BIASHARA SABA 7 UNAZOWEZA FANYA UKIWA NA MTAJI MDOGO UKAPATA FAIDA KUBWA NA CHIEF GODLOVE

  Рет қаралды 274,826

Chief_Godlove

Chief_Godlove

Жыл бұрын

Пікірлер: 810
@justinepaul2851
@justinepaul2851 10 ай бұрын
Niliaza na mtaji wa sh 45000 ,mwaka elifu 2017 na mpaka Sasa namiliki zaid ya ml 14.8 ,,,niliaza na biashara ya kuuza vinywaji barabaran mpaka ikanipeleka mtaan kwenye furemu na kuaza kukomaa Hadi kununu pkpk 4 na kuoa hapa hapo na kiwanja na shamba mkoan yaan ,,mungu ni mkubwa ,,,big up chifu?
@samsonsoligi2420
@samsonsoligi2420 9 ай бұрын
Biashara gan?
@user-ig1wd5yq1f
@user-ig1wd5yq1f 9 ай бұрын
Ulifanya biashara gani??
@chiboonline363
@chiboonline363 9 ай бұрын
Ushirikina ulitumika pia
@kuyekajisandu
@kuyekajisandu 9 ай бұрын
Good job
@malimimasolwa6492
@malimimasolwa6492 9 ай бұрын
Nimekupata sana kwenye kuku me mwenyewe nilianza na kuku mmoja sa iv nina kuku 200
@AnnaMkenga-iu9db
@AnnaMkenga-iu9db 7 ай бұрын
Thanks brother..nimeanza na kuku wa kienyeji 8 natetea na jogoo 2 this year July but nimetotolesha vifaranga zaidi ya 200 kwa 3 months sasa nimeuza and nimeingiza pesa nzuri Iam happy.unachokiongea ni kweli.sasa this December niko na oda ya 120 chicks na tatari nimeweka kuku 10 wote wanalalia 15 eggs each na in 5 days wanatotoa.so unaongea ukweli bro.asante mnoo
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 6 ай бұрын
@Anna Mkenga. Wafugia kuku wapi dada yangu.?
@AnnaMkenga-iu9db
@AnnaMkenga-iu9db 6 ай бұрын
@@fredkangethe7497 nafugia Arusha
@tithomathias
@tithomathias 4 ай бұрын
sorry nlikuwa naomba ufafanuz wa ufugaji kuku ili na mm nifanye please nipe ata namba yako
@PeterTuruba-uf4fn
@PeterTuruba-uf4fn 3 ай бұрын
Dada
@user-ye7hh1pv7w
@user-ye7hh1pv7w 27 күн бұрын
Nimekuelewa bro umetuambia ukweli mtupu nitafanyia kazi
@user-zs1cq5cy6p
@user-zs1cq5cy6p 11 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu ni msaada mkubwa kwa taifa umetuamsha san
@mussaabdulmalick2048
@mussaabdulmalick2048 11 ай бұрын
Asante sanaa kaka ningependa siku moja tuonane mi naishi msasan nafanya biashara ya mayai kama unaenda kifanya shopping supermarket za shoppers angalia mayai yenye jina MSSAP ...
@justinelius7830
@justinelius7830 6 ай бұрын
Kaka mtaji wa kuku ulianza na shi ngap
@baysadam235
@baysadam235 Жыл бұрын
Nakupata vzuri bro cheaf From Moz🇲🇿🇲🇿👍
@PaulinaNduva
@PaulinaNduva 11 ай бұрын
❤ good
@moisebwanamoye1484
@moisebwanamoye1484 Жыл бұрын
matuta vijana wanaochangia mawazo hayo ndio mapenzi kweli nakupenda sana mzee wangu
@user-dr7jn4op8g
@user-dr7jn4op8g Жыл бұрын
Kweli juice inafaida nakubali
@user-dr7jn4op8g
@user-dr7jn4op8g Жыл бұрын
Nimewahikufanya juice baada ya miezi 3 nilitoa Faida kubwa siseminikiasigani lkn siachi kufanya juice huwanapumzika tu lkn ndio biashara yngu kubwa nakama Niki fanya Leo wateja wanakuja kwasababu najuwa kutengeneza napia naifanya kwaumaridadi usafi. Kwanza biashara kma hizi zamajimaji. Kma juice mwezangu mtu Hali tu kama hawajamuwangalia mfanyaji usafi wake
@aishakassim75
@aishakassim75 10 ай бұрын
​@@user-dr7jn4op8guko wapi dear nataka kufanya hiyo kazi ila sijui pa kuanzia
@jastinekyando9044
@jastinekyando9044 10 ай бұрын
shukran kaka godlove nakufatilia san na nimejipa miaka mitano from now napenda unavyofanya🙏🙏
@hishammudhihiri5555
@hishammudhihiri5555 10 ай бұрын
Bro sasa huo ndio uwanaume...mwanaume sikupiga tantarira nyingi kma muimba taarabu..hizi ndo njia nzuri zakusaidia wenzio na wao waeze kujituma kwa bidii..Ubarikiwe mzee baba
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 9 ай бұрын
Hongera kwa mada nzuri.
