🔥🔥🔥🔥 unawakaa nakubali sna ndugu sikuping na Kaz zako
@bosslady12862 ай бұрын
Nimewahi leo haya nipeni likes zng niwe tajir😂😂😂😂❤❤🎉🎉
@user-mi8lu8jn1x2 ай бұрын
Kazi nzuri kaka tunakupenda sana kutoka kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉
@user-ex2id7sw4x2 ай бұрын
ILA kipara na hicho kizung chak wallah mmmmmh Noma san
@user-qx4dg1bc6r2 ай бұрын
Hongera san kaka mbwela,,,KAZI nzuru Allah akujaalie kla utendalo lifanikiwe
@bahatiomar52972 ай бұрын
Penda Sana mbwela na zatiti mfano mzur
@smartlady68982 ай бұрын
Unakunja sura kama rambo kapoteza kisu chake😂😂😂yani kipara bhn😅
@user-hm6hy6rr1h2 ай бұрын
Honger kaka mbwel nakupenda san 🎉🎉🎉🎉
@HappyDaudi-ub4hw2 ай бұрын
😂😂😂😂 unafujo kama migari ya kwenu inaitwa happiness 😂😂😂kipara sijapenda
@samyabahatialhiani4012 ай бұрын
Mtupe muendelelesho mapema tuijoy ❤
@aliairabizi-qy9wp2 ай бұрын
Mm wa kwanza ebu nipeni izo link zangu 😊
@mahmoudnajad2172 ай бұрын
Kazi nzuri kutoka Zanzibar
@mariamuKilongola-ch6io2 ай бұрын
Mkovizuli sana na sizoni yenu nawapenda Sana namuviyenu nzullii🥳🥳🎉🎉
@sofiakinyia27342 ай бұрын
Huyu mzee ywachekesha ety ywaumia kwa ajili ya mimba😮😮
@user-pz3py2qu4w2 ай бұрын
Unajua ad unakera mbwela tuongezee. Mda kidg kaz nzur ❤❤❤
@mwinyiamaamamwinyi22912 ай бұрын
Naomba Jina la hii nyimbo
@JANETKAZUNGU-kp2pt2 ай бұрын
Kweli kabisa na mukubali mbela Kwa kujua kupenda
@HerveleTerminal2 ай бұрын
hii movie nikali sana kusema kweli mbwela unajuwa na unajuwa tena
@user-sk4yh5kw9j2 ай бұрын
Usikubali mbwela mkeo aende n mtu yoyot yule hiyo n Mali yako kwa sas❤❤😂
@user-jn7rl4rz6b2 ай бұрын
Ati uso kama rambo😂😂😂😂😂
@user-lg2di1zm5e2 ай бұрын
Nimewahi Leo nipeni like zangu tano jamani
@Mamalyzzy0042 ай бұрын
Badala ukoment k2 cha maana at least a piece of advice kwa tim nzima ya mbwela wew ni like like haaya tumekupea umerdhka?😂😂😂😂
@saumodzumbo96712 ай бұрын
Hongereni sana nawapenda kinomaaa mbwela kaza baba ❤❤❤
@mamakenajma32572 ай бұрын
Mbwela hongera kakangu unajua hadi 😍
@halemasuliman-js8ug2 ай бұрын
Movie kali sana mbwela uschelewe kututolea❤❤
@MeryShayo2 ай бұрын
Kipara ww upo vzur🎉🎉
@KuruthumHassan2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 we kipara umepigaje apo
@ashamwanganzi64002 ай бұрын
Kaz safi san mbwela n team yko❤❤
@user-uj4rt1vx3h2 ай бұрын
😂😂😂😂kipara kiparaaaa Chukuaaa Maua Yako
@nduwimanadiane36092 ай бұрын
Nampenda mbwela
@SophiaDenalwa-sx7yu2 ай бұрын
Nàpendà kizungu cha kipara😅😅😅
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
Nmeipenda hii imeenda ❤❤❤
@rehema-lg5cl2 ай бұрын
Hongera sana mbwela ❤ u
@user-vg9kf3ss3e2 ай бұрын
