Kwanza bi harusi ipo vizuri mwanangu mbwela pili nipe like yangu imeisha
@victorhare65992 ай бұрын
Kipara anaongeza utamu kwa hii movie n hicho kizungu chake😅😂
@smartlady68982 ай бұрын
Mwendo wa connection association production😂😂😂kiparaaaa wanipa raha jaman
@user-hy9pp5rp9i2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Ftwm-ew3up2 ай бұрын
😂😂😂
@ZaldaM.ramadhani2 ай бұрын
😂😂😂
@user-qq4zr3sk2g2 ай бұрын
Kipara mtata sana😂😂😂😂🤣
@Louis609122 ай бұрын
Mbwela Big up sana
@happyvoice-iv2eh2 ай бұрын
Moto uwakeeee💯🔥🔥🔥🔥
@BiisheBugao2 ай бұрын
We suzi na bsteh ako sio vizuri mnavyofanya...kuvunja ndoa ya mwenzenu...Sijapendaaa
@shamsiyasalim68662 ай бұрын
Mbwela huyo ni mtego Wana kumtega uingie mtegoni wachana na hizo milioni waende wakafanye wenyewe na KAZI zao
@tobiaschirwa93642 ай бұрын
Big up team mbwela nazipenda Sana movie zako zenye mafuzo Kutoka malawi pia mauwa yangu kwakipara 🎉🎉🎉🎉
@evelnjuma18342 ай бұрын
Bwela movie zako ninazifatilia sana uko poa sana hongela sana❤🇹🇿
@fatumakushonda42772 ай бұрын
Mbwela unajua pk unajua tena,jamani tumsapot huyu jamaa pk mwaka huu haendeshe gari❤
@Dogs-jg3mg2 ай бұрын
Bwela kama bwela kazi zuri kaka yangu ❤❤❤❤
@bahatiomar52972 ай бұрын
Team Mbwela bravoo kazi nzur sana ❤alafu kipara napenza sana misemo Yako ya kuengereza hahaha 😂😂 Tz wasomi wapo 😂😂 👉
@chunaabdullah13332 ай бұрын
Big kaka ungempura nayo ya uso nawee, wampatia vizuri tu mkononi.
@halemasuliman-js8ug2 ай бұрын
Mbwela uko vizurii kaka
@SaraphinaFundi-rl2hx2 ай бұрын
Mbwela safi sana
@asadiabdallah68742 ай бұрын
mbwela napenda sana kazi zako
@ashamwanganzi64002 ай бұрын
Pongez kwa team kipara na kizungu chako😂😂😂❤❤❤
@user-kd7ey2mu7p2 ай бұрын
Kipara nyie😂😂😂😂eti uchebe alimuoa shilole😂😂😂
@KhadijaAly-lu7lk2 ай бұрын
Kipara ni mzungu from America 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Sofiashabani7802 ай бұрын
Yaani mziki uko juu hata kuliko maiogezi yenu ongeza sauti mbwela
@shamsiyasalim68662 ай бұрын
Kakambwela ni heri nusu shari kuliko Shari kamili ujambazi sio KAZI wachana na hao wasio jijua
@darcityogbanks54152 ай бұрын
Nakubali kazi zako mbwela
@Matlida_karembo2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@maylucson0012 ай бұрын
English ya kiparaa nomaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-qq4zr3sk2g2 ай бұрын
😂😂😂😂kipara jamani
@user-ul9qq8lo3d2 ай бұрын
Wee mganga umejitia baibui 😅
@user-mv6vi1gv6f2 ай бұрын
Leo wa3naomba like🎉❤
@rizikisam64812 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-hg3kh7ep6d2 ай бұрын
Nakupenda sana mbwela kazi nzuri
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
❤❤❤Utamu Utamun
@GodfreyMmole2 ай бұрын
Good sana mbwela. Me wa pili
@RizikiZiki2 ай бұрын
Kumbe biharusi imewasili kitambo mi ndokuikgiya❤❤🎉🎉🎉🎉
@MzeeRaca2 ай бұрын
Safi sana mbwela
@Sofiashabani7802 ай бұрын
Mbwela kilakitu kwa dakika ishirini hongera 🎉🎉🎉
@user-dk3po7wo4o2 ай бұрын
Bro nakubali kila ufanyalo , hakika hakuna jaribu lisilo na mlango 💞💞 nawakubali wote Nawapenda ❤️❤️
@user-xu5rh6ub5j2 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-uj4rt1vx3h2 ай бұрын
😂😂😂😂Kiparaaa Jamani x Ukamsaidie mwenzioo Una lolote na Ww x ngoma lako lileeee
@user-dz4jc5vr9s2 ай бұрын
Pamoja sana kaka mbwela
@giftelinazi34872 ай бұрын
kazi nzur mbwela nakupenda mno
@samyabahatialhiani4012 ай бұрын
Uyu kijana jambaz mbona msumbufu ❤❤❤
@saumodzumbo96712 ай бұрын
Waaaaah hongereni sana ❤❤❤❤❤
@GHgh-hq3zj2 ай бұрын
Saf kbs ❤❤❤❤❤
@Professor.Irene952 ай бұрын
Kazi nzuli ❤❤❤❤❤❤mbwela na team nzima Much love from ❤❤🇦🇪🇦🇪🇦🇪 dubai ❤❤ kipala nakupenda ananikosha sana😂😂😂😂 😂😂😂 na kingreza chako😂😂❤❤❤❤
@VumiliaOmary2 ай бұрын
Ila kipara mi unaniacha hoii
@tajilimtoto50092 ай бұрын
❤❤❤mbwela na watu wake
@fatmaabdala5382 ай бұрын
Kipara uko powa
@user-pv5xn6vc1w2 ай бұрын
👏👏👏👌😂😂👌🇰🇪🇸🇦
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
Mbona Abaya na hii Eid jaman kpara nataka hlo Abaya na knnja 😂😂😂😂
@chunaabdullah13332 ай бұрын
Hawa wanao uwa wenzao wako timamu kwenye ubongo zao uwa wamekula Mavi au nn, awajui kesho yao na wao?