@adelinefikiri3870
@adelinefikiri3870 6 ай бұрын
C'est vrai
@ramamavumba6187
@ramamavumba6187 8 ай бұрын
Ukosahihi kaka shukran kwakuamsha mawazomapya ktk watuambao huzani nilazima upatemtaji mkubwa dah ahsante kaka
@IsmailMsemwa-cz2pe
@IsmailMsemwa-cz2pe 10 ай бұрын
Kaka www ni msaada Kwa jamii Asante xan mungu akubalik
@user-oh7ls4cz5l
@user-oh7ls4cz5l 4 ай бұрын
Aiseeee bro nakukubl sana we n genius aisee umenitoa kwenye Giza nene
@GraceGodson-fk3tu
@GraceGodson-fk3tu 8 ай бұрын
Ahsantee my brother nilikua na ndoto ya kufuga kuku Ila nilikuwa nimekata tamaa Ila Leo umenipa moyo am going to start it...
@andrearaphael3728
@andrearaphael3728 10 ай бұрын
Daaaaaa ngoj nikupe maua yako Big point San Brother 🎉🎉
@user-sm7ct8lv5l
@user-sm7ct8lv5l 10 ай бұрын
Jamaa kanipa madini na kanifanya kujiona na Mimi naweza for sure Nilikuwa nampango wakufungua biashara ya cm nikawa naogopa ila kanipa nguvu sana huyu mwamba mzalendo respect brother
@evanslikono8634
@evanslikono8634 10 ай бұрын
Mimi ni mkenye Niko Nairobi nafuraia mawaitha yako👍💯
@BGHaule
@BGHaule 10 ай бұрын
Unatuchamba huku unatupa elimu,big up,mwanzo hata Mimi nilikuwa sikuelewi,ila now nimekumanya,dogo upo vizuri you are the geneous
@happyvalence5352
@happyvalence5352 7 ай бұрын
Tafuta pesa mbwa nyinyi 🤣🤣🤣🤣
@SuzanLazaro-sj8qv
@SuzanLazaro-sj8qv 6 ай бұрын
Kaka vp kashata italipa
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 9 ай бұрын
Gentle man ña nusu. God bless you more
@hastatz
@hastatz Жыл бұрын
Biashara ya udalali wa vitu used kuna mtu ana shida na kitanda hana hela ya kununua kipya alf kuna mtu amechoka kitanda anataka kingine na anahitaji mtu wa kumpa hela kidogo hapa wew unakua kati kati yao unapiga chako kwa juu na hapa kwenye hii biashara kuna njia 2 za kuifanya moja unakua dalali kwa mnunuzi na muuzaji ya pili ni unanunua bei ya chini mteja anakuja unamuuzia wew😊
@abelaidan
@abelaidan 10 ай бұрын
Hii ni bonge la biashara ndio naifanya kwa sasa
@user-pg2mv9wd2x
@user-pg2mv9wd2x 4 ай бұрын
Big mind, big up bro and God bless
@mr_shark3587
@mr_shark3587 11 ай бұрын
Mnajua Huyu Brother ni Geneas sana aise na Unajua Kuna wabongo wachache sana wenye kuwa naakili timamu Ndo watamuelewa huyu jamaa shida ya Cici wabongo Tunakubali anacho kifanya mwamba ila Bado. Wabishi sana 🤣 ila ukweli nikwamba anatisha sana sema Simba 👑👑👑Chief Mungu akuweke content zako Zina fanya vizuri sana 🔥💪