Kipara😂😂😂 Wewe chukua maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@mariammariam57232 ай бұрын
Kazi nzur
@hamisuuhamadi16632 ай бұрын
Mmmh kipara sio kwa kizungu hichoo 😂😂😂
@user-zg5gt9hp5n2 ай бұрын
Kaxi safi sana mbwela
@user-jg8zz6el8k2 ай бұрын
Aiseeee Mbwelaaa Wee kiboko kabisaa❤❤❤❤
@NancyKabibi-ip6gb2 ай бұрын
Maua🎉🎉 kwa mbwela jamani
@Mariam-to2xc2 ай бұрын
likes ❤❤❤
@SaraphinaFundi-rl2hx2 ай бұрын
Mbwela 🤛
@bahatiomar52972 ай бұрын
Jaman kipara wanichekeshaa kweli hahaha 😂 kizungu icho
@user-gz9oq7ey4h2 ай бұрын
Kipara bana achana na kizungu 😂😂😂
@ZubedaRamadhan-tv1pq2 ай бұрын
Kipara mm sijasoma. Kizungu. Ichochako. Ukovizuri. Naja unifundishe😂😂😂😅
@Mariam-fm8vq2 ай бұрын
Kipara ww ni shida 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salmahoperi97832 ай бұрын
From Pakistan mbwela Kwa hii na zawadi yako
@user-dw2gz1yk6q2 ай бұрын
Kingereza cha kipara ni htr😅😅😅
@user-mu7yn9gr1w2 ай бұрын
😂😂😂😂kipara wana man
@PrettyShady-cz8uq2 ай бұрын
Nakupenda Sana mbwela asa napendag San Kaz zako
@Zella-li3nh2 ай бұрын
Mbwela ninakupa saluli ww umeweza
@Professor.Irene952 ай бұрын
🎉🎉🎉 kazi nzuli bi Amina kakoso nakupenda Dada kazi nzuli wajua sana❤❤❤❤🎉🎉
@nkurikiyearodiedavid62552 ай бұрын
Kiparaaaaaaaaaaa,hicho kingreza Cha wapiii??😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Love you from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@user-el3kf5uo2u2 ай бұрын
Naombeni like 😂❤❤
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
❤❤❤
@MercyKahindi-go2nr2 ай бұрын
Waaaa I don't socket kingereza ya kiparaa yaniuwa hkuu 😂😂😂😂😂😂😂
@dollar1052 ай бұрын
Kipara on fire 🎉🎉🎉 Alfu mbwela kwa ndoa hatari😅😅😂
@aishaomar22872 ай бұрын
Hataki mchezo😂
@user-bq6tg1bj9s2 ай бұрын
Kipara icho kizungu nicha nchi gani mana sikusomk😂😂😂😂😂😂😂
@user-qq4zr3sk2g2 ай бұрын
😂😂😂kipara anakwambia yeye sio jasiri ni mjasiriamali🤣🤣🤣
@Zeldaommy2 ай бұрын
Hii ya Leo kali sana kapela kwa ushauri wa Bure achana na zatiti aendelee na maisha yake amekushinda ulipokuwa nae hivyo bc muache kaka mbwela Aishi kwa amani sawa nadhani umenielewa nawakubali team mbwela 🎉❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
@UwimanazoeCynthia42 ай бұрын
Much love from Burundi🇧🇮
@samyabahatialhiani4012 ай бұрын
😁😁😁🤣zatiti na biya amini nawapenda tu bure ila zatiti naomba niwe mke mdongo kwako mruusu mbwera aniowe❤️❤️🌹🇧🇮
@saumbliz89832 ай бұрын
Wa kwaaaaanzaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂nilikua naisubiri sana hii kaka mbwela kazi nzuri sana
@mfalmebonoko92052 ай бұрын
Mbwela...umeweza kweli......kutoka Nairobi much love
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