@CharlotteMuyenga2 ай бұрын
Nawapenda bure ❤️❤️🥰
@shemsashaaban78212 ай бұрын
Kipara shkamoo😂😂
@user-qr6fd5vc2i2 ай бұрын
Kim pia yupo jamaniii❤❤❤
@HadijaZabroni-pu1lt2 ай бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣😂😂😂
@marrialmary35102 ай бұрын
❤️dope
@user-yd9ni1lt3l2 ай бұрын
Jamàni kizungu na kipara😅😅😅😅😅😅
@user-yd9ni1lt3l2 ай бұрын
Musicheleweshe muendelezo basi kaka
@SalmahhSalmataujudi2 ай бұрын
🔥🔥
@aminahhuawei11332 ай бұрын
ASANTE SANA MBWELAAA MUNGU AKUBARIKI SANA KAZI MZURI SANA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-sd6gi1nb8w2 ай бұрын
Naaminia hapo mbwela hongera kwa kazi nzur❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@marrialmary35102 ай бұрын
😂😂😂😂nmekwama apo uolewe salama
@SalmahhSalmataujudi2 ай бұрын
😂😂abaya
@user-ef1zl5gi1k2 ай бұрын
🎉❤❤
@Zeldaommy2 ай бұрын
Kazi nzuri kaka mbwela mm binafsi bi harusi imenifunza vitu vingi sana ikiwemo kuishi na watu na kujikubali na kujiamin pia nawakubali sana team mbwela 🎉🎉❤❤😂😂
@user-lv5iw6wn6q2 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@dinabilemanga17032 ай бұрын
Nakupenda sana mbwela kazi zako ninzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@kibabysaid66922 ай бұрын
Mbwela kama mbela A.K.A big kaka penda sana weweee🎉
@estherobed86932 ай бұрын
Mbwela nakupenda mwenzako njoo nope🤦
@BijouxBulose2 ай бұрын
❤❤❤
@FatumaMwinyi-ox8qi2 ай бұрын
ℍ𝕒𝕥𝕚𝕞𝕒𝕖 𝕟𝕚𝕞𝕖𝕨𝕒𝕙𝕚 𝕟𝕒 𝕞𝕞 𝕝𝕖𝕠❤❤❤❤
@user-mu1kn5cu5n2 ай бұрын
Maisha yanatufanya tunafanya vitu ambavyo sio sahihi kwenye maisha yetu mungu atusaidie
@marynyota61462 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mahmoudnajad2172 ай бұрын
Kutok ZANZIBAR kazi nzr congrats!
@user-hm6hy6rr1h2 ай бұрын
Hak jaman kipar una vituko san ww hhhhhhh ila munachelewesha kaka mbwela unatuchelewesha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@helinasubila9872 ай бұрын
Kimama Sula baya na tabia ya setani kwa mngaga kila kukikusa
@Melvy-kb3lcАй бұрын
I don’t like space alafu kuna connection association production 😂😂😂 mbavu zangu jamani kipara utaniua 😂😂😂😂😂
@bosslady12862 ай бұрын
Ila kipara nyie ananikosha😂😂❤❤🎉🎉
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk2 ай бұрын
Team mbwela wapi likes
@user-by6bg2fq6b2 ай бұрын
good job next pleaz
@naomnyamoitaosiangochannel55522 ай бұрын
Kibara kisungu Kari hiyo
@Nailaty5642 ай бұрын
Wawooo harusi inakuja
@SummaiyaKassim-zv5nt2 ай бұрын
Naomba suzy na rafiki yake waazirike na huo uchawi wao
@salmahoperi97832 ай бұрын
Hongera sana kazi nzuri
@mariammariam57232 ай бұрын
Kazi nzur ❤
@marialumbanga2 ай бұрын
Kazi nzur sana
@user-xf2tv7fk8c2 ай бұрын
Just do it connection association 🤣🤣🤣
@paulinekombe37532 ай бұрын
Nawapenda nyote❤❤
@user-qt8sl3sw9w2 ай бұрын
😢😢😢😮
@VictoriaMaunda2 ай бұрын
Muv nzuri sana
@DianaKerubo-jy7pz2 ай бұрын
Nipate likes za zatiti
@HuseniFuad2 ай бұрын
Just do it😂😂
@aishaomar22872 ай бұрын
Connection, association,production, aaaaweeeh! Kipara hadi siku za kuenda chooni apangiwe😅😅😅...ww kipara kweli wataka lkn hutaki 🙌 🙌
@Mamalyzzy0042 ай бұрын
Qwashen😂😂😂
@aishaomar22872 ай бұрын
Mbwela kazi iko sawa,dakika 20 tu ila uhondo wake nisawa na lisaa 🎉🎉🎉