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 9 ай бұрын
Acha kujidanganya mwenzio yuko katika chama hata akiuza mavi yanatoka freemason inachangia iyo
@strawberryrachii12-xh5bq
@strawberryrachii12-xh5bq 10 ай бұрын
Umeona mbali sana chakula kinalipa sana aswa catering service hii pia haitaji mtaji mkubwa kikubwa ni ujuzi na kujua namna ya kukuza hiyo biashara hongera chief kwa hili🙌🙌🤝
@alihassansorikushey1414
@alihassansorikushey1414 9 ай бұрын
Shukran kaka kutufungua macho ubarikiwee
@Mosses8
@Mosses8 11 ай бұрын
kaka kazi zuri sana mimi nina haidia ya kufanya biashara ya kuuza chakula cha mifugo kama chakula cha kuku ila sina mtaji kaka iwezeshe nipo moshi kilimanjaro
@mtinkoITservices
@mtinkoITservices 9 ай бұрын
Hii ndio hisani kaka hakika umetujenga na tutafata . Maana wivu uliomzuri ni ule wa kuangalia njia walizotumia wenzako kuendelea utumie na wewe tunashukuru kwa elimu yako 💪💪
@dausonmethod618
@dausonmethod618 7 ай бұрын
Kaka uko vizuri sana ahsante kwa ushauli wako
@Nourdeintv2030
@Nourdeintv2030 5 ай бұрын
Brother hapo umetisha ahsante sana mkuu
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 10 ай бұрын
Blessings bro🎉🎉🎉❤
@user-mm9hf9if7f
@user-mm9hf9if7f 10 ай бұрын
Nimekuelewa sana kaka ngoja nikupe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mkalitalkshow
@mkalitalkshow 10 ай бұрын
Nice advice brother
@tumajunior6080
@tumajunior6080 10 ай бұрын
Umeeleweka bro asante ubarikiwe
@FredyNdimla-uv6dx
@FredyNdimla-uv6dx 10 ай бұрын
Asante kwa kunifungua brother
@magesajoseph
@magesajoseph 10 ай бұрын
Asante sana kaka endelea hivyo utukomboe ndugu
@comorolodgechamanzisaku6341
@comorolodgechamanzisaku6341 5 ай бұрын
Asante mtani kwa juhudi zako kupambana watu wasio kuelewa wenye chuki kama wale wa Ipinda. Nadhani wenye mitaji midogo watavuna kitu hapa. Rgds BDKOMBA
@magrethmbaga1089
@magrethmbaga1089 5 ай бұрын
Mm napenda biashara y a bakery. Sasa sijui napata wapi mafunzonilinnianze.
@user-ub2zv5oi8k
@user-ub2zv5oi8k 10 ай бұрын
Yeah that is very good advice
@Ntomolapagu255
@Ntomolapagu255 11 ай бұрын
Asantee kwa darasa 🙏
@Dullah08Sportswear
@Dullah08Sportswear 10 ай бұрын
Mimi nawashauri kitu kimoja tu, kabla ya kufungua biashara yako jitahidi ujibrand (uwekeze kwenye wateja). Mimi nimeanza biashara yangu huu ni mwezi wa tatu tu lakini kwa sasa biashara yangu inanipa faida kubwa kuliko mshahara nnaopata.