Ww huogop aache mke we2 😂😂😂
@RamlaTumbaNitschke2 ай бұрын
weweee hapo Chacha Osin Binam Halali😊❤
@aishaomar22872 ай бұрын
Kipara mbwa ww!😂😂😂 ati anakunja uso ka rambo kapoteza kisu chake😅 aaaweeeeh🤣🤣🤣🤗 kisha fujo ka gari za kwao, kipara mbavu zangu😁😁🎉🎉🎉🎉#mnatukosha nyie watu kazi zenu nzuriiiii❤❤
@machozimukucha2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@VumiliaOmary2 ай бұрын
Good job 👏👏
@user-sk4yh5kw9j2 ай бұрын
❤❤❤❤congrats 🎉🎉🎉🎉🎉
@user-yd9ni1lt3l2 ай бұрын
Kaka mbwela mungu akubari movie zako ziko na mafunzo zaid
@user-yd9ni1lt3l2 ай бұрын
Kaka naomba kuongea naww private
@Mamalyzzy0042 ай бұрын
Sio AMINA hyo umekosea Bi Migomba🤣🤣 ni KAKOSO hyooooo🤣🤣🤣🤣🤣
@everdhekay49242 ай бұрын
Kipara wanufulaisha😂😂😂 kingereza joh
@user-ll8vm6ww2m2 ай бұрын
Jamani kipara animaliza na kiingerza chake😂😂😂😂😂😂
@user-lk7bb6nd1s2 ай бұрын
Kipara nitakupiga sasa hivi mweehuu wewe....haaahaa hicho kingereza cha wapi
@mpeliibrahim3982 ай бұрын
Asante mbwela
@Mamalyzzy0042 ай бұрын
Nilichunguza hajaoa kama ulivoomba kwa comment kwenye BIG KAKA NO 8. So anahitaj namba yako 2
@SalamaNtazigaya2 ай бұрын
I was miss u guys.
@PhinarBotea-ed3xm2 ай бұрын
mbwelaa ❤❤
@fatumakushonda42772 ай бұрын
Kaka mbwela anaoneka msatarabu sio kwenye movie tu,ata kwenye maisha yake y nje,ndo mana nliama kwa madebe😅😅😅
@user-jj5xk8it8t2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂lkn kipara ww nakingreza chako
@aminahhuawei11332 ай бұрын
Ubarikiwe sana mbwera kaka kazi mzr naninajifunza mengi sana mungu awabariki🙏🙏🤝❤️❤️❤️
@shamsiyasalim68662 ай бұрын
Kukajifunze kingereza viziri ndipo uweze kuzungimza huko
@saidiabdalahshabani9412 ай бұрын
Uyo ndo kipala😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@evelnjuma18342 ай бұрын
Nzuri sana ❤🇹🇿
@user-qq4zr3sk2g2 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah Zatiti na familia yake♥️♥️♥️
@Saudaboshori-ie7en2 ай бұрын
Kipara jamani 😂😂😂😂😂
@DonMooSTUDIO_Express2 ай бұрын
BUTUA muigizaji BORA... KIPARA mburudishaji BORA na kiingereza chake cha maajabu halafu unasikia Amsorry Amsorry Amsorry 😂.....
@RizikiZiki2 ай бұрын
Kipara noma sana 😂😂😂ongera kaka mbwela na mkeo.zatiti❤
@mbithijohn16012 ай бұрын
Bona mmetukatizia kama haijaisha
@user-ct6vd7ld7s2 ай бұрын
❤❤❤🎉
@luckylucky71532 ай бұрын
Mashallah allah awafikishe mbali kwa vipaji vyenu Mashallah tena
@RhaeemarRhaeema2 ай бұрын
Ila kipara😂😂😂😂
@user-dz4jc5vr9s2 ай бұрын
Hongera sana kaka mbwela ,binafsi nafurahia burudani kutoka kwako mungu akubariki mpendwa
@Melvy-kb3lcАй бұрын
😂😂😂😂😂kipara hicho kingereza chako ulisomea wapi maana mm sijawai elewa kizungu chako