3pj9ee3n2 ай бұрын
Amiin
@dollar1052 ай бұрын
Huyo mkaka nmependa anavyongea akili anayo🎉🎉🎉
@user-eq8cg3pc1u2 ай бұрын
Penda sanaa asante mbwela ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@agrozazubah42242 ай бұрын
Bonge la dude kiukweli mbwela umeua,hii tamthilia daah noma sana,ukionganisha na mziki balaaaaaaa
@user-dk3po7wo4o2 ай бұрын
Kweli chaguo sahihi linaitaji umakini ili kufaulu kama kweli tunakosea basi twastairi msamaha bro salute ❤️❤️❤️🙏 hakika najifunza kitu
@salhaally21032 ай бұрын
bwela sait yako yakiume haswaaa nimeipenda sana saut yako mbwela
@Zeldaommy2 ай бұрын
Wangapi tulio rudia bi harusi tujuane 😂😂❤❤❤🎉🎉🎉
@Professor.Irene952 ай бұрын
Kazi nzuli mbwera nakupenda ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Professor.Irene952 ай бұрын
We nshamwai niachie may wangu❤❤❤
@FurahaAmina2 ай бұрын
Amuna baya timu mbwela wote. Mimi penda mweye Sana ❤️🥰
@user-vg9kf3ss3e2 ай бұрын
Mbwela unajua❤❤❤❤ pia mm niowe
@halemasuliman-js8ug2 ай бұрын
Kazi mzuri mwendelezo tinaomba mbwela
@abasimsonge57652 ай бұрын
Mbwela funika yote kwanza licha ya mke pia ni nduguyo msitil mi mwenyewe nataman kuoa bnam ila wameolewa
@Zeldaommy2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
Utamu utamun ❤❤❤
@sharlnanyanje19302 ай бұрын
Nice one
@aishaomar22872 ай бұрын
Big kaka yani huboi,kila sehemu unaitendea haki#uko kulia😂😂😂...hongereni nyote 🎉🎉🎉endeleeni kupambana
@GadafiNachindundu2 ай бұрын
Mbwela brother unaweza sana yaan ww Sanaa na Fasihi imelala kwako
@MtiliCharles2 ай бұрын
😮😮
@ginafaruque53352 ай бұрын
Pólen sana mkee WA mbwela mpende mkueo usimuache ❤❤❤❤❤
@kibabysaid66922 ай бұрын
Asante Kaka mbwela🎉🎉🎉🎉Maua yako
@FettyMungenje-yg6xq2 ай бұрын
Jamani mi naupenda uwo wimbo ni hatari
@mejumaakoja50502 ай бұрын
Tuwaambie wahusika watutumie plz mi pia naupenda sana❤
@FettyMungenje-yg6xq2 ай бұрын
@@mejumaakoja5050Ni kweli mi napendaga usiishe kabisaa
@fatumakushonda42772 ай бұрын
Team mbwela kujeni huku tumuenue pk maadui washangae
@Mamalyzzy0042 ай бұрын
Nakuona mambo yako ya washa washa SENGO kazi iendelee usioe kaka
@chantalharakandi25762 ай бұрын
Mbwela nakupenda sanaaaa❤❤❤
@user-xu5rh6ub5j2 ай бұрын
❤❤❤❤
@dismasjuma74402 ай бұрын
Hai mbwela hapa ulichezwa huyu demu anawaza x wake,pole kaka
@user-lh6wy2wl2v2 ай бұрын
Nakukubal San
@user-ct8kv9gs8s2 ай бұрын
Mbwela anamoyo nyie😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@maryamsoud20592 ай бұрын
Umefanya jambo la busara kustiri aibu ya nyumbani kwnu