@mahengepascal
@mahengepascal 9 ай бұрын
Unafanya biashara gani
@user-xx2pj1xq6y
@user-xx2pj1xq6y 6 ай бұрын
Bro biashara gan iyo
@SimonIbrahim-vy2vy
@SimonIbrahim-vy2vy 3 ай бұрын
me cjui ata nifanye biashara gn
@bluetikyd7371
@bluetikyd7371 Ай бұрын
🤜
@user-yr4cf7wj4g
@user-yr4cf7wj4g 11 ай бұрын
Umetisha sana kaka ❤❤❤
@olarivolarivp2702
@olarivolarivp2702 10 ай бұрын
Brother uko vizuri atabiashara ya bekery
@user-jx9ni2fm5g
@user-jx9ni2fm5g 4 ай бұрын
Asante kwakutufungua macho bro
@aureliakisaka8894
@aureliakisaka8894 4 ай бұрын
asante bro nilikuwa nawaza cha kufanya❤
@arnoldopindi4452
@arnoldopindi4452 Жыл бұрын
Oy chief godlove mm nipo Kenya na nimetaka kuanza biashara ya kuuza viatu na mavazi,je biashara hiyo Ina mtaji? Naomba jibu
@nashajr5491
@nashajr5491 Жыл бұрын
Oya kamanda Kenya vip biashala uko
@FedrickOden-lk5pb
@FedrickOden-lk5pb Жыл бұрын
Blz nakupata vzr kbx pande za mpegele hapa
@user-pc9ol8jh2s
@user-pc9ol8jh2s 6 ай бұрын
Asante kaka ushauri wako mzuri Mimi ninauza juyce kiukweli matunda mazuri nayaona we we mkweli
@josephmtavilalo5087
@josephmtavilalo5087 4 ай бұрын
Chief lila siku ninakueleza you are the best bro keep it up🎉🎉🎉🎉🎉
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 11 ай бұрын
Yani wa Tz sisi hatuna Jema mtu anatueleza biashara za kufanya unaanza kulalama mtaji kwaiyo unataka akuletee mtaji hiyo Juice anayosema sizan kama inataka mtaji mkubwa Mim nilkuwa nacheza mchezo Wa kila siku 2000 lengo tu nipate Blenda na Friji Used nikapata na natengeneza juice mambo yanaenda punguzen kulalamika na kuwaambia watu wachawi niakili tu
@sarahnyaganilwa3862
@sarahnyaganilwa3862 10 ай бұрын
Hili pia wazo langu hvi juice nzuri ni matunda Gani
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 9 ай бұрын
Tz tunapenda kupewa vitu hatupendi kusugua akili .
@SmartZacky360Tallent
@SmartZacky360Tallent 5 ай бұрын
Appriciate cn bro you have open my brain👍👍
@AbdulMpendu-xj8nd
@AbdulMpendu-xj8nd Жыл бұрын
Umetisha cheaf katiyaizo urizozitaja biashara mbiri nazifikiria irabadokidogo najiwekasawa
@user-xn9kf3kp2g
@user-xn9kf3kp2g 4 ай бұрын
Ahsante kwasemina mazuri na mungu akubariki
@jafaryNyato
@jafaryNyato 6 ай бұрын
Ahsant.bladha umenipa moyo.ngoja nikomae.na kazi.❤🎉
@chachawambura4030
@chachawambura4030 Жыл бұрын
Nakumbuka nilianza na mtaji wa sh. Laki 7 katika biashara yangu lakini Kwa Sasa imekuwa na kufikia Mil.25 Kwa miaka miwili na mwaka ujao naanza hiyo ya ufugaji kuku sababu tangu kale naamini itanitoa kimaisha. Respect Chief GODLOVE
@directorballo9598
@directorballo9598 Жыл бұрын
kwA biashara gan laki7 ad 25m kwa miaka mi2 kaka chacha
@MarCom-xy6cj
@MarCom-xy6cj Жыл бұрын
Oy wambura
@simonmwashiuya6184
@simonmwashiuya6184 Жыл бұрын
Ni biashara gani mwenzangu
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 11 ай бұрын
​@@directorballo9598Yani na mm nimewaza kwasauti hapa
@stellawatison6142
@stellawatison6142 11 ай бұрын
Natamani sana biashara sijuwi pakuanzia
@user-jo2qh5oq8p
@user-jo2qh5oq8p 6 ай бұрын
Mungu akupe maisha endelevu
@user-yy2qm5ne3d
@user-yy2qm5ne3d 5 ай бұрын
Big up brother kinacho tupa shida ni uoga wa kufanya kitu na hatuna uthubutu wa kujaribu Zaid tunaishia kuyawaza pasipo kutendea kazi
@user-vv4wy1ih4r
@user-vv4wy1ih4r 10 ай бұрын
Barikiwa sana kaka dah umeniamsha
@user-tg4wt8yh6h
@user-tg4wt8yh6h 5 ай бұрын
Asante Kaka kwaushauli wako unatupa changamoto yakutafuta hela
@yahayamasanja1849
@yahayamasanja1849 5 ай бұрын
Nimeipenda hiyo bro.busara zako zinaonyesha kuwa kila mmoja apate
@MosesGilya
@MosesGilya 8 ай бұрын
asante sana kaka kwa kujifungua ubongo
@user-re4pe8st9f
@user-re4pe8st9f 9 ай бұрын
Thanks bro im from Congo Drc
@florianmzagila2136
@florianmzagila2136 9 ай бұрын
Daaah brother ahsante umenipa elimu kubwa sana ila mm sina hata mtaji je nafanyaje angalau nipate kamtaji kiasi ili niweze kuanzisha biashara.
@user-om3in6di1b
@user-om3in6di1b 5 ай бұрын
Uza iyo sim upate mtaji
@cornelytv2839
@cornelytv2839 7 ай бұрын
Congratulations ❤❤❤❤
@samsonmaketa8835
@samsonmaketa8835 10 ай бұрын
Naisubir ep sod 2 nakupendaa Bure ndroo
@SaidaTulinge-hr2su
@SaidaTulinge-hr2su 5 ай бұрын
Asante bro napenda san kufanikiwa
@veronicaelias791
@veronicaelias791 2 ай бұрын
Asantee sana kaka kwa ushauli mzuri
@EzekiaMwaibambe-yu6uk
@EzekiaMwaibambe-yu6uk 7 ай бұрын
Asante kwa ushauri wako Mungu akubarik
@user-cd2gn3ot9r
@user-cd2gn3ot9r 8 ай бұрын
Asante San kaka unazid kutupa nguvu
@user-sr6wl4nv6e
@user-sr6wl4nv6e 11 ай бұрын
Bro m ni mkenya lakini napenda mafunzo zako❤
@kalistusmhando3846
@kalistusmhando3846 11 ай бұрын
Uelewa wako mkubwa bro,, biashara nyengine ni ya saloon ya kike piah inalipa na Ina faida
@SasaNgunila-fl9ms
@SasaNgunila-fl9ms 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka
@deniseliya348
@deniseliya348 Жыл бұрын
Umeongea ukweli, Vijana tuamke tufanye kazi
@elikanasamwel
@elikanasamwel 9 ай бұрын
Biashara ingine ni ya kuuza mtumba,unaweza kununua suruali nzuri yenye bei ya tsh 5000 ukauza 12000 had 15000
@user-qd7sl4vu1e
@user-qd7sl4vu1e 5 ай бұрын
Nakubari bro betri kumbe halina chaji😂😂
@waleggaestrongboy
@waleggaestrongboy 4 ай бұрын
Ahsanten Bro❤
@user-ez8ds8ng9y
@user-ez8ds8ng9y Жыл бұрын
Umetisha xana kaka
@mohdhamad5521
@mohdhamad5521 10 ай бұрын
Good Idea bro🎉🎉❤
@NeemaGodwin-ql5gm
@NeemaGodwin-ql5gm 2 ай бұрын
Asante sana kaka umetisha
@user-wz6cn9ze2c
@user-wz6cn9ze2c 6 ай бұрын
Bro nmekuelew vzr ngoj tufanyie kazi
@DaressalaamTv-rb2io
@DaressalaamTv-rb2io 10 ай бұрын
Asante sana
@user-ke2he9ni3u
@user-ke2he9ni3u 10 ай бұрын
Goodlove Naqba Sana Umefanya Saiv Money Naipambania Sana RESPECT BROTHER
@JacksonDomisian
@JacksonDomisian 9 ай бұрын
Asante buraza kwaushauri
@OtevaTz-uf3pc
@OtevaTz-uf3pc 27 күн бұрын
Kaka una roho nzuri sana mungu akulinde
@paulinewamboikamaukamau-mp2ze
@paulinewamboikamaukamau-mp2ze 5 ай бұрын
Asante kwa ushauri mzuri
@user-be3nf4ov6c
@user-be3nf4ov6c 4 ай бұрын
Fantastic ideas
@abdulrazaquerazaque
@abdulrazaquerazaque 10 ай бұрын
mungu akubaliki Kaká mi Niko Moçambique
@user-ni9bo9dl6f
@user-ni9bo9dl6f 9 ай бұрын
❤❤much love chief
@BlackMamba-qs1uz
@BlackMamba-qs1uz 10 ай бұрын
Kati ya siku unewongeya pweti ndo Sasa ,💝💝💝💝
@MarthaDonald-wb4ll
@MarthaDonald-wb4ll 2 ай бұрын
Mimi napenda sana kufanya biashara ya kuuza juice ila bado sijafanikiwa kupata friji tu naomba sana mungu anisaidie nipate PESA ya friji.asnte bro upo vizuri sana
@DaressalaamTv-rb2io
@DaressalaamTv-rb2io 10 ай бұрын
Nataka nije nijifunze kitu kwako watanzania wachache Wana moyo kama wako sio wachoyo asante sana kwa elimu kubwa
@kulishaandry5730
@kulishaandry5730 6 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimetazama video yako... Nimekuelewa sana.
@pauljuliusonyango5735
@pauljuliusonyango5735 10 ай бұрын
Kaka unatia moyo sana hongera sana bt kingne mm naona kilimo Cha umwagiliaji
@GodbetterIbrahimu
@GodbetterIbrahimu 4 ай бұрын
Thankx bro...
@isaackambofi1241
@isaackambofi1241 10 ай бұрын
Goooood mwanafyale ndaga fijo
@colethahenry6063
@colethahenry6063 8 ай бұрын
Big up bro,,,,,,,
@barnabawilliams586
@barnabawilliams586 11 ай бұрын
Mm nataja biashara moja kwenye hzo mbili zilizobaki biashala ya mtumba inatoa na haihitaji pesa kubwa sana ili kuanza ni pesa kdg2 230000 inatosha sana kuanzisha mitumba ya watoto hii biashala inatowa sana ila hasala kwenye biashala hazikosekan belo moja linatowa zaid ya pesa uliyonunulia
@user-ik2qn7xp9k
@user-ik2qn7xp9k 5 ай бұрын
❤kaka apo umesaidia vijana wengi sana kifikra god bless you
@user-ij2bf9mb6v
@user-ij2bf9mb6v 8 ай бұрын
Dah asante sana mm nipo bukoba mm nafanya kaz ya ufund wa sim kama ulivosema inalipa kweli ila nataman na kufuga kuku alafu banda la cd
@murishokasimu4276
@murishokasimu4276 11 ай бұрын
Umetisha saaaaaana mwamba
@finestkiller1570
@finestkiller1570 10 ай бұрын
Nakubali sana bro hususani ile clip ulio sema unataka kuoa arafu ushauri unaomba kwa mpiga nyeto? Ukatoa content kwamba ukipata ela usiwaze kujenga bali kuwekeza big up sana 🙏🙏
@user-zz6mi4yj8w
@user-zz6mi4yj8w 7 ай бұрын
I like it broo🎉🎉🎉🎉
@veronicaluvanda2880
@veronicaluvanda2880 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@AndreaEzekiel-wm6sv
@AndreaEzekiel-wm6sv 9 ай бұрын
Big up Sana Br
@abdallamohamedabdalla
@abdallamohamedabdalla 11 ай бұрын
Kizazi sana bro
@marwamarwa6836
@marwamarwa6836 9 ай бұрын
Naona kila mtu anatoa ushuhuda na mmi nisibaki ,, Nilianza na million mbili mwaka 2019 sasa hiv sina hata mia mungu mkubwa 😊😊😊😊
@fatmasaaed144
@fatmasaaed144 9 ай бұрын
😂😂😂 duh kweli ilikuwaje mbona maelezo mafupi jmn dah polee snaa
@SarahRamadhan-qq7zy
@SarahRamadhan-qq7zy 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@asha_bakari
@asha_bakari 8 ай бұрын
😂😂pole😅
@user-ox1pe8uz9d
@user-ox1pe8uz9d 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuh
@songashaban1332
@songashaban1332 9 ай бұрын
Bro napambana Sana nakodi mashamba nalima masika na kiangazi nalima bustani lkn wapi daaaah. Ngoja kwenye ulizotaja hapa moja nikomae nayo utapata mrejesho
Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako
7:52
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 14 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 166 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
BIASHARA 8 ZA MTAJI MDOGO | ANTHONY LUVANDA | Full Video
31:03
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 410 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 11 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 33 М.
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA
16:16
Jenifer Jovin
Рет қаралды 19 М.
Episode 2 : Je,Ufanye biashara gani?
11:29
Joel Nanauka
Рет қаралды 79 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 30 М.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49
Athar Hussan
Рет қаралды 14 МЛН
Этот парень обрёл супер-силу 😂 #фильмы #кино
0:53
МАМА И УРОКИ 😂 #юмор #мама #а4
0:32
SAASHA
Рет қаралды 1,3 МЛН
I suspect someone is playing tricks, but I have no evidence
0:27